Kwa Nini Marekani na Ulaya Wamechukizwa na Ziara ya Putin Nchini Vietnam

  Рет қаралды 26,560

The Chanzo

The Chanzo

Ай бұрын

Rais wa Urusi Vladimiri Putin amemaliza ziara yake nchini Vietnam baada ya kuwasili hapo jana asubuhi, Alhamisi Juni 20, 2023, ambapo alipokelewa na mwenyeji wake To Lam, Rais wa Vietnam.
Ziara hii imekosolewa vikali na nchi za magharibi zikiongozwa na Marekani pamoja na Umoja wa Ulaya.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 20
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Ай бұрын
Wakome ..wamarekani wadhalimu sana.. Wana roho mbaya
@user-eb3hf1lm9e
@user-eb3hf1lm9e Ай бұрын
Hivi wapi wadharimu km ya urusi na marekani urusi pga hayo mashoga
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 Ай бұрын
Upo vizuri
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Wamarekani na ulaya mashoga wanaona waume kwa waume na wanawake wanaona wake kwa wake 😢😢
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 Ай бұрын
Marekani ndiye anaestahili kutengwa na dunia, anavuruga amani kwa faida yake. Atengweee.
@rashidmollel529
@rashidmollel529 Ай бұрын
Kabisa!!
@mabulajoel1967
@mabulajoel1967 Ай бұрын
Endeles Putin kupanua wigo na kutafuta wadau wa kunyoosha hao mashoga.
@SalimuKimaro
@SalimuKimaro Ай бұрын
Wamarekani bado wanandoto ya kuendelea kuitawala Dunia, ni jambo ngumu sana,manya nyaso yao ndiyo wamafanya mataifa mengine kujipanga, ss anapata taabu sana, China ni super power kiuchumi na kijeshi ,marekani na mashoga kwisha
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 Ай бұрын
Wivu tu
@user-xl9so6jg1e
@user-xl9so6jg1e 28 күн бұрын
Hao wataungana mpaka wachoke lakn mzungu ana tumia akili sana sana.... Marekani hawezi shindwa kirahc hvo
@MohamediOmari-nz4vv
@MohamediOmari-nz4vv Ай бұрын
Vietnam wanapigana hawa jamaa 😅😅😅
@PUTINN365
@PUTINN365 Ай бұрын
Urusi piga hao mashoga
@gorettimtungwe9011
@gorettimtungwe9011 Ай бұрын
Mandira boy anawasungua vichwa, ❤Putin. Kama wanaweza wafanye ziara kwa Kim
@adimudachi7984
@adimudachi7984 Ай бұрын
Yaani mpaka waseme pakahao
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Ай бұрын
Washindwe kbs wamarekani
@mapundawilliam370
@mapundawilliam370 Ай бұрын
Hilo niswali la wasio elimu.
@user-xo4qc2hk4j
@user-xo4qc2hk4j Ай бұрын
Putni ongeza washirika uwe na G 10 muwapige hao mashoga
@RamoDee
@RamoDee Ай бұрын
Marekani ni mbwa
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Ай бұрын
Marecani jasusi wa dunia.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
marekani mashoga ya dunia
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 15 МЛН