TUFUNUWE KITABU (SILSILA 13): Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar cha Hashil Seif Hashil

  Рет қаралды 6,373

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Күн бұрын

Katika mfululizo ya maandishi yaliyoandikwa juu ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari 1964, leo Ismail Jussa anatufunulia kurasa za kitabu cha Komredi Hashil Seif Hashil kinachosimulia maisha yake binafsi na ushiriki wake na chama chake cha Umma kwenye tukio hilo lililoibadilisha kabisa Zanzibar.

Пікірлер: 29
@eddymuddy9133
@eddymuddy9133 2 жыл бұрын
Shukran sana Mheshimiwa Ismail Jussa kwa kutuelimisha wazanzabar kwa jia ya Vitabu
@sulimanmasoud9337
@sulimanmasoud9337 2 жыл бұрын
Kweli kabisa hivyo ndivoilosabisha Babu kutoka.
@sulimanmasoud9337
@sulimanmasoud9337 2 жыл бұрын
Jusa kweli hao organizer walikua haeamini Mgu .mapago wao hata walobakia katika Z PP ilikua nikuipiduwa Srkali ya Z P P. Babu akimuogopa Ali Sultan
@suleimanalsubhi1924
@suleimanalsubhi1924 2 жыл бұрын
Asante Sana Shaikh Jusaa kwatufumdjsha history ya. Zanzibar mungu akujiyeni kila kheri wrwe Shaikh Ghassani
@jaanjaan111
@jaanjaan111 2 жыл бұрын
Wahuni wote hao hawakua na faida yoyote kwa masilahi ya zanzibar hao ndio waliochangia zanzibar kuwa koloni la tanganyika Allah awalani wote kwa uhasidi wa zanzibar
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 2 жыл бұрын
Asante sana
@harounkuchi9100
@harounkuchi9100 2 жыл бұрын
Mzee Karume aliambiwa waunde sirikali ya pamoja wakiwa Lancaster House akaja akashauriwa na Nyerere akatee, waanche kuchanganya mambo na kufichaficha nchi wameifisidi
@nailamohd7693
@nailamohd7693 2 жыл бұрын
Kwa ufupi nchi yetu zanzibar imepata hassad ya viongozi walokua hawana nia njema nayo na mpk leo hao viongozi wapo bado wanaendelea kuipa hasad. Allah ataleta rehma zake in shaa allah.
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 2 жыл бұрын
Jusa anaakili nyingi na ni msomi mzuri ni mtu mwenye weredi mkubwa sana angepata nafasi angeisaidia sn Zanzibar
@mwalimuali1850
@mwalimuali1850 2 жыл бұрын
Zanzibar kwanza 😊
@abdullkhamis5406
@abdullkhamis5406 2 жыл бұрын
Kama kawaida yangu ya kuyakubali kabisa mahojiano ya Magwiji hawa wawili. Leo nimepata hisia mzuri niliposikia kutajwa Babu/ Sheikh wetu Babu Haji Muhammad.
@azizamri1522
@azizamri1522 2 жыл бұрын
Kuamini kwa Scientific Socialism ni failure kubwa sana kwa Babu na Umma Party. Yalopita hayasahauliki lakini makovu yamebaki.
@harounkuchi9100
@harounkuchi9100 2 жыл бұрын
Tunashkuru kwa somo zuri ila mm nlkua mtaziko mkubwa wa historia ilkua naomba namba ya mh Jussa ili kupata ufafanuzi binafsi
@alawysaid3719
@alawysaid3719 2 жыл бұрын
Hakika yamepita makubwa Sana zanzibar, kuliko tuvyokua tukiambiwa kua waliwapindua waarabu! Ukweli Hua haufichiki
@halimarj6309
@halimarj6309 2 жыл бұрын
Maoni naheshimu sana maoni na mchanganuo wa Shekh Jussa ila naona kuna baazi ya vitu huingiza matwakwa yake zaidi vionekane kama havieleweki lakini kumbe vinaingia akilini mno
@mfyoko
@mfyoko 2 жыл бұрын
bI Halima tafadhali tupatie mchanganuo na wewe kwa hivyo vitu unavyoona Jussa ameingiza matakwa yake ili na sisi tupate kufaidika
@rastafare878
@rastafare878 2 жыл бұрын
Labda da Halima ungetutajia hayo mambo yenyewe
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 2 жыл бұрын
Muengereza ndio mnafik mkubwa
@MrKhatibu
@MrKhatibu 2 жыл бұрын
Siku zote tukisha haribu mambo hatukosi sababu.
@zingzong3928
@zingzong3928 2 жыл бұрын
Nini maana ya comred?
@barakashamte3273
@barakashamte3273 2 жыл бұрын
Viongozi akina BABU, ALI MAHFOUDH,ALI SULTANI na wafuasi wao UMMA PARTY akiwemi Biubwa Amour hawakuwa wana ASP/ASPYL wala Kamati ya 14 ya Mapinduzi ya Jan.12, 1964 ila kulipokucha walishiriki kusomba MATEKA na ngawira sambamba na Wana-ASP mjini na vijini
@alijuma7882
@alijuma7882 2 жыл бұрын
Msituchanganye mapinduzi yalipangwa na waingereza na nyerere Baada ya askari wazalendo kufanyiwa hujuma wasiwe na silaha Mbona hawasemi mateso waliyopata wananchi baada ya mapinduzi Mpaka Leo watu wanauliwa na kuvunjwa miguu na janjaweed
@hamzarijal9093
@hamzarijal9093 2 жыл бұрын
@@alijuma7882 Hii nzuri sana kwahio Macomrade kwahio walikuwa wasafi sio kama inavyoelezwa.
@alijuma7882
@alijuma7882 2 жыл бұрын
Makomred hawana usafi tunavosikia walikuwa wakenda majumbani kwa waarabu wenzao na kuwachukuwa kwenda rahaleo Hata hivo siasa zao za Marxism zisingekubalika visiwani Znz na baada ya miaka zilifeli dunia nzima Warusi na wachina wamebadilika sana ndio wakapata maendeleo
@MrKhatibu
@MrKhatibu 2 жыл бұрын
Msikilize Mzee Thani, utaelewa kuwa mambo yalipangwa na hao Umma party na ASP. Kuna sehemu anaeza Mzee Thani kuwa aliulizwa Col Mahfoudh hawa mateka ni "wapi wapelekwe, kule mahali au Kiunuwa miguu". Sasa jiulize asubui ya tarehe 12 watu waliojipenyeza tu waliwezaje kutarisha logistics asubui mapema bila kushauriana na hao ASP? Hatutaki kukubali tumepinduana wenyewe kwa wenyewe Umma Party ndio wapishi wa Mapinduzi na ndio wakiongoza operation ya nyumba kwa nyumba kuwauwa so called "warabu"
@alijuma7882
@alijuma7882 2 жыл бұрын
Muingereza ndie aliepanga mapinduzi kwa kufanya hujuma askari wazaendo wasiwe na silaha Umma party na hao wamakonde kutoka bara wasingefanya kitu kama askari wangejuwa na silaha Mfano ni malindi police hawakuweza kuikamata mpaka askari wameishiwa risasi na kuondoka
@zingzong3928
@zingzong3928 2 жыл бұрын
Makomred ndio akina nani?
@MrKhatibu
@MrKhatibu 6 ай бұрын
Wahuni wa zamani enzi hizo wavuta charasi na bangi, waliofukuzwa ZNP .ila badae uzeeni wakawa waumini wazuri wa dini .bila ya uhuni wao basi kusingekuwa na mapinduzi Zanzibar
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 25 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 15 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН
The Mathematician Who Discovered Math's Greatest Mystery
12:21
Newsthink
Рет қаралды 224 М.
Oscar Kambona: Shujaa au Msaliti? | The Chanzo Documentary
1:04:34
PITIO LA KITABU: Maisha Yangu cha Khamis Abdullah Ameir
1:10:58
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 9 М.
TUFUNUWE KITABU (SILSILA 8): Babu: I Saw the Future and It Works
1:08:38
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 9 М.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 25 МЛН