"TUISHI KAMA KENYA" KWA UCHUNGU WANANCHI WAMLILIA RAIS SAMIA, wamtaja Waziri wa JERRY SLAA

  Рет қаралды 8,833

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

20 күн бұрын

"TUISHI KAMA KENYA" KWA UCHUNGU WANANCHI WAMLILIA RAIS SAMIA, wamtaja Waziri wa JERRY SLAA
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 61
@user-rv2ht5vm5k
@user-rv2ht5vm5k 17 күн бұрын
Poleni Watangabyika Nchi aina uongozi Ishauzwa
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 16 күн бұрын
Mbona sasa hivi kila mahali watu wanalia na kulalamika sana? Kwani viongozi hawapo? Mungu wasaidie watz
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 18 күн бұрын
Mwarabu huyo TZ IMEVAMIWA
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 15 күн бұрын
Kuwa kiongoz mkuu sio rahisi ,msione raisi mkahisi inafanana na raisi ,hapana sio kweli kuna huyu ndio kuna huyu hapana huwez jua wapi ila ninachomuomba mama samia akubali katiba mpya kwasababu katiba ndio tatizo naona kwa uwelewa wangu mdogo tu pia wanachi wapewe elimu maana hizo sheria hatujafundishwa mashuleni bali tunakutana nazo tu wananchi wa hali ya chini kitu ambacho sio sawa tukijua haki zetu tuu hata wewe raisi mambo yako yatakuwa rahisi hatutaibiwa na diwani wala mmbunge natamani ungeona hii sms mimi ni mwanachi wa hali ya chini elim darasa la saba😢😢😢😢
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 18 күн бұрын
Hayo maneno hayatawasaidi Nchi inauzwa chukuweni hatua.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 17 күн бұрын
Kama wanaume kweli 😂😂😂😂 chukuweni hatua 😂😂😂 mngechukuwa hatuwa zamani hapo Tanganyika..
@kazigembeleke5958
@kazigembeleke5958 17 күн бұрын
Kawa nini utaje Kenya, ongea ya kwako
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u 15 күн бұрын
Ko kwa akili yako yanayofanyika unachelewa?
@antonymangu3458
@antonymangu3458 16 күн бұрын
Wachana na kenya tunajua haki zetu ndoo uanalia manake ujui utafanya nini
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 17 күн бұрын
Kama loliondo vile mwarabu Nini
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 18 күн бұрын
Mama yenu hana uwezo wa kutawala hata kidogo
@samwa9496
@samwa9496 17 күн бұрын
Tawala wewe ATAFANYA mangapi mlienda kwa waziri wa ardhi kwani mishahara analipwa wanini fikiria kabla ya kusema wewe ndio utaweza kuendesha nchi acheni maneno mnafikiri Kenya kuzuri si muende mkakae huko
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 17 күн бұрын
@@samwa9496 acha kutetea uuzaji ardhi za watanzania. Akaiuze Zanzibar. Nyinyi maccm mnatetea ujinga mtupu.
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 17 күн бұрын
Wanampa 5 tena, nchi itabaki mikononi mwa wageni
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 17 күн бұрын
KATIBA ndiyo suluhisho mimi nafikiria wanainchi waulizwe nini wanataka katika KATIBA ijayo kwa ya mateso na watawala wa ccm ili KATIBA iweze kudhibiti hata watawala wa vyama vyo vyote kwa sababu watu wengi wakipata kutawala wanageuka mara moja miungu watu kama huyu Awamu ya 5 maana hata hii inayojifanya ni kwa sababu ya KATIBA. Kwa sababu Magufuli alikufa ikiwa Awamu ya 5 sasa Awamu ya 6 nani alimpigia kura kuharibu mtirirko wa Awamu? Na kupachika ati Awamu ya sita ili aweze kuwania uchaguzi wa wizi tena mwani akijiegeshea kuwa yuko Awamu ya 6. Hata KATIBA hii mbovu inayowaruhusu Watawala wa CCM kufanya watanganyika kama watumwa wao.
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 17 күн бұрын
Mla rushwa afungwe maisha
@beinafuu6219
@beinafuu6219 18 күн бұрын
Kenya hakuna vita kama ujui kaa kimia.kenya wanadai haki.uwonevu.matumizi makubwa ya pesa ya wananchi.viongozi kujilimbikizia ukakas.ndo wanata vikome hakuna vita.
@kazigembeleke5958
@kazigembeleke5958 17 күн бұрын
Ufinyu wa kufahamu huyo mama
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 17 күн бұрын
Unajua vita ni nini,karibu watu mia wameuliwa hio sio vita ni amani?
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 17 күн бұрын
Sasa kama bahari kwa nini manajenga???
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 18 күн бұрын
Labda ni mali ya raisi..
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 17 күн бұрын
Angalie cheo chake na cha ruto kopi kikubwa?
@kessydieselengineers3205
@kessydieselengineers3205 17 күн бұрын
Mtajisoti hiyo ndiyo ccm
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 17 күн бұрын
😂😂😂 CCM mshaijuwa lakini hao wengine hamjawajuwa…
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 17 күн бұрын
Akifa hatakichanga kwa kwa mafuriko atajua nguvu ya wananchi na pesa yake kipi cha thamani
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 17 күн бұрын
Hawa hawajali raia kufa watuwaliandamana mpaka Kwa waziri mkuu kizota huku Dodoma waliambiwa nenda Jiji na baado
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 18 күн бұрын
Labda hili eneo la waziri mwenyewe au la raisi mwenyewe sasa tuta semaje nchi ya kichawi
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u 15 күн бұрын
Tunakomesha huu ubepari muda cyo mrefu
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 18 күн бұрын
Labda hili eneo la waziri mwenyewe au la raisi mwenyewe sasa tuta semaje
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 17 күн бұрын
Hiyo ya wakubwa wanatesa sana kuna siku jeova yupo
@briankatani6770
@briankatani6770 17 күн бұрын
Kwani Kenya kuna shida gani ya kutulinganisha nao
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 17 күн бұрын
Hakuna utawala wa sheria kwa mafisadi wanyonge tuungane tuwe kama kenya
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 17 күн бұрын
Unganeni kama Wa Kenya 😂😂😂😂 toka lini kwenye historia ya Tanganyika mmewahi hufanya ubabe huo….Mhhhh
@mutalemwajohanes-kx9dj
@mutalemwajohanes-kx9dj 18 күн бұрын
Mtalia saana waziri katumwa tu....? Hii ni nchi ya mabepari
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj 17 күн бұрын
Mwarabu akichujua eneo utajuta mamae anajenga likuta hata iwe heka 700 mtu unavurugwa kila kona
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 18 күн бұрын
Wewe ulimushilikisha nani kiwanja chakwako acha ujinga ulikuja kulima
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 18 күн бұрын
CCM wamefeli kwenye ardhi wana babaisha tuuu hata waziri anasumbuka tu mbona dodoma kashindwa tena wana hangaika kipindi cha uchaguzi
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 18 күн бұрын
Katiba mpya inahitajika ili tupate viongozi sahihi na watakaoheshimu misingi ya katiba hiyo.
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 18 күн бұрын
Watu wanavamia bunge itakua bonde halima mdee COVID 19
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 18 күн бұрын
Wananchi tujitetee wenyewe aisee
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 18 күн бұрын
Au kashapewa mwarabu hapo…
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 18 күн бұрын
Ni nani unaongea sana pointing haluna
@Omwami-lc4dd
@Omwami-lc4dd 18 күн бұрын
Kila mahali ni kenya pumbavu hawa
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 18 күн бұрын
Hii ndo Tanzania yaani walivyowema wewe fanya chochote wao kazi yao ni kulalamika tu hawachukuagi hatua
@kessydieselengineers3205
@kessydieselengineers3205 17 күн бұрын
Mbomoe msimshirikishe mtu yoyote
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 18 күн бұрын
Wewe siyo afisa mipango miji avunje ukuta wanini chakula Cha wazee acha mufe ccm oyeee
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 17 күн бұрын
Muungane kijiji kizima pigeni kele na mvunje ukuta. Mnawaachaje watu au kuwaangalia wakijenga. Wote mkaumzuie.kijiji kataeni mwekezaji uwanjani kwenu sababa hamkuhusishwa chichote. Ni kama mmevamiwa. Kataaeni.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 17 күн бұрын
Piga chini kuanzia serikalì za mitaa
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 16 күн бұрын
Ili msikike vunja vunja hiyo takataka msije kufa. Ninyi ni wa thamani zaidi kuliko huo ukuta.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 18 күн бұрын
Mtakoma mlidhihaki magu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 17 күн бұрын
Wakishindwa kuwa sikiliza wanainchi bomoa hilo liukuta mkiendelea kuwalea CCM mtakuja kufa kwa maji na watoto hawataenda shule mvua ikinyesha kwa ajili ya mtanganyika mmoja kwani ninyi siyo watanganyika? Tumewalea sana ndiyo sababu wanatutumikisha.
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 18 күн бұрын
Kama mtu anataman kuishi kenya aende.akaishi.jaman msitamani vita.ya wenyewe kwA.wenyewe fujofujo tu fikilieni mama samia angekuwa ndugu yenu ivi mngejisikiaje nendeni kenya mkaishi
@charlesmtangi9046
@charlesmtangi9046 18 күн бұрын
Kwaiyo wanapaswa kufanyiwa ivo watanzania ??? Kila seem migogoro ya aridhi aseeh
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 18 күн бұрын
@@charlesmtangi9046 hawastahili sheria zipo kusanyiken Wana kijiji mtu moja hawezi kuwashinda hata kama tajiri lawama zimezidi samia nae ni binadamu ndio ma'ana nimesema fikilieni angekua au dada yenu au mama yenu au ukoo wenu Watanzania tusome sana guraan na biblia ndo msaada ndio msaada rais ni mwanadamu tu kama wewe
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 17 күн бұрын
​@@charlesmtangi9046ungekuwa ni wewe umehamishiwa mkondo wa maji ukusombelee baharini wewe na familia ungejisikiaje sio vita ni amani?
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u 15 күн бұрын
Wewe ni walewale na ulaaniwe hiv watu wanateseka wew unakataa anachokiongea huyu mama ni bure?,nyooooooooooooooo!,na yanayofanyika kenya yanakuja tanzania kama hali itabakia hiv
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 15 күн бұрын
@@user-wi8og3sv4j huo ndio ujinga wa watanzania walio wengi. Tujue haki zetu tucogope vita. Zanzibar ilimwagika damu ndio tukawa huru na mapinduzi daima.
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 28 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
ABDUL NONDO ajilipua UTEUZI WA RAIS SAMIA amtaja " KIKWETE "
5:04
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 2,5 М.
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН