Mashaallah sheikh wetu umewapa vzr ila Allah ndie mwenye kuwaogoza kwake in sha Allah
@eghteenauto3737 Жыл бұрын
Jazakalallah shekh Ramadhan Allah akuifadh
@richardsineno67204 жыл бұрын
Mapastor wengi hawajui maandiko bali wanatafuta hela na huyu ni mmoja wao.Pongezi maustadhi wetu wafunzeni warudi kwa ALLAH S W T.
@madetetv65762 жыл бұрын
Pole
@zainaal-nabhani9034 Жыл бұрын
Hongera sheh mungu akujaliye heri akutiye nguvu zaidi nazadi shehe
@abubakarmpole40004 жыл бұрын
Wanajua kbxa kuwa Yesu c Mungu Wala Mtoto wa Mungu.Ila Ibilisi aliwazidi hawao makafiri.Tuwaombee tu Mungu wasilimu.
@rachelevarist704 жыл бұрын
Yaani isaya anamtabilia mungu nakumchagulia jina sasa cjui kati ya isaya na mungu cjui nani alimuumba mwenzake kwakweli wahadhiri wetu mnakazi kubwa sana Allah awalipe kila khéri
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Inaonekana Isaya kamtangulia mungu wa Wakristo
@fatmazullu49333 жыл бұрын
@@StraightPathDawah hahaa umenichekesha wallah!
@salimamry94324 жыл бұрын
Ustadh Ramadhan Allah awape ikhilas katika kazi hii ngumu na akulindeni na wabaya.
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen ya Rabbil 'aalameen
@sofiam82174 жыл бұрын
اللهم آمين
@bnussrahlimsantah37303 жыл бұрын
Allahumma amiin
@tbwoy2162 жыл бұрын
Yesu alisema mimi na baba yangu tu umoja. Kumanisha ni Mungu..ana uungu..na angethihilisha kua ni Mungu hakuna mtu angemkubali.na angeuwawa kabla ya kutupa injili.
@SalumOthman-z8v11 ай бұрын
Weewe Mungu anatahiriwa na kunyonyeshwa 😅😅😂mnangamia kwa kukosa marifa
Mwalimu Ramadhan mwenyezi mungu akulipe kheir mnafanya kazi kubwa. Wafundishe hao.
@kombrashid-bn2gr Жыл бұрын
Ustadh ramadhan nakupata vyema,daawa kwenda mbele wataelewa2 biidhnillah,pemba.
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
Ibilisi alimuahidi MUNGU kua atawaangamiza baadhi ya binadamu. Ndiposa, kumetokea mvutano huu ALLAH atuoneshe njia ya haki 🤲🤲🤲🇰🇪
@salumjumaruhaga25133 жыл бұрын
Hujui unachokisema,unatakiwa.kuombewa dua Sana wewe,inaonekana upo upo Tu du,
@SaidMgeni Жыл бұрын
Aamin ya Rabi
@husnaodhiambo68484 жыл бұрын
Mashallah Allahu Akhbar. Uisilamu raha Wallahi yani pastor amesahau adii anaubiri. Mashallah Allah wape afia mufundishe Uisilamu Inshallah.
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allah awaongoze hawa pamoja nasi
@habibasalim30923 жыл бұрын
Badala aonyeshe maandiko ye anahuburi😅
@khalifaathuman68754 жыл бұрын
May Allah grand you the best in this wonderful work that will make many to realize the straight Path of Islamic monotheism.
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahumma ameen
@zainaal-nabhani9034 Жыл бұрын
Mashallah shehe hongera sana
@godfreyfilipo56683 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu aendelee kutishika mkono kwa dini zote
@mustafahakim-iq7dj Жыл бұрын
dini ni moja
@kudrawanguvu59233 жыл бұрын
Mashallah Allah Subhana Wataalla atuongoze ktk kher nyingi
@kinglast95074 жыл бұрын
Allah atawalip jannah inshallah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Atulipe sote, ameen
@hassanabdalla27414 жыл бұрын
Kazi njema Masheikh wetu, wataelewa tu mwisho hao Mayahudi na Manasara kuwa Uislam ndio dini ya haki.
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@mohammadalfani80043 жыл бұрын
Allah atawaongoze insha Allah
@musalumbi84903 жыл бұрын
Thank you Ustadh. Clear message.
@AbdulmajidHyder4 жыл бұрын
Ma sha Allah..Kazi kubwa kabisa Allah Atawalipa ujra ulio mkubwa
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@yahyajumaan33934 жыл бұрын
Pastor kwanza nikupongeze sana hongera kusema hakuna mahali yesu alijita mungu nimefarijika mada imeisha
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Kasema ukweli wake sio kama wasabato lazima wapinde maandiko
@saumuseif91894 жыл бұрын
Mashaallah ustadhi wataelewa inshallah msichoke
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allah atufanyie wepesi
@halalwaithaka25734 жыл бұрын
In Shaa Allah wataelewa tu, wafunzeni na mjadiliane nao kwa upole
@karoreroramadhan33534 жыл бұрын
Manshallah from Burundi tunawafata sana
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran.jazeelan
@naheelamohamed99703 жыл бұрын
Mashallah
@annelisejohns56644 жыл бұрын
Shukran sheikh kwakila jambo
@salumjumaruhaga25134 жыл бұрын
Wakrsto wakenya m,mungu awaongoze Sana mko vizuri hamna chuki kama wakrstu WA tz ,hawawezi kuruhusu kuingia kanisani
@abuusaidy15063 жыл бұрын
kwasababu hawaniamin hata kidg
@hamissuche65763 жыл бұрын
Mm mkenya nakataa c Kweli,.. Ni juzi tu mwezi wa sita kulifanyika kongamano kubwa kanisani lililofanyika ukonga dar salama tafuta iyo CD bro ustarehe,.. From 🇰🇪🇰🇪
@rukiamatano77644 жыл бұрын
"Mashaallah ustadh ramadhan umefundisha vizuri"
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran sana Rukia
@huseinshedrack61802 жыл бұрын
Wallah Uislam raha sn jmn
@musalumbi84903 жыл бұрын
Good questions Ustadh. Simple but tough.
@malikdodo51902 жыл бұрын
May Allah bless you our Ustadh Ramadhan
@jamilshisia59294 жыл бұрын
MashaAllah nimefurahishwa sana mwenyezi Mungu amzidishie umri
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran sana tegea tegea mambo mazuri yaja inshallah
@kutailadifi28544 жыл бұрын
Ha.ha.haaaaa mchungaj utatu wa Mungu umemtia upole kahepa kakosa pakuingilia na kutokea Jamani wakristo mnakwama wp Allah awape afya NJEMA masheikh wetu inshaallah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Hapo noma sana
@Asiyah20003 жыл бұрын
Allahu akbar ☝️💕
@habibasalim30923 жыл бұрын
MaashaAllah ustadh Ramadhan
@husseindiaby5097 Жыл бұрын
Pasta kwa kingereza mashallah
@mosaidi26333 жыл бұрын
Sheikh ungetoa hiyo Barakoa
@zuhuramgonza63234 жыл бұрын
mwenye akil ametambua ukwel haki iko wp ?? from Tanzania morogoro nawafatilia sana mnavyotoa daa'wah apo Kenya Allah awazidishie
@zamzamhaji12293 жыл бұрын
Allahu Akbar👆
@jasminmohamed61454 жыл бұрын
Masha Allah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Tabaarak Allahu
@abedyally10344 жыл бұрын
Allah awape muongozo kwa kazi mnayoifanya masheikh
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen, jazak Allahu kheiran
@lillianebwire48973 жыл бұрын
Yesu hakuwa na dhambi.. Hebrews 7:3 He took the form of man to have man's body of sin so that he could nail the sin of man on the cross col 2:14 and conquer death which had condemned man.
@muddathirkassim2407 Жыл бұрын
Wewe haki hata hujielewi kabisaaa ushindani waburee tuu
@iddimakame35473 жыл бұрын
hongereni sana mashekhe
@jamalathman62194 жыл бұрын
Inshallah ustadh ramadhan,Allah awalipe jannat firdaus kwa kazi yake
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma ameen
@nestoryemanuel73354 жыл бұрын
Mr Fanuel from tz shingida. Huo mdahalo ni nzuri Sana.
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Welcome ndugu Fanuel
@AbdulrahmanSeif11 ай бұрын
Mungu ni mwenye kusamehe.Sasa kwanini aje kufa angali anaweza kusamehe
@didahadams87054 жыл бұрын
Mashallah Allah atawalipa ln Ashallah kheri nyingi ln Ashallah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma ameen
@fatumamwalimu57654 жыл бұрын
Jamani hawa wakiristo ni mtihani, huyu mwanamke ameuliza swali lililolenga kua kua yesu ni mwana wa mungu, wachungaji wenzake wanasema yesu ni mungu, huu ni msiba
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Hawaelewani kabisa
@knifensharper27254 жыл бұрын
Tena msiba mkubwa
@doctorskiparian25463 жыл бұрын
Only God can judge that
@marianachriss24443 жыл бұрын
YESU KRISTO ni Nuru ya ulimwengu wote na ni BWANA na mwokozi Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa tubuni kabla hamjachelewa
@seifsoud2662 жыл бұрын
Yes ni nan Na bwana ni nani?
@mustafahakim-iq7dj Жыл бұрын
allah akuongoze inshallah
@mosaidi26332 жыл бұрын
Huku Pemba Tunakupateni pia Inshaalla
@jamanoor87073 жыл бұрын
MASHAA ALLAH
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Alhamdulillah
@rilkabuya65194 жыл бұрын
Mashaallah tabarak allah mungu akuzidishie kila la wema
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen pia nawe
@amsodewiz4901 Жыл бұрын
Allah Akbar
@bilalimazola8694 жыл бұрын
Nimependa sana jinsi majibu na wanovyoshindwa kujibu uwislamu ndio dini ya kweli
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@abdiabdullahimohd19172 жыл бұрын
Good work mASHA ALLAH
@sirnjuguzpowermantv40764 жыл бұрын
Masihi issa ni Mungu kwa mujibu wa Qur'an na bibilia
@yusuphmashallah37324 жыл бұрын
Toa andiko
@husseingabo54972 жыл бұрын
Mungu hatumwi mungu anaetumwa atakuwa mungu wa kwenye box au mungu bandia
@madetetv65762 жыл бұрын
@@husseingabo5497 mungu Ni mjuzi wa kila kitu anao uwezo wa kujigeuza chochote kile
@habibasalim30923 жыл бұрын
MaashaAllah
@edingollow94463 жыл бұрын
Manshallah!!! Teach them slowly
@bisimwashamboko57134 жыл бұрын
Kazi nzuri sana . Allah awalinde
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen, nawe pia
@bungamassingisa26434 жыл бұрын
SUBHAANA LLAH WABIHAMMDI, PASTOR HAYUKO VIZUR ILA YUKO VERY HUMBLE HADI ANAWATULIZA WENZAKE WASILETE FUJO MUNGU AMUONGOZE
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahu akbar
@dullahmisanya22034 жыл бұрын
mashaallah shekh wangu"" Allah awazidishie kheri na awalinde kwa husuda"
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma ameen
@saidbakhlaaofficialchannel39504 жыл бұрын
Mashallah Allah ibarik
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma ameen
@abedbin27944 жыл бұрын
Lahaula wala quwata ila billahi
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
May Allah guide us all to the straight path.
@elphasmageto35683 жыл бұрын
Uyu pastor hajielewi kabisa
@tbwoy2162 жыл бұрын
Kuna verse pia inasema MUNGU ni Mtu wa vita...manake mungu alisema natufanye mtu kwa Mfano wetu
@ramadhanially52274 жыл бұрын
Mashaallh allahal ramadhan
@ibrahimramadhan21194 жыл бұрын
MashaAllah, wabillahi tawfiq
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@lillianebwire48973 жыл бұрын
The Bible allows us to test the spirit and the formula.Anyone who says Jesus is not LORD or Son of God is not from God
@marianachriss24443 жыл бұрын
Hawa waislamu wapotoshaji sana maana wamebeba roho za kishetani, maana allah sio Mungu ni shetani mkubwa audanganye ulimwengu wote na kuwapeleka watu jehanamu
Mchungaji anahubili sio Tete hoja yake Hana anacho kijua atasoma biblia yote na asijue anacho kitetea
@muhammdegulamu41584 жыл бұрын
Allha akufanyien wepesi
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen nawe pia
@abubakarmpole40004 жыл бұрын
May almighty god show them, the straight part.For them to become muslims.
@hassanabdalla27414 жыл бұрын
Mwalimu Ramadhan, huyu Pastor ni mwepesi sn ktk mjadala lkn anajitahidi sn ila maelezo mengi kuliko Verses. Soma Isaya 34:16. Tunahitaji maandiko kutoka Bible na sio story.
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Aliomba mjadala mwenyewe naona ameanza kujifunza
@hassandima48014 жыл бұрын
Ati mungu alijificha
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Hatari sana
@fatumamwalimu57654 жыл бұрын
Ustadh Ramadhani uwe unawaambia tofauti ya maojiano na maubiri maana huyo mwengine ameleta sarakasi na ndio ustadh yussufu usema shindano imeingia
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Hahahaa...kweli kabisa
@saidjenibal97604 жыл бұрын
Nikwer huyo analeta mahubiri na sio hoja na majadiliano
@moanamohammed14064 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Ramadhan umefundisha vzr sana ila pasta naona anahubir tu Allah atuongoze sote Inshaallah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran, ameen
@abuusaidy15063 жыл бұрын
Abubakry kilapula nawafuaaatilia kwa makin nikitokea msolwa station tanzania morogoro kilombero Allah awalinde na husda
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Ameen
@bilalomar11854 жыл бұрын
MashaAllah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran sana Bilal
@bilalomar11854 жыл бұрын
@@StraightPathDawah Afwan Sheikh Ramadhan. Allah akulipe kila' lakheri kwa juhudi unazo zifanya Ameen.
@jaidulsekh11574 жыл бұрын
Quran 9:29__31_ fight those who soma hapo
@malikdodo51902 жыл бұрын
Assalam alaikum warahmatu-llahi wabarakatuh
@RRr-of9ps4 жыл бұрын
Huu ni msiba kwa wakristo mungu awasaidie
@jaidulsekh11574 жыл бұрын
Tito 2:13 Yesu ni Mungu mkuu, john 1:1__ 14 so many scripts
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Hakujiita
@salamamohamed67624 жыл бұрын
Sasa Tito akisema Yesu ni Mungu mkuu ndio tayari ni kweli mbone firauni au farao alijiita mungu kwa nn msimtangaze na yy ?
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Wanashangaza hawa
@jaidulsekh11574 жыл бұрын
@@salamamohamed6762 si mahammad alijita nabii hakuitwa nani akampa unabii
@salamamohamed67624 жыл бұрын
Qur'an 22:75 5:81 17:96 48:29
@radhyiawamburah23944 жыл бұрын
MashaAllah the Pastor really tried
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
May Allah guide him
@عليجبار-ن3ي4 жыл бұрын
Kama yesu hakusema yy ni mungu mbona mwamsingizie,kama ni mungu kwanini afiche uungu wake,kila mtu atabeba dhambi zake
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ni kweli
@mirajisalehe7424 жыл бұрын
Yesu kiristo ni kweli ni Mungu mchungaji umesema kweli,Mungu wa wawaisilamu si Mungu wa wawakiristo hao ni Miungu wawili tofauti kabisa .Mungu wa wawakiristo ni mmoja katika Utatu mtakatifu ,wa waisilamu Hana Utatu .Mungu wawaisilamu Hana Mwana ,Bali wakiristo wote waliompokea kiristo Yesu ni Wana wa Miungu ,Miungu hawa hupingana .Mungu Wawakiristo neno lake lilifanyika mwili ,likawa ndiye Yesu .Mungu wao anasema huyu ni mwanangu mpendwa ninayependezwa naye, Mimi binafsi naamini kuwa Yesu ni Mungu mkuu na mwokozi wetu.ana nguvu za kimungu pia ndiye mhukumu wa ulimwengu.
@yusuphmashallah37324 жыл бұрын
Umepotoka ndg!!! Soma din yako vzurii
@hamissuche65763 жыл бұрын
Ww kwanza ndiwe bumbumbu mulio wasumbua waalimu sana shule,.. Umeseme yesu ni mungu alafu wasema ni mwana wa mungu hata hujielewi waongea nn kbsaa
@musalumbi84903 жыл бұрын
God have mercy upon your servant Miraji. The devil has stood his way and his sight is blinded. Shed Your Light upon him.
@watikawamika28973 жыл бұрын
Ubaonekana shule aujaenda aujuwi ukonaongeya nini
@husseingabo54972 жыл бұрын
Kwa hiyo Dunia Ina miungu wawili sasa nikuulize swali na unijibu yesu pale msaraban aliposema elloy elloy yaan mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha ? Sasa kama yesu ni mungu alikuwa analalama na kuomba msada Kwa mungu wake yupi Tena na wakati yeye ndio mungu mkuu? Nataka unijibu hapa hakuna janjajanja jibu
@rachelevarist704 жыл бұрын
Kenya mpo juu mpo huru ktk mambo ya dini uku kwetu Tanzania hamna hongereni mungu anamakusudi yake Kenya bado wakristo wengi hususañ Nairobi hlf mjitahidi muoñgee kiswahili tunafatiia mijadala yenu sisi kiswahili ndoinapanda mnatukosesha uhondo daah!
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allah awafanyie wepesi
@hamissuche65763 жыл бұрын
Ndio ivo sis kiswahili ni chetu na inapaswa tukiongelee ila hawa wenzetu wakristo hujifanya ni wazungu ilhali yesu Hakuwa mzungu,
@HamzaAkilimali11 ай бұрын
Mchungaji, Hatetei ukiristo, bali anatetea Sadaka za bwelele. YESU MWENYEWE ALISHA SEMA YEYE SI MUNGU ILA YEYE NI MTU NA NI MTUME TOKA KWA MWENYEZI MUNGU. Sasa shida iko wapi, kwa nini muendelee kumuabudu kama Mungu !!??
@sirnjuguzpowermantv40764 жыл бұрын
Mnakuwa dadora papi ninje
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Tunaenda sehemu nyingi sio dandora peke yake
@omarnjoroge39773 жыл бұрын
Sir njugus.jifunze kiswahili kwanza kwa majadiliano.
@jamilaomariomari83284 жыл бұрын
Wakristo hamna lolote.
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allah awaongoze
@abdallahnassor78912 жыл бұрын
Shekh Ramadhani Mimi nafuatilia Sana hii midahalo Sasa kwa nini hayo maandiko yote uliyotoa hapo humuulizi pastor yeye hayaoni hayo maandiko au anayatafsiri vipi au njaa kaiweka kichwani
@samxx4113 жыл бұрын
Wallah naona wametulia hapo wakipewa uzawa wa Yesu (Nabii Issa) katika Quran. Quran bwana mbona Raha???????
@lillianebwire48973 жыл бұрын
At least they accept the crucifixion.
@lillianebwire48973 жыл бұрын
The gospel is the testimony of people who were disciples of Jesus Christ they walked with him.They wrote what they saw with their eyes as witnesses with exception of other who experienced great visions and heard the voice of our Lord Jesus Christ, like Paul and John on Patmos.
@musalumbi84903 жыл бұрын
"The gospel is the testimony of people who were disciples of Jesus Christ they walked with him.They wrote what they saw with their eyes as witnesses with exception of other who experienced great visions and heard the voice of our Lord Jesus Christ, like Paul and John on Patmos." Quran is the last Testament of Allah that was sent to the last Prophet Muhammad (peace be upon him) through the Greatest Spirit (Gabriel), not an account of what the Prophet did or said or taught. So the Quran is many degrees superior to the Gospel.
@sheemaryam2 жыл бұрын
Yet they contradict each other infact they say " gospel according to John, gospel according to Luke so its not the real Gospel ... Jesus himself said he's a man and a prophet and he'll remain so
@saumukonde43384 жыл бұрын
Pastor hapo umejikoroga, ety Jesus says A'm not God don't warship me. Loo japo cjui kizungu hapo slimu 2.
@madetetv65762 жыл бұрын
Huyo Shekh Kama mpaka hapo haamini yesu Ni Mungu apelekwe hospital akatibiwe ana kichaa huyo
@huseinshedrack61802 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Nyumbu mwingine huyu huku😂😂😂😂😂yaan nyie ni kuburuzwa tu,nyie ndio wale unaskia maneno matatu ya postor unaingia kwenye comment sikiliza mpk mwisho ndio uone jins wenzio wanavyo vurugwa
@alimadads61102 жыл бұрын
Part two
@magdalinengweso86443 жыл бұрын
We we unatishwa na wakristo ndio sababu unatembea tembea kila mahali siuridhike na dini yako peke yako umeona pastor ametembelea msikiti huko na shinda but mwisho wako huko
@jestymoresimon75763 жыл бұрын
2nd Timothy 2:23-24 Have nothing to do with foolish, ignorant controversies; you know that they breed quarrels. And the Lord's servant must not be quarrelsome but kind to everyone, able to teach, patiently enduring evil,
@madetetv65762 жыл бұрын
Hivi nini maana ya Mwenyekiti ? Manake hapo naona mpaka Mwenyekiti anapekua vitabu na kuuliza maswali manake hapo wamemchangia pastor