TRC RELI TV ,Tuko pamoja.hii Mara yangu ya 10 na ushee kuangalia hii kitu
@hamadizuberi62954 жыл бұрын
Hilo jengo la pili vipi mkuu
@mosesngelej4 ай бұрын
Tulipigwa kwenye hii 3D😅😅
@jumabisale99746 жыл бұрын
Hapo safiiiiiiiii ewaaaaa, Tanzania mpyaaaaaaaaaaa kama umezipenda station🚏 gonga like
@ramadhanhaji81566 жыл бұрын
Juma Bisale 988]
@isayazenompete18756 жыл бұрын
Mungu atutangurie tutashinda
@nurukhama91366 жыл бұрын
Ramadhan Haji
@nurukhama91366 жыл бұрын
Juma Bisale
@shabanaman85566 жыл бұрын
Mie binafsi nawapongeza mainjinia Pamoja na mafund kwa ujumla kwa kazi nzur Allah awafanyie wepec wa kaz
@wisdom_wellness3656 жыл бұрын
Hongera! Hongera! Safi sana! kutoka Kenya
@athumanomary14386 жыл бұрын
Asante sana mwenyez MUNGU kwakuzidi kuripa mafanikio makubwa san taifa retu ewe mwenyez MUNGU tunazidu kukuomba enderea kumuongoza vyema raisi wetu na wakandarasi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu
@johnmlay47594 жыл бұрын
Awatangulie wafanye kazi bora na yaviwango vya juu kabisa amen
@shomarymussa69706 жыл бұрын
Wow tht is new Tanzania mh president hapa kazi tu don't look back
@ernesttuseko87806 жыл бұрын
TRC reli TV. Haya maneno na hizi picha na hayo maduka nadhani haituvutii sisi ambao tumetathminiwa nyumba zetu mwaka sasa. Tunashindwa kupanga maisha yetu. Sasa nendeni mkaoneshe na wakazi wa ukonga wanavyo hangaika. Sikilizeni na mioneshe kero za wananchi
@freddymello32276 жыл бұрын
Nilipopiga kura kumchagua J.P.M nilijua hatoniangusha!!! sasa nayaona matunda ya kura yangu.na kwa kazi hii nahifadhi kura nyingine 2020.wanaohesabu waihesabu kabisa. Viva J.P.M,Viva Tanzania!!
@anfanganfang79416 жыл бұрын
Safi sana
@freddymello32276 жыл бұрын
Anfang Anfang,yaani J.P.M ananipa raha sana kwa maendeleo anayotuletea. ingekuwa rahisi kuonana nae.ningempelekea kuku zawadi akachinje x mass watoto wale. raisi wa kipekee kabisa kuwahi kutokea Afrika.
@nurukhama91366 жыл бұрын
Freddy Mello
@helenmark79656 жыл бұрын
Jamani President Magufuli unastahiki sifa we are so proud of you keep it up
@madaiincubationcenter49475 жыл бұрын
hongera sana Mh Rais JPM najua sitapata Rais mwingine baada ya ww mwenye upeo kama ww ila najua pia kuna wenzetu wenye maono tofauti kutokana na upeo wao uliowafikisha hapa kukataa kila jema nazani ni bahati mbaya tu ila tunakupongeza sisi weengi tunapenda kazi yako usiogope kelele za chura we kunywa maji tu (chapa kazi)
@ibrahimkambi92886 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Hongera Mh.RAIS na serikali yako kwa ujumla ujenzi wa vituo umezingatia maeneo na muonekano wa asili wa mali asili zinazopatikana katika Nchi yetu. lkn ndugu zangu wa TZ uzuri na ubora wa Reli haupo ktk uzuri wa vituo bali ktk aina ya Reli yenyewe na uwezo wake ktk swala zima la ubora na Gharama za uendeshaji. HAPA KAZI TU!
@ramadhanhussein80364 жыл бұрын
Hongera magufur
@bezalelibaraka6 жыл бұрын
NAKUPENDA TANZANIA,MUNGU BABA LIPELEKE TAIFA JUU ZAIDI(MATHAYO 21:43)
@johnmlay47594 жыл бұрын
Amen
@neemajoshuaer95626 жыл бұрын
Saf kazi nzuri
@chainassnga18406 жыл бұрын
Magufuli anajitahid kwakwel
@freddymello32276 жыл бұрын
Neema Joshuaer,steshen ya Dar ndio baba yao!!nimeipendaje
@mawazoselemani6146 жыл бұрын
Neema Joshuaer ..sasa hongera kabla kitu hakijafanyika?
@esamsamla79636 жыл бұрын
Neema Joshuaer mambo Neema
@esamsamla79636 жыл бұрын
Mungu tuongoze tjfike salama
@majadotto95134 жыл бұрын
Ben nikisikia tu voice yako nafurahia kazi yako
@rogersswai36846 жыл бұрын
Wamezingatia muonekano wa kiasili na mazingira yetu. Cultural restoration in a modern technology!!!
@amoslukyaa57926 жыл бұрын
Majengo ya Station wangewapa Wichina, Wachina wana uwezo mkubwa for artistic impression - Waturuki hilo hawana hata ukienda kwao, majengo ya masteisheni hayana mvuto wowote, ujenzi wa reli wanejitahidi sana lakini sio majengo - sisemi haya kwa nia mbaya. Jaribu kuchunguza ujenzi was Station za reli na majengo ya viwanja vya ndege huko Uchina na sehemu nyingine Wachina walizo pewa tenda mfano Africa magharibi na Kenya, angalia Station za reli ya kisasa ya Kenya - muonekano wa Station zao unavutia sana sana.
@ernestsinje95326 жыл бұрын
treni station zinajengwa na wachina
@nasibumaiko20356 жыл бұрын
muonekano was tanzanite ungejengwa huko arusha dar wangejenga vya asili ya dar
@ernestsinje95326 жыл бұрын
hata mlima kilimanjaro simuko arusha kilimanjaro viko vitu vingi kuwakilisha tamaduni ya nchi yetu cha msingi wanajenga
@nasibumaiko20356 жыл бұрын
upon kilimanjaro
@abubakarharuna67122 жыл бұрын
Hilo jengo lefu mmetungopea
@King_1866 жыл бұрын
Hakika mpaka JPM atakapomaliza muda wake 2025,tutakuwa mbali sana
@danielmlanda97876 жыл бұрын
Mungu mwema nakupenda Tanzania yangu.
@miltonjohn97795 ай бұрын
Magufuli alingekuwepo hayo majengo yangejengwa yote, lkn kwa sasa limechakachuliwa hilo jengo refu halijajengwa. Hata hilo lingene ni ndogo sana halina hadhi ukilinganisha na stasheni yentewe ilivyo
@xmaramoja3624 жыл бұрын
Kweli shetani yupo et kuna watu wanadislike kwa habari njema namna hii.
@ibrahimgwasma2356 жыл бұрын
Great Tanzania
@rachelkibaya85375 жыл бұрын
HII NI SAFI SANA,MUNGU IBARIKI TANZANIA,WABARIKI NA VIONGOZI WAKE
@shomarymussa69706 жыл бұрын
Kazi nzuri inayofanya serikali ya hawamu ya tano pia naishauri kama ingetengeneza toll get kwa magari yanayo kwenda mikoani na kurudi mjini kila gari likilipa hata shilingi miambili kwa kila gari fedha izo zinaweza zikanunua atamadawa hospitalin
@mugerajakatarama21445 жыл бұрын
Hakuna kulala Rais wetu Mungu akubaliki 🙏🙏
@chainassnga18406 жыл бұрын
Tanzania mpya mbele ya Dr Jon Joseph pombe magufuli.
@yusuphwella96514 жыл бұрын
Mbona sahv tunaona jengo Mona tuu pale hilo lingine halipo ufafanuzi jmn naomba anaejua
@triplea34634 жыл бұрын
Wanaharakisha la abiria ili tren zifanye kazi hata pugu jengo la mizigo halijajengwa hadi sasa
@bazukamimi57216 жыл бұрын
Kazi nzuri
@adamkasasa60726 жыл бұрын
safi
@dominickraphael44146 жыл бұрын
That's scintillating structure ❤
@kingjoshuamhuamk25596 жыл бұрын
Watanzania pendeni effort za gvt yenu.kama mnataka kujenga reli kama yetu kenya mtahitaji big commitment in terms of pesa.reli ya kenya ni ya mizigo juu na chini yaani double stack kwahivyo kama pillars ,slippers na vyuma ni nyembamba hence requiring more money.kwahivyo vituo vyenu viko sawa.reli ya kenya ni tofauti na Ethiopia na yenu Tanzania in terms of purpose use,kwahivyo reli yenu itawasidia don't complain a lot like am seeing in the comments
@totidatutadu19186 жыл бұрын
Watanzania hawajui Zuri Leo watacomplain lkn mradi ukiisha utaona kila mtu anasifia na kuomba ungepita hata kijijini kwao. Mfano BRT project watu waliponda sana ulipoisha watu walimiminika kwenda kupanda na wakasifia sana
@kingjoshuamhuamk25596 жыл бұрын
Totida Tutadu ni ukweli Mimi ni mkenya reli ya Tanzania imejengwa na yapi ambao ndio wamejenga Dubai metro kwahivyo sioni haja ya kulalamika kwasababu they are very professional. Hakuna haja ya kucomplain na kujilinganisha na nchi zingine hii reli itasaidia sana Tanzania
@ipyanamwakosya96655 жыл бұрын
Ok
@franceboy55916 жыл бұрын
Safi magu
@zainabumakame67436 жыл бұрын
Maashallah
@AminaJuma-r4y7 ай бұрын
❤❤
@mwamengele6 жыл бұрын
Renders hazina detail boss, wamerashirashia mno
@geoffreychurchkayora12306 жыл бұрын
Mimi sihami dsm
@shaibuyahya7786 жыл бұрын
Uzinduzi November 2019, sidhani kama hilo jengo litakamilika kwa wakati
@stevenjohn36886 жыл бұрын
Nadhani mwakilishaji hana uzoefu wa kupresent, hakuandaa picha nzuri za kutuelezea pengine vituo ni vizuri zaidi. Pili sehemu kubwa ya mapato ya treni hii ni mizigo, hakutuonesha kabisa sehemu za mizigo amekazia sana kwenye abiria, tungependa kuona pia na mizigo. Tuzingatie maoni ya wananchi juu ya design views za vituo, mradi ni mkubwa tafadhali tusiukosee tukamwangusha Raisi wetu. Mliopewa dhamana ya usimamizi na ushauri tafadhali tumieni elimu na akili zenu vizuri, umizeni vichwa simamiemi kwa ukaribu na kwa uchunguzi, mjadiliane kila details za mradi na kukubaliana.
@ممسدِ5 жыл бұрын
Ah sema wewe kiazi nikisema mimi mhogo una mzizi ntarushiwa matusi kama mvua ya mawe. Presenter Mwanantale alitupa boom MAKUTUPORA mkoani SINGIDA. Hivi kweli ipo huko au ipo Dodoma ile? mhandisi nae train anaita NANILIIII au TLENI 😭🏃🏃🏃
@gwajimagwajima6 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 si kny michoro tu, njoo kny huduma, DART mfano
@aginiweyessayakyando98555 жыл бұрын
Mimi mniwekee ticket ya trip ya kwanza kbs. Nipeni bei na utaratibu nilipe kbs nisubirie safari tu.♿🚇🚈🚉🚊🚝🚞🚋
@isaackm36206 жыл бұрын
Hiv mnawezaje kutuaminisha hizi stesheni zitakamilika kabla ya November 2019 leo ni January 2019 mpo kwenye site clearance na leveling!!!!!Ni majengo gani hayo makubwa yanayojengwa ndani ya miezi 10.Msaada kwny tuta plz kama kuna civil engineers wanisaidie kitaalamu!!!!
@ممسدِ5 жыл бұрын
Chananja Mwandikila TLENI YA NANILIIII ndiyo nini? Ila huo mjengo hapo hands up. Whoever design it BIG UP. You've done remarkable job. Well done. But Mwandikila NANILIIII ndio nini?
@idrisashelimo3076 жыл бұрын
Bongo kama ulaya
@jasminissanga86425 жыл бұрын
Idrisa Shelimo ooo
@theeokorah83204 жыл бұрын
Tz ...
@tinyaanosiatha11186 жыл бұрын
Inapendeza sana
@davidchesco525 жыл бұрын
UTAKUMBUKWA SANA SANA MH RAIS PINDI UKITOKA MADARAKAN HATA HAO WANAOJIFANYA KUPINGA KILA ZURI I SWEAR TO GOD ENDELEA KUIBADILI NCHI YETU
@MrRush-ev6nr6 жыл бұрын
mamaeee itakuwa Hatari Tupu
@daudimpulumba67424 жыл бұрын
Magufuli aishi
@wasshaincmwanza43746 жыл бұрын
Wazo zuri vitavutia sana
@angelinaelishachisongela78595 жыл бұрын
Tuseme nini tena jamani
@alexlazaro99726 жыл бұрын
Sijawahi ona watu wanafiki kama watanzania.
@samsonkusupa68096 жыл бұрын
sasa hiyo treni iwe ya rangi hiyo
@emmanueljohn76 жыл бұрын
Halafu oooooh Membe, Membe hivi JPM wa kumlinganisha na membe jamani??? JPM ni JPM
@kaijagececilia56935 жыл бұрын
Izo ela zote za miradi kama hiyo mpaka ya nyuma wamekula sana kumbe inawezekana kweli majipu ametumbuliwa
@chilipoX26 жыл бұрын
Dah mpaka pa malizike tutakuwepogo kwel..?
@derickdanny96236 жыл бұрын
Tunaona Baba tunaona
@davidreuben87706 жыл бұрын
Safi sanaaa
@vincentmasanja7896 жыл бұрын
Nafikiri mawazo ya wimbo wa Bob Marley yanatimilika ndani ya Tanzania"...Zion Train is coming our way...."
@fikiripazi96306 жыл бұрын
Kwa mawazo yangu natamani kuona ktuo cha pugu kiwe kikubwa sana. Sabab kipo nje ya mji yaani msongamano mdogo na pili ndio sehem pekee dar unaweza pata sehem kubwa. Mfano kituo cha mabasi ubungo leo kinapelekwa mbezi
@Tiffany2-Jr6 жыл бұрын
Alafu zito kabwe nachama chake cha kazi Na bata atapata kura yake na membe tu tukutane 2020
@davidkaguru95116 жыл бұрын
haaahaaaaa wäbonğò ķwa kushangilia picha hawajambo
@johnbazil69076 жыл бұрын
tamania mengi sana usikosoe hata kimoja kwani havikuwepo,vipo sahivi tuombee mengi zaidi
@michaelsiweya65005 жыл бұрын
Katika watu ambao hawalitakii taifa lao mema ni watz.. Tena baadhi yao.. Hata ukifanya mazuri ya kushangaza kwao ni ugonjwa tu.. ILa zifanye nchi zingine utaona aaaa.. Tanzania haina uwezo wa kuwafikia.. Kuna mijamaa inaboa kweli
@tradelinkagencyafyakilimob20315 жыл бұрын
NATOA USHAURI KUWA KATIKA KIJIJI CHA KWALA KUNGEWEKWA KITUO CHA ABIRIA KWA SABABU PALE KUNA MRADI MWINGE MKUBWA WA BANDARI KAVU VIWANDA, ENEO HILO LIKUWA KWA KASI SANA NA IDADI YA WATU ITAONGEZEKA MARA BAADA YA MRADI WA BANDARI KAVU KUKAMILIKA
Sasa hizo tanzanite unajengea siunatafuta watu kubomoa
@triplea34634 жыл бұрын
Hivyo ni vioo tu ila vinajengwa kwa umbo la Tanzanite
@amanintabindi61016 жыл бұрын
Magufuli tunakupa miaka yote utubadilishie Tz iwe kama Ulaya
@ممسدِ5 жыл бұрын
Mologolo
@shabanpaulo86055 жыл бұрын
Duuu
@eddechriss26646 жыл бұрын
Architecture wa vituo vidogo ameharibu Kazi kwani vituo vinaonekana ni vidogo sn sina hakika kama aliconsider na ongezeko la watu kwa miaka ya baadae pia vituo vyenyewe sio vya kisasa, tafadhali structure engineers na architectures to design modern structure which will provide all facilities considering more than 100 years, please Tanzania Government this is our money we need to see the value for money, biggining railway line , buildings, and also Train in general
@freddymello32276 жыл бұрын
eddıe chriss 100% fact.abiria wanamizigo.has a wafanyabiashara sijui ndio itakuwaje.maana huko mikoani ndio kutakiwa na shehena za mazao zinazokuja Dar.jamaa kabugi sana huyo designer wa vituo vidogo.hicho cha Dar wamekuna upele wa wapenda maendeleo.
@machoyote39916 жыл бұрын
Kwani hivyo unavyovitaka ulishawahi kuviona wapi
@machoyote39916 жыл бұрын
Hamuishi lawama
@johnmlay47594 жыл бұрын
Hivi hata hatujavitumia tukajua efficiency yake ikoje so tuwe na subra vianze kazi ndo tutaona but siamini wataalam walichofanya ni makosa pia wamezingatia na budget iliyopangwa so mujue hilo, sisi tunakuwa kama watoto ambao wakati chakula kinapikwa tunaanza lawama ati mbona hiyo chakula ndogo Sana hata sintashiba afu baadae ikiiva na ukala unakuta hata haiishi unaanza kusema ati niliona ndogo kumbe ilikuwa nyingi
@hilaryouma6116 жыл бұрын
Good but avoid this business of advertising Tanzania all your times; some of these things Tanzania is constructing now were constructed by some countries ten years ago!
@paschazianestorymatunda64904 жыл бұрын
Hilary Ouma they are advertising it for our fellow Tanzanians to know what is going on with their money and not for other countries....
@georgephilip82206 жыл бұрын
Tunajenga kituo cha treni? Au kumbi za mikutano? Who the hell needs that? Mwisho wa siku tutakuwa na steshen ndogo ambayo ina matatizo kibao kama msongamano na exits mbovu sana kwa hilo I guarantee nawajua wabongo! Why invest hela ya steshen kwenye jengo la pembeni nje ya steshen? Am so disappointed! Ubunifu kidogo hapo nimekubali tunaweka historia yetu kwenye majengo bravo!
@King_1866 жыл бұрын
watakubali tuuu mpaka kufikia 2025,Tanzania km ulayaa
@nurukhama91366 жыл бұрын
Joe Mkombo
@josephsaghana10566 жыл бұрын
Ukubwa uzingatie pamoja na uimara
@manish-fp1fb5 жыл бұрын
November , 2019.... pumbavu.
@misschagga80426 жыл бұрын
Mie hata sijapenda kituo cha soga kipo kama Godown au vyumba vya madarasa tunazidiwa hata na kenya wameweka majengo makubwa mazuri na ikifika hiyo mika 100 hawahitaji kuongeza jengo.sie nafasi tunayo hatuitumii tunaweka vi chumba kama madasa.
@ernestsinje95326 жыл бұрын
gharama za treni station Kenya wangeimprove treni yao ingekuwa vizuri ukweli treni ya kenya sio haina tofauti na ya kwetu ambayo tunaleta mabehewa mapya na kuifanyia repea inayoendelea sasa hivi sisi treni yetu itakuwa ya kisasa soga idadi ya watu ni wachache ukatengeneze treni station kama uwanja wa taifa kwa nini hiyo hela usiongezee speed ya ujenzi mpaka mwanza?
@ernestsinje95326 жыл бұрын
DAR,MORO,DODOMA,SHINYANGA,KIGOMA,MWANZA,TABORA,SINGIDA,MARA,,MOROGORO ,DODMA kutakuwa na matreni station kama yale ulioona kenya lakini vituo vidogo vitakuwa na treni station za wastani kutokana na idadi ya watu .upo hapo?
@mathiasbuyobe35126 жыл бұрын
Tunaangalia mahitaji ya Nchi kwa malengo mliojiwekea swala la kuzidiwa hata wewe majirani zako huwazidi wote maisha mazuri.
@kingjoshuamhuamk25596 жыл бұрын
Ernest sinje am Kenyan our trains are diesel electric trains and they are new not old ni uongo was media.train ya kenya ni heavy duty type for double stacking purpose kwa hivyo ni tofauti na Ethiopia na Tanzania.kwa mfano pillar za kenya ni nyembamba ,slippers kwenye reli ni pia nyembamba na chuma ni kubwa pia.specifically train yetu ni ya kubeba mizigo juu na chini kama bsnf america
@ernestsinje95326 жыл бұрын
mimi naona kenya imechukuwa hatua kujenga Reli ya kisasa kwa sababu nchi yingi hazina hata Tanzania bado iko kwenye ujenzi hata nigeria hawana kwahiyo Bigup kenya you should be proud of it.
@ممسدِ5 жыл бұрын
"Zikatakazokuwa ambazo zimeanza kujengwa"...struggling with Swahili language aren't you?
@sumatanjunior2316 жыл бұрын
seat mall :D
@athumaniaolo20646 жыл бұрын
xema wanazngua, asili inafany visivutie ivyo vtuo vyao
@michaelndilima62106 жыл бұрын
Binadamu yeyote usiye jua. Kushukuru ujue ana walakini atu kwenye vitabu vya Dino inasisitizwa kushuru
@sumatanjunior2316 жыл бұрын
@@michaelndilima6210 acha kuvamia vamia comment. Sasa mada ya shukurani imetoka wapi. Mimi nime-note tu mwandishi amejing'ata akasema seat mall, badala ya city mall. Uko emotional kama totoz bana.
@davidkaguru95116 жыл бұрын
hata mwendo kasi mlipamba hivyo hivyo.wekeza kwa watu kwanza kabla ya kuwekeza kwa vitu