IFAHAMU HISTORIA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

  Рет қаралды 4,841

TBConline

TBConline

Күн бұрын

Watanzania leo wanaadhimisha miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kauli mbiu ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu ni , Muungano Wetu ni Msingi Imara wa Mapinduzi ya Kiuchumi, Tudumishe Mshikamano Wetu.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa Aprili 26 mwaka 1964 ikiwa ni Muungano wa mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ambayo yaliingia mkataba wa Muungano
mwaka 1964 na kuanzishwa dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkataba wa Muungano ulitiwa saini na aliyekuwa Rais wa Tanganyika, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 22 mwaka 1964 huko Zanzibar.

Пікірлер: 4
@mwanaidialiame318
@mwanaidialiame318 Жыл бұрын
Shukran sana 🙏
@fathiyaally8631
@fathiyaally8631 2 жыл бұрын
Zanzibar zanzibar zanzibar tunaipenda tunataka zanzibar mamlaka kamilii
@abelypeter3225
@abelypeter3225 3 жыл бұрын
Mwalimu nyerere rip
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 3 жыл бұрын
muungano hatunahistoria chamsingi mueke tanga nyika tuwena zanzibar ndio iwepona muungano
#TBC1: KURASA DARASA: JIFUNZE NIDHAMU YA KUSIKILIZA
27:32
TBConline
Рет қаралды 251
Ifahamu historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
15:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 12 М.
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 15 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 42 МЛН
HUKUMU YA KESI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR YATOLEWA
3:38
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 5 М.
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
TVNET X
Рет қаралды 271 М.
IJUE HISTORIA YA TANGANYIKA KABLA YAKUPATA UHURU
11:50
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 37 М.
#TBC1 - MAKALA KUHUSU RASTA | HISTORIA YOTE IPO HAPA
17:40
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00