Sikiliza Vimbwanga vya Al Marhum | Mzee Nassor Moyo, Kuhusu Kero za Muungano
Пікірлер: 8
@feisalkhamis94453 ай бұрын
mungu amlaze mahala pema mzee moyo.that is fact
@abdulrahmanrajab43693 ай бұрын
ahsante ahsant mung mrehem na umfutie dhamb zak amn amn wakat hawaja kuskilza ww mzee wao ama mzee wa chama bas wajuw hatu utakiiiiiih wend kwao tubakie kwetu
@salyali78073 ай бұрын
Very good
@King_Of_Everything3 ай бұрын
👊✌️👍.
@harithmohd63183 ай бұрын
Wanzanzibar tumepatwa na nn sisi tuipaganie nch yetu jamn tuachen uchama zanzibar itafanywa mkoa hii
@ramadhanmusa28783 ай бұрын
Ndoto iyo.. kwa sasa raisi WATANGANYIKA ni mzanzibar anao uwezo wakuipa zanzibar uhuru
@OmerSuley-gl7go3 ай бұрын
@@ramadhanmusa2878Yeye mwenyewe ni CCM huyo rais wa Tanganyika kwa iyo kijana yupo sahihi kusema Wazanzibari tuungane bila ya kujali vyama ili kulinda nchi yetu
@stephenndagalla81833 ай бұрын
Inanishangaza sana Viongozi wa CCM kushindwa kuzielewa hoja za waasisi wa CCM kama marehemu H. N. Moyo, kuhusiana suala la Muungano!! Ni kipi kinachoongoza kingine kati ya NCHI na CHAMA (Mfn: CCM, CHADEMA, nk)??