TABIA 8 ZINAZOUA MAHUSIANO MENGI

  Рет қаралды 19,261

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 8 ай бұрын
Thank You Ezden jumanne
@hajimachano8021
@hajimachano8021 10 ай бұрын
Congratulations bro I appreciate your job. I have learned a lot of things that I don't know before.
@thobiasmjuni9196
@thobiasmjuni9196 3 жыл бұрын
Mungu akupiganie shemeji angu,,,, mafunzo yake yanafanya niwe na kujiamini kila siku. Asanteeee
@maximobararaka
@maximobararaka 3 жыл бұрын
Broo nakukubal sana like zakutosha
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Aminia sana
@Laila-zl8lj
@Laila-zl8lj 3 жыл бұрын
Asnte blood nakufatilia sana pia hata kushea nawatumia watu wengi sana ,umenijenga kiakili sana Mungu akujali kila rakheli kwako🤲
@EuniaRyaga-zd3zx
@EuniaRyaga-zd3zx Жыл бұрын
Uko vizuri bro
@anisamohamed7333
@anisamohamed7333 3 жыл бұрын
Thax for ur advise
@Iddriskapenda
@Iddriskapenda Жыл бұрын
Unafanya tunachange kutoka hatua Moja kwenda nyingine mungu akupe maisha marefu
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Amiin... nashukuru
@yunucabedy7758
@yunucabedy7758 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mwalimuwetu
@shaibuhamisi7742
@shaibuhamisi7742 3 жыл бұрын
Kaka unajuwa unasaidia sana mungu akupe maisha mema
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
Akhuy umenifanya nicheke kusema kweli muonekano wako wa hiyo kanzu hatakama nakudai ukapita karibu hataungenitolea salamu nisinge kujua mana siokawaida ya muonekano tuliozowe kukuonanao kila siku. Umependeza Akhuy Mashaallah hongera kwa vindi vizuri jazzakallahu khairan Akhuy endelea kutuelimisha ndugu zako.
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
Nimerudi mara 3 kukusikiliza nikipindi kizuri mno mashaallah
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
hahahahaa...nashukuru sana sana....
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
@@successpathnetwork Afwan Akhuy
@AliMohamed-wp1op
@AliMohamed-wp1op 3 жыл бұрын
Mapenzi ya kweli ni ya without giving or taking, mapenzi hayana maslahi
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
utakapojiona unatoa sio kwa kushurutishwa kutoa ...unapojisikia kutoa bila kuhitaji mrejesho wowote upo kwenye right track, and it's true mapenzi ya kweli hayatarajii chochote
@saijumagmailcomJuma
@saijumagmailcomJuma 3 жыл бұрын
Safi sana pamoja
@khayraatabdool2286
@khayraatabdool2286 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allahu Baaraka Allahu fiyka
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 2 жыл бұрын
Ahsante kwa mafunzo 👍🙏🙏
@sadikijoseph3064
@sadikijoseph3064 2 жыл бұрын
Big up sana bro
@officiallylucku90.81
@officiallylucku90.81 3 жыл бұрын
Thanks bro
@Babybooohbeauty
@Babybooohbeauty 2 жыл бұрын
It’s my first time to listen ur lesson but bruh u made my day big up to u and god bless you more ........from Dubai
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Shukrani sana
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 2 жыл бұрын
Najifunza zaidi mungu akulinde akutunze Kwa ajili yetu🙏💖
@mamunote3507
@mamunote3507 2 жыл бұрын
Thank you so much Hapo uliko sema Huyu Mzee yake yamemuishia kua wazee wako Makini kupitiliza na Wanangu vitu vingi tuna staid kutoka kwao
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 2 жыл бұрын
Nakubaliii sanaa ndugu!!! 👍👍👏
@augustinokingazi8301
@augustinokingazi8301 3 жыл бұрын
Naam catchup and received thanks bro
@davidmangi3139
@davidmangi3139 3 жыл бұрын
Waa it's true haya yote ushayasema mm yamenikumba na nmeachana na wanawake wengi na nimejua hizo weakness zote Niko nazo Asante sana kwa kunifungua
@amidaibrahimu271
@amidaibrahimu271 7 ай бұрын
Asante sana bro,ubarikiwe tena na tena
@safiamussa8137
@safiamussa8137 Жыл бұрын
Kaka haya mambo yapo mungu akupe maisha marefu Kwa kutuelimisha allwa akulipe
@naidamwakibinga6309
@naidamwakibinga6309 5 ай бұрын
Asante sana kaka 🙏🙌
@abdulkarimsichone5979
@abdulkarimsichone5979 2 жыл бұрын
umetisha sana brother
@halonmwenda1673
@halonmwenda1673 2 жыл бұрын
Ebwa eee mm nakukubali sana jumanne mm Niko huku Zambia lakini najifunza mambo mengi sana kupitia vipindi vyako.👊👊👊👊
@BagazaMeja-jx2qh
@BagazaMeja-jx2qh Жыл бұрын
Napenda siku moja uzungumzie kitu hiki "when people are proud of their good words,then you should be proud of your silence" nitafurahi sana maana kuna baadhi ya watu wanapokasirishwa hawajui wafanye nini hilo tu BROTHER kama hautojali nilitaka unipatie no yako.
@ghustafampinga3047
@ghustafampinga3047 3 жыл бұрын
Naitaji kubadilika
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
hakuna kinachokuzuia kaka...njia nyeupe ongeza speed muda mchache
@watumnjangu8312
@watumnjangu8312 3 жыл бұрын
Here listening 👂
@kautharsaid4660
@kautharsaid4660 2 жыл бұрын
Jazakallah ❤ Mashallah
@johnsimbaulanga5696
@johnsimbaulanga5696 2 жыл бұрын
Nimeipenda elimu yenu
@martinmaami5853
@martinmaami5853 3 жыл бұрын
For sure you are doing very well.....big up brother
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Thank you Martin
@malengahuru3301
@malengahuru3301 3 жыл бұрын
Nashukuru sana Bro nimeamka nayo hii itanisaidia sana, Me nimekua Mtu wa aina hii sana ila me huwa naongea vya kweli ila vya watu daah ,halafu Bro me huwa nasahau pia natiririka mambo yangu baadae najilaumu wakati huo watu wameshajua shida au raha pengine hata faida au hasara niliyopata😢
@mauwashila4969
@mauwashila4969 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana 🙏🙏
@aneth2807
@aneth2807 2 жыл бұрын
Nimependa Sana Kaka ezden lakn nilikuwanatamani uonge kuhusu njisi ya kuifanz pesa
@nurummashaka6206
@nurummashaka6206 3 жыл бұрын
Kaka nakufatilia sehem nyingi ila naomba ukazie jambo la 6 kwangu limekua changamoto 1kukosoa kwa maneno mkali hata kutoa nnachajua hatakama kiko sawa wengi naona nawakosea namna ya kufikisha ujumbe . Ila bado ntakua mwafunzi wako na 1 day ntajitahidi nikuone moja kwa moja kunamengi naitaji kwako kaka . Pia mungu atakulipa kwa unacho fanya Asateeee🕌
@edsonimkwama8745
@edsonimkwama8745 3 жыл бұрын
Nashukuru bro nimepata kitu kikubwa....na umekua mwalim mzuri kwangu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
asante sana... endelea kuwepo
@shafiimnubi6608
@shafiimnubi6608 3 жыл бұрын
Nice broo👍
@allymassamba556
@allymassamba556 3 жыл бұрын
Imetulia hii
@mamunote3507
@mamunote3507 2 жыл бұрын
Jazakha Lwah kher Akhui kutoka Oman
@glodynkondo9800
@glodynkondo9800 2 жыл бұрын
mungu azidi kukubariki bro
@careenchengula2682
@careenchengula2682 3 жыл бұрын
Bro ukovizuri sana kaka, somo zuri kaka .
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
asante
@ngabiranoadelin9519
@ngabiranoadelin9519 3 жыл бұрын
Asante sana bro
@mariaernest2087
@mariaernest2087 3 жыл бұрын
Ninzuri nimependa, but vipi kwamtu ambae unamwelewesha mtu vizuri anakusikiliza nakukuitikia then kesho anasema unajifanya unajua unafanyaje hapo
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 жыл бұрын
Thanks alot brother Ezden .Yaani sipendi watu ambao wanapenda kuongea ya wenzao na ili hali ya kwao ni mabovu hasa, na sipendi mtu aje aniambie mabaya yeyote ya mtu mwingine hata kama huyo mtu alinisemea mimi 1234...etc
@fulgencechilambo8224
@fulgencechilambo8224 2 жыл бұрын
Perfect
@edisonjoseph4087
@edisonjoseph4087 3 жыл бұрын
Sawasawa Kaka kwa Leo umenyooka kweli kweli ukweli mtupu Mr ezden God bless you better
@maulideabdala3832
@maulideabdala3832 3 жыл бұрын
Asante kaka mungu akujalie.kazi mzur
@sadikijoseph3064
@sadikijoseph3064 2 жыл бұрын
Big up sana kaka
@goalhall
@goalhall 3 жыл бұрын
Ahsante sana
@hasnuuahmed9834
@hasnuuahmed9834 3 жыл бұрын
bro اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ‎ Naomba uongelee kuhusu bssness plan
@mickdardabdul3016
@mickdardabdul3016 3 жыл бұрын
Thanks brother 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@blaise_nkengurutse
@blaise_nkengurutse 3 жыл бұрын
Salut bro
@kasimuchigala9945
@kasimuchigala9945 3 жыл бұрын
Nazi mzuri saaan kaka Mm nmekugwa swala LA kukemea kitu kwa ukali semah najua na pata na hasila ila Leo nimejifunaza kitu, Kingine uwe unaweka na cotes unazozitaja ziwe zinaonekana kwenye description tuzione znatujenga
@prisikachande
@prisikachande Жыл бұрын
nimejifunza kaka
@ashahassan2120
@ashahassan2120 2 жыл бұрын
Asante
@rehemaelisante1637
@rehemaelisante1637 3 жыл бұрын
Nice
@ismailvuai3035
@ismailvuai3035 3 жыл бұрын
Nimekumbuka ezden kwenye kile kipindi cha dadaz ulishauri watu wasianzishe mahusiano ya kimapenzi kabla ya ndoa je? Unaweza kutuwambiya kwa nini tufanye vile na ukaweza kuiweka kama mada ili wale waliokuwa hawakuingia kwenye mahusiano wawezi kujizuwiya.
@mwl.frankmadembo7472
@mwl.frankmadembo7472 3 жыл бұрын
Nimejifunza sana rafiki yangu!
@suleimannjama6308
@suleimannjama6308 2 жыл бұрын
Brother ningependa uzungumzie njia ya kuepuka msongo wamawazo
@remybuyenzi1856
@remybuyenzi1856 3 жыл бұрын
💥💥💥💥💥
@selinaadam7417
@selinaadam7417 2 жыл бұрын
Saf Mimi napenda
@aminasmart1230
@aminasmart1230 Жыл бұрын
Naomb uniunge kweny group lako
@anordmyinga4432
@anordmyinga4432 3 жыл бұрын
Bro elim yako inatufanya ss tuelimike mungu akupe uzima ili tuendele kuyasikiliza Yale Mambo mazur uyaonge yayo
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka. Nisaidie kuwafikishia wengi zaidi ujumbe huu
@nickvonmusic
@nickvonmusic 3 жыл бұрын
Good morning brother,can you teach us about ways to build up commitment.
@sheddykayanda4369
@sheddykayanda4369 3 жыл бұрын
Kuna wengne hata ukimfundisha kubadilika ni kazi inabidi utumie maneno makali ndo anakaa sawa
@jamilanyakibali5174
@jamilanyakibali5174 3 жыл бұрын
Dah. Stor. Zako. Zinamafunzo. Sana
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
💯
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn 8 ай бұрын
🙏🙏🙏
@muhsinkombo3736
@muhsinkombo3736 3 жыл бұрын
Kukasirika ni miongoni mwa tabia ya mwanadamu, jee ikiwa mtu amekukera au amekuuzi unatakiwa utumie maneno yapi ya kumrekebisha ?
@ThiagoMessi10-f4g
@ThiagoMessi10-f4g 3 жыл бұрын
Ameeen 👍
@fulgencechilambo8224
@fulgencechilambo8224 2 жыл бұрын
Brother ongeA kuusu sifa za gentlemen
@petermose1639
@petermose1639 3 жыл бұрын
Maisha yangu naona ikiwa na mabadiriko bwana jumanne nashukuru
@davidmangi3139
@davidmangi3139 3 жыл бұрын
Tatizo langu mm kila nikiwa na mwanamke hua nahisi ananicheza na inafikia twachana naeza kua na mahusiano adi kufikia Mahal twapanga kuoana mahusiano yanavunjika
@zelfat4956
@zelfat4956 3 жыл бұрын
❤️❤️
@matridachatila6839
@matridachatila6839 2 жыл бұрын
Kukaumu nimeiwlewa sana Nina MTU naishi naye kwakukaumu yani hadi nimechoka uzembe anafanya yeye lakini lazima apate engo ya kunilaumu
@gitabekamasanja3125
@gitabekamasanja3125 2 жыл бұрын
Namna gani ya kusaidia mtu asiye tayari kuweka wazi tatizo lake
@aminaalid9745
@aminaalid9745 3 жыл бұрын
Huna group za wasap ??
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Lipo, text me on whatsapp 0759191076
@gastoluga4551
@gastoluga4551 3 жыл бұрын
Axante xana nmekuelewa xanaa
@juliusmugyabuso453
@juliusmugyabuso453 2 жыл бұрын
Mbona wanasema Mandera Baba yake alimwacha akiwa mtoto mdogo na kutenda kulelewa na rafiki yake Baba yake ambaye alikuwa chief kama Baba yake.
@maureenkemei9254
@maureenkemei9254 3 жыл бұрын
Giving is love
@actorjidda828
@actorjidda828 3 жыл бұрын
Godbless kaka mm bado sina la kuongea lakin ni mpya katka Channel Ni mpya lakn tegemea kunipata zaidi kama shabiki ako Point nimeyoinasa zaidi ni kwamba ili kupata kitu ni lazma utoe kitu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
karibu sana kaka...
@actorjidda828
@actorjidda828 3 жыл бұрын
Thanks bro Napenda sana ila naamini kila binaadam alie kamili husimama kwa miguu miwili lakn hutembea kwa mguu mmoja Unajua maana yake nini, maana yake nikwamba ili kufikia jambo Fulani au kupiga hatua katka jambo ikiwa kama sehemu ya maendeleo ni muhimu zaidi kusurportiana .Hvyo bx ninamaanisha ninauhitaji wa jambo nikiwa kama mguu mmoja You know (Mimi ni mguu mmoja siwez kupiga hatua nikiwa kama mguu mmoja nahitaji mguu wa pili ili niweze kupiga hatua Tafadhal kaka EZDEN JUMANNE nasubir jibu lako
@farhanchaky8625
@farhanchaky8625 3 жыл бұрын
Blaz kweli kunamuda natamani kusikilizwa mimi tu
@matridachatila6839
@matridachatila6839 2 жыл бұрын
Pia mapenda kuku sikikiza zaudi
@shabanzege3050
@shabanzege3050 3 жыл бұрын
Brooo mii nikimkosea mwenzgu huwa namuomba msamaha huwa hapnd kunisamee lkn mraa nyng hua namuomba msamahaa
@paulolugano514
@paulolugano514 3 жыл бұрын
unaachana nae tyuu mzee
@Laila-zl8lj
@Laila-zl8lj 3 жыл бұрын
Nilikutumia wasp sms nifikilie kunijibu kaka yngu ,uliitikia salm tu..
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Okay
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Tuma tena please
@Laila-zl8lj
@Laila-zl8lj 3 жыл бұрын
@@successpathnetwork saw
@epifaniamzumbwe5159
@epifaniamzumbwe5159 3 жыл бұрын
🙏🙏🧠
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 3 жыл бұрын
Mm tatizo langu huwa nahasira za haraka.
@janethendrew8824
@janethendrew8824 3 жыл бұрын
Yote unayoongea yamo vivyo hivyo upo frexh blather
@nadyaally3229
@nadyaally3229 3 жыл бұрын
Jmn somo zuri, lkn mitangazo ipunguzwe, eeh unaangalia kidg, iyo mitangazo, inaboa ...duh
@josekamana6322
@josekamana6322 3 жыл бұрын
Mandela sio mkombozi wa africa wa africa kusini
@official_rayob.8351
@official_rayob.8351 2 жыл бұрын
Hahahaha
@norbypoltv
@norbypoltv 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
MAMBO 10 YA KUKUSAIDIA KUSHINDA TATIZO LOLOTE LILE
29:50
Success Path Network
Рет қаралды 53 М.
Dr. Chris Mauki : Fanya Mambo Haya Kabla Ya Ndoa
8:16
Chris Mauki
Рет қаралды 9 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 15 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
MAMBO 10 YA KUKUJENGEA POSITIVE THINKING
19:47
Success Path Network
Рет қаралды 53 М.
MAMBO 8 YA KUFANYA UWE NA MAISHA MAZURI ZAIDI
13:15
Success Path Network
Рет қаралды 19 М.
Jinsi ya kuacha tabia usiyoipenda.
8:54
Joel Nanauka
Рет қаралды 166 М.
Dr. Chris Mauki: Tabia 9 zitakazokuongezea ujasiri maishani
12:13
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 389 М.
FANYA HIVI UPATE HESHIMA ZAIDI KWA WENGINE
13:37
Success Path Network
Рет қаралды 22 М.
NJIA 4 ZA KUACHA TABIA ZINAZOKUKWAMISHA KUENDELEA
10:32
Success Path Network
Рет қаралды 14 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo 5 kamwe usiendekeze kushirikisha watu
8:15
NGUVU ILIOKO KATOKA MAONO (JOEL NANAUKA)
1:07:09
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 92 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 15 МЛН