TUBOMOE SANAMU YA NYERERE. FAMILIA NA WATANZANIA WAMEIKATAA

  Рет қаралды 23,691

SK Media Online TV

SK Media Online TV

Күн бұрын

Пікірлер: 374
@rogersiddy
@rogersiddy 10 ай бұрын
Tunaopinga kuwa hii sio sura ya Mwalimu Nyerere like
@nizwaoman8378
@nizwaoman8378 10 ай бұрын
Ndio aifanani hata.kidogo awa ccm mungu anawalaani kila idala tatizo wamezidisha zuluma
@geoffreynghumba1029
@geoffreynghumba1029 10 ай бұрын
Naunga mkono sanamu hili libomolewe. Huyu siye Mwalimu Nyerere, Baba yetu wa Taifa.
@albertkamala6843
@albertkamala6843 10 ай бұрын
Sanamu hii iondolewe ikisubiri kupatikana sanamu inayoonyesha sura sahihi ya hayati baba wa taifa..Mwlm. Nyerere.
@BuseresereChato
@BuseresereChato 10 ай бұрын
Ukiiangalia vizuri, HASA pua, mashavu na mdomo, BILA kupepesa macho, hii ni sanamu ya *Madaraka Nyerere*
@justinmtengela403
@justinmtengela403 10 ай бұрын
Ni ukweli huyu ni Madaraka Nyerere sio Mwl. Nyerere
@AbigailBateyunga
@AbigailBateyunga 10 ай бұрын
Iitafutwe, zipo picha nyingi za Baba/Babu yetu. Hizo ni Hela zinatuponza hata kukubali kumsahahau,⁉️kumuuza Mtuwetu muhimu! Mungu iponye TANZANIA Mungu ifungue TANZANIA, Mungu Ibariki TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 7 x 70 Amina.
@sophiaamnaay9726
@sophiaamnaay9726 10 ай бұрын
Wamepiga mwingi. Aibu hiyo. Mungu wetu amejibu. Ametenga maji na mafuta. Hiyo ni moja tu ya mabaya yanayotendeka.
@mbuerecarlos1396
@mbuerecarlos1396 10 ай бұрын
Uko sawaaaaaa. Tunashukuru chunguza kuna mengi juu yatajulikana Asanteni TZ Tuwe MACHOooooo.
@andrewassey5108
@andrewassey5108 10 ай бұрын
Mwendelezo wa mikataba ya hovyo
@Difrnd-t2c
@Difrnd-t2c 10 ай бұрын
😂😂😂Ufisadi Wào, Mikataba Hewa Wao, Sanamu Hewa Nayo Wao....... Kila Kitu Cha Ovyo Wao ....
@christophersaqwari6531
@christophersaqwari6531 10 ай бұрын
BAYA HALIJUI NJEMA
@sakuranitillya6088
@sakuranitillya6088 10 ай бұрын
Unaongeaga vitu vya msingi sana bro ubarikiwe
@shahabdallah9407
@shahabdallah9407 10 ай бұрын
Vitu vya msingi sanamu?!! Tena ya mtu ambae ameshakufa?!! Tena mapicha ya kumbukumbu zKe zipo kila mahali?!! Aa jmn wachen ujing
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 10 ай бұрын
​@@shahabdallah9407sasa kama ni ujinga ni kwa nini waiweke?na tena wameenda kuizindua.ww ndio mjinga .
@shahabdallah9407
@shahabdallah9407 10 ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz ww fanya yako ya muhim wachana nao hao na masanamu Yao.. hivi Unadhani kuna ataewacha kazi zake akarekebishe pua ya sanamu😂?! Hilo ni sanamu broo wala sio kwamba ndo litakua kilema.. nickilize mm hyo sanamu hawataibadilisha kwsabab haina tija yoyote ile kwa tulio hai
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 10 ай бұрын
@@shahabdallah9407 tija ipo na ndio maana wameiweka.sarikali nzima ilienda Ethiopia halafu ww unasema haina tija?
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 10 ай бұрын
Naunga mkono hoja. Sura ya Sanam ya Nyerere ibadilishwe. Wametudharau na kutuhadaa
@rastheunique
@rastheunique 10 ай бұрын
SIO SANAMU YENYE MUONEKANO WA BABA WA TAIFA LANGU HII JOMONI 😭😭😭 HEBU WAIVUNJILIE MBALI HUKOO
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 10 ай бұрын
Kwanza familia ya nyerere iache kabisa kuhondhi Ubaba wa mwalimu nyerere wachague moja kama ni baba wa taifa la watanzania basi haki zetu nao ziwe sawa. Na kama wanamhodhi wao peke yao basi tukome kumwita baba wa taifa..na madaraka kama angeitwa kwenye mdahalo na kujibu tuhuma asituone sisi ma zombie😢
@evansnzowa5710
@evansnzowa5710 10 ай бұрын
Walinganishe na ya Dodoma. Huyo sio Mwalimu kabisa
@williamkavavila608
@williamkavavila608 10 ай бұрын
Hebu sanamu ya mwl.Nyerere iliopo makao makuu Dodoma ipelekwa Adis Ababa italeta heshima kubwa...na hiyo iliyozinduliwa ibomolewe ksbisaa.Ya Dodoma itengenezwe ingine kwa tenda ya alieitengeneza!
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 10 ай бұрын
hapo2 inatosha kujua na kufahamu vingozi wetu hawatoshi kabsaaaa
@rogersiddy
@rogersiddy 10 ай бұрын
Mimi najiuliza hao wote wanaoitetea sanamu hii kuwa ni Mwalimu Nyerere tuna wasi wasi na vitu viwili wanatetea ugali wao au wamepewa bahasa ili kuongea uongo hata aliezaliwa 2000 hakubali kweli tunaongozwa na mazuzu kbs jmn dah
@mbelechimakobola8835
@mbelechimakobola8835 10 ай бұрын
Amina, barikiwa sana tunainjoi
@TuliOreshnik
@TuliOreshnik 10 ай бұрын
Wewe unamjuwa nyerere akiwa mzee jama ametengeza sanamu Nyerere akiwa barobaro
@isumailimchomvu
@isumailimchomvu 10 ай бұрын
MZEE KIKWET E UNAJITIA AIBU MWENYEWE,,
@sabathmnubi5033
@sabathmnubi5033 10 ай бұрын
Naunga mkono lisanamu lisilofanana na My ticha libomolewe linatia aibu na kichefu watz.
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 10 ай бұрын
Kweli viongozi wa nchi( CCM) hakikika MATAAHIRA. Mimi niimekuwapo tangu uhuri mpaka anan' ngatuka, hakika ,Si Nyerere niliyemjua. Duh! WANAFANYA UFISANDI HATA KWA BABA WA TAIFA, PUMBAVU KABISA.
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 10 ай бұрын
Hata mimi naikataa..huyo kijana aliyesena ni sura ya babake, labda huyo ni babake musibishe...ila si sura ya mwl Nyerere.
@matatizonkwera8607
@matatizonkwera8607 10 ай бұрын
Naunga mkono asilimia Mia,sura hii SIO ya baba wa Taifa,Bora tuchange tutengeneze ya kwetu kuliko kupoteza sura ya mwasisi wa Taifa letu
@jacksonmwakasege6210
@jacksonmwakasege6210 10 ай бұрын
1FAL3:21.....nilipomtazama sana,kumbe siye mtoto wangu niliye mzaa.MADARAKA soma hiyo,umebadilishiwa Baba yako.Phew!!!
@Chemba67
@Chemba67 10 ай бұрын
Huyu Samia huyu......inawezekana kabisa yeye binafsi hamjui Baba wa Taifa na huyo Madaraka anababatizwa anaogopa kuchomoa ..................
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 10 ай бұрын
Maoni yangu kwanza Mambo haya Yanazidi kutupa hasira watz huu Ni ufisadi mkubwa Sana ,sielewi wtz tunachukuliwaje , maoni yangu nikuwa kwanza CAG achunguze sanamu hiyo walio husika kuitengeneza nakwenda kuizindua walitumia kiasi gani Cha fedha,Jambo lapili wahusika nauzinduzii huo pamoja na mtoto wake nyerere Madaraka wahojiwe walikuwa na maana gani kulidhalilisha taifa la Tz kiasi hiki, kwani sanamu hiyo siyo ya ukoo Ni ya Taifa la Tz. Jambo la tatu Kikwete aangalie Sana Nini anachotaka juu ya nchi hii kwani tunashindwa kumuelewa analengo gani na Taifa hili
@salummohamed2689
@salummohamed2689 10 ай бұрын
Hivi huyu Mzee utawala si uliisha? Anahitaji Nini alichokisahau, mtu mzima huhitaji kulaumiwa Kila Wakati, anataka akifa watu wafanye sherehe badala ya kumlilia?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 10 ай бұрын
Nakuunga mkono mia kwa mia.Ule ni ufisadi na ukosefu wa maadili.Ile sio sura ya Nyerere.Yaani kwa kweli wametudharau sana sisi watanzania kwa kutuona sisi ni majinga na mambulula.kuweka sanamu kama ile ni kumdhalilisha na kumkosea heshima baba wa Taifa.
@severimkatomutegeki6930
@severimkatomutegeki6930 10 ай бұрын
​@@salummohamed2689I
@babazungu3180
@babazungu3180 10 ай бұрын
.​@@MathewNathan-yb2bz
@RhodaKibona
@RhodaKibona 10 ай бұрын
Hivi nn kinaenderea katka ulimwengu wa roho kwenye Taifa letuuu???? Maana hatuerewi!!!!!
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 10 ай бұрын
Jambo msilolijua ni Madaraka peke yake kwa vijana wa Mwalimu Nyerere aliyekataa kuozwa na Baba yake.Alioa kwa jasho lake mwenyewe.
@faustinemangula8424
@faustinemangula8424 10 ай бұрын
Dunia tumedanganywa siyo Nyerere huyo.
@AllyMpendu-v9h
@AllyMpendu-v9h 10 ай бұрын
Hakika sijutii kukutana na channel ya mzee huyu, amenifumbua Mambo mengi sana ambayo hapo awali siku weza kuyajua juu ya Taifa letu hili🇹🇿
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 10 ай бұрын
KWA NINI MH. RAIS SAMIA NA KIKWETE NA HATA MADARAKA NYERERE WAMEKUBALI NA KUIBARIKI HIYO SANAMU YA HAYATI MWALIMU NYERERE....AIBU NA FEDHEHA KWA SERIKALI YETU YA TANZANIA.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 10 ай бұрын
Wamekubali kwa vile wameshawishiwa kuikubali.
@johnambrose7223
@johnambrose7223 10 ай бұрын
Hata i fm iliikosoa sana ile sana kwa challenge yao pale ofisini kwa kuichonga mfano wa masanja eti ndio majizo
@rwelamira
@rwelamira 10 ай бұрын
Never, hiyo sanamu siyo sura ya Nyerere
@KananaKadogholo
@KananaKadogholo 10 ай бұрын
Aibu kubwa!
@hockingsshangali1747
@hockingsshangali1747 10 ай бұрын
sio kweli. je hawakumfahamu na jee hata picha zake hazipo.
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 10 ай бұрын
Sura hiyo haiendani na sura halisi ya mwl Nyerere hata kama ndugu zake wanakiri ni ya baba yao binafsi kama Mtz napinga napinga mwl alikuwa kiongozi wa nchi nzima hivyo tuna kila sababu ya kutoa maoni yetu Nyerere tunamfahamu tusidanganyane mwl lazima apewe heshima yake
@MichaelMihale-qz7cr
@MichaelMihale-qz7cr 10 ай бұрын
Hiii ndio ccm hongera ccm safi ccm kamawiz ccm mmeiba had nguo yanda tumewaelewa kweli mwiz kubuu ni hatali ccm hawaijui picha ya nyerere ccm saf
@Zakaria2025wiliamuwiliamu
@Zakaria2025wiliamuwiliamu 10 ай бұрын
yan wamesahau sura ya nyerere baba wa taifa hapana ni ufisadi tu huu watanzania tuamke huu ni unyonyaji ccm inatuendesha wanavyo taka
@twebechachamegera5925
@twebechachamegera5925 10 ай бұрын
Ni kweli kabisa. Sura hiyo siyo ya baba wa Taifa letu. Mimi naona nchi hii inapoelekea mtakuja sema wakati mimi sipo. Shauri yenu!
@salummohamed2689
@salummohamed2689 10 ай бұрын
Sisi tumekaa na mwl muda wote tunamfahamu hata nikifumba macho Kwa herufi kubwa nakataa hii SI SURA NYERERE WETU. Hii ni serikali imekuweje Kila kitu Kona. Komaeni kutetea hili kama kawaida yenu. Mjadala ndo umeanza. "TUSHIRIKI" kujadili hii aibu.
@lucylyuki4852
@lucylyuki4852 10 ай бұрын
Hiyo siooooo sanamu ya baba ea aTaifa hiyooo ,baba yetu tunamjua sana sanamu hiyo itolewe mara Moja bila mjadala na iwekwe Ile yenyewe bila kusita
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 10 ай бұрын
Shemles s vitu vingine tunatia aibu hii Sanam haifani na mwalimu nyere kupeana kazi kindungu kisa pesa lakini jee aibu kwa sisi wote watanzania kisa wapiga deal kuzunguka serekali nchi yenye wanafunzi wa chuo kikuu wachoraji ktk taaluma zao ndani ya chuo kikuu alafu tunaonyesha nn Dunia aibu tupu hii sio sura ya mwalimu nyere
@aminieljohn5475
@aminieljohn5475 10 ай бұрын
Wanatuchezea!...naamini hata pale idara ya FPA UDSM wengeweza kufanya kazi hiyo vizuri...
@KIDORBOYS
@KIDORBOYS 10 ай бұрын
Viongozi WETU ni wanamapepe sana waje wachague mdole ap
@ChristerShao
@ChristerShao 10 ай бұрын
Tulibishana sana na familiya yangu tukikataa sio sura ya baba wetu wa Taifa mwl Nyerere.
@rogersiddy
@rogersiddy 10 ай бұрын
Ndio ibomolewe tu haifanani kbs na sura ya mwalimu
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 10 ай бұрын
Wameghafirika wakachukua sura ya Nyerere wakachanganya na ya prof. Lumumba. Kazi kwao waliozaliwa kuanzia 1990 watakuja kumjua Nyerere yupi!
@malinzirutta3391
@malinzirutta3391 10 ай бұрын
Hili ni lisanamu la.mtu wa kale miaka 1000 iliyopita, si Nyerere tunayemjua, Baba Wa Taifa
@Nyanda506
@Nyanda506 10 ай бұрын
Mwl amekataa kuzinduliwa .umeme shida,sukari shida,maisha magumu hata kama tunapambana ..Mwl kakataa maana nchi yake hakuiacha hivi..
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 10 ай бұрын
Hebu acha kuonyesha ujinga wako hadharani. Wenye kujua historia tumeona maisha magumu ya kutisha miaka hiyo. Sukari, sabuni, soda, bia, chakula usafiri ilikuwa jinamizi kipindi kikubwa cha utawala wake. Hatuna tatizo na mchango wake katika kuleta uhuru na kutuunganisha kama taifa lakini maisha yalikuwa magumu sana. Tumevumilia mengi sana kutokana tu na uwezo wake kutushawishi kuwa mbele kulikuwa matumaini. Lakini alivyoiacha ilikuwa juhudi za wenzake kwa kubomoa na kuanza upya.
@Nyanda506
@Nyanda506 10 ай бұрын
@@Sheba4651 😂😂😂😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 10 ай бұрын
Ccm Kila wakianzisha kitu wanafeli nikwasababu ya wizi utapeli uliokithiri
@EliaoniTerry
@EliaoniTerry 10 ай бұрын
Mimi toka walipolifunua tu siku ya uzinduzi Niliikataa na sasa nasema waliondoe , waliondoe, kichefu chefu.
@aviationwonders7575
@aviationwonders7575 10 ай бұрын
Tatizo la kulishwa bulga si mchezo, lakinii serlikali iko wapi?
@KapondaZenaida-g3z
@KapondaZenaida-g3z 10 ай бұрын
Yule labda nisanamu lamadaraka yeye mwenyewe Nyerere ni baba yetusote watanzania kwaiyo Madara asituendeshe
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 10 ай бұрын
Ndugu Ngurumo, hiyo kamati haitakaa ijitokeze yenyewe, wala haitaomba radhi. Ni ya mafisadi. Wameshapiga, ndo maana wanamtanguliza Madaraka kuhalalisha upigaji huo. Dawa yao ni kuwaumbua.
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 10 ай бұрын
Hiyo ni ela za umoja wa afrika sio za Tanzania 🇹🇿 tutengeneze ya kwetu kwa ela zetu ndio tutasikilizwa.
@Difrnd-t2c
@Difrnd-t2c 10 ай бұрын
SANAMU HII SIYO BABA WA TAIFA BORA IVUNJWE ITENGENEZWE NYINGINE SISI AMBAO TUNATHAMINI MCHAMGO WAKE na UTAWALA WAKE BORA HATUTAKI FOJALI LINAPOKUJA SUALA LA MUASISI WA TAIFA LETU NI ISHU NYETI & SERIOUS KULIKO HUYO Jk na Samia WASITUFANYE WAJINGA"
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 10 ай бұрын
Yaani fojali hadi kwenye sanamu daaaaaaa hadi aibu
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 10 ай бұрын
Huyo sijui kafanana na proff lumumba au sijui nani huyo.Huyo sio nyerere kabisa
@leonardmaganga9921
@leonardmaganga9921 10 ай бұрын
Sanamu hiyo iondolewe haraka sana. Haifanani hata kidogo na Baba wa Taifa.
@aviationwonders7575
@aviationwonders7575 10 ай бұрын
Mmm watu hawana aibu
@filbertntibasiga8093
@filbertntibasiga8093 10 ай бұрын
Hatuitambui mzee kaiondoe
@lucaskoisha2681
@lucaskoisha2681 10 ай бұрын
Hawajatutendea haki hiyo sanam wametuonea sana
@walterbhoke7935
@walterbhoke7935 10 ай бұрын
Hata shetani anatushangaa watanzania amri itorewe sanamu ibomorewe
@abelimwakijungu1226
@abelimwakijungu1226 10 ай бұрын
Wangewahusisha wamakonde, wanajua sana kumchonga nyerere.
@nyirefami19471947
@nyirefami19471947 10 ай бұрын
Naunga mkono kwa usahihi itengenezwe sanamu nyingine full stop
@RestitutaNjau-k8x
@RestitutaNjau-k8x 10 ай бұрын
Siooooooo kabisa jamani,libomolewe,albu kwa Taifa
@JohnMhogo-hd3fs
@JohnMhogo-hd3fs 10 ай бұрын
Hiyo sio sanamu ya mwalimu Nyerere.
@Shalom803
@Shalom803 10 ай бұрын
Nyerere hakuwa baba yangu wa kunizaa lakin namkumbuka vizuri jinsi alivyo. Nchi hii imezidi kuchekacheka na kuchakachuliwa kweupe mchana. Shame shame shame😢
@abelnyenye4500
@abelnyenye4500 10 ай бұрын
Rais na Kikwete hawamjui Nyerere? Au kuna kitu gani juu ya hili jambo?
@CarlMagi
@CarlMagi 10 ай бұрын
Itakuwa hao wanakamati waliweka macho yao kwa hiyo Tsh 500m, wakanunua sanamu feki ili wabaki na pesa ya kutosha. Ccm ni jipu lililoiva tayari, limekosa mtumbuaji tu
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 10 ай бұрын
Huyo alie tengeneza sanamu ilyopo mwanza siawatengenezee kama hiyo?au wakachukue iliyo pale mwanza
@joachimmahoo9786
@joachimmahoo9786 10 ай бұрын
Toa order kwa mtaalam aliyekomaa kwenye fine art, (sculptor)atengeneze sanamu ya baba wa Taifa.
@generosennko8343
@generosennko8343 10 ай бұрын
Hee. Yaani. Ni kwamba sanamu ilitaka kufanana fanana kidogo na mwalimu but ni kitu cha kurudiwa tena ili ukumbusho ukae sahihi
@deogratiasrugangila3100
@deogratiasrugangila3100 10 ай бұрын
Ni sahihi sanamu hii ibomolewe huyu siyo mwl Nyerere
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 10 ай бұрын
Mimi nasema sanamu lile liondolewe tu
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 10 ай бұрын
Mama samia,kikwete,namtoto wamwalim nyerere,kweli hii picha niyamwalim nyerere tumepigwa nakitu kizito,mngewapa wamakonde wachonge kinyago chamwalim,kuliko huu upuuz.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 ай бұрын
Ibomolewe tu hiyo siyo sanamu ya Mwalimu Nyerere hayukhivyo
@florianmodest6215
@florianmodest6215 10 ай бұрын
Hii nchi usanii umezidi dah naiona aibu. Huyu madaraka anahitaji tiba ya afya ya akili.
@ajmstationery6157
@ajmstationery6157 10 ай бұрын
IBOMOLEWE
@dillonfoya
@dillonfoya 10 ай бұрын
Hapo tumepigwa changa la macho Hiyo sio sura ya Mwl. Nyerere Madaraka anaweza akawa amepewa chochote
@MkonoZacharia
@MkonoZacharia 10 ай бұрын
Asnte Kwa hili endelea kutupa elim safi chakula Cha ubongo
@anosiata8242
@anosiata8242 10 ай бұрын
Hatari sana . Mmm
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 10 ай бұрын
Mchambuzi hiyo sanamu, si ya Mwl. Nyerere, huo ni udhalilishaji wa baba waTaifa letu ambaye pia ni mwasisi wa umoja wa Afrika, hiyo sanamu iondolewe haraka, hiyo ni fedhea tupu.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 10 ай бұрын
Haya ni muendelezo wa maudhi kwa watanzania kama watawala wanageuka wapiga deal kila kitu,kila mahali!! Sasa tunaamini kuwa hakika mjenga nchi au mvunja nchi atatokea miongoni mwa wale tuliowaamini na kuwapa dhamana watuongoze!
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 10 ай бұрын
Viongozi wetu jamani hivi hawaoni aibu
@anethmollel6564
@anethmollel6564 10 ай бұрын
Huyo sio mwalimu baba yetu
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 10 ай бұрын
Kweli watz tumekwisha
@aminieljohn5475
@aminieljohn5475 10 ай бұрын
...ndiyo maana wakati mwingine unaweza kusema this is the land of ninnies and total mediocrity!!...kweli tunafanyiwa kejeli hii halafu unakuta mtu mzima anaitetea eti iko sawa!! Kaka Hansbert umenena vema!!...hii irudishwe kwao!!
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 10 ай бұрын
Mm namuona wajakoya
@lilianvitus2488
@lilianvitus2488 10 ай бұрын
Hata hiyo suti utadhani aliazimwa imemtepeta hivo. Alikuwa na suti smart
@petermwashala9050
@petermwashala9050 10 ай бұрын
Toa kichwa.Nyerere JK niwetu wote, unaweza kuwa moto wake, usijue thamani yake, sisi watz tunajua Makongoro thibitisha. Huyo Anayetetea awe pembeni. Toa tengeneza nyingine. Hata loyal Family wameikataa. Na Mimi naikataa.
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 10 ай бұрын
HUYO SIYO NYERERE TUIKATAE TUACHE KUWA WAJINGA NA WAPOLE. KWANI HAKUNA MAFUNDI WA KUTENGENEZA NYERERE WA UKWELI!!???
@HussenPonda
@HussenPonda 10 ай бұрын
Kwa nini wasingeitengeneza kama ile ya nyerere square ya dodoma ?
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 10 ай бұрын
Wengine tulibahatika kumuona Mwl Nyerere kuanzia tukiwa wadogo miaka ya 70s mpaka alipotuacha 1999.Hiyo siyo sura ya baba yetu wa Taifa.Tafadhari mtusaidie kuiondoa hiyo sanamu na kuileta nyingine walau inayofanana na Mwl Nyerere.
@victorphilipo
@victorphilipo 9 ай бұрын
Wiziwizi mungu atabikata naripigwe radi
@danielchuma6563
@danielchuma6563 10 ай бұрын
Yani hiyo sanamu hakuna ATA kinacho fanana na nyeleke labda uyo kalambishwa chochote sio bule
@PhilibetLadislaus
@PhilibetLadislaus 10 ай бұрын
CCM ya Kikwete
@eliasstephen5378
@eliasstephen5378 10 ай бұрын
Ni kujiaibisha sisi wenyewe kama Watanzania, pili tujifunze kusema hapana kama kitu sicho sicho huwezi kumshikia mtu fimbo akubali..... tuoneshe ile ya Mandela pale South Joberg' - Nadhani sio peke yetu ila hata wanayoitetea moyoni wanajua sio .... Madaraka - Tunaomba Picha Moja tu Ya Baba wa Taifa inatofanana na hiyo Sanamu au iliyotumika kuitengeneza
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 10 ай бұрын
Samia alikuwepo huko Addis Ababa kwenye uzinduzi hakuona hii kasoro? Kwa nini alikubali udhalilishaji huu wa Baba wa Taifa? IONDOLEWA HARAKA NA KUWEKWA SANAMU NYINGINE YENYE UHALISIA. Na hayo mamilioni ya pesa yaliyotolewa kwa ajili ya sanamu hiyo hao "waliopiga" hizo pesa wachunguzwe na hatua stahiki zichukuliwe dhidi yao.
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 10 ай бұрын
Shuti ya mwalimu haikuwa kubwa hivyo, suti ya mwalimu ilikuwa ina mvaa vizuri
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 10 ай бұрын
Hii sio sanamu ya mwl Nyerere naibomolewe tuache wizi
@carolinenicholaus8363
@carolinenicholaus8363 10 ай бұрын
Ni bora wangekuja kuchukua sanamu ya baba wa taifa iliyopo Tabora
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 10 ай бұрын
Madaraka mwenyewe ni mlevi wakishampa mvinyo hajui kinachoendelea.
MSEMAJI WA SERIKALI AITIA HATIANI SERIKALI ANAYOITETEA
19:06
SK Media Online TV
Рет қаралды 20 М.
🅻🅸🆅🅴  JOHN HECHE ANAZUNGUMZA NA WAKAZI WA IFAKARA
44:24
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
KOCHA WA YANGA RAMOVIC AFUNGUKA NAMNA YANGA ILIVYOJIPANGA
0:06
ZANZIBAR SI SHWARI - 01
29:30
SK Media Online TV
Рет қаралды 61 М.
TUTAFAKARI  FAIDA ZA "UKWELI WA KISHETANI" WA PAUL MAKONDA BASHITE
26:26
SK Media Online TV
Рет қаралды 17 М.
NDARO NA STEVE MWEUSI WAROHO UTACHEKA
13:28
Ndaro Tz
Рет қаралды 623 М.
HUYU NDIO ADUI KHATARI WA UISLAM BY Sheikh Ilunga Kapungu
18:25
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 44 М.
TUMWAMINI DK SLAA WA CHADEMA AU WA USALAMA WA TAIFA?
8:51
SK Media Online TV
Рет қаралды 27 М.
"UKOMO WA MADARAKA"  NI KAMA TRENI YA GWAJIMA?
19:53
SK Media Online TV
Рет қаралды 12 М.
TISS ACHENI NJAMA CHAFU DHIDI YA LISSU NA MBOWE
11:13
SK Media Online TV
Рет қаралды 32 М.