Daah hakika wanadam mnamiyo migum hata hapo Bado hamuamini Tena bado mnaanza Tena kumbeza mtuma krip daah mungu awasaidie sana ninyi washilika wote wa hao watumishi wenu
@facilitylema842313 күн бұрын
Kwani ulitegemea mchawi akubali.kunyoosha maelezo wakati ameshakamatwa ?
@user-gm4qi3nn9n28 күн бұрын
Wew nawe
@user-mu8mh1xd2x29 күн бұрын
Sa ndo nn kinachekesha hapo
@user-zx2ny5fw4h17 күн бұрын
Acha kutafuta kiki mdgo etu
@goldermeirshoo122811 күн бұрын
Anayecheka hajui kitu wala hajui tabia za mapepo ni maongo kama Baba yao shetani, aliyetuma hii clip alitaka kumdhalilisha mtumishi wa Mungu, kumbe kajidhalilisha yeye
@facilitylema842313 күн бұрын
Kinachokuchekesha hapo wewe ni kitu gani. Usipende kuongea mambo usiyoyajua.