TITANIC: Mazingira ya kusikitisha ya kuzama kwa meli hii na ugunduzi wa mabaki yake

  Рет қаралды 119,680

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 131
@icyninjaplays2317
@icyninjaplays2317 Жыл бұрын
My Brother Sky Mungu akupe umri mrefu wenywe afya njema na mafaanikio. Hii kweli ni Simulozi na Sauti. Thank you
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 Жыл бұрын
Akitoka mirad ayo anayefuata sky kaka anajua mpaka anajua tena like nyingi kwao tunawtangazaji mahiri Masha allah najivunia kuwa MTANZANIA🇴🇲
@sifaphilip8258
@sifaphilip8258 Жыл бұрын
Unamjua Ananias edgar?
@debbiethomas9825
@debbiethomas9825 Жыл бұрын
To me SnS is my NUMBER ONE...... BRAVO 👏👏👏👏👏👏 Champions
@loycesaid2352
@loycesaid2352 Жыл бұрын
Samahani kuna Ananiasi Edgar huyo huyo anajua anajua tena wote wako vizuri
@Swagaboysentertainment
@Swagaboysentertainment Жыл бұрын
ACHENI KUMLINGANISHA SKY NA UWO UTOPOLO WENU 🙌
@loycesaid2352
@loycesaid2352 Жыл бұрын
@@Swagaboysentertainment wee nae bure kabisa hawa ni watangazaji wako wote unatakiwa kuwasifia na kuwatia moyo pia ili wafanyie vizuri zaidi na zaidi hii ndio njia bora ya kutengeneza watangazaji bora zaidi na wengi Kuna kusoma ili uelewe na kunakusoma ili ujibu Wewe umesoma ili ijibu na sio kuelewa acha kukurupka
@bakarilimachinga6193
@bakarilimachinga6193 Жыл бұрын
Yaan hadi tunaanza kuisahau Ayo tv SnS kaz nzuri sana endeleeni kutufungua zaidi
@mohamedoman9344
@mohamedoman9344 Жыл бұрын
Mm naitwa Mohamed natokea nchi ya Oman simulizi nzuri kweli mm napenda kusikiliza ❤❤❤
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
❤❤❤Hya sikiliza Muhammed
@mohamedoman9344
@mohamedoman9344 Жыл бұрын
@@rukiaiddyyahaya9506 ndio nasikiliza kila siku habari zao na matangazo .na vitu mbalimbali wwe je??
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
@@mohamedoman9344 mie bize jua hili la omani mda mchache
@alhaithamiy_
@alhaithamiy_ Жыл бұрын
Habari bwana Muhammad. أريد عمل الأئمة في عمان. ساعدني
@najmakinya8779
@najmakinya8779 Жыл бұрын
Asalaamu aliekum
@nurdinibrahimu7312
@nurdinibrahimu7312 Жыл бұрын
Ufasaha wa lugha na sauti vituo ni lazima uelewe Kwa kweli 👏👏👏
@kagoyemwambal9061
@kagoyemwambal9061 Жыл бұрын
Maasi yakizid..huwa tunamchukiza mungu..tuwe na hofu..uzinzi umekuwa juu zaid
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 Жыл бұрын
Binafsi huwa namkubali sana sky ana sauti yenye ushawish mkubwa san wa mtu kusikiliza bila kuchoka ,sjutii kuwa mwana SNS😊😊😊
@eben_ezer8853
@eben_ezer8853 Жыл бұрын
Asante sky hapo kulikuwa na mambo mengi maovu MUNGU ni mkubwa kuliko vyote ubaya tu wanadamu huwa hawajifunzi
@salamaoman8133
@salamaoman8133 Жыл бұрын
Asante kwa simlizi nzuri mm kilicho nishangaza ni hiyo bendi ajali wanaiona lakini wanaendelea tu kupiga muziki nimajambo kweli
@Imanibroadcast24
@Imanibroadcast24 Жыл бұрын
Baba unajua kusimulia story tunaitaji story book zaid na zaid
@Steve.3175
@Steve.3175 Жыл бұрын
Aah kweli anafaa kabisa kutoa story na kuzielezea ❤
@nurukhamis9500
@nurukhamis9500 Жыл бұрын
He is the G.O.A.T
@shashinhalekubini3609
@shashinhalekubini3609 Жыл бұрын
Kwa hii ajali ya Meli ya RSM Titanic tunasemaga acheni Mungu aitwe Mungu
@collinsghambi7315
@collinsghambi7315 Жыл бұрын
Bro you're so gkod at your work lakn utafaya vizuri zaid ukasimulia na zile safari za wale immigrants ndugh zetu asante
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Sauti yako mzee ni dhahabu ni special
@aishaissa2724
@aishaissa2724 Жыл бұрын
Story nzuri sanaa I love SnS bundalaa uko vzr na team yako nzima
@Simulizi_za_biblia
@Simulizi_za_biblia Жыл бұрын
Yan sauti yako ni kama ya millard ayo! Big up sana🤞🤞
@elinathanbanka5485
@elinathanbanka5485 Жыл бұрын
Mkali wa makala🔥🔥🔥
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Nmejifunza hongera kwa simulizi
@bengaitan8513
@bengaitan8513 Жыл бұрын
Ni hapa tu Huwa nasikiliza simulizi kwasababu ya skay
@nickolatharwelamila776
@nickolatharwelamila776 Жыл бұрын
Ahsante kwa simlizi nzuri nayakujifunzaa ❤ from Omani
@JosephatBiseswa-oo1ms
@JosephatBiseswa-oo1ms Жыл бұрын
Apana sky apewe maua yake ❤❤❤❤
@_CyprianBC
@_CyprianBC Жыл бұрын
I Love #SnS, Brother BUNDALA nakukubali na nakukubali tena na tena, you know what you are doing and you mean it Brother.
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Жыл бұрын
Thanks brother
@dclassicdonny5292
@dclassicdonny5292 Жыл бұрын
Keep going Sns
@hukuUJERUMANI
@hukuUJERUMANI Жыл бұрын
The musical effect at the end of the video made for an awesome conclusion
@barretobacca9754
@barretobacca9754 Жыл бұрын
Big fan, from Moçambique 🇲🇿. Hongera kwako #SKy, you're the greatest 🙌
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Tunaomba story ya MV Bukoba huko Lake Victoria jamani. I was very young by then.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Narudia tena kusema, yani jinsi unavyoielezea hii story tuna enjoy utafikiri ilikuwa ni film, kumbe ni true story", tuletee na story ya Emvi Bukoba, nakumbuka nilikuwa na miaka nane tu, kumbukumbu zangu nakumbuka siku hiyo niliamka kichwa kilikuwa kinauma sana, Marehem mama yangu Alipata msiba wa ambae walikuwa wakifanya kazi pamoja na hakuoneka Kabisa.
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 Жыл бұрын
Sky noma sana kwa hiz story namuamin sina shaka❤
@user-os2zf4rp1x
@user-os2zf4rp1x Жыл бұрын
Nashukuru kwa kutuhabarisha bro endelea kutujuza zaidi kwa ya mambo ya kale
@gambasoni9358
@gambasoni9358 Жыл бұрын
Amazing to listening because ni story inayosisimua na kutukumbusha yaliyotokea nyuma but the thing nilichojifunza kwamba dunia we are passed like a shadow, all peoples we must go kwa aina yoyote ile, mungu tupe mwisho mwema.
@lovvy854
@lovvy854 Жыл бұрын
Aminn
@omytifa6403
@omytifa6403 Жыл бұрын
Ameen
@abunibigira8447
@abunibigira8447 Жыл бұрын
10:18 🎉😢
@official_mr_bery
@official_mr_bery Жыл бұрын
𝐇𝐢𝐢 𝐢𝐦𝐞𝐞𝐧𝐝𝐚𝐚❤
@user-dh1sl1yb6x
@user-dh1sl1yb6x Жыл бұрын
Upo vizur sanaa katika historia hiyo
@geomangi6123
@geomangi6123 Жыл бұрын
Sns mungu akubariki uko na kipaji cha kipekee broo
@veeJesus
@veeJesus Жыл бұрын
Mungu sio mungu
@lidyabalilemwa1380
@lidyabalilemwa1380 Жыл бұрын
Kaka Sky una sauti poa sana na unajua jinsi ya kutangaza hongera sana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Mastermind sky walker 💐💐
@sammywachira3540
@sammywachira3540 Жыл бұрын
Good narrator absolutely exception
@sedjotshomba4867
@sedjotshomba4867 Жыл бұрын
Well done sns
@sadikiswidik
@sadikiswidik Жыл бұрын
Nimeipenda sana
@tinatina8193
@tinatina8193 Жыл бұрын
Very interesting story
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 Жыл бұрын
Proud to be SNS family sky God bless
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Me too
@abiudndawi2460
@abiudndawi2460 Жыл бұрын
Noma sana
@christopherrobert1948
@christopherrobert1948 Жыл бұрын
yo nyimbo mwisho naomba jina mwenye kufahamu
@HamzaHD3089
@HamzaHD3089 Жыл бұрын
yani huyu kaka ni kiboko anajuwa kusimulia story sana kaka mungu akupe uwezo wa kujuwa kuwapa redha mzuri
@eliaspatiu2472
@eliaspatiu2472 Жыл бұрын
Yani hii ndo story book mtu anasimulia ww mwenywe unaesimuliw unpenda
@cybersecurityanditexperts_
@cybersecurityanditexperts_ Жыл бұрын
💯💯💯💯💯
@belabelaz6551
@belabelaz6551 Жыл бұрын
Nice story bro 👌🥰
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Nice
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 Жыл бұрын
Tokea Radio Free Africa mpaka leo SNS,mtangazaji hadi kua boss. Uko juu mkuu ktk hizi hadithi,wewe na Millard mnazitendea haki sauti zenu ✴️✴️
@zarabati1750
@zarabati1750 Жыл бұрын
Interesting❤
@moseschristopher2217
@moseschristopher2217 Жыл бұрын
We done ✅ sns
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 Жыл бұрын
Hiyo bendi ilitisha! Noma sana
@youngpaincompany1440
@youngpaincompany1440 Жыл бұрын
Au sio
@mwarikimwariki2653
@mwarikimwariki2653 Жыл бұрын
Good luck
@williammasanja1403
@williammasanja1403 Жыл бұрын
Hongera sana unajua 😢😢😢😢
@EmeldaPius
@EmeldaPius Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@frankchilumba5953
@frankchilumba5953 Жыл бұрын
Simuliaji big up
@bashirmrisho8491
@bashirmrisho8491 Жыл бұрын
Sky the champion
@kuruthumhamza5161
@kuruthumhamza5161 Жыл бұрын
Bless up
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 Жыл бұрын
Waliamua kumkela mungu mungu akawakela wao zaidi anasa nyingi duh alafu mmpo kwenye maji aisee hatareee sana
@sponsor7882
@sponsor7882 Жыл бұрын
Sns unastahili kaz Ikulu
@remigiuslivingstone3901
@remigiuslivingstone3901 Жыл бұрын
Sky Ni moja ya watangazaji Bora kuwahi kuwashuhudia tz toka way back yupo RFA na Mpaka leo naendelea kuwa shabiki yake.
@mshamhemedy8567
@mshamhemedy8567 11 ай бұрын
Ukovizuri kusimulia
@omarykimamure7656
@omarykimamure7656 Жыл бұрын
Sky kak uko vizur xan.
@mathiasmarco2676
@mathiasmarco2676 Жыл бұрын
Hako ka mziki jaman kanaitwaje kalikolia mwishoni mwa simuliz
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Duh
@kulwanzobe7657
@kulwanzobe7657 Жыл бұрын
Kwenye usimuliaji unatisha Sana endelea kuleta story nyingi
@fredamisi
@fredamisi Жыл бұрын
Ufasaha wa hali ya juu lugha ya kiswahili
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊✌️🙏.
@yassinsaid1119
@yassinsaid1119 Жыл бұрын
Sky pamoja na SnS ndio media kubwa Tanzania ambazo tunapata story za uhakika kama Ilivyo kwa Millard Ayoub
@henrylugendo280
@henrylugendo280 Жыл бұрын
Good story bro
@gideonkasese9244
@gideonkasese9244 Жыл бұрын
Hii ndio maana ya mbele yako nyuma yetu. Hatimaye abiria wote wamekufa ata wale waliookolewa nao sasa wamefariki
@shelinaabwe6672
@shelinaabwe6672 Жыл бұрын
Thanks!
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 7 ай бұрын
Thank you
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
Kinachonishangaza SkY ni kwamba ni kwanini hawa wazungu wanachukuwa watarihii kwenda chini ya maji kuona meli iliyozama miaka 2000 iliyopita ni kwanini wasikitoe hiko chombo ..
@sahirstimajr4394
@sahirstimajr4394 Жыл бұрын
27/06/2023___10:41 AM
@maryamhilal9820
@maryamhilal9820 Жыл бұрын
Nikisikiliza hii sauti nakumbuka miaka ya nyuma kwenye kipindi cha redeo moja hivi nimesahau jina kidg
@ezekielmanyesela5425
@ezekielmanyesela5425 Жыл бұрын
Radio free africa kipindi sitasahau
@khalidkhaan127
@khalidkhaan127 Жыл бұрын
Moja huzaa jengine titanic imezaliwa upya.
@Fromafrican
@Fromafrican Жыл бұрын
Broo itabid anzishe kipindi cha documentary ambacho kitatupa story mbali mbali kama hiziiii man unasaut ya kusimulia kitu na mtu akaka kuckiliza
@dunialehani6188
@dunialehani6188 Жыл бұрын
Kwa sasa sihamini sana katika matendo ya nayotokea kama ni kuzuga watu wasifuhatilie kile kinahandaliwa kufanywa tu subiri kidogo
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@melchzedekackim8360
@melchzedekackim8360 Жыл бұрын
Pia naskia Kuna meli kubwa ilizama ziwa Nyasa enzi za ukolon ipoje Io nayo ewe msimuliaji.
@alikomwandoto1258
@alikomwandoto1258 Жыл бұрын
Mchambuzi hakinifu
@aprilrosaliapanda4895
@aprilrosaliapanda4895 Жыл бұрын
Tupe ya MV BUKOBA
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Kweny stareh hap mung alion hawa wanazidi sasa 😑😑 akawap pigo
@FatimeAmany-ms1ky
@FatimeAmany-ms1ky Жыл бұрын
Story taam ajabu, anaye hadithia sasa
@jwisetv4833
@jwisetv4833 Жыл бұрын
Baada ya miaka miwili SKY utakuwa namba moja Tz utamzid millad.....Watu watakuja kunielewa badae na mpk sasa ww ndo namba moja kwangu kila nikiingia yutube ni lazm nikutazame ww, Kizuri ni kwamba huna habar za uongo.......Millard cku hizi vijana wake ni waongo tu.
@browncheyo5554
@browncheyo5554 Жыл бұрын
Wewe jamaa kiboko wa mastory
@user-os2zf4rp1x
@user-os2zf4rp1x Жыл бұрын
Tunaomba tukio la kanisa kuchomeka huko marekani kisa eti moto wa ajabu kama radi
@ganmusic8359
@ganmusic8359 Жыл бұрын
Nna mengi juu ya haya nipewe skio tafadhar
@thierryhafashimana2475
@thierryhafashimana2475 Жыл бұрын
Kwakweli ilikuwa kubwa sna
@collinsghambi7315
@collinsghambi7315 Жыл бұрын
Pia tunaomba usimulie kuhusu kundi la weiner la uko urusi jins linavo operate
@timochazze9845
@timochazze9845 Жыл бұрын
Sns unatisha nduguyangu
@faridithomas4859
@faridithomas4859 Жыл бұрын
John Jacob Astor IV huyu ndio alikua mlengwa wa Illuminati katika ajali hii
@mcmifukotz7267
@mcmifukotz7267 Жыл бұрын
Akili kubwa
@bwari01
@bwari01 Жыл бұрын
Naomba historia ya waafrika waangapi waliouwawa baharini kwa safari ya utumwa… Waafrika waliouliwa na Waingereza wanahitaji kuzungumziwa….ahsante.
@hopechidera
@hopechidera Жыл бұрын
4:16 kama #Titanic ilizama April 15,1912 kwa sasa inatimiza miaka 111(mia moja na kumi namoja) na sio 109(mia moja na tisa) bro Sky.
@allykidundo4508
@allykidundo4508 Жыл бұрын
duh...1909..!!!...uku kwetu ata nyerere ajazaliwa
@m.d1k0.t93
@m.d1k0.t93 Жыл бұрын
😂😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
😂😂
@philipocharles8507
@philipocharles8507 Жыл бұрын
Nackia et kulkua ad na uwanja wa mpira je ni kwel au
@baranyikwamohammed628
@baranyikwamohammed628 Жыл бұрын
Unawezaje kujenga kitu kish useme hakitopata ajali?? Allah anajuwa Kuliko wao!! wajuwaji
@lovvy854
@lovvy854 Жыл бұрын
Huyu ndio anaitwa Millard ayo namkubali ilembaya utafiti wake niwa haliajuu hongera mzebaba
@deathrow8004
@deathrow8004 Жыл бұрын
Sio millard ayo Anaiwa sky worker aka bundala
@lovvy854
@lovvy854 Жыл бұрын
@@deathrow8004 ohhh basi minaskia sauti yake yafanana na milard Ayo ama Mim ndo simjui vizuri labda Mwana sns
@veeJesus
@veeJesus Жыл бұрын
😂😂😂
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Wacha kukariri ww pimbi uyu sio milard ni fredrick bundala SKY WALKER
@lovvy854
@lovvy854 Жыл бұрын
@@amanimanase8798 sawa Mim pimbi nawew Bwegee umewekwa na Malaya mjini
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Жыл бұрын
Nice
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
Titanic Sinks REAL TIME
2:41:19
Titanic: Honor and Glory
Рет қаралды 92 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 55 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
Ijue Mito 6 yenye kina kirefu na hatari zaidi duniani
9:42
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 74 М.
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 55 МЛН