Рет қаралды 6,155
Miaka miwili baada ya kuishi kifungoni India, alikopelekwa na Muingereza, Sayyid Barghash bin Said alirejea tena nyumbani na kupatana na kaka yake, Sultan Majid, kabla ya kifo cha mtangulizi wake huyo, naye kushika rasmi madaraka ya Dola la Zanzibar. Leo Sheikh Riadh Al Busaidi anasimulia jinsi Sultan Barghash alivyoleta mageuzi kwenye utawala wake.