No video

SHUHUDIA ALICHOKIFANYA MAKAMO WA PILIWA RAIS KIJIJINI KWAO

  Рет қаралды 24,690

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Kutoka AL FATAH TV ONLINE
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​
#ZANZIBAR​

Пікірлер: 40
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 3 жыл бұрын
Nakumiss kiwsni kwetu mashallah watu wana heshma kwelikweli mashallah mashallah nimeipenda
@othmanalnabhany3208
@othmanalnabhany3208 3 жыл бұрын
Karibuni sana kiwani Miss u sweet home
@salehsuleimanmbaruk2645
@salehsuleimanmbaruk2645 3 жыл бұрын
Imani kweli Ni mashehe wetu wasidhalilike ewe Allah tunaomba hukmu ya hili
@IBRAHIMALI-isal
@IBRAHIMALI-isal 3 жыл бұрын
Napenda waislamu kwanza na kuanza kumshukuru mwenye enzi Mungu,then kuendelea kumshukuru binaadam
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 жыл бұрын
Mashallah Allah
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Mashallah allah akuhifadhi na akulipe ujira mkubwa kwakuwafutarisha waumini awlipe nyote mlioshirikiana Na ushauri wangu kuwa uwakusanye na masheha wakupe orodha ya watu mafakiri ili muwakumbuke allah akuwezesheni wapitieni nyumba kwa nyumba inshaallah majumbani mnasuri nyingi sana
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 3 жыл бұрын
Nimekumiss sana nyumba😭 pemba yangu nakupenda sana
@allahinbendesi3464
@allahinbendesi3464 3 жыл бұрын
MawaALLAH
@fatumaabdhul8620
@fatumaabdhul8620 3 жыл бұрын
MASHALLAH
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 жыл бұрын
Sasa kodi msikitini basi ila samahan ungewaita njee
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 3 жыл бұрын
Mashallah, unakwenda kijijini kwenu kuftari ukimaliza ✈️ jetty inakusubiri kukurejesha kwako.😃😃
@issaidrisamusa8437
@issaidrisamusa8437 3 жыл бұрын
Unapokua msikitini ongea maneno ya kiimani , hata hiyo Kodi Kwa mwenye Iman hawezi kupinga
@abdallahsalum7301
@abdallahsalum7301 3 жыл бұрын
Wapemba mbwana mnafurahisha Sana sipti jibu jamazangu
@dotahamad6640
@dotahamad6640 3 жыл бұрын
Yaan msikitin uhutubia kod baada ya mawaidha ya kumcha Allah
@fahadhassan7390
@fahadhassan7390 2 жыл бұрын
huyu jamaa vp sisa unapeleka msikitin why heeee jamn mnakwenda mbali
@fatmanassormohd8071
@fatmanassormohd8071 3 жыл бұрын
Kwann usingelisoma jpo alhamdu ukatoka
@yassirmohd3069
@yassirmohd3069 3 жыл бұрын
Naona jamaa analeta siasa katika nyumba za mungu dah! Dunia imeisha
@ustzsele66
@ustzsele66 3 жыл бұрын
Utaratibu huu wa kuftrisha sio nzr Bora kila 1 ampe bahasha halaf matelevishein ya Nini
@nuumanrk4814
@nuumanrk4814 3 жыл бұрын
Njiya ya mkowani vipi......Njiya ya wete kongwe vipi tunataka maendeleo pemba.....nasiyo mengineo
@osmanha6915
@osmanha6915 3 жыл бұрын
Ili porojoo la kodi lintokea wapi?
@phunter4115
@phunter4115 3 жыл бұрын
Hivi jamani huyu mtangazaji amesomea hii kazi au ni basi tu? Naona anapresent bila ya preparation yeyote, anasema tu kinachomjia akilini kwa saa ile, matokeo yake anarudia rudia sana maneni "wapenzi watazamaji" na pia anatumia neno lakini pasipo hitajika inayopelekea maneno yake kushindwa kufahamika kisawa sawa
@mohdmbarouk8465
@mohdmbarouk8465 3 жыл бұрын
Maendeleo ktk kisiwa chetu 😢😢😢😢
@ustzsele66
@ustzsele66 3 жыл бұрын
Bora mtu mpe akapike nyumbani kwake cio vzr utrtbu huo
@abdullabilal2102
@abdullabilal2102 3 жыл бұрын
mimi niulize tu kwani kodi katika dini ya kiislam haifai? maana kama wengine wanaweka mipaka wapi inafaa kuzungumziwa na wapi haifai .
@jumayahya2661
@jumayahya2661 3 жыл бұрын
Abdulla bilali katika uislam hukusanywa zaka nasio kodi.
@rajabomar4505
@rajabomar4505 3 жыл бұрын
Inafaa Kodi kwenye uislamu
@salamakhamis8092
@salamakhamis8092 3 жыл бұрын
Mhhhh
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 3 жыл бұрын
Sasa hayo ndio maneno ya kuyaongea msikitini akaa subiri mkiwa sehemu husika hapo sipo mahala pake haswa ramadhani hii
@seifsuleiman5151
@seifsuleiman5151 3 жыл бұрын
Ndio kuchanganyikiwa! Huko
@ulfatsalamy1139
@ulfatsalamy1139 3 жыл бұрын
Tusiwe waja wakuongea tu huo ulikua kma ukubusho
@salehsuleimanmbaruk2645
@salehsuleimanmbaruk2645 3 жыл бұрын
Who is uamsho ?
@novakauki5560
@novakauki5560 3 жыл бұрын
Kwan shekha ye anasemaje kuusu kuongea siasa msikitin
@rayaali7551
@rayaali7551 3 жыл бұрын
Daaah subhanna allaah yaani siasa ime take over mahubiri ya dini sasa wewe ume amuwa kufutarisha na kufanya ibada na waumini sasa badala ya kutowa khutba kuhusu ibada na mwezi mtukufu wa ramadhaan unakwenda kusimama msikitini unaongea about kulipa codi hukuwa na hataa kusoma hataa aya moja wala maombi uliyo yaongea tofauti na sio pahala oake sasa jabla ya kufutarisha unawatia watu majiti ya roho kwanza daah ililmuradi hujielewi unacho kifanya unachanganya changanya tuu hayo uliyoyaongea sio muda wakee walaa pahala pakee DAAH MTIKHAANI KWELI UFALME WA ALLAAH KUUONA KUNA KAZI KWELIII POLE SANA
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 жыл бұрын
NANI ALIYEMCHAGUWA KUWA MAKAMO?
@mustafaosman1838
@mustafaosman1838 3 жыл бұрын
Mskitini mwaongei mambo ya codi
@shafiqmohd1491
@shafiqmohd1491 3 жыл бұрын
Mh humo ulimo ni msikitini tumia ulimi wako mda mkubwa kumtaja allah hiyo ndio tija kubwa kwako na ndio mafanikio makubwa sna sna mh mm napnda sna ili usije kupata mtihani kesho ukiacha uluwa
@mrjagenmuuz5704
@mrjagenmuuz5704 3 жыл бұрын
Kodı zenyewe hazıkubalıkı kısherıa ua dını ya kıslamu
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 3 жыл бұрын
Sasa hio ndio hutuba ya msikitin naona sasa mnakofikia nimbali.
SIMANZI NA MAJOZNI KHUTBA YA BABU DUNI
15:30
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 9 М.
VIDEO VIXEN wa MBAGALA Asimulia HISTORIA Hii ya DIAMOND na SHETTA
1:58
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 33 МЛН
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 42 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 45 МЛН
UTAMU WA HALUWA KUTOKA ZANZIBAR - JIFUNZE JINSI YA KUIANDAA
6:58
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 14 М.
DUUH…! MTIHANI, MAMA AZALIA CHOONI ZANZIBAR.
7:49
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
BabaJoan
Рет қаралды 43 М.
MKOJANI MWENYE WATOTO 27 ALALAMIKIA WATOTO WAKE ..  KOJANI PEMBA,
20:19
DAKTARI MTANGAZAJI
Рет қаралды 52 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 17 М.
RELI NA MATUKIO | NDANI YA ZANZIBAR ILIKOZALIWA RELI YA TZ
26:28
Wazanzibar wakisoma Quran
2:39
ARABICSERVICE
Рет қаралды 9 М.
MAMA PEMBA AMWAGA MACHOZI KWA RAIS SAMIA NA RAIS MWINYI
6:28
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН