SURA ZA WAAU | KINGA YA MATATIZO YOTE

  Рет қаралды 18,879

Brother Mish

Brother Mish

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@SASIBuyingArea
@SASIBuyingArea 2 жыл бұрын
Alhamdulillh this really work mimi nimefanya alhamdulillh in one year mamb yang yamebadillika alhamdulillah
@سالم-ك7ر
@سالم-ك7ر 3 жыл бұрын
Wallahi QURAAN ina kila kitu lkn cc wanadamu.ALLAH atuongoze sote.jazaka ALLAHU khr
@halimakunary8802
@halimakunary8802 11 ай бұрын
Mashallah. Alhamdullilah
@aminajuma9655
@aminajuma9655 Жыл бұрын
Jazakallah khair mwalim ALLAH akujaalie Mwisho mwema
@shiichannel5623
@shiichannel5623 2 ай бұрын
Mimi in mkristu kutoka Kenya nitasomewa na nani sielewi chochote lakini natamani mambo yangu hayaendi kabisa
@ladysalma7893
@ladysalma7893 3 жыл бұрын
MASHAALLAH hizi sura hata ukasoma siku 3 tu utaona tofauti. Tatizo ni imani yako na tegemeo ulo nalo kwa Allah. Wala Usidhulumu kisha ukazisoma,Utakoma wewe. 🤣🤣🤣
@ummusalim1991
@ummusalim1991 2 жыл бұрын
Ma shaa Allah sheikh
@khadijaomar9968
@khadijaomar9968 3 жыл бұрын
Shukran jazaka allah kheir
@yunusomar7573
@yunusomar7573 7 ай бұрын
Naeza aje kuanglia the full khutba please
@husseinomari4075
@husseinomari4075 3 жыл бұрын
Shukran jazakallah kheir
@ladysalma7893
@ladysalma7893 3 жыл бұрын
Shukran jazakallahu kher
@fatmaazaharai1568
@fatmaazaharai1568 3 жыл бұрын
17 Sura Za Wau Waswafaat Wadhariati Watuur Wannajmi Warmuslati Wannazi3ati Waylul Limutwafifeena WasamaidhatilBuruuj Wasamai watwariq Walfajir WashamshiWadhuhaha WaLayl Wadhuhaa Wateen Wal3adiyati Wal3asri Waiylulikuli
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 9 ай бұрын
Barakallahu fiikiii❤
@khadiyazerea3327
@khadiyazerea3327 9 ай бұрын
Shekhee anapatikana wap
@easterndusi
@easterndusi Жыл бұрын
Shehehe fundisha kwatalatibu ilituelewe
@SASIBuyingArea
@SASIBuyingArea 3 жыл бұрын
Ni lazima Usome kwa kikao kimoja au unawez kusoma rabda sura kazaa badae ukamalizia kazaa ila kwa siku hiyo hiyo moja
@SASIBuyingArea
@SASIBuyingArea 3 жыл бұрын
Katika kusoma nikasahau sku moja nilikuwa nimesafiri kufika nikasahau je natakiwa niongeze au mpka zitimie kamili au natakiwa kuanza upya tena
@shekhaswaleh5654
@shekhaswaleh5654 11 ай бұрын
Wasoma time yyte?
@mkongwekhamis4331
@mkongwekhamis4331 2 жыл бұрын
Shehe wacha kutupasha🤣🤣🤣🤣 ngoja ukoo
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 Жыл бұрын
Ahsantum
@gattusotondaz2462
@gattusotondaz2462 3 жыл бұрын
Assalamualaikum ustadh Alwy mimi kwajina naitwa Jafar kutoka Uganda yangu ni swala tu juyahio zunguo yani kama wewe ni tariku swala ukisoma itakibaliwa????
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 8 ай бұрын
Ninani Aliyekuuliza Yakuwa Wewe Unaswali Au hauswali. Hiyo Ni Ria Kama Unamshukuru MOLA Wako Naukae Chini Umuombe Akutakabarie Swala Yako. Unaweza Unaswali Kumbe Unamaswali. Mambo Ya Ana Au Mimi Nimambo Ya Ibirisi. Swali Salama Lakini Achana Nakhabari Zakujiona Unaswali.
@aminajuma9655
@aminajuma9655 Жыл бұрын
☘️☘️☘️🌿🌿🌿🥀🥀🥀🥀🌹🌹🌹🌹🌹
@AliShee-mb2gh
@AliShee-mb2gh Жыл бұрын
shehe ya 7 na 17 ni sura moja waylunlilmutwafifiin haya mafundisho yako kitabu gani?
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 9 ай бұрын
Weye skiliza anachosema maan n sura za qur an
@AliShee-mb2gh
@AliShee-mb2gh 9 ай бұрын
uo ni uongo hakuna mafundisho kama hayo
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 8 ай бұрын
Ebu Tujichunge Ana Tujichunguze Imani Zetu. Sasa Kitabu Nahizo Nisura Za QUR'AN Kiasi Usome Tu. Sio Wala Embe. Eti Kitabu Gani. Kwakwali Wapo Watu Mfano Wa Watu Hao Nikama Inzi.
NAMNA YAKUJITOA KWENYE MATATIZO NIHIVII.
20:35
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 15 М.
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 27 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 100 МЛН
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 6 МЛН
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Jesser
Рет қаралды 24 МЛН
DUA KUBWA YA KUONDOA MATATIZO BI IDHNI LLAHI
11:30
Mponda Media
Рет қаралды 528 М.
URADI WA KUSAHILISHA KUPATA PESA
9:32
Brother Mish
Рет қаралды 53 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 118 М.
FAKKI SIHRI |KISOMO MAALUM CHA KUVUNJA WACHAWI |SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
20:30
AL FAJR TV TZ ONLINE
Рет қаралды 171 М.
Ruqyah ya kutibu hasad, uchawi na kutoa mashetani (Isikilize kila siku mpaka mpone, In Sha Allah)
30:03
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 799 М.
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 27 МЛН