Daaah hapa kweli ni nyumbani 🔥🔥🔥, Hii Media inaenda kutikisa dunia
@Binahmed12345 ай бұрын
Kweli kabisaa
@pillyseleman80904 ай бұрын
Maasha Allah tabaraq Rahman hakika tumefika nyumbani
@David-s6y8k5 ай бұрын
Leo wasafi wanazungumzia mada ya shilole.😀😀😀 big up sana crown media
@muksinimbaruku12334 ай бұрын
Hahaha! Hatari sana
@rejobu97234 ай бұрын
Khaa 😅😅😅😅
@Davids-dz9vx5 ай бұрын
Hakika nyumbani kumenogaaa Crown media inaenda kuwa media kubwa sana yani💕
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k5 ай бұрын
Hii crown 👑 itakua ya kimataifa maana so kwa taarifa izi ambazo tulikua tumemiss mda mrefu kwa kweli hapa ni nyumbani
@lameckpaul84445 ай бұрын
Hii ni Dhahabu sio Radio Tena 🔥🔥🔥
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k5 ай бұрын
😂😂😂😂😅
@LwebúlaMathieu5 ай бұрын
Crown media Radio Yangu pendwa🎉 Asante Sana Alikiba Mwenyezi Mungu Akubarik🎉🎉🎉
@joemoen1945 ай бұрын
Nimefurahi sana kuiskia Sauti ya Kikeke tena katika vyombo vya habari. Salim, ulipo tupo!✊
@PoPauhairstyles5 ай бұрын
Wallah toka niliposikia kikeke ameingia crown media wallah nilisema hii inakwenda kuwa tofauti sana na media nyingine sio kama nyingine sio kali lkn there's something new here I like it hii ni tofauti sana
@suleyhumoud20465 ай бұрын
Mm ni salim kikeke crown media
@yeyemkulu87435 ай бұрын
Crown inakuja na Kasi nzuri sana 🎉🎉🎉❤❤🔥🔥
@issashabanihusseniwewe90245 ай бұрын
Wakati wao wamewaakiri kina juma lokele sisi tunaendelea in enjoy huku nyumbani kwetu crown media 👊👊
@peteremmanuelymatwimatwiem32585 ай бұрын
Uko uku na Unawaza wa safi😅😅😅😅 aiseee
@ZuhuraMwanafuno4 ай бұрын
Hapo chacha wasafi 😂😂
@AyubuMwaikela5 ай бұрын
kikeke nakukubali sana kwanza upon sehem nzur
@WendoJuma5 ай бұрын
Hii ni BBC ya Tanzania Big up CROWN MEDIA
@AmisseMwenetombwe4 ай бұрын
inaweza ikachukue África yakati hotel kupitia sauti ya Dhahabu ya Salum kikeke
@NANCYWARD4884 ай бұрын
Thank you Crown Media. Thank you S. Kikeke. This is what we want to hear, sio wale wanao soma Magezeti wanaingia Chini ya Meza 😂😂
@josephfrank44465 ай бұрын
Noma sana crown
@Brunotarimo105 ай бұрын
Tupo pamoja wana crown media
@saidimgimwa23725 ай бұрын
Crown 🔥🔥🔥
@dicksontimotheo76175 ай бұрын
duuuh nilichogundua hii media sio ya kihuni.......itakuja kuwa moja ya media kubwa sana duniani asante alikiba.....sasaivi tunapakusemea
@peteremmanuelymatwimatwiem32585 ай бұрын
Wahuni Wahuni niwap😅😅😅kijana
@elisharuhonkonya5 ай бұрын
Umetisha crown, for the first to comment in a media.I miss kikeke because you gonna rise crown media and brand it in a level of BBC
@djcashnationalwanakidorry5 ай бұрын
Crown media Hapa ni Nyumbani 👏
@halidiselemani82895 ай бұрын
Crown 👑 is the best media in tanzania 🇹🇿
@Mr.kigoma5 ай бұрын
Uchambuzi huu nimeuelewa ni waviwango vya juu❤🎉🎉🎉 #crownmedia hapa ni nyumbani❤
@SumaiyyaJuma5 ай бұрын
Crown
@saxannjo61735 ай бұрын
Viwango vya JUU SANA... Big Up CROWN MEDIA
@brycebryson5 ай бұрын
Wanahabari wengine wajifunze tuu kutoka kwa kikeke Kujifunza sio ujinga wakuu
@machintangachibwena59225 ай бұрын
Sio kitenge kazi yake kupiga kelele tuu
@melanialeonard40315 ай бұрын
Na oscar😏😏
@josephfrank44465 ай бұрын
Salimu kikeke crown 👑 media
@ElihurumaMagorwa5 ай бұрын
Mpangilio mzuri wa Habari, crown media mko vizuri👍👏👏👏
@fxmeddy95674 ай бұрын
Safi sana Crown MEDIA Hizo ndizo info tunazotaka Kuona. Safi KIKEKE
@ALLY_K615 ай бұрын
Crown 👑💖# hapaninyumbani
@AMRIKINGASH-th6dm5 ай бұрын
Hkk ❤ hapa ni nyumban
@bachirncadebachir70995 ай бұрын
king kiba king keke 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@SaidKawela-qy5wv4 ай бұрын
We unadhani kiba anamiliki amka babu hii ndio bongo matajiri wanatumia wenye Majina kufanikisha biashara usikariri
@ndemoinamomaridini41275 ай бұрын
je regarde cette interview 10 fois vous êtes au top Crown 🙏🏿
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd5 ай бұрын
Huyu jamaa anajua mpaka anakera
@fatmasayid88955 ай бұрын
M.mungu akubariki kikeke kwenye BBC nyumbani
@ezekielmeshack83875 ай бұрын
Wooow so nice crown 👑..akika tunaitaji abari zaidi akika tyliopo marekani tumefurahii sana❤
@shahnazwillis39315 ай бұрын
Well it's big progress the Grown media in opening to the World for Tanznians also very inovatary
@titusboazy21135 ай бұрын
Much love ❤❤❤
@SumaiyyaJuma5 ай бұрын
😊Crown
@adamuawadhi8875 ай бұрын
taarifa ya habari nzuri sana ongera crown hapa ni nyumbani🙏
@EtieniRama4 ай бұрын
Hapa ni nyumbani❤❤
@elifariji4 ай бұрын
Kikeke, I used to listen BBC while you were there. Happy you're on air again with your Crown media. All the best
@ibrahimamri57045 ай бұрын
Keke uishi miaka mingi katika Tasnia hii ya habar
@rajaburajabu39635 ай бұрын
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana alikiba na kikeke
@DuniaKalenga-hr2lz5 ай бұрын
Mmmmmmh ,king crown
@sebastianmbazi28114 ай бұрын
Crown 👑
@idrisaMabuludizo-xi1vs5 ай бұрын
Umetisha mzeę
@BuraramaKwibe5 ай бұрын
Camera 📸 nzuri saana
@emmanuelkituma5 ай бұрын
nimeelewa crown ni moto
@Sakinaamani-o1t5 ай бұрын
Hapa n nyumbaniii❤
@Chida5 ай бұрын
Hakika #HapaNiNyumbani kabisa
@JovinPeter5 ай бұрын
👑 kikeke + 👑 kiba=🎉🎉🎉🎉🎉
@SwahiliAmbasador9545 ай бұрын
Kikeke kama Salim kikeke Mungu akubaliki alikiba na media yako kwa ujumla kiukweli inaleta msisimuo kusikiliza sauti ya mwamba wa Africa katika tasnia ya habari
@marcelohija89925 ай бұрын
Hapa ni nyumbani ❤
@razakilipwelele55185 ай бұрын
Hapa ni nyumbani 🎉🎉🎉
@officiallmaduhuwilliamtzof70565 ай бұрын
BIG UP SANA CROWN TUNAENJOY KWA UCHAMBUZI MAHILI
@Yangaza4 ай бұрын
Safi sana ,Hii ndiyo media kubwa
@amaningobayi71145 ай бұрын
Crown ni watu wakubwa
@ephraimkabeya96484 ай бұрын
Crown media naiona Kimataifa na ubora wa hali ya juu sana
@omarabdala15725 ай бұрын
Quality sana
@Lufuta33.5 ай бұрын
kikeke ni 🔥🔥
@AbdullahMwela5 ай бұрын
Hapa ni nyumbani crown ni 🔥🔥🔥
@MosesNtiruchika4 ай бұрын
Broo umeua kaka big up
@Yangaza4 ай бұрын
Zaidi ya BBC ndani ya Tanzania Kiswahili safi 🎉 Habari safi 🎉 Wahusika safi 🎉 Kikeke asante kwa taarifa yenye kueleweka
@EmanuelShirima-o6r5 ай бұрын
Safi sanaa , proud of this revolution
@asnalimtv76905 ай бұрын
Jaman nikifunguwa tu chenel ya crownfm and crowntvtz najikuta Nina furaha sn
@johnmwalingo52184 ай бұрын
Asante sana Crown
@mrliverpoolynwa76414 ай бұрын
Crown media is the best,camera za kisasa kabisa na bora sana💪💪💪
@georgepeter20554 ай бұрын
Crown mungu awabariki sana… hiii ni chombo ya kimataifa ndani ya bongo
@totobaddakoke58265 ай бұрын
Crown 👑 media🔥🔥🔥🔥🔥
@LAMECKSHEDRACK5 ай бұрын
Asante
@ConfusedAlien-xk3sh5 ай бұрын
Tupo pamoja crown fm
@OmaryRamadan-m8v4 ай бұрын
Duuuh king kumchukuwa huyu jamaa ❤kaona mbali sana hii sauti hakuna mpinzani
@MusaDadi-pd3jd5 ай бұрын
Good one
@Binahmed12345 ай бұрын
Noma sana
@touches4lifeonlinetv464 ай бұрын
Crown Ni habar nyingne🎉
@paulyohanandanauze13194 ай бұрын
Nmesikiliza sekunde 8 nikaona ni comment, this is more than proffesional media.
@Lando_Anthony5 ай бұрын
Mko vizuri 🎉
@abelimwakijungu12264 ай бұрын
Safi Taarifa nzuri ya maana.
@YoungClemaTommY4 ай бұрын
❤❤❤❤hapa ni nyumbani
@kevinalpha47165 ай бұрын
Makini Sana 👍 crown fm
@johnpetro10694 ай бұрын
Huyu Salim kikeke ni fundi sana kwenye haya mambo
@omarymtotela37515 ай бұрын
Nakubali
@jonathanthomas76064 ай бұрын
Kikeke shikamooooo❤
@andreakakuru65105 ай бұрын
Story nzuri sana
@BahatiCharles-gp5um5 ай бұрын
Big up crown!
@rejobu97234 ай бұрын
Nachokiomba kwenu crown msiingize hbr za kiumbea bari tunaomba habari kama hizi 🌏🌍 🇹🇿 to 🇸🇦🇵🇸
@AgripaMwangobola-il3bz5 ай бұрын
Kaz nzuri
@stephanolucas81455 ай бұрын
BBC ya tz toka ufalmen 🎉❤
@BonphaceSimon-es9ly4 ай бұрын
👊 crown fm
@mucochanella16725 ай бұрын
Wauuuuh 💪
@CelebZoneOfficial5 ай бұрын
Mapinduziii🥳👌
@AllyShanah5 ай бұрын
nice news
@Kkmdancechallenge5 ай бұрын
Najihisi kama nasikia BBC ivi ❤
@chambertalkshow94375 ай бұрын
Amazing
@saulimmbaga.safisana95564 ай бұрын
Kiba noma sana
@blastusmaligite33724 ай бұрын
Duh hii crown👑 inaenda kutikisa content na mpangilio hatari sana