I really. Admire you Pastor Umebarikiwa mnooo Unatusaidia sanaaaa
@noelinasaru14968 ай бұрын
Nilidhani ananipenda kumbe ilikuwa ni mapenzi tuu baada ya muda mfupi tukaachana .mtumishi Sasa nimeelewa asante sana be blessed.from Saudia
@Pili-m8r22 күн бұрын
Shukuruni Sana nime ji funza upendo na mapenzi
@AgnessDavid-y5e5 күн бұрын
Nashukuru nimeelewa pastor
@Oman-ue5el19 күн бұрын
Asante sana unafundisha vizur sana .nipo oman jazila
@Oman-ue5el19 күн бұрын
Shukran sana nimejifunza mengi sana.from oman
@judymwangi63707 ай бұрын
Kwa mafundisho haya,🙌 basi asante sana mume wangu kwa kunionyesha upendo, kuhusu mapenz, nitapunguza haya matarajio, eeh Mungu tupe afya njema kama familia🤲...baba Emma📢📢📢📢📢🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ out with my head down
@filomwageni433311 күн бұрын
❤ thank you kwa somo pastor🎉
@jennytugara94708 ай бұрын
Hata mimi umenifurahisha sana Mr Sukambi umewatoa Watu wengi upofu. Wadada wengi kwa kweli they cant tell the difference katika Upendo na Mapenzi ndio maana ndoa zinachechemea. Kumbe expectations zao zinakuwa off🙏🏾
@DeoSukambi8 ай бұрын
Barikiwa sana ndugu
@mhamadaldo73388 ай бұрын
@@DeoSukambishukurani sana
@OmanOman-c9d8 ай бұрын
Nimekuelewa pastor ila kuna mwanaume anaupendo sana na mm ila tumeachana wazazi wamemtafutia mwanamke mwingine ila nahisi ana upendo sana bado na mm na bado nina upendo na mm je inawezekana aliyemuoa anamuonyesha upendo au ndo mapenzi tu
@DeoSukambi8 ай бұрын
@@OmanOman-c9d sasa kama upendo wake kwako haukutosha yeye kusimama upande wako ina maana gani? Wazazi wanamuamulia mke wa kuoa? Sifikiri kama huyo anajua maana ya kuwa mume
@jennytugara94708 ай бұрын
@@OmanOman-c9d kama ana kupenda ni jambo jema hata bible inasema pendaneni. Ila swala la mapenzi ni hisia na hisia huwa zinaisha ila upendo ndio kinacho dumu. Kama Mke alietafutiwa anampenda basi ndoa itadumu ila kama ni Mapenzi tu hisia huwa zina expire.
@fatumamesso25738 ай бұрын
Upendo ninmaana kuliko mapenzi. Asante pastor
@InviolataLuena-f2j6 ай бұрын
Kuhusu Uvamizi wa Mizimu ktk mahusiano Kupitia mila potofu unaonaje? Kuna kiburi kumbe si MTU anafanya. Mie Heri Halisi Niko Songea Kanisa Halisi. Hongera kwa kujitoa
@DeoSukambi6 ай бұрын
Uvamizi wa roho chafu upo lakini kabla hujafikia huko ni vema kutathmini vyanzo vingine vya tabia hizo
@MwinyiAli-k9x29 күн бұрын
Uko sawa bro
@LucyEzekiel-gm2jr8 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, Yesu aendelee kukupatia mafunuo ili uwasaidie watu wa Mungu kwa sababu hiki kizazi kinahitaji mafundisho sana.
@loycep77858 ай бұрын
Mimi Loyce niko Marekani nabarikiwa na mafundisho haya na nimejifunza kitu Barikiwa sana mchungaji
@DeoSukambi8 ай бұрын
Amen Loyce
@ClailleICIDUHAYE-xh3ll4 ай бұрын
Kweliiii unafundisha vizuli,nakupenda ten napend gisi unafundisha ❤from burundiii
@frolaibrahim12578 ай бұрын
Uko vizuri Pastor Uko sawa kabisa. Hongera kwa Kipawa hicho.
@DeoSukambi8 ай бұрын
Asante..utukufu kwa Mungu
@maryamChumas8 ай бұрын
Asante baba nimejifunza japo sina mtu ila naogopaaa maaana hiyo engo inahitaji msaada wa mungu inshaallah khery ya allah anipe kilicho bora kwangu nami niwe bora kwakeee amin ❤❤❤❤❤shukran sana
@DeoSukambi8 ай бұрын
Mungu atakujalia aliye bora na kufaa. Endelea kujifunza
@maryamChumas8 ай бұрын
@@DeoSukambi amin
@esthermliga48758 ай бұрын
Asante sana Pastor Kwa Somo zuri, tangu nimeanza kufuatilia vipind vyako Kuna kitu napokea siku Hadi siku ambavyo ni msaada San ktk familia yangu!!! Mungu akubariki sana
@DeoSukambi8 ай бұрын
Ameeeen
@hammerymachogu38855 ай бұрын
Bravo pastor somo zuri sana nimejufunza kitu ,barikiwa sana mtu wa Mungu
@WemaJohn-r1e7 ай бұрын
Mungu akubariki sana tena azidi kukujaliza hayo madili nimechukua nondo hizo da! Hakika umenitoa upofu god bless you pastor
@SimpleNdagije4 ай бұрын
Nimefurahi sana kwa somo Asante sana ubarikiwe sana ❤❤❤
@ipyanaangetile387 ай бұрын
Uko vizuri mtumishi .niko Arusha tunakupata
@MarcelBlessing-ef7rz8 ай бұрын
Papa ubarikiwe unanifadha kujuwa mapenzi na upendo ✊
@DeoSukambi8 ай бұрын
Amen..barikiwa sana
@AbubakariAmani-g9j25 күн бұрын
@@DeoSukambipasta ninachangamoto kubwa katika maisha yangu kuhusu mahusiano sina wakunishauri wala kunifariji naisi kwako nitapata kitu sjui nakupata vipi kimawasiliano
@davielubuyih-yh7sx7 ай бұрын
Ahsante kwa nondo za uhakika unatutoa tongotongo kwakweli
@DeoSukambi7 ай бұрын
Asante sana
@JoyceKileo-c3e10 сағат бұрын
Unakuta mtu anakuchunguza unaishi wapi mara nakukubali Sana ina Manisha nini
@work24onme8 ай бұрын
Holy Spirit Amen 🙏🏼 Asante sana mwalimu Joel, God Bless you, Amen 🙏🏼
@rozaliaWilson26 күн бұрын
Mm hana mixemixe nyingi ❤
@salambajosephine32114 ай бұрын
Nikweli unacho kiongeaa ubarikiwe
@inkflygraphix8 ай бұрын
Mungu akubadiriki sana Pastor
@RukiaMdide5 ай бұрын
Asante sana yupo mwanaume anaupendo na mimi lakini mimi nipo mbali nipo Oman ameniambia atanivumilia mpaka nitakapo rudi ila anasema ananipenda
@manmanonline63943 ай бұрын
asante sana bro Mungu akubariki,hakika umenipa ujasiri wa kujua na kutoka ktk madhila
@beera.g53027 ай бұрын
Asante sn pastor 🥺, very educative ✍🏼🙏🏼😊❤
@sifaoksbagirishyasie24106 ай бұрын
ASante kwa Ujumbe huu mzuri Jamani😊🌻, nimejifunza Mengi saana. Lazma kurudi kwenye asilia, kama mababu zangu.
@HalimaHalimaomaryАй бұрын
Hap kwenye SIM shukran
@matildakaria15328 ай бұрын
Mwenzangu tulipendana tuna mwaka wa 14 hatujafunga ndoa ila tuna mpango lkn tutafanya biashara pamoja na tuko vizuri hakuna shida tunashirikiana kwa mambo mengi na ananishauri mambo mazuri hata yanayohusu familia yangu.napia tunafanya miradi kwa ajili ya maisha yetu ya baadaye.
@DeoSukambi8 ай бұрын
Mungu awafanikishe kwenye nia yenu hiyo ya kufunga ndoa
@matildakaria15328 ай бұрын
@@DeoSukambi Amina pastor nafaidika sana na mafundisho Yako na tayari Nina majibu ya maswali niliypkuwa najiuliza kwa kukusikuliza Kila wakati Mungu akubariki sana.
@NuratyAlly-lq7xc8 ай бұрын
Dada umeona jibu la deo jitafakari
@NuratyAlly-lq7xc8 ай бұрын
Kutengeneza mali pamoja bila ndoa ni riziki san
@joycebosire34347 ай бұрын
Subiri kukimbiwa tu na huyo mwanaume. Nafikiria huwajui wanaume wewe ataenda tafuta mwanamke mwingine wa kuowa na atakula hizo Mali be careful 😅
@judithnjunwa66688 ай бұрын
Bora upendwe kuliko mapenzi
@MamaNabii7 ай бұрын
Asante Sana pastor kwa mafunzo
@VivianAudax-f1l8 ай бұрын
Hasante mchungaji umenisaidia namimi mungu akubariki
Asanteee mi wangu yuko bize lakin ananijali pale ninapo kua n uhitaji na hua ananiuliza kuusu changamoto zangu maan yupo mbali na mimi
@williardfesto51622 ай бұрын
Ubarikiwe sana doctor
@mavelyenlaurent81038 ай бұрын
Asantee sana Kuna sehemu umenipeleka
@DeoSukambi8 ай бұрын
Barikiwa
@Gladysalbinus7 ай бұрын
Asante sana barikiwa sana nimejifunza sana adi nimejikuta nina subscribe.
@DeoSukambi7 ай бұрын
Karibu sana
@claricemapenzi75815 ай бұрын
Hakika umenifunza kitu asante sana
@politenessjasper41008 ай бұрын
Asante sanaa,nimekuelewaa
@DeniseKarafuli-fn2qb6 ай бұрын
Asante kwa mashauri kuhusu ukimia wamwanaume
@enerstmusa53988 ай бұрын
nakukubari sana kaka naomba kitabu chako cha usilolijua kuhusu mwanaume
@DeoSukambi8 ай бұрын
Asante sana kaka..piga namba 0786903727 kukipata
@rithatekakwitha6668 ай бұрын
Asante sana mafundisho ya maana
@judithnjunwa66688 ай бұрын
Mwenye upendo wa dhati duniani ni mama tu🎉
@josephlubaba8 ай бұрын
sio mama wote tu
@SaraEmmanuel-f9d7 ай бұрын
Mm ni mgonjwa aiseee pastor hapo mwsho umeongea nimimi kabsa lakin mwanaume nilienae hawezi kabisa....pia if possible naruhusiwa kukupigia cm kwa namb hzo nikuelezee kitu kidogo tafadhal
@DeoSukambi7 ай бұрын
Sawa unaweza kupiga japo ni vizuri ukanitext whatsap ili tupange appointment
@DorothyNambeye8 ай бұрын
Nimekupata nipo Zambia umenitoa upofu mkubwa Mungu akuongezee maarifa
@DeoSukambi8 ай бұрын
Asante sana kutoka Zambia
@fatmakombo97938 ай бұрын
Asante kaka nimejifunza mengi sana 🎉
@DeoSukambi8 ай бұрын
Barikiwa
@rithatekakwitha6668 ай бұрын
Asante sana
@godwineliya54348 ай бұрын
Daah masomo mengine yalipaswa kufundishwa miaka kadhaa nyuma but somo nzuriiii nimejipatia kipande changu barikiwa Pastor Deo
@DeoSukambi8 ай бұрын
Amen amen ndugu
@work24onme8 ай бұрын
Holy Spirit Amen 🙏🏼
@sarah-hy7gz8 ай бұрын
Nipo ugaibun huku gulfu ndy kufa Tulia sana deo
@HyleneGesare8 ай бұрын
Amen mungu àkubariki
@jamilamanariyojamila14878 ай бұрын
Asante kumbe Wengiwetu tulikuwatunadanganyika na mapenzi🤭🙏🙏
@DeoSukambi8 ай бұрын
Yeah wengi wanalaghaiwa na mapenzi
@JohnVincent-fc3vp6 ай бұрын
John vicent ,Toka singida mada nzuri
@angeldeusdedith29186 ай бұрын
Ashsante Mr sukambi
@TasusiSalum8 ай бұрын
Asante sana ,Mungu akubariki
@DeoSukambi8 ай бұрын
Amen
@PatrickMusyoka1233 ай бұрын
Safi mwalimu
@SubiraSanga7 ай бұрын
kwahiy m mme wangu sipaswi kumnunulia hata yebo za kuogea
@DeoSukambi7 ай бұрын
Mnunulie haina shida kabisa
@KhadijaMayangeАй бұрын
Nakupata. Mkubwa
@josephwawuda32048 ай бұрын
Josphine nakupata vizuri kutoka Jordan 🇯🇴
@DeoSukambi8 ай бұрын
Asante sana kutoka Jordan
@SarahTsuma-g3r8 ай бұрын
Very true
@menshitunze5 ай бұрын
Pastor your👍good,bravo,🙏🙏
@HalimaHalimaomaryАй бұрын
Je utajuaje kama anakupenda
@judithnjunwa66688 ай бұрын
Nimekuelewa
@fatumakale70045 ай бұрын
Shukrn kakngu
@rithatekakwitha6668 ай бұрын
Kweli nimejifunza
@rozaliakimwaga46488 ай бұрын
Hakika umenifundisha vingi mtumishi
@DeoSukambi8 ай бұрын
Asante sana kwa mrejesho
@DoreenMwende-te7zd4 ай бұрын
Big up🎉🎉🎉
@johnathumani68918 ай бұрын
John kuyoka US nakupata vizuri
@DeoSukambi8 ай бұрын
Asante sana kutoka ISA
@aateriadaniel11357 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@jenipherkavusha16618 ай бұрын
❤❤❤
@SahimSahil3 ай бұрын
Nakupata viziri npo uturuki kaka salma hapa
@LeticiaShoka-me2wq8 ай бұрын
Asante mtumishi uko vzr sanaaa
@DeoSukambi8 ай бұрын
Amen amen
@luselose99448 ай бұрын
Nakufuatilia kutoka Saudi
@DeoSukambi8 ай бұрын
Asante sana kutoka Saudi
@PriscaWiliam-vh5tl4 ай бұрын
Pastor ndoa yangu ipo ICU umenigusa sana nahitaji kukuona
@rozaliaWilson26 күн бұрын
Mm hana mixemixe nyingi
@josephwawuda32048 ай бұрын
Asate sana kwa mafundisho nyako hakii nimejifuza mengi sana kupitia haya mafundisho GOD BLESS YOU 🙌
@DeoSukambi8 ай бұрын
Amen amen ndugu
@perpetuaganyara20488 ай бұрын
Somo hili liimenigusà mno, limenihusu, naitaji kufànya appointment nipone nafssi
@DeoSukambi8 ай бұрын
Karibu sana
@SarahTsuma-g3r8 ай бұрын
Nafatilia nkiwa saud arabia am a kenyan
@SalamaAliy-lf6vl5 ай бұрын
Naomba Jina la icho kitabu cha kumsoma mwanaume sijafahamu jina
@LilianMbangwa4 ай бұрын
Usichojua kuhusu mwanaume ndo kinaitwa hivyo
@rozaliaWilson26 күн бұрын
Mm nina mahusiano ya mtu ambae mambo hayo ya kuonyeaha mapnzi hana mixemixe za kisasa. Kukupa pesa wala kukusaidia kitu lkn huwa anaonba msamaha na kunifundxa baadhi ya vitu ila bado hatujaoana
@frolaibrahim12578 ай бұрын
Pasta kiukweli nakuelewa sn. Ila tunavunjika sn Kuwapenda wasio tupenda.
@DeoSukambi8 ай бұрын
Naelewa..Neema ya Kristo isiwapungukie
@judithnjunwa66688 ай бұрын
Kama Yesu KRISTO alivyonipenda,,,,,
@universalgospelministriesh87518 ай бұрын
niko kenya
@DeoSukambi8 ай бұрын
Asante sana salamu zangu kenya
@LupiPrisca6 ай бұрын
Nashuruku kwa somo zuri na vipi kuhusu mtu ambae hatoi huduma yyt na anajiangalia yy na hufanya vitu kiubinafsi hapo nko kwenye upendo au nko miaka 4 Sasa naishi nae
@DeoSukambi6 ай бұрын
Kuna shida mahali..upendo unaendana na kutoa sio kupokea..kama mtu hatoi basi kuna uwalakini kwenye huo upendo wake unless iwe hana uwezo kabisa
@PauloMatone5 ай бұрын
Jamani mimi ninae mpenzi nampnda xana lakini kw xax ameow mke mwngine jamani kila nikfkilia naumia xana
@MwajeyMussa6 ай бұрын
Ndio
@judithnjunwa66688 ай бұрын
Jamani kihelehele kibaya
@happnesskitumbo57138 ай бұрын
Kibaya Sana, ndicho kinachpwafanya watu wengi waumizwe kwenye mahusiano.
@EstherGoodwell-jb5wq7 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Bwana umenitowa upofu kweli yote uliyangumza kama umeniona Mimi jinsi navolalamika Mme wangu asiponigiya SIM naona kama hanipendi nimejifunza mengi sana alafu nimeamini Kweli mapenzi hayalazimichiki
@lightnessmamuya38933 ай бұрын
❤❤❤
@KabulimboElie6 ай бұрын
Jambo habari za huko Tanzanian, mimi naishi marekani ,sasa natakujuwa jinsi ya kuondoa hayo majeraa (wakati moyo umesha kauka kwa kutokana nayale uliyo yapitia)
@DeoSukambi5 ай бұрын
Inabidi upate therapy ya kukusaidia..wasiliana whatsap 0746104034 kubook session