KUMEKUCHA MBETO AMJIBU JUSSA SAKATA LA MH MAZRUI MBONA HAKUSHIRIKI MKUTANO WENU KUNA NENO

  Рет қаралды 10,033

Tifu Tv

Tifu Tv

26 күн бұрын

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Пікірлер: 79
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 24 күн бұрын
Bwana. Mazroui Mungu amhifadhi akisifu hakuna teno unaweza kusifu hata kwa maaduwi zako, anaijuwa siasa vizuri pia ni mtu mwenye heshma na adabu na UWAMINIFU mkubwa kama Waziri hapo Unguja.Yalomkuta Kwa CCM siyo madogo. Watu wanakaa kwa HADHARI.
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 24 күн бұрын
Sawasawa.
@Hilali-ff5ul
@Hilali-ff5ul 23 күн бұрын
Duhh kwel ccm ime kwisha mpka mbeto una mtaka mazrui😂
@BonifaceBuliba
@BonifaceBuliba 25 күн бұрын
Mbetto ameshikwa kweli naona amekuwa mweusi hakika Jussa ni Professional Mbung'o.
@HassanAhmed-di9jq
@HassanAhmed-di9jq 24 күн бұрын
Mboto sikiliza walikuwepo zaidi ya mazurui wakatoka nabado hatujatetereka si tatizo hata akitoka ss bado tupo palepale tuuu ccm hamna lolote
@mshiraziahmad9633
@mshiraziahmad9633 24 күн бұрын
Kumbe jussa ndio dawa yenu
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 24 күн бұрын
😂😂😂
@masoudkhamisthaiboxing1011
@masoudkhamisthaiboxing1011 24 күн бұрын
Sindano zinafanya kazi tena ya wiki tu je dozi ikiwa marambili kwa wiki ingekuwaje ?
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 21 күн бұрын
Wee mnyamwezi wacha unafik. Mazurui alikua hayupo siku ile. Na mikutano mingi huwa si sana Mazurui kuwepo. Usiropoke tu. Wasifu Mawaziri wenu wa ccm au wanaboronga? Mazurui ni ACT na tunawaambia 2025 tutafanya mazuri sana na mfano ndio huo waziri wetu Mazurui. Wazanzibari maisha magumuuuu. Mwinyi mwiziiiii mbona na yeye haji kujibu unamjibia wewe.?
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 24 күн бұрын
Mnajuwa ccm hawana sera wala ilani na hawana mpango wa kuwafanyia wananyi wakala milo 3 na kuishi ktk nchi ya haki.sasa kinacho tendeka wakipata jambo hulishikilia ili act wazalendo wasiwe na muda ya kutumia zile dakika zao ktk majukwa mnazan ccm hawajuwi km mazurui papa havulik kwa dema.hufanya hivyo yale masaa walio pangiwa ktk mkutano yaende ktk kubishana upuuzi.ushauri wangu act wapige kazi
@Jal210
@Jal210 21 күн бұрын
ACT wapimbavu sana
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 24 күн бұрын
Mazrui ni kiongozi anayejitambua, huwezi kumfananisha na jussa au omo
@osmanha6915
@osmanha6915 24 күн бұрын
Ila CCM haijitambuwi
@suleimanseif3290
@suleimanseif3290 24 күн бұрын
Takataka hii sisi letu moja tu ni malaka kamili
@MwigaAdam
@MwigaAdam 24 күн бұрын
Viongozi wengi wa CCM Ssiwaelewi ni watu ambao hawana hoja,hawajui kijibi hoja,hawajibidishi kusoma Wala kuenda na wakati
@saidsalum1419
@saidsalum1419 19 күн бұрын
Mazrui ni mwarabu mbona
@delasdiego6537
@delasdiego6537 24 күн бұрын
Ww mpuuzi sana kama unajua ccm tunavyoichukia kiukwer tu jiandaeni tena na mauaji ila ujinga ujinga wenu sasa basssssssssi
@user-hj4zt1kw4i
@user-hj4zt1kw4i 23 күн бұрын
Sasa mchukueni Mazrui halafu wekeni uchaguzi uliohuru. Msiweke mazombi yenu halafu muone kama mtaambulia kitu.
@OmarMassoud-xy3ot
@OmarMassoud-xy3ot 22 күн бұрын
Yani ccm sisi ni watu wapumbavu sana katika hi chin mnavichekeshoa na bado ndozi hina tibu ACT yooooo
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 22 күн бұрын
Uyu mbetto kwani ni kijana au ni mzee? Naona sura haielewek kama polepole!!
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 22 күн бұрын
Kwani kila anaekusifia huwa ndio anakupenda kweli ccm hamna jipya munasubiri mtu akosee ndio mupate mada
@muhammadiabassi656
@muhammadiabassi656 18 күн бұрын
Kumbe yanawauma ya jussa jussa wape daw hao mmbo bado
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 21 күн бұрын
Mbetto na wewe mwambie Mwinyi ajibu mwenyewe hoja za Jussa. Sio unajibu wewe.
@MwigaAdam
@MwigaAdam 24 күн бұрын
Tunasubir siku ambayo Mazrui atakayopokelewa na CCM na kupewa kadi
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 24 күн бұрын
Kwani kusifu maendeleo ndio kuasi chama?Wewe huna haki ya kuongea kuhusu Mazrui,mwachie mwenyewe atamke atakayo.Wacheni uchochezi na fitina
@osmanha6915
@osmanha6915 24 күн бұрын
Kwa iyo mbeto ndio pimbi?
@ConfusedBalkhHound-on2mx
@ConfusedBalkhHound-on2mx 21 күн бұрын
Yan huyu mtu mweusi hana adabu hata kidogo
@salimbinshaks1385
@salimbinshaks1385 20 күн бұрын
Ccm bawana akili bora kuku lakini kaongea aliloliona rais alililolifanya
@kassim1262
@kassim1262 22 күн бұрын
Nyinyi ccm ndio munatufanya wznzb km wtoto au wjinga pua km chura wznzbar ndio tunaopiga kura co mazurui kura ymazuruia nimoja lkn wznzbar niwengi kuliko mazurui ukitka kuamini hilo tuombe mungu ifike 2025 km hmujaua wtu nakujeruhi bc ushindi hmunao 😅😅😅
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 24 күн бұрын
Wewe,mwenyewe,unajisuta,mznz,Gani,anataka,ccm
@ConfusedBalkhHound-on2mx
@ConfusedBalkhHound-on2mx 21 күн бұрын
Ww ni shetani mweusi
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge 23 күн бұрын
Tafuteni Cha kutudanganyia siomaji Barbara mara umeme mara shule mara masoko zimepitwa na wakati
@laisamaujud1157
@laisamaujud1157 24 күн бұрын
Muongo sio mikutano yote mazurui anakuwepo ikisha wema haudandiwi
@adilhabib8988
@adilhabib8988 20 күн бұрын
Pumvavuuuu
@user-ud4rk1vw7l
@user-ud4rk1vw7l 20 күн бұрын
Mnyamwezi Mmakomde ndio waliofika mwanzo Unguja kuliko wewe uliokuja kufuta Barbara za darajani ukadhani umefika Ulaya .
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 25 күн бұрын
mbeto kwan kura ni zahir ?? Ukipiga hisab zanzibar kuna ccm wengi tu lakin kila uchaguzi ukija minapigwa na chini je kura ni dhahir ??
@ZANAMBER
@ZANAMBER 24 күн бұрын
Hunajipya ww ondoweni hii njaa kwanza hamu lolote jichwa kubwa akili kidogo
@rashidissa5887
@rashidissa5887 24 күн бұрын
Hata mimi mwanaACT kwa hili nna shaka na makamo wangu Jusa.Mazrui alipaswa kuwepo kwenye mkutano atupashe. Lipo jambo
@w4058
@w4058 24 күн бұрын
Hakupaswa kuwapo hapo na nyi msijifanye wizi wa fadhila wacheni kutaka kumdhalilisha Mazrui hebu kuweni waungwana
@w4058
@w4058 24 күн бұрын
Ingekuwa wewe uko kwenye nafasi kama ya kwake ungemsifu hivyo na zaidi kuliko alivyofanya mmeka kama wafinyu wa akili
@w4058
@w4058 24 күн бұрын
Sipotezi tima yangu kusikiliza mwanamume mzima kujibu jibu wasting my time
@seifmohamed8725
@seifmohamed8725 25 күн бұрын
Katika viongozi mambumbu katika c.c.n zanzibar hakuna kama mbeto na dimwa kiwango chao ni sawa na baraka shamte na hamza hasan
@jombadulla
@jombadulla 24 күн бұрын
mbeto na dimwa hawajui kuongea mdomo tu mwingi, mazrui anaweza kuongea vile ni technic tu, alf Yule ni wazir samtime inamfanya awe vile
@Grataaaaa
@Grataaaaa 24 күн бұрын
​abisa umenena
@hasbunakhamis487
@hasbunakhamis487 24 күн бұрын
Skuelew unachosema
@Grataaaaa
@Grataaaaa 24 күн бұрын
Napita nkucheka
@user-te9to1nc5t
@user-te9to1nc5t 24 күн бұрын
Kumbe wewe pimbi kweli kweli ... kwa uchimi gani wa zanzibar hadi kuwa na mfumo kama huo.. mfumo huu unahitajika kwa nchi zenye uchumi mkubwa sio kama zanzibar yetu ambayo uchimi wake ni mdogo sana kugharamia mfumo kama huo.. hii ni dalili Tosha serekali imeshindwa kudhibiti fedha za walipa kodi masikini....
@GenttileZanzibar
@GenttileZanzibar 24 күн бұрын
Hamna kt hp jichwa kama take nan anotaka ccm
@harithmohd6318
@harithmohd6318 24 күн бұрын
Ccm hakuna mtu mwnye akili na kama yupo baci hakuna mweny marifa nyot nyny pangu pakavu tia mchuz mali uteleze inshaallah 2025 tunawakabiz zanzibar viongoz wenye akili marf uweledi wa kazi na so nyny majuha
@BimkubwaOthman
@BimkubwaOthman 25 күн бұрын
Nikweli kama kuongea lolote alipaswa aende mwenyewe. Mazruii😂😂😂
@w4058
@w4058 24 күн бұрын
Hakuna sakata lolote msitupozee muda
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 23 күн бұрын
Its very stupidity ideal!
@SaidAbdala-f7p
@SaidAbdala-f7p 24 күн бұрын
Hakuna kitu hapo. Huyu ni. Netanyahu mweusi.
@Grataaaaa
@Grataaaaa 24 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Grataaaaa
@Grataaaaa 24 күн бұрын
Huyu mwamba kama ashakula kijiti vile
@kassim1262
@kassim1262 22 күн бұрын
😅😂😂😂😂
@fahmysaid-zw4np
@fahmysaid-zw4np 25 күн бұрын
yani hiliii halina akilii ataa kidog ccm inakosaa mvuto kwa watu km hawaa boraa mabodi alikua kichwa
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 25 күн бұрын
Kwani kutumia Google serekali inalipa,
@user-cy2hc2og6l
@user-cy2hc2og6l 25 күн бұрын
Bunju bunju tu 😃😃😃
@NoufelSalim
@NoufelSalim 25 күн бұрын
Huyu kichwa chake ni mzigo tu wa shingo😂
@user-rv1vn9zj5w
@user-rv1vn9zj5w 24 күн бұрын
Wewe mjinga mzanzibar na ccm sahau
@IdirisaKhamis
@IdirisaKhamis 25 күн бұрын
Mh hapa hamna kitu
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 25 күн бұрын
ANANUKA POMBE👁️👀👁️🤣🤣🤣
@fahmysaid-zw4np
@fahmysaid-zw4np 25 күн бұрын
fanyeni mkutano na nyie tuone km mtapat watu km walee
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 25 күн бұрын
Mh kura ni siri kwa maana yk
@masoudsalum
@masoudsalum 25 күн бұрын
Uchumi nzima ni trioni moja pamoja na bakuli hizo trions duh
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 25 күн бұрын
Masoud hawa jamaa CCM ,wanafikiri kwamba watu wote wa Zanzibar wanauwelewa mdogo sana wa kutafakari mambo kumbe sivyo ilivyo.sisi Zanzibar hatukupaswa kuwa hapa tulipo kimaendeleo ni maendeleo madogo sana ukilinganisha na nchi nyingine za visiwa kama sisi, hata uchumi wetu ni mdogo sana katika nchi za Visiwa ndio sisi wengine tunaumizwa na hilo tulipaswa kuwa mbali zaidi ndio baadhi ya sisi Wazanzibar tunaona nyinyi CCM mumeshindwa kuongoza visiwa hivi kwa kuvipeleka mbele kimaendeleo tukashindana na nchi nyingine za visiwa kama Morishazi ,Capved na nchi nyingine zisizokuwa za visiwa . Trilioni tano bajeti wakati trilioni tatu za kukopa sisi wengine inatuuma Zanzibar .
@FamilyVideos-pt1mo
@FamilyVideos-pt1mo 21 күн бұрын
Pumbavu kweli
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 21 күн бұрын
Jambo kubwa ambalo CCM mnapigwa bao ni mamlaka kamili ya Zanzibar hapo ndio mnapigwa bao Wazanzibari Tunataka nchi yetu yenye mamlaka kamili na kila sehemu duniani tuitwe kwa jina letu Wazanzibari sio Watanzania
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 25 күн бұрын
"WANA CCM WANA AKILI" WANAKUBALI UKOLONI WA TANGANYIKA Baadhi ya Wana CCM wa Zanzibar wana akili ya Wizi wa Kura na Mauwaji ya Waislam wa Zanzibar. Waliuwa Waislam 21 wa Unguja na Pemba ili Hussein Ali awe Kiongozi baada Kuchagua Dodoma na Pombe kwa faida ya Kanisa Katoliki pq
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 24 күн бұрын
Nyerere ameipanga vizuri sana zanzibari ikamezwa kimacho macho wala haitapata uhuru kama alivyo wapa mwengerza hapo 63
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 24 күн бұрын
CHAMA CHA MAPINDUZI NA NEMBO YA BENDERA YAKE✝️ @alialamoudi9729 Disemba 10, 1963 ilikuwa ni UHURU WA WAZANZIBARI.🙏☪️ LAKINI Januari 12, 1964 ilikuwa ni UHURU WA WAKIRISTO✝️
@kassim1262
@kassim1262 22 күн бұрын
Ccm wtnganyika wanalinda chama chao ccm wznzb wnalinda maslahi yamatumbo yao wnaletwa nawtnagnyika kuja kuilinda ccm znzbr 😂😂😂😂
@user-ud4rk1vw7l
@user-ud4rk1vw7l 24 күн бұрын
Mboto achana na huyo GORLANA ameishiwa . Kapata kichochoro Cha kuishi hata huko kwao hajulikani . Maskini Jusa pole sana .
@kassim1262
@kassim1262 22 күн бұрын
Nyinyi wenyewe kwenu hmujuilikani mumetok tanganyika kuja kuilinda ccm znzbr munajiita wznzbar znzbr hkuna ccm ndio maana ccm haijawahi kushinda znzbr hata viongozi wccm wnakiri hilo 😂😂😂
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 35 МЛН
MAZRUI AWASHA MOTO MZITO NYARUGUSU
8:55
RVS Online Tv
Рет қаралды 4,5 М.
IMEVUJA! CHANZO CHA MGOGORO WA MAZRUI NA ACT-WAZALENDO HIKI HAPA
7:17
CUF ONLINE TV TZ
Рет қаралды 12 М.
MUTUTIA MERCY MAWIA KUTHYUMU'A MUSYI KWAKE KAUNTINI YA NYANDARUA
6:31
Mutongoi TV / FM Official
Рет қаралды 3,6 М.