Professor Jay afunguka bifu yake na Chameleone, ugomvi na P-Funk, kukosa ubunge na mengine (Part 2)

  Рет қаралды 36,847

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер
@ibrahimgabriel4828
@ibrahimgabriel4828 3 жыл бұрын
Endelea kuishi ili tuendelee kufaidi mziki unaoishi. Asante mungu kwa zawadi ya uhai wa huyu jamaa
@freddieelice6377
@freddieelice6377 3 жыл бұрын
Wakongwe hawa, historia zao za safari ya Maisha zinavutia sana, tuletee wote kila mwezi tujifunze kwao
@menyajoseph9729
@menyajoseph9729 3 жыл бұрын
P, jay wewe ndo msani ambaye anafata mungu sio wale wenye kusema ati mwenzake akimkosea itabaki vita mpaka siku ya mwisho asante sana p,jay wanadamu tuakosea inafa kusamehe pro jay uko 100% may god bless uUUU
@justinmutabazi7353
@justinmutabazi7353 3 жыл бұрын
Safi Sana Big ⭐ Bro Tunakuheshimu Sana 🇷🇼 Funga Buti tuvuke Boda kwa boda
@khamisshee5131
@khamisshee5131 3 жыл бұрын
Hiyo ndio mwana music wa kweli yakati zetu ndio alikuwa akituburudisha thankS bro 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@strong8534
@strong8534 3 жыл бұрын
Thank you so much bro Sky for hosting this Professor! Love SnS from Mozambique 🇲🇿
@salvatoreignazio1701
@salvatoreignazio1701 3 жыл бұрын
Jay king of hip hop in africa..nakukubali sana mwamba.wartching you from mombasa 001 kenya
@halimama6314
@halimama6314 Жыл бұрын
Love to J❤😢❤🎉🎉 Happy to you J❤❤❤👍👍🇰🇪🇰🇪👌👌
@natureshirima3937
@natureshirima3937 3 жыл бұрын
Professor jay nakubali Sana nipo hapa masikan nasikiliza ngoma ya bongo dar salamu hapa legend on eyes open
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 жыл бұрын
Nakufata pro j moja na mtu nakubali mpaka kesho
@joshymalinyo6057
@joshymalinyo6057 3 жыл бұрын
Prof j ni brother wa hii game ya music
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 Жыл бұрын
A man of persona Jeezy!
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 жыл бұрын
Hongera P'J na Mungu akubariki na kwenda mbali pamoja na Sns,nawapenda nyote🔥💪❤️🌞🙏🇰🇪.
@zclassicfashionz
@zclassicfashionz 3 жыл бұрын
Kweli Pro Jay una busara
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 3 жыл бұрын
Professor anapenda Amani.. Be blessed 🙏🙏🙏🙏
@mohamedoman9344
@mohamedoman9344 3 жыл бұрын
Mashallah hongera sana kweli My big bro up sana
@nurukwilabya2790
@nurukwilabya2790 3 жыл бұрын
Daaaah mastory yanafurahisha sana
@peterdavid4230
@peterdavid4230 3 жыл бұрын
Professor Jay akili nyingi sana daah🙏
@suleimansaid2633
@suleimansaid2633 3 жыл бұрын
Salute Professor J
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
Sky hata tuki coment hautupagi like zako. Acha choyo bundala asee.
@mosesabwao2673
@mosesabwao2673 10 ай бұрын
professor Jay is a true story teller
@ogindiii1465
@ogindiii1465 3 жыл бұрын
A living legend, 🇰🇪
@soipei3359
@soipei3359 3 жыл бұрын
Maneno ya professor Jay ni album tosha
@Yed-B1
@Yed-B1 3 жыл бұрын
Sky mwambie prof sio tu watanzia,wakenya tunamsaport sana
@AishaAisha-eb9hh
@AishaAisha-eb9hh 3 жыл бұрын
Wewe... vile hawatupendi.... there's a clip mtanzania mmoja sijui ni nani kwa hiyo nchi but the hate he has for us Kenyans, ni Mungu tu.
@Yed-B1
@Yed-B1 3 жыл бұрын
@@AishaAisha-eb9hh wanatupenda but most of em wana wivu wakiamini tuko smart kuwaliko
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 3 жыл бұрын
Huwa na enjoy sana nikimsikiliza jay anapohojiwa! Noma sana
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 9 ай бұрын
Busaraaa iko juu. Peace.
@victorchampion1513
@victorchampion1513 3 жыл бұрын
ninge shangaa kama prof.angekuwa na bifu na Diamond,,, but kwa kuwa ni LEGEND DR. JOSE MAYANJA FAMILY CHAMELEON,, hapo cna cha kukoment, hiy ni vita ya U.S.A na Russia
@alizuluman4739
@alizuluman4739 3 жыл бұрын
Wa mitulinga big up 👍
@nelsonmpolochacha5035
@nelsonmpolochacha5035 3 жыл бұрын
Asante kwa Marino Adimu
@armstrongh07
@armstrongh07 3 жыл бұрын
Role model Profesa. 💖🎶🌸
@erikimethod6246
@erikimethod6246 3 жыл бұрын
Jay ubarikiwe
@pendaelilaizer2834
@pendaelilaizer2834 3 жыл бұрын
Nikweli huyo mwana namfatiliya sana sana akiwa mjengoni
@djumakwizera9505
@djumakwizera9505 2 жыл бұрын
Namkubali sana jay kwa busara zake
@qualitydon7753
@qualitydon7753 3 жыл бұрын
Salute kwako sky 974
@fakiibabalao4185
@fakiibabalao4185 3 жыл бұрын
Wakwanza like zngu
@papykatoziking2395
@papykatoziking2395 3 жыл бұрын
There's no any rapper like u prof jay on my side is in Africa
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 3 жыл бұрын
Do you know me?
@papykatoziking2395
@papykatoziking2395 3 жыл бұрын
@@JOHNJOHN-pu7wb no I don't know u brother Who are you
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Mimi STAREHE na NIKUSAIDIEJE ni nyimbo ambazo zina ujumbe mkubwa tangu bongo fleva ianzishwe na zme imbwa na wasanii hao hao JAY na FEROOZ
@babusbabu3699
@babusbabu3699 3 жыл бұрын
Hakuna msanii kama ww nyimbo zinaishii
@sponsor7882
@sponsor7882 3 жыл бұрын
Sky ur The Best in TZ for those who understand.
@qunjantv
@qunjantv 3 жыл бұрын
Mdondeshe platinumz apo akirudi tuh south Africa plz sky walker nijibu text yangu tafadhari
@gitegagitega6543
@gitegagitega6543 3 жыл бұрын
Sky wewe ukojuu mawinguniii Prof. Namkubali kinoma huku🇧🇮 Kuna ngoma alifanya na BIG FIZZO & T MAX ninoma Yakitambo ukitaka muulize prof mwenyewe BIG FIZZO ulimpa interview na ulimuaidi vingi Ilasijaona interview nyingine Lakini peace kwako🇧🇮❤️🇹🇿🙏☝️✔️👊✔️
@kingbashar4293
@kingbashar4293 3 жыл бұрын
😂 Una mtetea msanii sio?
@karisabaya9350
@karisabaya9350 3 жыл бұрын
Noma sana
@hellenhartley4316
@hellenhartley4316 3 жыл бұрын
Siasa pesa imenoga......
@swalehejeilani8112
@swalehejeilani8112 3 жыл бұрын
Hua nafurah sana kusikia watu wazima wanapatana sasa tuleteeni hip hop yazamani sasa
@mahelamponda9246
@mahelamponda9246 3 жыл бұрын
Respect kwako broo
@zclassicfashionz
@zclassicfashionz 3 жыл бұрын
Babu Jay 😅😅😅
@zclassicfashionz
@zclassicfashionz 3 жыл бұрын
Hahahaaa ila Jay kwa vituko jmn yani ni raha tu....
@hassanbashir4621
@hassanbashir4621 3 жыл бұрын
big up xana
@kennedymwagambo7197
@kennedymwagambo7197 3 жыл бұрын
Nice interview, Sky tuletee Nikki Mbishi !!
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 3 жыл бұрын
Aje kuchana?
@kapondamsita476
@kapondamsita476 3 жыл бұрын
Maqn kaka
@KalamuYaGalana
@KalamuYaGalana 8 ай бұрын
Hapa ni kabla ya 462
@rutalaurent8542
@rutalaurent8542 Ай бұрын
❤❤
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 3 жыл бұрын
Conscious mc ever 🔥
@snazzyfranz1874
@snazzyfranz1874 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Hebu mpite na huku muone mapishi
@kelvinbadili2223
@kelvinbadili2223 3 жыл бұрын
Sky nikki mbishi zamu yake
@mapitotv6837
@mapitotv6837 3 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@theboyofficial7441
@theboyofficial7441 3 жыл бұрын
Mimi hata sijua jay anahangaika nama ubunge yakazi gani wakati mziki wenyewe unamtosha sana
@papykatoziking2395
@papykatoziking2395 3 жыл бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@MustafaMohamed-f8n
@MustafaMohamed-f8n Күн бұрын
Duu
@saidausi9917
@saidausi9917 Жыл бұрын
Wadau Mimi ni Shabiki yake P, J nikiwa Kenya huyu Mwamba anaendeleaje kiafya nilipata kusikia anaumwa Je Amepona?
@youngresearchkenyalimited3183
@youngresearchkenyalimited3183 3 жыл бұрын
Mzee wa mitulinga. East Africa mzima haamna rappa matata kama Prof J.
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
CHID BENZ DUDUBAYA ALIKOJOLEA GARI LA FIESTA
14:55
Kaskazinimixtv
Рет қаралды 230 М.
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН