Mimi nimeota nimebeba mahindi alafu kufika mahali nikaona tena mahindi mengine mazur.nikapanda ngazi mana duka lilikua juu nikanunua tena,Mungu nisaidie nimelia yakutosha🙏🙏
@OlivreKimario5 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu,mm nimeota mahindi yameota hapa nje kwangu mengi eti nikawa napalilia
@rapandoselfa5557 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@annahmutune48666 ай бұрын
Atukuzwe yesu Kristo mwalimu 🙏🙏nliota Niko katikati ya bahari alafu nlikuwa natembea juu ya maji kama vile yesu alitembea alafu nikiwa karibu kutoka nje Nikaona gari mbili zimeletwa na maji mpaka zikasimama mbele yangu, but nikiona hio ndoto nlikuwa katika mfungo🙏inamaanishaje?
Mimi niliota ninachoma maindi na nilikuaniteseka sana na vitu inamuagikamwagika na akika nilichoma na nikakula na kunammama alikuja nikambiwa nimpe akule na nikampea sikumngojea nione akikula na kunashamba pia ilikuakando yangu iliyobeba maindi kubwa kubwa na nikashutuka
Nimeota nimepata Mahindra makavu napukuchua ni mengi sana na mwingine anayo shambani lakini alikuwa anapula na machine yakawa yanachanganyikana na udongo ya mwenzangu naomba unisaidie mimi yakwangu yalikuwa machache lakini ni meupe alafu yanaongezeka