Ahsante docta joel yaani nahisi mimi kwenye hii dunia nlikua nadhani nimelala kabisa leo ndio nimefunua macho😳
@abelbenedicto53925 жыл бұрын
Thanks Much My Brother, See you at the Top🤝
@thomaskalonge3 жыл бұрын
Nakuerewa Sana thomasi toka songwe
@amonasimwe4075 Жыл бұрын
Aiseeee yaan wewe ni jibu na baraka haswa kwa vijana kama Mimi, kweli kabisa nilisha fanyiwaga hivi tena na ndugu za wa tatu nabmiaka imepita lakn walivo shangilia tu nikashituka na matokeo nilikuja kuyaona badae ila mpaka sasa sjawai sahau, Nanauka I don't stay in Tanzania but u encourage me beyond description in that I nolonger call u inspirational speaker but a brother n my role model 🙏🙏🙏🙏❤️
@FettyWaziri-yk2tv11 ай бұрын
Ahsante kaka Joel...umenena vyema sanaaa....umenifungua akili, Mungu akubariki sanaaaaaa
@nelsonjonas73342 жыл бұрын
Am so happy for ur teaching Man of God.
@hafsahcletty59685 жыл бұрын
M/mungu Akuzidishie Elimu na Ufahamu Inshaallah
@faudhiatmasoud40255 жыл бұрын
Achana na zote hii ya kukusifia ili upotee ni mbaya sanaaa..badae utasikia"Mi nilijuaa tu hili litatokea"😊
@manenolugendo63965 жыл бұрын
Ujumbe mzito sana Bro Ahsante
@elizabethmhapa36585 жыл бұрын
Asante sana Brother Leo nimekuona Kabwe nikafurah sana japo nilikuwa kwenye gari ila nilifurahi wew ni moja ya mtu muhimu sana Duniani Mungu akupe maisha marefu
@alihassanhaiba69375 жыл бұрын
Hongera kaka Joel hakika ww ni mwalimu kwetu umetupa darsa zuri sana na tutalifanyia kazi
@FrolaJoram-eg1ng Жыл бұрын
Iko vizuri sana hii yamenikuta Asante sana kaka
@bravenet46955 жыл бұрын
nashukuru sana kaka unabadilisha sana maisha yangu siku baada ya ya siku
@dackchakachaka45215 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda na kukupigania.Mungu azidi kukupa maarifa
@juliethfrank66263 жыл бұрын
Aisee we ni bonge la mwalimu
@eddahhawa747110 ай бұрын
Hii Ni hatari sana😢'Ki Ukweli Hata Mimi ninasifa sana watu lakin sio wote ninawasifia Kwa dhati'😢.Ee Mungu ponya nafasi yangu🤲🙏
@mgallason...56865 жыл бұрын
Mwalimu . . . umeamsha hisia zangu na kuiona Kesho yangu ikiwa Bora zaidi, nimekumbana na watu wote hao kwa kweli.
@reginakarema85844 жыл бұрын
Kweli kaka sikila mtu ni mzuri wako wengi ni wanafki!
@kassimmkaninga50055 жыл бұрын
upo sahihi brother somo Nzur Kabixa heshima kwako watu hao wapo Kabixa na tunaishi nao
@dullasalehe26525 жыл бұрын
Thanks Mr Joel Kadri cku zinavyozdi nabdlika kimawazo kutkna Na Elimu yko
@msleny67675 жыл бұрын
Safi sana, hawa watu wako na usishangilie yeyote na umpe moyo wako kama rafiki. Napenda nyimbo ya Goodluck gozbert " KUMBE NI HAO HAO". Never mind about them💁♀️
@muudabest4057 Жыл бұрын
We jamaa mungu anakutumia
@ayubumwampamba7508 ай бұрын
Mwenyezi ameruhusu yasionekane mengine;vinginevyo tungekimbiana ila ashukuliwe kwa kuruhusu manabii kuona kila hatua njema na ovu,Kibali cha Mungu kikisimama na anayependwa na Mungu hakuna awezaye pinga,kinacho subiriwa ni mda ufike,good news
@cymone61595 жыл бұрын
Ahsante kaka nafurahia jinc kila cku napata hatua sababu yako Mungu akuinue zaidi
@khadijajuma71424 жыл бұрын
Watu wote nishawaona ila namba Tisa ilinikumbuka mwenyewe,nimeamua kufanya kitu na sikua na uzoefu nacho,nilikua na mtu wa karibu yeye alikua anakijiua na amesomea ila hakutaka kunielekeza na alikua anajua kama nakosea ila ananisifia. Baadae alivyoona kimeniyumbisha sanaaa ndo akaanza kuniambia hiki kitu mm nakijua na nilijua upivyoanza ulianza sio 🙆🙆na wakati yeye mwenyewe alikua ananisifia mwanzon Daaahhh. Ila nashukuru niliyumba sanaaa ila sikuanguka moja kwa moja.Nitaendelea kusimama na sasa video zako zimenifunza mengi sanaaaa.Hata nikitaka kuanzisha kitu kipya najua nianze vip.🙏🙏🙏🙏Barikiwa
@happymokoye42515 жыл бұрын
kwel kbsaaaaaaaa
@leilamohamed74455 жыл бұрын
Nikwelikabisa sisi watu Siyo wote wenye mpendeteya mwezako mazuri tuombepe mungu atuongoze
@leilamohamed74455 жыл бұрын
Asante ana8. Ili nipata lakini nashuku mungu walishindwa umakini muhimu
@naamohamed99643 жыл бұрын
Swadaktaaa
@ImpressiveFacts5 жыл бұрын
Ahsante sana kaka. Nimejifunza jambo zuri sana hapa
@maishabernard20795 жыл бұрын
Shida ipo kwenye kuwatambua hawa watu!
@maishabernard20795 жыл бұрын
Hivi unajua wabongo wanavyojua ku act! Wanaishi kama wanarecord muvi,tena aweza kua ndugu kabisa!
@mohamedothumanhussein27925 жыл бұрын
Good education bro
@user-cw4en7wt8k Жыл бұрын
Amen
@thegirl14055 жыл бұрын
Shukraan sana brother yaani hiyo ya 5, 7 na 8 ni shida
@frankgabriely92944 жыл бұрын
Good
@charleschacha62575 жыл бұрын
Aisee ni kweli me nimekutana na huyo wa 2alikuwa ananisifia hadi mwenyewe nachukia kumbe akitoka kwangu ananisema vibaya mno,namshukuru Mungu nikamjua mapema nilimfukuzia mbali sana
@rahemahrahemah27195 жыл бұрын
Shukraan teacher Joel, hiyo no 8 nishawai kukutana nayo! Baada yakuona hawajafanikiwa na mawasiliano waka kata .
@ipangamataro33684 жыл бұрын
Great lesson
@tumainisemakuba35202 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka Joel
@zainilkanji914111 ай бұрын
Bomba
@joseefaidabutu72944 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa
@agnessestoni56315 жыл бұрын
Kaka joeli yani uku ninapo fanya kazi ao wqtu wapooo Wazungu yani wanakulipa wao mshaharaa alafu wanaumia wakikuona unapendeza, wanapenda sanaaa kusifia mara nimependa kiatu chako mara umenunua shingapiii, mara ukiwa off uwaunafanya nn nyumbani yani wana matabia mabaya mnoo tukiwa kazini wanaingia kwenye vyumba vyetuu na kuangali tunaela kiasia gani, Nachukia mnoooo mtu kunipekua chumba changuuu
@olaismosses91675 жыл бұрын
Nimekupata brothe daah kama zotee zipoo
@donaldsydney85742 жыл бұрын
Yani bro mungu akubariki🙏
@michaelkessy57405 жыл бұрын
Hii Ndio best Topic 2019.
@GoleEmpire5 жыл бұрын
Dah Kwangu n Aina zote. Mm hulewa sifa na Kibwatuka my strategiez. Kama unanisema hivi. Am Very Thankful Mr Jn
@salmaalimusa5475 жыл бұрын
Kweli kabisaa mm wananisifia niache kazi nisirudi tena lkn niligundua sababu.shukran kaka
@sophiambunda15074 жыл бұрын
Asante bro kwa mafundisho yako mungu akupganie ili utufungue tulio fungwa me kwa upande wangu n iyo ya 5 na ya 10
@paulduta30165 жыл бұрын
Masomo yako yanajenga balaa lkn nilitamani nipate kitabu chako.
@joshuakwelimoto64945 жыл бұрын
Kuna dogo alivyojua nina nyumba baadae alinigeka mpaka Leo ninauadui nae alivyoiona alinisifia sana
@owlbig5 жыл бұрын
Asante buda
@fidelismukandara9325 жыл бұрын
Kweliii nimekuwa mtu wakusifiwa Sana'a na kujikuta nikitoa baadhi ya Plani zanguuu, kumbe ni hilaa dhidhi yanguuu? Duuuuuu
@cleopatraadolf64922 жыл бұрын
Kaka watu kama hao nimekutananao sana
@user-cw4en7wt8k Жыл бұрын
Nashukuru sana kaka
@firdausabdullah63155 жыл бұрын
Wanafik hao
@ellizabethndumburu83062 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka
@wycliffephinus42374 жыл бұрын
Ubarikiwe kaka
@mosesmkune5695 жыл бұрын
Asante kwa kunifanya nakua makini
@msafirimbeya3329 Жыл бұрын
Namba Saba ninao wengi sana
@masigobenedict30595 жыл бұрын
I get you brother but the problem starts how to know such kind of people
@jeromemunisi30035 жыл бұрын
Kwel
@rajabuibrahimu43385 жыл бұрын
Wallah hii imenigusa kuliko zoote Sikomi kukusikilza bro.. Kaz nzuri Mungu akulinde.. Wewe ulitakiwa kupewa kaz maalum ya kusaidia watanzani.. Maana %kubwa ni wagonjwa Wa fikra
@hassansimba36803 жыл бұрын
Ndio blz
@motivationperson33345 жыл бұрын
Brother joel , Asant sana kunavitu nimejifunza, GOD bless you
@lorryrurangwa52774 жыл бұрын
Naiga vyingi kutokeya kwako, Mungu akubariki.
@eliasbufula24822 жыл бұрын
Ndio hiyo nimesha kutananayo .
@venfatv32085 жыл бұрын
nakuelewaga sana.
@richardvalson98685 жыл бұрын
Daaah ßrother asante sana kwa Topic yako nzuri na hawa watu huwa tunakutana nao mara kwa mara na wengine tunaishi noa kabisaa,#Joel_Nanauka hawa watu tunaepukana nao vip!!?maana naona kila kona wapo Asey,
@tatu3tatu5492 жыл бұрын
Asant sana mimi nilijua kawaid tu nilikuanaigwa hadi nguo za kuvaa
@tatu3tatu5492 жыл бұрын
Utakuta mtu anakua karib na mimi ananiiuliza nguo fulan ulinunua wapi au ulishona wapi nikawa nawaambia naona swal la kawaida kapenda nae kuwa kama mimi
@amosgidion12604 жыл бұрын
9 ni mbaya zaidi
@Alama_Tv_online5 жыл бұрын
Mimi nimeona zote ,,, dah mwalimu ! Umeamua kusema ukweli kabisa .. Yaani natamani kila mtu angeona hili somo . watanzania wengi hawapo kwenye social networks ... Yaani hii nitampa jamaa mmoja ananisifiaga sana lakini akienda kwa watu yeye ndo mbaya wangu .. Tena nilipanga kumdunda ngumi kabisa ..
@rajabuibrahimu43385 жыл бұрын
Laizer Koipapi Peter watanzania wapo kwenye social network... Lkn wakat we unaangalia motivated speech... Wenzako wanaangalia Baikoko
@geofreypeter42904 жыл бұрын
Asante brother
@anisiamedard37755 жыл бұрын
Asante sana mi Nimejionea watu wa hivyo wabaya sana
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Ni. Furaha. Yangu Elimu yako ipo kila Wakati
@edwinmbakile3585 жыл бұрын
Thx bro
@richardvalson43134 жыл бұрын
Tuko pamoja
@vanillacarpet16954 жыл бұрын
Nikweli kaka mambo yote uliyo sema yapo
@emmanuelmalele14395 жыл бұрын
Nice inspiration speach, thx bro
@lovenessminja24605 жыл бұрын
Dah kaka nimejifunza Sana barikiwa Swali langu NI hili ukishawajua ufanye Nini mfano Mimi huwa wanaonisifia wanatamani Sana wafanye vitu navyofanya yaani wawe Kama mimi
@zahramunir85964 жыл бұрын
Thank you so much.. and bless you!!!
@yussufmbuko95645 жыл бұрын
Dah! Somo zri sna limenigusa haswaaa.
@zuhuraabdillah69415 жыл бұрын
watu wanakusifia ili kuficha maovu yao. i have vivid example happened to me. thank you for sharing
@piusgiringa4095 жыл бұрын
kaka nanauka hakika nimekutana nao wengi sana
@dnassehtz5 жыл бұрын
Daaah mle mle kila kitu ambacho umeongea nikweli hapa nimejifunza kitu juu ya watu
@EliaoleshengEa-pv8fu7 ай бұрын
Hi
@salehemwendwa96852 жыл бұрын
Umenifundsha elimu kubwa saana hao wote nimekutana nayo hasa namba 8 , MUNGU AKUBARIKI SAANA KWA ELMU NZURI
@azizakwileka16864 жыл бұрын
Kaka unazungumza mambo ya msingi sanaaa... Mungu akubarikiii mnoo
@jayma15375 жыл бұрын
Asante..nitawatambuaje hao watu
@augustinomwamasinga22005 жыл бұрын
Uko vzr sana Jnanauka, unaezafundisha na nimepata mambo mazr bro!
@joshuakwelimoto64945 жыл бұрын
Nilinunua gari kuna friend mmoja alinisifia lakini moyo wake alikuwa mbali namimi.kuna Siku alilidharau gari langu kwakunitamkia kabisa kisa nilimwambia sitakupitia Leo nipita njia Nyingine ukosahihi teacher
@DRICK-vn3oj5 жыл бұрын
SHIKAMOO BRO.
@mwanaheriomary73335 жыл бұрын
Daah asante,barikiwa
@beastmc66635 жыл бұрын
Shukurani sana kaka ao watu kila cku na kukutana nao karibia sifa zote Apo
@piddyadolph40625 жыл бұрын
Asante sana bro, tunazidi kuchukua point za msingi za kimaisha
@thomasdamas43474 жыл бұрын
Kweli Joel.... GOD bless
@amanimbaula59562 жыл бұрын
Nanauka my guys,umewapatia leo chawa kweny maficho yao hii dawa haitaj kurudia,japo usije ukatuweka kwenye makundi yako bwana
@geraldkidugalo7341 Жыл бұрын
My mental nawezaje kujua kama watu wananisifia kwasababu ya watu wengine
@winnyshayo88125 жыл бұрын
BARIKIWA KAKA JOEL.
@zahramunir85964 жыл бұрын
Kweli kikulacho ki nguoni mwako.!
@judithmbwilo11945 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel, yani mimi karibia wote nimeshakutana nao, asante kwa elimu nzuri, nitakuwa makini sana na watu hao!
@dianamalingumu45165 жыл бұрын
hii imenikbusha mbali mbali namba 8 ilishawahi kunikuta lkn nilijifunza mengi kwa Sasa naweza kuyashida hayo mambo shukurani kka kwa somo zr
@joshuacharles43135 жыл бұрын
uko vizur kaka ila nahitaji kujifunza zaidi katika mahusiano ya kimapenzi