No video

KINACHOKUFELISHA NI KUWANG'ANG'ANIA WATU WANAO KUKATAA - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 30,949

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 91
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 10 ай бұрын
Huyu jamaa alinisaidia sana kupata zaidi ya 10M nikiwa mwaka wa kwanza chuo mwaka Jana ,namkubali sana
@daudhabona8897
@daudhabona8897 10 ай бұрын
Kaka ni kweli. Mi ni shuhuda sana na Cha bahati nzuri mi nilimjua muda akiwa na blog. Na huku nilipo naogopwa Kwa mafanikio Kwa Rika langu. Mungu ni mwema
@abdulyardang4628
@abdulyardang4628 10 ай бұрын
Ulifanyaj kak
@abdulyardang4628
@abdulyardang4628 10 ай бұрын
Ulifany nn mpk ukawa hivyo
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 10 ай бұрын
Nilianzisha biashara za forex kwa kutafuta ujuzi na Sasa ninavyoongea hivi tayali ishanitengezea zaidi ya 70M,na Sina shaka tena na fedha ,pia kupitia hiyo tayali Nina mikiki boda boda 6 zinafanya kazi na ndio naingia mwaka wa tatu😂😂😂
@mtaostephen3660
@mtaostephen3660 10 ай бұрын
@@japhethcharles5791 we mtoto fala sana
@African511
@African511 10 ай бұрын
Mungu huleta mtu wake kuokoa watu wake,Nanauka wewe Mungu anakutumia sana,Mungu asante kwa huyu Prof Nanauka,me nakuita Prof Nanauka ♥️
@user-ew3wc2wt2e
@user-ew3wc2wt2e 5 ай бұрын
Dah ningekujua mapema ningekuwa nishaatengeneza kitu kwenye maisha yng ila sijachelewa leo ni siku ya pili na nimejifunza mengi sana Alhamdulillah thank you brother 🙏
@HeriethSylvester-dm3nb
@HeriethSylvester-dm3nb 10 ай бұрын
Kuna wengine wanakuchukia unakuta wamekuzidi lkn bado wanakuchukia hata cjui nn shida
@princekarani7836
@princekarani7836 10 ай бұрын
Hao wako na roho mbaya na wanaongeaga maneno ya kukukandamiza chinichini ili kukudumaza akili,na wanakuchukia hawatamani ata icho kidogo ulichonacho uwe nacho,wewe piga kazi au endelea na mishe zako kaa nao mbali atakama ni ndugu
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 10 ай бұрын
Nimependa sana iyo point ya huwezi kukubalika na kila mtu
@starplatnumz
@starplatnumz 7 ай бұрын
Daah kk ninazawadi yako from kigoma welcome kigoma town umekuwa faraja yang namwalim wang 🎉🎉🎉
@nikumwalemba4841
@nikumwalemba4841 9 ай бұрын
Ahsante Joel Kwa masomo Yako, najifunzaa mengii, ubarikiwe
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo 10 ай бұрын
Nimependa sana iyo point ya huwezi kukubalika na kila mtu kumbe wale wanaokosoa pia wengine sio kama wazuri ila wanatuvunja nguvu mungu akubaliki sana kaka joel. Tupo pamoja
@FARIDCUMPUNIY
@FARIDCUMPUNIY 10 ай бұрын
Your my best teacher kaka NANAUKA , THE MORE I GET YOUR LESSONS THE MORE I BECOME BRAVER , CLEVERER AND VERY SPECIFIC PERSON
@billjeremiahmaiwe
@billjeremiahmaiwe 9 ай бұрын
Dear Joel Nanauka. I wonder so much your skills and creativity that you have. Always I learn something from you that '' in order for somebody to reach a goal his or her must live the purpose for someone to be born "" May God Bless you Man of Integrity.
@JLXNINEJNINE
@JLXNINEJNINE 9 ай бұрын
Viziri inasaidia Sana hii kaza Sana tushukuru na kwa mchango wa mawazo
@JLXNINEJNINE
@JLXNINEJNINE 9 ай бұрын
❤Mimi NAPENDA kukosolewa sana
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 10 ай бұрын
Kifo cha wengi arusi maana yake tukose wote ndiyo utaamin kuna watu wanazaliwaga wakiwa wachawi ndiyomaana africa maendeleo ya watu uwa yanawaumiza watu wengine kuliko shida na matatizo yao
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤ ubarikiwe mnooo
@medlucas5686
@medlucas5686 10 ай бұрын
Asante bro unatukaza kimaisha tunaelewa ninintufanye Nini tuache
@swalhinajuma4149
@swalhinajuma4149 10 ай бұрын
Nmecheka lakn nmejifunza
@ondumamary9452
@ondumamary9452 8 ай бұрын
Thank you pro i will not remain the same.My God bless you more
@user-lk6yw4nk2q
@user-lk6yw4nk2q 9 ай бұрын
Nakuelewa
@aminamohammed1430
@aminamohammed1430 3 ай бұрын
Hiyo ni kweli
@dorahmatitu2554
@dorahmatitu2554 10 ай бұрын
Yaaan nmecheka mno. Ni kwer watu wengi awapendi maendeleo ya mtu. Chuki inakuja baada ya mafanikio tunatakiwa tusamehaneni ili maisha yaende!!!
@swalhinajuma4149
@swalhinajuma4149 10 ай бұрын
Nmeelewa jamaniiii
@alexnaftal5712
@alexnaftal5712 10 ай бұрын
Hahaha unaongea point sana kaka Joel hii ni kweli ipo kwenye jamii yetu hasa ya kitanzania watu wanahitaji levelling na ndo jambo ambalo haliwezekani
@isaacmagesa_TZ
@isaacmagesa_TZ 10 ай бұрын
Mungu akubark sana sana. niko hapa by Isaac Magesa.
@hussenmohamed4649
@hussenmohamed4649 10 ай бұрын
Aisee uyo ni mimi kabisa
@hadidjaissa9154
@hadidjaissa9154 10 ай бұрын
Kaka umenitia moyo❤
@SarahDavid-nz8ir
@SarahDavid-nz8ir 10 ай бұрын
Toka nimeanza kumfatilia nimekuwa mtuwa tofauti nilianza biashara ya chakula chamifugo nikiwa naguniamoja nikaanza kufatilia clip ya timiza malengo Sasa ninamiliki duka kubwa nanilianza nagunia mbili Sasa namiliki gunia hamsini na madawa pia nishaanza kuuza mungu azidi kumpa maisha marefu siku nikifika dar lazima nitafute kanisalake nikamtembelee
@EliabuMabusi
@EliabuMabusi 9 ай бұрын
Mungu.akuongezee marifa maana yanatukomboa kutoka kwenye ufinyu
@user-hq9le5wd9g
@user-hq9le5wd9g 10 ай бұрын
Joel nanauka namkubali sana, alinipa elimu ya fedha tangu nikiwa mzumbe mwaka 2, hilo somo linaitwa jinsi ya kukuza biashara. Nimeona mabadiliko makubwa kwangu
@user-dw7tp6uc2b
@user-dw7tp6uc2b 10 ай бұрын
Kakangu nakuombea sana , Naimani Mungu atakuinua zaid by muinjilist sipelatha.
@tausihasheem5169
@tausihasheem5169 9 ай бұрын
Asante bro..
@NicholausSaid
@NicholausSaid 10 ай бұрын
ukweli najifunza sana kupia mafundisho yako mengi yamenisaidia sana kiroho hata kiuchumia na kijamii pia i mean mahusiano.Mungu akutunze bro wewe ni zaidi ya zawadi ya milion kadhaa be blessed bro.
@matrugnawangaeli4815
@matrugnawangaeli4815 10 ай бұрын
Asante bro, ni muda nikitaka kuanzisha biashara ndogo ili nijifunze jinsi ya kupambana nayo. Kama ulivya zungumza tatizo langu kubwa ni kupata wateja. Halafi nafikiri hata mawasiliano yangu ni madogo. Sasa nimejifunza nitajitahiki kadri ya uwezo wangu. Mungu akubariki, week end njema. 10:29
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 10 ай бұрын
True kaka. Kuna watu wa karibu ni tegemezi sana na wanalalamika ukiwa haupo karibu wanakuponda. Ubinadamu ni kazi!!
@naumikabila5880
@naumikabila5880 10 ай бұрын
Kweli kaka watu wa karibu usipo kua jasiri wanakurudisha nyuma kabisa ,mim nina rafiki yangu yani kila nikipost biashara yangu statas ana view cakushangaza ana comment emoji za kucheka it hurt me
@MariamuChidaga-bp1rr
@MariamuChidaga-bp1rr 10 ай бұрын
Aaaaa nimefurah sana lakini pia nimejifunza kitu kikubwa sana kaka angu,, Mungu akubariki sanaaa🙏
@masilastahona7010
@masilastahona7010 10 ай бұрын
Hiii kwangu imenitibu Leo mana nilishaga kata tamaa sant kwa funzo muruwaaa🙏
@alonerider7164
@alonerider7164 10 ай бұрын
Huyo ni Joel👊👊
@bernadethanyarufunjo9518
@bernadethanyarufunjo9518 10 ай бұрын
Mkuu. Habari uko vizuri Lkn naomba upokee simu
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 10 ай бұрын
ASANTE
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 10 ай бұрын
Asante Sana
@GildaShima-fw4gj
@GildaShima-fw4gj 10 ай бұрын
Kaka mungu akubariki nilikuJua mwez michache tu nimebadilsha maisha yangu
@niriacatering172
@niriacatering172 10 ай бұрын
Shukrani
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 10 ай бұрын
Umekuwa mwalimu wanghu sasa kwa miaka mbili nimejifunza menghu kwako
@user-wi1vh5vx6x
@user-wi1vh5vx6x 10 ай бұрын
Great! 🎉
@jumananamwa3104
@jumananamwa3104 10 ай бұрын
Bro ww ni mkali
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 10 ай бұрын
Nakuelewa sana kaka Joel,ubarikiwe haki ya Mungu na uzidi kutupatia madini ya gharama kama haya. Thanks alot brother.
@erickathanas
@erickathanas 10 ай бұрын
Asante bro Nanauka kwa somo zuri
@MCmakore
@MCmakore 10 ай бұрын
Big up❤
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 10 ай бұрын
Najifunza mengi sana my brother Joel nanauka ❤
@felsonsanga8502
@felsonsanga8502 9 ай бұрын
Amen
@user-po9ww7cd7n
@user-po9ww7cd7n 10 ай бұрын
Asante tunazidi kujifunza vitu
@amosmahona433
@amosmahona433 10 ай бұрын
MUngu aKubariki sana
@EliasMinga
@EliasMinga 10 ай бұрын
Like father like son
@user-dw7tp6uc2b
@user-dw7tp6uc2b 10 ай бұрын
Nashuktu Sana umenifundisha kuwatambua marafiki wanafiki jaman wenichoshaaa
@user-dw7tp6uc2b
@user-dw7tp6uc2b 10 ай бұрын
Natamani kuwa na marafiki wenye njozi ila wengi wananianyusha.
@user-pg5ve3sn3v
@user-pg5ve3sn3v 10 ай бұрын
Mr Nanauka Umekua mtu wa muhimu maisha yangu, Nimepata mafunzo mengi Nikajihisi huru. Uoga nilikua nao kibyashara ikaisha. Mungu azidishe maarifa yako Ningependa kukaa na wwe karibu uwe unanishahuli kia wakati
@godblessnetworkcollege9953
@godblessnetworkcollege9953 9 ай бұрын
I appreciate you broo bajikuta nakubalika tuu kupitia mafunzo yako I feel to meet with you brother 🙏🙏🙏
@Elnathatz9749
@Elnathatz9749 10 ай бұрын
Uyo wa kusema c unafanya biashara n rafki angu kabisa huyu😅😅😅😅😅
@RICHARDWAUSA
@RICHARDWAUSA 10 ай бұрын
Asante mwalimu
@manuelfranciscofrancisco5779
@manuelfranciscofrancisco5779 10 ай бұрын
Sto Moçambique muito obrigado
@eliudikijuzi4909
@eliudikijuzi4909 10 ай бұрын
Thenx brother
@paulinmachlory9362
@paulinmachlory9362 9 ай бұрын
Tunapomsikiliza huyu jamaa ukiwa makini,Kuna madini yaliyojificha ndani mwake,shida tunaulemavu wa kuthubutu.
@user-dw7tp6uc2b
@user-dw7tp6uc2b 10 ай бұрын
Asante
@mkundevincent-uz7qn
@mkundevincent-uz7qn 10 ай бұрын
Hata wanasema tu wape na bei ya wholesale
@Elnathatz9749
@Elnathatz9749 10 ай бұрын
😅😅😅😅😅WANAKOPA MNOOO JAMANI JAMANI NATAMANI KUWATAJA AU BASI NIMEFURAHIA SOMO LA LEO AF WAO USIPOWEKA VYAO STATUS WANAANZA KUSEMA UNA TABIA MBAYA😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lucianambalamwezi1864
@lucianambalamwezi1864 10 ай бұрын
Nimecheka jamani ila hili lipo mnooo kaka unapoanza wanajua hufiki popote ukionyesha unapanda tuuu heheee wanakuinulia vikwazo chuki
@abeidmbarouk6280
@abeidmbarouk6280 10 ай бұрын
See u at the top
@user-sn4dl4qb3g
@user-sn4dl4qb3g 10 ай бұрын
Baba naomba kile kitabu chako ya kujifuza kuweka pesa kinachapishwa heko $$$$njuu
@evahcricens7355
@evahcricens7355 10 ай бұрын
🙏🙏
@abeidmbarouk6280
@abeidmbarouk6280 10 ай бұрын
See you at the top
@robbyman6213
@robbyman6213 10 ай бұрын
🙏🙏🙏
@user-gg5jz7ct8n
@user-gg5jz7ct8n 10 ай бұрын
Naomba namba naipataje kaka nina shida na wewe nahitaji ushauri wako tafadhali
@LucksonEdwardmgallah-tf5nc
@LucksonEdwardmgallah-tf5nc 10 ай бұрын
Kuna watu hawawezi kufanya kitu mpk ajue wanaomzunguka wanamuonaje
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 10 ай бұрын
😂😅
@eliardjames7581
@eliardjames7581 10 ай бұрын
Nilipitia Magumu,,nikashindwa kuelewa nini ni ,, kuangalia vipind vyako nimepata baadhi ya majibu 70%
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-gg5jz7ct8n
@user-gg5jz7ct8n 10 ай бұрын
Naomba namba naipataje kaka nina shida na wewe nahitaji ushauri wako tafadhali
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 119 М.
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 44 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 52 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 18 МЛН
Nini Chakufanya Unaposemwa Vibaya Na Watu?
11:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 178 М.
TAMBUA MAJIRA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA
10:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 6 М.
Wajue Maadui 4 Kwenye Maisha Yako
7:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 143 М.
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 189 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 kuiteka akili ya mpenzi
7:10
Chris Mauki
Рет қаралды 52 М.
NJIA 6 ZA KURUDISHA HESHIMA KWA WANAOKUDHARAU.
14:38
Lazaro Samwel
Рет қаралды 21 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 60 М.
SIKILIZA SAUTI YAKO YA NDANI - JOEL NANAUKA
6:20
Joel Nanauka
Рет қаралды 32 М.
Siri 4 Za Kujenga Nidhamu Ya Kutoa Pesa.
5:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 79 М.
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 44 МЛН