Naomba tafasili ya ndoto nimeotoa naendesha Gali lakin kuna rafik angu akaniomba me nikashuka kwenye lakin ghafra nikaona ameanza kuyumba na akaacha Barbara na kwenda kpata ajali nimefka nimekuta kapelewa osptali na gar limefunikwa na mwenye gar akifka akanambia niombe mungu gar tuu iwe salama ndipo nikashtuka na hofu kubwa daa.sjui inamaana gan shekhe
@MuasitiAboBakri-ew5mu5 ай бұрын
Asalaam aleykum shekhe nimeota nimepata ajali ila kwenye iyo ajali tumenusurika wawili kutoka miongoni mwa hao wawili tuseme huyo mmoja kanishika mkono kunisaidia tukatoka salama je inamaana gani na ukiangalia napendelea sana kula tende, boss wananitafutia sababu nafanya kazi tofauti na makubaliano nafanya ila mshahara tofauti naulipwa kesi kibao zinanipa uzuni kubwa mno inshaallah allahumma amiiy khery🙏🙏🙏
@JohnMuhoza-sf5xg5 ай бұрын
😢😢
@ElizabethMungania-hn4yo Жыл бұрын
Naomba ushauri. Nmeota nimegongwa na gari ila sikuumia nliumia ulimi TU ndio uliokuwa watokwa na damu