TAFSIRI ZA NDOTO ZA BAHARINI / Imamu Mponda

  Рет қаралды 8,259

Mponda Media

Mponda Media

Күн бұрын

Пікірлер: 7
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 3 ай бұрын
Ukiota mwanamke anaogelea baharini ila amemaliza kuogelea anataka kutoka babarini ila yuko vizuli, tu je inamaana gani shekhe
@matridamahundi2090
@matridamahundi2090 Жыл бұрын
A salam aleikum shekhe samahani mm leo nimeota Niko na mtoto mgongoni nikawa navuka wakati naanza kuvuka bahari ilikua imekauka nilipofika kimo cha magoti bahari ikaanzaa kujaa maji nikasogea adi sehem inakisiwa ambapo bahari ilizunguka iko kisiwa na nikamuona mtoto Wangu wakiume akawa ananipa mkono kunisaidia nikapanda adi kwenye iko kisiwa mkononi nilikua na samaki mmoja mkubwaaa baada ya kupanda kwenye kisiwa nikakuta mwanangu kaokota samaki wengi zaidi na wakubwa nini maana yake shekhe
@mwanamisi9033
@mwanamisi9033 Жыл бұрын
Na je ukiota bahari lkn washindwa kuvuka na wenzako wanapita inamaana gn
@IbrahimRamadhan-cm4rj
@IbrahimRamadhan-cm4rj 9 ай бұрын
Je mm nimeona kasa anaogelea kwenye bahari je hiyo inamaana gani
@kaundimemussa9575
@kaundimemussa9575 Жыл бұрын
As alleikum shehe niliota niko kwenye boti lakini bahari ikachafuka likayumba mm nakaka yng tukaangukia upande wapi lakn nikamuona mtume muhammad. Je nn maana yake
@aishaselemantwarabu-wo8zq
@aishaselemantwarabu-wo8zq Жыл бұрын
nimeota naoga maji ya bahari lakini siumwi napona nini sasa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 15 МЛН
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 112 МЛН
NDOTO ZA MCHANA/NDOTO / Rev/Dr.Paul Thomas Nyabagaka#
53:11
Dr Paul Nyabagaka
Рет қаралды 12 М.
NDOTO ZINAZOHUSIANA NA SAFARI KINYOTA
8:39
Utabiri Wa Nyota
Рет қаралды 54 М.
TAFSIRI YA NDOTO MTU KUOTA ANATUMBUKIA KWENYE MAJI"SHEIKH ABUU JADAWI.
15:35
KUOTA UKIOKOTA MASHILINGI (COINS) HII NDIYO MAANA YAKE!
1:20:59
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 35 М.
KAMA HUNA SIFA  HIZI JITATHIMINI // SHEIKH OTHMAN MAALIM
52:43
arkas online tv
Рет қаралды 10 М.