Samia Awaka moto Yusuph Manji Arudi Tanzania Acheni Kufukuza Wafanyabiashara Watu Wanamaisha Magumu

  Рет қаралды 322,744

Taifa Digital

Taifa Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 605
@hassanhussein2879
@hassanhussein2879 3 жыл бұрын
Asante mama yetu mmungu akulinde na kila bya kazi zako zende swa ameen
@hamdanbakarihamdanbakari7580
@hamdanbakarihamdanbakari7580 3 жыл бұрын
Kama unampenda xamia gangs like
@RichVoicetz-z9r
@RichVoicetz-z9r 3 ай бұрын
tumpende kwa lipi sasa
@sunyareh
@sunyareh 3 жыл бұрын
Sasa mtaona Tanzania inaishia kuwa kama Zambia nchi ime uzwa yote yale alie piga VITA JPM.. Huyu mama sina imani nae tena.
@riddickb7358
@riddickb7358 3 жыл бұрын
Mama uko vizuri sana . Mungu akutangulie . Allaha akulinde na mahasidi wote .
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 3 жыл бұрын
Du! Nimemmiss Baba Magufuli na uchumi wa kujitegemea
@francismalingum6747
@francismalingum6747 3 жыл бұрын
Mapichapicha yameanza mapemaaaa jpm tutammissi sana wanaobisha niwabinafsi fikra tu
@nzagambaog4843
@nzagambaog4843 3 жыл бұрын
Kazi kazi kasepa ulembo umebaki
@eddynaeem6708
@eddynaeem6708 2 ай бұрын
samiha unafuga majambazi kwa nini wanawazuiya wawekezaji halafu unawabembeleza
@samohazakwani6899
@samohazakwani6899 3 жыл бұрын
Allah ambarikie mama Samiya, kweli maneno yake, yaani hata wasafiri tunachoka kusimama foleni mbili kulipa kwengine kugongesha visa kwengine, tunacheleweshwa na tunachoka kusimama mda mrefu, wengine ni wagonjwa kusimama sana mitihani.
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
Africa haswa East Africa ni nchi muhindi ataingia na briefcase tupu na Baada ya muda atakuwa billionea na kuwaacha Watanzania masikini. Kusema ukweli Mama Samia unayoyazungumuza hapa ni maneno tu, kuzungumuza ni rahisi lakini vitendo kwa Watanzania ni vigumu sana. Hapa ufisadi utarudi kwa nguvu zote. Watanzania. Watanzania wanyonge wajitayarishe kwa mateso kama kule tulitoka.
@smaihsmaih2815
@smaihsmaih2815 3 жыл бұрын
kwa kweli naona tanzania ya nawiri mambo yanakuwa mepesi asante sana mama yetu,hongera sana tunakuombea
@furahabeatrice2057
@furahabeatrice2057 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki sana akuzishie nguvu mama. Kwakweli wewe ni mama wa watoto 👏
@saidkayoka9401
@saidkayoka9401 3 жыл бұрын
Masha Allah mambo yaenda kisomi Allah akuhifadhi mamaaa
@nuraansuhail2578
@nuraansuhail2578 3 жыл бұрын
Mama masuala ya Covid kamati napata hofu naogopa kamati kuja na mambo ya chanjo na lock down Watanzania mbona tushazoea kuishi nao Kama malaria na Ukimwi hofu hatuna
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 3 жыл бұрын
Hofu huna wewe, sio hatuna
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 3 жыл бұрын
Wataalamu watatushauri njia rafikinkulingana na maisha ya watanzania. Lock down si lazima ila mengineyo yawezekana
@magaumasiaga3120
@magaumasiaga3120 3 жыл бұрын
@@johnmichaellukindo21 utaingiziwa dude ww sio sisi
@nsibwenekaswaga6267
@nsibwenekaswaga6267 3 жыл бұрын
Hongera sana Mh Rais, nimepata faraja kwa kusikiliza hoja zako
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
JPM. Ukiona adui yako anakusifia nenda ukae chini jiulize umekosea wapi. Ukiona adui yako anakusema vibaya jua umempasua tayari. Mwisho wa kunukuu. Yetu macho.
@twahathomas3514
@twahathomas3514 3 жыл бұрын
Dah nasikia lissu amempongeza mama nikashtuka kwanza
@aminahussein5418
@aminahussein5418 3 жыл бұрын
Waige oman walichofanya
@aminahussein5418
@aminahussein5418 3 жыл бұрын
Ipo kazi
@uwesusinde9976
@uwesusinde9976 3 жыл бұрын
Mungu atulinde kaka.
@KadeFue
@KadeFue 3 жыл бұрын
Adui yetu nani? Wawekezaji? Una akili kweli wewe
@ibrahimhemedi9079
@ibrahimhemedi9079 3 жыл бұрын
Kodi nyingi kwa wawekezaji sio vizuri, lazima tujuwe Tz need strong leadership kulinda asilimali za nchi, ndio ya kila kitu inaleta mafisadi na mabeberu wengi na hali mbaya kwa wanyonge nchi ijengeki hivyo.
@isakawilliam5100
@isakawilliam5100 3 жыл бұрын
Na kingine hili haki sawa Kwa wanandoa nalo mama ndoa nyingi zinavunjika hawa wanawake wanawakorofisha makusudi wanaume zao muradi atoe taraka wauze chochote wanawake walioachwa ni wengi
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
Kuna watu hapa wanafuraha sana. Hawa watu ni wengi walioiteka Tanzania ikawa mali yao na kuwaacha Watanzania wengi bila ya haki. Wacha tungoje matokeo. Kwani kusema ni rahisi, kutenda ndiyo kazi. Haya wawekezaji wote karibuni Tanzania. Shamba ka bibi Sasa liko wazi.
@aminahussein5418
@aminahussein5418 3 жыл бұрын
Aliweza magufuli tu basi
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
@@aminahussein5418 naanza kuamini hivyo.
@leekiss5602
@leekiss5602 3 жыл бұрын
Mama nakuelewa Sana yetu. Leo umeongea saut ya hapa kazi. Endelea kukaza ndimi mama.
@herswidamhoro6621
@herswidamhoro6621 3 жыл бұрын
Ppppppppp00pp0ppp0pppppppppppp000000pp
@olaiskipuyon1678
@olaiskipuyon1678 3 жыл бұрын
Bizaa zina pandishwa bei, Mafuta ya kula,gesi,sukari punguzen bei kidogo jamani! Twaumia mweshimiwa rais wangu!
@bensonakuno22
@bensonakuno22 3 жыл бұрын
Hapa matumaini ni kwa Mungu tu, mama kachukua mtazamo tofauti na ya hayati JPM. Tutamjua baada ya mwaka moja, kwa sasa ni mapema lakini dalili ya mvua ni mawingu..... Hapa kutanyesha mvua ya ufisadi sana
@lidiagodfrey5786
@lidiagodfrey5786 3 жыл бұрын
Umeona ndoo ivo
@manenoathumani2093
@manenoathumani2093 3 жыл бұрын
kweli babisa
@emmabroy1209
@emmabroy1209 3 жыл бұрын
Mm sikuelewi
@sherryshibibyah7823
@sherryshibibyah7823 3 жыл бұрын
Hata mimi
@mamawakihindi5639
@mamawakihindi5639 3 жыл бұрын
Mama samia hongera sana. Tumefurahi sana kwa hekima na busara zako.
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
Kwa hiyo wawekezaji waje na wafanya kazi wao. Wapate faida wao na waondoke na faida zote. Faida ya wawekezaji ni kazi kwa Watanzania . Haya mama unayoyasema lazima ufafanuwe vizuri unaturudiisha kwenye uonevu mkubwa.. Biashara ya insurance ni kama kamali pamoja na pesa zake lakini Watanzania ndiyo wanunuzuzi wa insurance.
@mikehjackson8146
@mikehjackson8146 3 жыл бұрын
Msikilize vizur mama utamuelewa usikaze sana ubongo dada angu unaambiwa kuna tofaut kubwa kati ya kusikiliza na kusubir kuongea
@sherryshibibyah7823
@sherryshibibyah7823 3 жыл бұрын
Umeona ee aisee nchi inarudishwa nyuma kwa kasi yani speed Kali duh!!,yani waje na wafanyakazi wao watanzania wawe wakutumikia nafasi za uboy,duh!!!!!
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
Good 👏👏
@yohanamoikan932
@yohanamoikan932 3 жыл бұрын
Dada ukooo vizuri we ndo mwenye Akili unaona mbali,
@yohanamoikan932
@yohanamoikan932 3 жыл бұрын
Watanzania hasa wasomi wengi Wana penda uongo
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 3 жыл бұрын
Raisi wangu mpendwa umeongea mambo mengi mazuri sana but hyo team yko ndo 50/50. NaonBa uwe unafanya safari za kustukiza
@mossassaid2683
@mossassaid2683 3 жыл бұрын
Aka Leo umebadilika wewe si ulikuwa makufuli 100/ 100 leyo vipi unakuwa kama baby
@lameckmichaelmagazi6345
@lameckmichaelmagazi6345 3 жыл бұрын
Mama Mimi simuelewi. Haohao wawekezaji hawalipii ushuru na mapato yanchi wanamanagani?
@manmill2444
@manmill2444 3 жыл бұрын
UNATESEKA UKIWA WAP KENGE WEWE
@lameckmichaelmagazi6345
@lameckmichaelmagazi6345 3 жыл бұрын
@@manmill2444 Nikiwa na mamayako hapa
@ndaromachumu2558
@ndaromachumu2558 3 жыл бұрын
Uyu mama I nchi itamchindaa
@saidgeyash2569
@saidgeyash2569 3 жыл бұрын
Wewe Fanya adabu wakati watanzania tumepata almàsi wewe unaongea kama umesombwa Na maji au wewe mnyaruanda nini? Wacha mama atulee wanae
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 3 жыл бұрын
Hawa Ni walewale waliodhani kwamba matajiri wakimalizwa Maisha ya maskini yataboreka!,Matajiri Ndiyo nguvu ya serikali ukiwamaliza umejimaliza!.
@jambochannel2425
@jambochannel2425 3 жыл бұрын
Kuongozwa na watu hawazjui shida naona uwezo wako was kufir no mdogo mapema sana unataka tuharbia nchi
@nishasalim2880
@nishasalim2880 3 жыл бұрын
Sana! RIP JPM.
@issahmaganga3386
@issahmaganga3386 3 жыл бұрын
Aswaa
@salumabdallah6680
@salumabdallah6680 3 жыл бұрын
Imekula kwako sasa 😅
@fransavinhonacmela827
@fransavinhonacmela827 3 жыл бұрын
Mama kasha Anza uoga
@manmill2444
@manmill2444 3 жыл бұрын
UNATESEKA UKIWA WAPI WEWE KENGE!!
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 жыл бұрын
Madini tusipoangalia tunakuja kuporwa zaidi, badala ya kujitegemea sasa nakumbuka enzi za Ruksa tu. Hapa basi tena wanyonge tutalia. Kiswahili kizuri lakini behind it there is a catastrophe for our country. Let us work on figuring out the shortcomings and advance what JPM started. The mining sector can be a curse and we should learn it from other African countries. I fear where we are headed! Tusipoangalia watanzania tutakuja kuwa watumwa kwenye nchi yetu na uchumi kuwa mikononi mwa watu wachache.
@mubahamisi1075
@mubahamisi1075 3 жыл бұрын
Huyu mama anaua nchi jamani anaruhusu rushwa na wizi duì!
@shabaniddy6410
@shabaniddy6410 3 жыл бұрын
Rushwa ipi aliyoruhusu au unaota?
@dulabori9922
@dulabori9922 3 жыл бұрын
Nenda mwongo mkubwa wewe imezoea vya bure
@mubahamisi1075
@mubahamisi1075 3 жыл бұрын
@ROONEY ASILI TV Tunataka ata kama anawabadilisha asiwape sana nafasi ya watu warudi kama zamani na kazi zienderee umemsikia ndugai
@sherryshibibyah7823
@sherryshibibyah7823 3 жыл бұрын
Umeona ee
@verasikawa6382
@verasikawa6382 3 жыл бұрын
Hongera mama yetu mungu akulinde na Tanzania yetu mungu ailinde
@TinasheBeture
@TinasheBeture 2 ай бұрын
Endeleza inchi ili isiwe maskini . Hongera sana . Mtu anaweka mfanyakazi mwaminifu ❤❤❤❤❤ tena anampa atakae . Leo 1kg ya mchele burundi mchele mzuri 6000 fbu . Je mwenye kwawo wamasikini atanunuwa mchele . Chunga sana wafanyabiashara ili inchi iwe namaendeleo . Wakiondok mmmm noma sana
@hamislipangine9649
@hamislipangine9649 3 жыл бұрын
Nimerudia speech ya mama Zaidi ya mara tatu ila bado cjamuelewa ebu nitulie baadae nitarudia tena, Maana nawezaj kuwa bingwa wa hesabu Kisha nisimwelewe mama?. Au Kuna tatizo la kiufundi?. Nawaza msemo wa wahenga Ukiona Adui Yako anakusifia ujue Kuna mahala unakosea..... Ila nitarudi tena.
@yahayamsuya2262
@yahayamsuya2262 3 жыл бұрын
Nyie vibaraka mnaokula vzr bila huruma na wanyonge roho zinawauma kwakuwa mama anaonyesha kuwa jali wanyonge kupitia nafasi zao kama kilimo, ualimu na nguvu zao wanaona masikini watakula keki.mungu hamsimamie rais wetu wa wanyonge na wakuu wote wa idara
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 3 жыл бұрын
Chaguo Sahihi la Mwenyezi Mungu ni Samia Suluhu 🙏🏽
@sr.m.pacismassawe7306
@sr.m.pacismassawe7306 3 жыл бұрын
Asante Sana Mama Samia. Umenirudishia matumaini mapya. Ninakupenda Sana Mama. Mungu akubariki. Nina amani moyoni .Mungu amekuweka kwa wakati huu utuokoe
@babyfaith2710
@babyfaith2710 3 жыл бұрын
KWA STAHILI HII INCHI INAELEKEA PABAYA , MAMA HATUTAKI WAGENI WANAKUJA KUIBA MALI ZETU TUACHE MALI ZETU TULE WENYEWE KAMA MAGUFULI ALIVYOSEMA INCHI YETU SIO MASIKINI
@martinlucas6475
@martinlucas6475 3 жыл бұрын
Kabisa yani
@omarikinyory5785
@omarikinyory5785 3 жыл бұрын
COLLECT Tanzania co nchi masikini kweli mahana nchi yetu ina kira kitu
@pascomagesa3103
@pascomagesa3103 3 жыл бұрын
Kumbe Wêwè Ni Rais Wawekezaji Yaaani Matajiri Bali C Rais Wa Watanzania Nahis Kma Tuna Rudi utumwani 😭😭😭 Rest in Peace Magufuri & Nyerere,
@simonchristian6319
@simonchristian6319 3 жыл бұрын
We unataka wawekezaji wasiwepo?
@edetridiswilliam8813
@edetridiswilliam8813 3 жыл бұрын
Huyu nae ko ulitaka wawekeze Wanyonge! Una hela ya kuwekeza!??
@renathahendry8658
@renathahendry8658 3 жыл бұрын
watanzania huwa tunasahau mapema sana, wachina walijaa huku nnchini mpk wamachinga, lkn magufuli alivoingia wakaondoka zao bila ata kufukuzwa maana walikuw wameshaona hatujielewi, walivoona jembe limeingia wakakimbia, huyu mama anataka kuturudisha kule kule, anataka hii nchi iwe shamba la bibi
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 3 жыл бұрын
We kweli huna akili we unafikirii kazi wanatoa serikali, je kodi we kweli boya
@MrK-mh4in
@MrK-mh4in 3 жыл бұрын
Wendo jinga kabisa kwani inshi itaka bila wawekezaji unapoongeya kauli juwa kwaza kufikili ish bila biyashala itaka
@f.abdulali569
@f.abdulali569 3 жыл бұрын
Watanzania Mungu amewapenda sana kuwapa viongozi wenye busara na hekima...na zaidi WAZALENDO HALISIA. Nchi yenu itakuwa kama SINGAPORE chini ya miaka kumi...LKN mkisimama na WAZALENDO WENU. HONGERA MH. RAIS MAMA SAMIA.
@modekessy1790
@modekessy1790 3 жыл бұрын
Ntakulilia Magufuli daima. Simwelew huyu mama jaman
@berthajacob6492
@berthajacob6492 3 жыл бұрын
Hahahhahahahahha
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
Me Nafikiri ni me mwenyewe..!
@maoleminja6514
@maoleminja6514 3 жыл бұрын
Utaelewa tu inaonekana uelewa wako mbaya mfate
@izacluka2099
@izacluka2099 3 жыл бұрын
@@berthajacob6492 jmn unafrh tu mueleweshe mwenzio bethania hongera unajina zur
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 3 жыл бұрын
Nenda kamfate si kafa uko chato raisi wa mikoa mitatu tu raisi wa kabila lake
@sinasudimasoodi6071
@sinasudimasoodi6071 3 жыл бұрын
Ongera sana mama yangu. Naomba sana tena sana uliangalie swara la wafanyakazi wa sungura textel. Malipo yao mpaka leo hawajapata asante sana mama
@kundaellyimo7523
@kundaellyimo7523 3 жыл бұрын
Kazi ipo Jpm please amka uwaone wasaliti
@chidyjunior9539
@chidyjunior9539 3 жыл бұрын
Ww mnafkiiiiiiiiiiiiiii mjinga aaaaaaa jpm ndio yeye alikua nan kwan hata huyu si mwanaadamu acha uzalilishajiiii ww nchi ni yakwakwe pekeeee akeeeee sasa aludiiiiiiiiiiii tenaaaaa mjingaaaaa ww
@kundaellyimo7523
@kundaellyimo7523 3 жыл бұрын
@@chidyjunior9539 how old are you
@kundaellyimo7523
@kundaellyimo7523 3 жыл бұрын
@@chidyjunior9539 how did you create your email 😥😥😥
@selemanijuma5539
@selemanijuma5539 3 жыл бұрын
Wewe Ni mpumbavu WA akili
@clemantmalisawa3080
@clemantmalisawa3080 3 жыл бұрын
Akunaga mwanamke ambaye amekwishawayi kuwa kiongozi wambae anaejuwa kuongoza.kifo cha magufuli Tanzania mumepoteza ndoto zenu zote mana huo mama sio rais ila ni ticket ya mabeberu.nibendera huo mama anafata upepo
@issahmaganga3386
@issahmaganga3386 3 жыл бұрын
Kwel kabxa
@martinlucas6475
@martinlucas6475 3 жыл бұрын
Ndio kichotokea sasaivi kwakweli magufuli tutamkumbuka
@gdesiandimbo5363
@gdesiandimbo5363 3 жыл бұрын
Woo mpuuzi wewe huyu ndo rais tunaemtaka kamfufue dicteta wako
@newlandcityc.e.oprincejr2629
@newlandcityc.e.oprincejr2629 3 жыл бұрын
Jaman mama Mh Rais wa awamu ya sita tunaomba uturudishie Agrrey alie kua mkuu wa mkoa wa tabora ata saidia mambo mengi kwa maendeleo ya Tanzania
@chachanyambuche1235
@chachanyambuche1235 3 жыл бұрын
Hongera sana raisi wangu mpendwa unastahili kuombewa Mungu akubariki sana
@alexkamba5264
@alexkamba5264 3 жыл бұрын
Mungu akupe maarifa zaid mama uko vzr sana
@issacksanga4326
@issacksanga4326 3 жыл бұрын
Mungu akupmaish marefu mama
@yunistinatemba9466
@yunistinatemba9466 3 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupa maarifa Mhe. mama yetu
@kautharjadid4287
@kautharjadid4287 3 жыл бұрын
Bashite ulicho mfanyia manji ww baba Mungu anakuona
@kebo2155
@kebo2155 3 жыл бұрын
Wacha unafiki... Manji alikuwa Mteja na alikuwa na kiburi.... Wewe akili yako ya kitumwa ....alicho fanyiwa kilikuwa somo kwa Watu wote...
@charlesgabriel4918
@charlesgabriel4918 3 жыл бұрын
Katika issue ya kufunguliwa vyombo vya habari na tvonline hapo mama hauko sahihi,utawavunja nguvu wasaidizi wako,usichukue sana mawazo ya mstaafu.vilifungiwa kwa mujibu wa sheria na hivyo vyombo siku za nyumba vimeyumbisha utawala,achana na huyo mstaafu,ana interest zake
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
👏👏
@clevermngao7565
@clevermngao7565 3 жыл бұрын
Maoni yangu: Nchi yetu haijajengwa kwenye Mifumo inayojisimamia/ inayojiendesha yenyewe! Nafikiri hiyo ndio changamoto kubwa ambayo haitatupeleka mbele zaidi kimaendeleo! Kila kiongozi na style yake! Hakuna uniformity ya mifumo!
@imanmedia8910
@imanmedia8910 3 жыл бұрын
Huyu Mama simuelewii kabissa,, God save our country maana mmh
@sherryshibibyah7823
@sherryshibibyah7823 3 жыл бұрын
For really tunarudi kuleee enzi za nchi kununuliwa mwekezaji akipapenda kwako anapanunua kwa lazima utahamishwa uende utakapojua mwenyewe huko ndiko tunakokwenda
@jaffarchimbuvu7499
@jaffarchimbuvu7499 3 жыл бұрын
Mama umetisha"!kwanza Mungu akulinde,aturinde sote,nani na wapongeza JWT,cdf,mabeho na mwamnyange,mwakiborwa,mjomba jakaya mmepikika Mungu awalinde,kwel mnamuogopa Mungu, kiapo cha ukweli, mmetisha👏👏
@amourmtungo6941
@amourmtungo6941 3 жыл бұрын
🤔Kwa mpaka muda huu chama tawala na wapinzani wote wako ukurasa mmoja. Uongozi wa Mheshimiwa Samia tayari unaonyesha mwelekeo mzuri wa kukubalika na Watanzania wengi. Hongera kwa kila hatua na uamuzi wako unatufumbua macho na kutaka kusikia mambo mzuri zaidi.
@gilbertmichael9130
@gilbertmichael9130 3 жыл бұрын
Wapinzani hawajawahi kukubaliana najambo lolote lile, hawabebeki hao hata wafanyiweje
@alawiali3475
@alawiali3475 3 жыл бұрын
Ulisikia wapi chama tawala na upinzani wanabebani coz kila upande unawania madaraka alieko madarakani ana ng'ang'ana abakie na mpinzani anafanya juhudi akamate madaraka hali iko ivo ivo ktk kila nchi zenye mfumo wa vyama vingi
@coolruler6820
@coolruler6820 3 жыл бұрын
Inaumiza lakini,,,mimi ni fundi rangi magari, nimeenda kununua brashi ya kupakia polishi gari nimekutwa imeandikwa made in China. najiuliza serikali inawaza nini kuhusu hizi pesa zetu zinazochumwa na wageni toka kwetu kuinua chumi zao "Afrika imekuwa ni kama kitegauchumi cha Ulaya? Tunabaki na maneno tuuu,,,elimu yenyewe imekuwa mzigo kwa Watanzania,,tunasoma tuuu mwisho unaambulia cheti. Nahisi Viongozi wa Afrika wanapaswa kubadili mawazo kuondokana na dhana ya kazi ya serikali ni kukusanya kodi na badala yake ibuni mbinu mbadala ya kuona ni vipi rasilimali watu itageuka kuwa kitegauchumi. Tukiendelea kusimuliana hadithi hakyanani hatutoboi, tutabaki historia tu zaidi kichwa cha mwenda wazimu
@amourmtungo6941
@amourmtungo6941 3 жыл бұрын
@@alawiali3475 Kwani wewe upo upande gani chama tawala au upinzani. Kama ni hivyo, jee hujafurahia chochote katika mambo ambayo Rais mpya ameshasema? Unapinga au unakubali kuwa amesema mambo mazuri na yanakubalika na pande zote kisiasa?
@amourmtungo6941
@amourmtungo6941 3 жыл бұрын
@@coolruler6820 Adui wa Afrika ni Muafrika. Tunachukia Wazungu bure wakati sisi ndio wenye mpini. Mzungu kaipata wapi dhahabu, almasi, Tanzanite na madini mengine? Viongozi hutumia jina la vibaraka na mabeberu kuwapotosha watu akili. Kama hujui hujui tu tatizo sio kibaraka wala Mzungu, tatizo viongozi.
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 3 жыл бұрын
I love you mommy kazi iendelee
@Mutindakamba
@Mutindakamba 3 жыл бұрын
Clear directive,, ongera
@NYAKANAZITVOfficial
@NYAKANAZITVOfficial 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana kwa maelekezo
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Hahahaaaa Mwenyezi Mungu tuongoze ni wewe tu ujue hatima yetu
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 3 жыл бұрын
Hivi kuhusu hapo kwa waziri mkuu,,,kupewa hela ndogo!!"si angemshaurigi bosi wake magu wakarekebishaga mapema!??mhhh!! MUNGU usiiache ardhi wanayokanyaga wanyonge!!"
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
@@brightluvanda2795 Allah atawalinda musirud mlikotoka maghuful alitaka nyie watanzania ndi muwe mbele kuwajiliwa na waekezaj ili inchi na raiya wake ipate masirah ya uwekezaji ila mama anasisitiza wawache wajir hata watu wao sasa mali na pesa zote zitaishia inchin kwao wakat katka inchi zao wanaweka raiya wao mbele zaid kulko waekezaji na sheria zao muekezaj yeyote anatakiwa ajili watu hapo inchini kwao na mishahara mikubwa zaid ya wagen ila kuneinchi yenu waje waish wanavitaka asee watanzania munapelekwa siko dah mungu awalinde sana nahuyu mama
@josephjkimaro4109
@josephjkimaro4109 3 жыл бұрын
Mungu wa Mbinguni akutunze mamaaa
@khamisisalumu7906
@khamisisalumu7906 3 жыл бұрын
Inshaallah Allah akulipe kwa ofu ya Allah siviumbe Bali wape ukweli Allah atakuifazi inshaallah kwani unaunusuluma kama watakulewa tutaishi kwa furaha sana muim haki itendeke inshaallah
@suleimanissa5991
@suleimanissa5991 3 жыл бұрын
Big brain mama Samia hongeraaaa Mungu akupe yote unayoyataka, akupe wepesi katika kuwatumikia Watanzania
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 3 жыл бұрын
Tatizo Tanzania hakuna sheria leo tunashukuru Mungu kumleta mama Samia lakini akiondoka anakuja mjukuu wa Nyerere na upanga wa Ujamaa unakufilisi yoote uliyonayo. Tunataomba sheria iwe sheria siyo amri ya yeyote anaota huko anamka na mapya
@eliasmosses8121
@eliasmosses8121 3 жыл бұрын
Mungu mrehemu Rais wetu Aliye kuwa Kipenzi Cha Watu Mh.Dkt.John Pombe Joseph Magufuli aishi vyema aliko Nas tutamkuta na Nimwombe Mungu Amlinde na kumwongoza mama yetu kipenzi Mh.Rais wa jamhuri ya Tanzania Mama Samia suluhu Hassan akaze boot na nchi iweze kusonga mbele AHSANTE MAMA KWA HOTUBA YAKO YENYE KUFUATA NYAYO ZA HAYATI Mh.MAGUFULI.
@aminimushi6945
@aminimushi6945 3 жыл бұрын
Ahsante mama,umezungumza mengi,naamini kwa sasa kazi itafanyika,watendaji walikuwa waoga,na ndiyo sababu kazi yao ilikuwa kupiga makofi na kusifia ili mradi asitumbuliwe.
@nyamkazihealingvalleychurc9559
@nyamkazihealingvalleychurc9559 3 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu sana tunakiombea Mama
@dakihamalutaluta5243
@dakihamalutaluta5243 3 жыл бұрын
Hongera sana Rais wetu uko vizuri
@genosumaye140
@genosumaye140 3 жыл бұрын
Mama wa Tanzania kwanza hata nchi kwao ni wao kwani wageni baadae
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
Kweli kabsa hata maghuful alisema hajakatza waekezaji ila waje kama wanivifanya kwao waekeze kisha watoe ajira kwa raiya wa inchi tena kwa mishahara makubwa kulko wagen kwao ndi hufanya hivo ila samia anataka kudhoofisha watanzania wazid nyanyasika katka inchi yenu wanakuja kuchukua mali zenu nakuwatambia si inchi zetu hata zao wazung hakuna hivo wa kwanza ni raiya wa inch kwanza mgeni ni mgeni tu
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 3 жыл бұрын
@@aishaalbalushaishabalush8291 mimi mwenyewe nimeishiwa nguvu!!? Kweli magufuli tutamkumbuka!!"
@justinmkumbwa2330
@justinmkumbwa2330 3 жыл бұрын
Kwa sasanaamini watuwooote wameamini utawala uleeeee ulikuwasio sasatumepata raisi nafunga sikutatu kwakumtukuza mungu ametupatia kiongoz nasio mtawala MUNGU ibariki Tanzania nakumlinda kiongoz wetu rais mama SAMIA HASAN SULUHU Amin
@okongostephenv5421
@okongostephenv5421 3 жыл бұрын
Great concerns, heko Rais wa muungano wa Tanzania, faida kubwa kwa kila mwananchi. Santeni sana
@feiswalsalim2117
@feiswalsalim2117 2 ай бұрын
aslm alykm nee katika mzuguoo ukona faida kazi taifa katika ulonzi halimashaurk codi
@mohamedkigwehe3561
@mohamedkigwehe3561 3 жыл бұрын
Kilala kheiry rais wetu
@amethysturanus6351
@amethysturanus6351 3 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais, nashukuru sana kwa maboresho unayoya tizamiya Mbali kwa manufaa ya maendeleo ya watanzania. Mungu àkuongoze, Mungu abariki Tanzania. 🙏
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 3 жыл бұрын
Hizi ruksa ni hatari alipaswa ajue haya makampuni kwa nn yamekimbia walikuwa wanakula bila kunawa hawakuwa wanalipa kodi walizinunua serikali za awamu ya 2 nna 4 then wakabanwa wakakimbia, mama uwe makini watakununua ni watu wa hatari utashangaa wao wanakuwa na pesa zaidi ya serikali, kuna watawala walifungua milango majambazi yakaingia hadi lkulu then tukabaki na rais bendera wao wakaitafuna nchi wakaiba sana serikali ikaishiwa pesa alipo kuja mzarendo wakakimbia na kumshambulia sasa tunaona tena kuna hatari hii ya majangiri hawa kurudi
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 3 жыл бұрын
Ndg mama anaelewa kila kitu kwenye hii nchi na anachokitamka hakurupuki hata kidogo na hawezi kutetea majangiri bali anarekebisha alipokosea hatayi sababu naye alikuwa mwanadamuna c Mungu
@blackbeauty8462
@blackbeauty8462 3 жыл бұрын
@@matrida.lunyilija5196 umesema ukweli kabisa.
@erickmasambe4875
@erickmasambe4875 3 жыл бұрын
Kila mtawala anapoingia madarakan hususani huwa anaona aliemmtangulia akafanya sivyo wezi walikamatwa wakakimbia baadaye wanaambiwa Rudi nyumbani kumenoga ,kumbe wembe unaweza ukawa ule ule wa awamu zilizopita , mwenye macho haimbiwi tazama ,mikataba feki ilionyonya watanzania iko njiani mh Rais anatakiwa awe mkari Kama pilpili.
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 3 жыл бұрын
@@blackbeauty8462 Hawa kina Mathew ni watu waliokuwa wanaabudu mtu na hawana uwezo wa kuona makosa yaliyofanyika. Kwahiyo mama anapojaribu kurekebisha mapungufu hayo wao hawamuelewi.
@blackbeauty8462
@blackbeauty8462 3 жыл бұрын
@@samsonfulgence5553 Haswaaaaaa kuna watu huwa hawajielewi na hawaelewi kiukweli.
@allymkalimohamed7419
@allymkalimohamed7419 3 жыл бұрын
Hongera mama tuna matumaini makubwa na Rais wetu.
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 3 жыл бұрын
Big up my President, this is the kind of President that we need in the RECENT world wide economic policy to ensure our economic development sustainability
@jumakika4314
@jumakika4314 3 жыл бұрын
Mama tunataka vitendo ,sio speech
@basleymrema8675
@basleymrema8675 3 жыл бұрын
Asante sana mama uchungu wa mwana aujuae mama . Mungu akulinde raisi wetu.
@nicholassostenes4372
@nicholassostenes4372 3 жыл бұрын
Hongera piga kazi mama mambo yatakuwa mazuri sana
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
Mnaingizwa kwenye chanjo unasema hongera wewe vp?
@abdimalikyussuf5972
@abdimalikyussuf5972 3 жыл бұрын
Wewe wataka watu wa fukuzwe
@chandnikaria9051
@chandnikaria9051 3 жыл бұрын
Campuni zikifunguliwa wahindi nao watapata ajira nakurudi Tz na pia pesa zita zunguka kwa wao hao ndoo wanaependa kuwa wanatembelea sehem mbalimbali like enjoying places and Tz tuna sehem nyingi zaidi sema tu kwasababu wameondoka ndoo maana hizo sehem pako kimya,
@felixngelani6822
@felixngelani6822 3 жыл бұрын
Naona dalli za manji kuludi nyumbani MMA hongera
@allycassim5816
@allycassim5816 3 жыл бұрын
Mh raisi kaona mbali tatizo wabongo mkipewa vitengo mnataka rushwa kubwa kuwapa wabongo wenzenu kazi mama Samia hongera!
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 3 жыл бұрын
Quite true indeed
@roselugendo6943
@roselugendo6943 3 жыл бұрын
Hakuna nchi imeendelea duniani bila wawekezaji. China viwanda vingi vya wawekezaji wakubwa wako share na wachina. Mchina alichofanya ni kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, maji, umeme wa uhakika, miundo mbinu. Magu rais wetu alichokuwa anafanya ni kuweka mambo sawa. Baadae wawekezaji wangekuja wenyewe. Rais samia simamia bwawa la umeme liishe, tren za umeme zianze kazi, shirika letu la ndege lifanye kazi vizuri. Mama mambo yataenda. Upo vizuri rais hongera
@alikimera1583
@alikimera1583 3 жыл бұрын
Sent from heaven. Godsend.
@shafiibobalish8532
@shafiibobalish8532 3 жыл бұрын
Hata ukikamilisha documents zote huwaga wanatengeneza mazingira wenyewe wanakuambia signature hulipiwa, wakati huo muwekezaji analipa 1,000$ kwa work permit huku wanalipa 2,000$ mpaka 4,000$ for residence permit.
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 жыл бұрын
Lakini mama samia hata nchi za nje wawekezaji wakija nchi yako, lazima kuna asilimia fulani wananchi wapewe kazi, ndio inavyokuwa mama,,,anaekupa advice,asikudanganye
@aminahussein5418
@aminahussein5418 3 жыл бұрын
Sanaaaaaa
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 3 жыл бұрын
Mama kumbuku ikulu ni mahali patakatifu ,
@mbecheterombeche3375
@mbecheterombeche3375 3 жыл бұрын
Wizi unarudi taratibu....
@yonarajabu7413
@yonarajabu7413 3 жыл бұрын
kwakweli mma umonyesha matumaini makubwa sana kwa watanzania mungu akulinde
@samwelchacha7946
@samwelchacha7946 3 жыл бұрын
Fanya kazi mama mwenye misuli aliye kuwa akitishia wawekezaji kaondoka Mungu amekuleta urudishe Tanzania kwenye utu
@makamekhamis9048
@makamekhamis9048 3 жыл бұрын
Hongeramama samia
@kasimukulama6214
@kasimukulama6214 3 жыл бұрын
Yaan cjuw kama kitaeleweka ktk nchi hii, mwekezaji (mzungu) hawez kuleta mafanikio ktk nchi hii zaid ya kuja kunyonya tu,iv awamu zote hapo nyuma si waliwepo hao mnaowaita wawekezaj ktu gan kilifanyika,mbn jpm aliwatoa na amefanikiwa kwa kias kikubwa,acha janja janja,mbona mo dewj hajakmbia nchi na hzo kod zlwepo,au mo ni kgogo wa serkal,hao wengne ni wezi tu ndo maan wakimbie
@ashajuma227
@ashajuma227 3 жыл бұрын
Mama kama una undo alichofanya JPM,tupe kipaumbele sisi na wakat mwingne usofti wako huo unanipa mashaka
@ramadhanimunga5925
@ramadhanimunga5925 3 жыл бұрын
Safi sana mama,manji arudi kuwekeza
@salomemtwale5370
@salomemtwale5370 3 жыл бұрын
NTYAAA,,MBONA UWEKEZAJI,REST IN PEACE BABA MAGUFULI
@salumabdallah6680
@salumabdallah6680 3 жыл бұрын
Kutesa kwa zamu😁
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
Yaani we acha tuu..! Hata siku za maombolezo hazijaisha kaanza kusema hivo, am sure hiyo target ya 2trn haitafika na Huwenda hata aliokuwa anakusanya Baba 1.3trn ndo kwanza itashuka. Nina mashaka kwa sasa Nchi hii inaongozwa na Kikwetwe..!
@benomdaile7271
@benomdaile7271 3 жыл бұрын
@@chiefmahucha6847 haaaa haaaa haaaa misimoooo
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi 3 жыл бұрын
@@chiefmahucha6847 chief!!!
@babuumarshall2990
@babuumarshall2990 3 жыл бұрын
Penda sana mama yetu Samia suluu
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 3 жыл бұрын
Huyu mama alikuwa wapi siku zote hizo, Mungu akuweke hai mama yangu dah? Matumaini kwa mama mpaka 2030, aina haja ya uchaguzi.
@westonmbuba6421
@westonmbuba6421 3 жыл бұрын
Mmeanza kumchulia kama JPM. Acheni hizo.
@magaumasiaga3120
@magaumasiaga3120 3 жыл бұрын
Acheni hayo mambo hata mwezi ujaisha umeanza kama ya yuda 😭😭😭😭
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
Manji tena, mkasome tena uandishi, kwani manji alifukuzwa na nani? Sialikuwa teja huyu na akakaa rehab for weeks, alipopona akaambiwa afanye kuonyesha kampuni zake kumbe ni msanii tu anajifanya muwekezaji ilhali ni kivuli tu cha viongozi wa serikali wasio waadilifu.
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 3 жыл бұрын
Kweli wakasome tena uandishi. Alafu hawa ni wachonganishi sana Sometimes wanakera aisee
@charleslameck9380
@charleslameck9380 3 жыл бұрын
Nimependa sana hotuba hii yenye faraja na yenye kuleta matumaini makubwa myoyoni mwa watanzania wengi, chapa kazi mama yetu, raisi wangu mpenzi mama Samia Suluhu Hassan.
@abdallahmahmoud1033
@abdallahmahmoud1033 3 жыл бұрын
Pamoja kwa sana
@zainabhussain4114
@zainabhussain4114 3 жыл бұрын
Mmmh Tanzania kwisha mama unarud kulekule
@delphinuskanyawela3818
@delphinuskanyawela3818 3 жыл бұрын
Huwezi kumuelewa sababu anatumia nguvu kidogo na akili nyingi kufanya maamuzi tofauti na jinsi Mambo yalivyokuwa nyuma
@zainabhussain4114
@zainabhussain4114 3 жыл бұрын
Acha tuone kama hatujalia wote
@delphinuskanyawela3818
@delphinuskanyawela3818 3 жыл бұрын
Kuna kusoma na kuelimika hivyo Mama yetu ameelimika.Mimi binafsi kwa uzoefu wangu wa kuishi zaidi ya nchi tatu na jinsi rais wetu anavyochambua Masuala mbalimbali na jinsi anataka Mambo yaende tumempata the best president ever kwani naona ni mtu wa simple life but high understanding.Shida ya Watanzania wengi ni wanyonge na kwa upande wangu mjonge ni yule mtu ambaye hana uelewa anatumia nguvu nyingi kufanya maamuzi kuliko kutumia akili.Mama yetu ataishangaza dunia na kuifanya Tz kuendelea kueshimika Kama mkombozi wa Africa na nchi ya amani na yenye watu waliokuwa na sifa nzurinzuri nje ya Tz kama wapole,wenye upendo,wamoja,waaminfu tofauti na sasa
@reginaemanuel8994
@reginaemanuel8994 3 жыл бұрын
Daaa mama alikuwa na mengi moyoni ila alikuwa hana pakusemea Mungu akuinue
@mgedzirpm1541
@mgedzirpm1541 3 жыл бұрын
Kweli kabiisaaa, mama hakuwa na pakusemea
@fredilickifelishiani7512
@fredilickifelishiani7512 3 жыл бұрын
ni kwer mama
@fransavinhonacmela827
@fransavinhonacmela827 3 жыл бұрын
Hana lolote huyu. Mwanzo nilimuelewa lakini sasa naona anaanza kuleta Habari Uoga. Ananyenyekea wafanya Biashara
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 3 жыл бұрын
@@fransavinhonacmela827 nyamaza kaka,,,,ukionekana kutoa yako ya moyoni utaonekana msaliti,,,maana wengi kipindi hiki wapo katika kushangilia kilakitu!!"Rip magufuli.
@amoszima7781
@amoszima7781 3 жыл бұрын
Mabeho huyu mama anaturudisha nyuma chomoa betry
@alawiali3475
@alawiali3475 3 жыл бұрын
Hata wewe unaweza chomoa betri nenda kachomoe ulisikia serikali inaendeshwa kwa utashi wa mtu sheria na katiba ndio inaendesha nchi
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 жыл бұрын
Mungu anatupenda
@devidpanja115
@devidpanja115 3 жыл бұрын
Ujjnga ni ugonjwa mbaya sana.Mungu tusaidie.
@dolumwamuyenu2245
@dolumwamuyenu2245 3 жыл бұрын
Chapa kazi mama samia unaweza sana tupo pamoja na wewe
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
Hivi usawa huu bado kuna watu wajinga kam ww duhhh kweli nyie mzigo wa Taifa aiseee
@amonamiri4487
@amonamiri4487 3 жыл бұрын
We need egually right ...gawa majukumu halafu simamia
@latifabashiru5598
@latifabashiru5598 3 жыл бұрын
We tia pesa mfukon mwa watu alafu huduma za kijamii zipotee sijui utakuja na sera gan
@bamwangauhdsunlightvideos3917
@bamwangauhdsunlightvideos3917 3 жыл бұрын
Bimkubwa wetu Asipokuwa makini anaenda kufeli naona inakuja selikali ya ombaomba
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 3 жыл бұрын
Tunaomba Mungu aibariki Tanzania
@aminamkamba5406
@aminamkamba5406 3 жыл бұрын
Aamiyn
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 14 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 267 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 145 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 61 МЛН
TAZAMA OSCAR NYERERE ALIVYOMUACHA HOI RAIS SAMIA, AITWA KUTUNZWA
6:20
BREAKING: Serikali yachukua mashamba ya Yusuf Manji
1:58
Millard Ayo
Рет қаралды 32 М.
#breakingnews BILIONEA YUSUPH MANJI AFARIKI DUNIA NCHINI MAREKANI
1:22
Mwananchi Digital
Рет қаралды 12 М.
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 14 МЛН