😭😭Daaah, alhamdulillah,Mungu awazidishie kheri Ulamaa wa umat Muhammad(S.A.W)
@abdulhida8291 Жыл бұрын
Masha Allah, Jazzaka Allah kheri. Mola awazidishie hekma, elimu na afya tuendelee kunufaika inshaallah.
@swabirattwas6796 Жыл бұрын
MASHA ALLAH❤💯🥰
@Aminamuhamed Жыл бұрын
Hakika maneno ya juma faki ndiyo tuyafanyiye kazi inshaallah tujitahidi tusiwekeane vinyongo inshaallah Yaa rabiy
@issajuma3346 Жыл бұрын
subhn llh ,,,allh atujaalie kuwapenda swalihiiiin
@Aminamuhamed Жыл бұрын
Maashaallah maashaallah maashaallah
@rashidikanyama7227 Жыл бұрын
Mashallah mahabbah
@jimjam4148 Жыл бұрын
MASHA ALLAH
@jumafaki1697 Жыл бұрын
Kuwa mwema,usichoke kufanya wema hata kwa wanaokufanyia ubaya wema wako Daima utakumbukwa na hutosahaulika
@AbuwNibras9267 ай бұрын
Masufy ni waongoo sana Allahul Mustaan
@ahmadsaid48055 ай бұрын
Watu wa drama kulia ili wazidi kupptosha watu
@hazirasaid9591 Жыл бұрын
Allah akbar
@munirusiraji4823 Жыл бұрын
🥺🥺
@bilaalmuhammad9499 Жыл бұрын
Mashallah
@abdurahimamanye5300 Жыл бұрын
Masha Allah
@adamuchenchere7557 Жыл бұрын
Mashaalah
@ahmedashfa7318 Жыл бұрын
Alhadulillahi kwa kupata faida kubwa ktk hadhara.
@abubakarymaulidy56815 ай бұрын
Nyie mawahabi kama unamjua shkhe huyu ni wa bid gha kwanni uje kumtazama acheni unafiki nyini ni makopo tu elimu hamna kabsa mnajua makelel tu na kujifnya mnaijua haki ache usenge
@nurdinjumaa7825 Жыл бұрын
😭😭😭
@abdulazizislam1261 Жыл бұрын
😃😃🤑😅🤑😅🤑😅🤑😅🤑😅
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Dini ina safari ndefu kutoboa hii kwa hali hii
@mohamedhamismagoraonlinetv459 Жыл бұрын
Sababu???
@issakawaya8315 Жыл бұрын
Allahamdulialah
@issasuleiman8309 Жыл бұрын
Una matatizo
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Dini Aitobolewi. Wewe Endelea Kuitoboa Dini.
@mohamedmlanga8457 Жыл бұрын
Subhannallha
@abdulrahmansalim1990 Жыл бұрын
Maulid ni BID'A ....wachaneni na uzushi fuateni Sunnah za mtume.
@abubakariyahaya99 Жыл бұрын
Kwani Nini maana ya bidaa kaka yangu naomba nisaidie
@myid9554 Жыл бұрын
Swadaqta .elimu ni nuru ya ngara popote ulipo .tosomeni na Mola atuafikie na atuongoze kwa kutujalia taqwa. amiin
@adelinibrahim9283 Жыл бұрын
wahabi hutosimamisha maulid hata siku moya.kasome wahabi wewe
@@abubakariyahaya99 bidaa Iko na maana ya kilugha na sharia Hawa makhurafi kazi yao ni kuchanganya watu.bidaa iliyokuja kisheria ni Kila kilichozuka katika dini ambacho hakuna kizuizi Cha kufanyika wakati wamtume.kukifanya hicho kitu ni BID'A