RAIS SAMIA AMSHANGAA MWEKEZAJI MCHINA AKICHAPA KISWAHILI SAFI | TUTACHAPA KAZI HAPA USIKU NA MCHANA

  Рет қаралды 17,869

RAI TV

RAI TV

7 күн бұрын

Пікірлер: 47
@ayoubbenta4499
@ayoubbenta4499 Күн бұрын
Hi china,asante sana kwa kukuza ,kuendeleza,kusimamia na kuongea kiswahili hongera sana hongereni sana watu wa china’watanzania na east africa, na africa kwa ujumla tunawaomba tukikuze kiswahili
@barakambasile2651
@barakambasile2651 5 күн бұрын
Asante jpm kukitangaza klswahili
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv Күн бұрын
Hahaha kiswahili lilijulikana kabla ya magufuli
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 15 сағат бұрын
Mchina umejitahidi kuzungumza kiswahili. mashaallah.
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 2 күн бұрын
Hongera kwako Muwekezaji toka China
@HappnessYohanaRohongo
@HappnessYohanaRohongo 3 күн бұрын
❤❤🎉🎉
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 6 күн бұрын
Safi Sana Mama Samia ooyeee 🙌
@kavakurejeanBaptist-nk7jz
@kavakurejeanBaptist-nk7jz 2 күн бұрын
Safi sana
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 4 күн бұрын
Safi sana,sasa nasi tujifunze kuwa Kiswahili kinapendwa ,China na Japani wanaongea luga zao lakini unasikia raha sana kusikia wageni kama hawa wakiongea ruga ❤❤❤❤
@meshacksabuni7541
@meshacksabuni7541 5 күн бұрын
Kweli wenzetu wako serious na mambo yao. Mbali na matamushi yake kuathiriwa kidogo na lugha ya kichina, sarufi yake iko vizuri.
@allywilson4155
@allywilson4155 6 күн бұрын
Yupo vizuri sana
@shaban6644
@shaban6644 6 күн бұрын
Mchina Yuko Vizuri, Hongera Mama.
@mathiasmichael9915
@mathiasmichael9915 4 күн бұрын
Asante mama Samia Asante Sanaa DK. JP Magufuri
@allyhasani3750
@allyhasani3750 2 күн бұрын
Magufuriii
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 6 күн бұрын
Umejitahidi kwakweli 😅❤
@enosFrank-r8f
@enosFrank-r8f 6 күн бұрын
Hongera sn dada
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 6 күн бұрын
Tizama wenzetu wanavopenda lugha yetu lkn ss tunakidharau kiswahili
@isaacvtv547
@isaacvtv547 5 күн бұрын
Ukute kuna mtanzania hawezi kuisoma hata lugha yake. Ila natambuwa si wote wamepata bahati ya kupita primary school.
@kavakurejeanBaptist-nk7jz
@kavakurejeanBaptist-nk7jz 2 күн бұрын
😂,😂😂😂😂
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 5 күн бұрын
Tupende Watoto Wetu kuongea..Kiswahili lugha zingine ni Ziada tu..tusijivunie watoto wetu kuongea lugha za kigeni.
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 6 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🌹👏
@Halphan-cw3de
@Halphan-cw3de 6 күн бұрын
Huyu mchina anafurahisha na kiswahili chake😂
@jacksonmbonea7411
@jacksonmbonea7411 6 күн бұрын
Safi sana😢
@dotolinos3750
@dotolinos3750 2 күн бұрын
wanao msifia wote bumbavu zenu. Mrundi akiongea Kiswahili namuna hiyo mnamcheka.
@Missionary_work
@Missionary_work 6 күн бұрын
Mmh
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 13 сағат бұрын
Tumpe ubarozi wa kiswahili pale Ubungo kwenye kituo Cha uwekezaji
@smstore5535
@smstore5535 6 күн бұрын
😂❤
@barakamanga5502
@barakamanga5502 6 күн бұрын
Safisana mchina
@jjjhhb4300
@jjjhhb4300 6 күн бұрын
😂
@johnshayo9635
@johnshayo9635 4 күн бұрын
Tusipende sifa sana
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 5 күн бұрын
We don't need chains lnvestor in Tanzania why chains are selfish want to seal everything in Africa not even giving Africa technology to lnvested at list Africa benefits even machine of creat spoon or stick of clean teeth chains can't creat here in Africa chaina want to hold every single thing in Africa disappointed our africa leader asepty such move tunaimia sana ktk mataifa yetu ya kiafrica mpaka nchiti za kiberiti machine itoke china viberiti vitoke china miti yetu wenyewe aibu toileti papar machine china Sasa hii ni aibu kwa mataifa yetu ya kiafrica jee lini Wana sayansi wetu watskwenda kuongeza ujuzi wao ktk nchi zilizoendelea waje kuwa Creator ktk mataifa yetu ya kiafrica km vile lran
@BJMKANGALA1
@BJMKANGALA1 6 күн бұрын
Halafu baadhi ya watanzania hawapendi kiswahili! Bila sababu ya msingi mzungumzaji anachanganya kiswahili na lugha ya kiingereza hasa wachambuzi wa habari kwa dhana kwamba kwa kufanya "ulimbukeni" huo wataonekana wameelimika sana! Kwa bahati mbaya mpaka viongozi wetu wakuu nao ni mchanganyo wa lugha. Majuzi kati nimemsikia kiongozi mmoja wa enzi hizo akisema "kiongozi wako wa juu akikosea basi wewe wa chini haraka sana unamkava" akimaanisha neno la kiingereza "cover" Nikachoka kabisa! Watanzania tuipe thamani lugha yetu ya kiswahili. Wahenga wamesema kipende chako na mdharau kwao ni mtumwa!
@LiisaMaisha-is1hi
@LiisaMaisha-is1hi 6 күн бұрын
Umesema ukweli inanikera mtu akichanganya kingereza na kiswahili.tuvunie lugha yetu inayotuanganisha watanzania wote.
@BJMKANGALA1
@BJMKANGALA1 6 күн бұрын
@@LiisaMaisha-is1hi asante Mkuu tusaidiane kupaza sauti kupigania lugha yetu ya kiswahili itumike kiufasaha kama kiunganishi cha Taifa. Mimi na wewe na yule tukiungana tunaweza kuwabadilisha tabia hawa "matapeli" wa lugha!
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 күн бұрын
​@BJMKANGALA1 Ni kweli lakini na hao wanaojiita Wataalam wa Kiswahili wanatuharibia lugha hii mfano" Komputa" kuita kidadavuzi mpakato. Kwangu mimi bora hao wanaochanganya na Kiingereza. Kiswahili kwao ni pwani hasa Zanzibar.Kila mtu kutaka eti awe mtaalam wa Kiswahili wanakiharibu sana.
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 5 күн бұрын
Kumbe anasoma
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 күн бұрын
Na wewe tukikuandikia Kichina utasoma?
@baloz8974
@baloz8974 5 күн бұрын
Akili zako haziko sawa ,kila hotuba ya kikao baina ya wawekezaji na serikali lazima iandikwe
@allymnyenye8109
@allymnyenye8109 2 сағат бұрын
Achana na kenge huyo​@@hajihassan5433
@suleimanikirassahassan9711
@suleimanikirassahassan9711 5 күн бұрын
Kiswahili gani wakati ameandikiwa anasoma
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 күн бұрын
Na wewe tukikuandikia kwa Kichina utaweza kutusomea? Usiwe mgumu kutoa pongezi!
@baloz8974
@baloz8974 5 күн бұрын
😂😂😂​@@hajihassan5433 swali zuri
@baloz8974
@baloz8974 5 күн бұрын
Hotuba zote watu huandikiwa ijulikane ni nini agenda ya kikao. Sasa wawashwa wapi .?
@isaacvtv547
@isaacvtv547 5 күн бұрын
Hivi wakikuandika ki china usome kama yeye utaweza?
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 Күн бұрын
Ukiandikiwa kichina utaweza 😂😂
@Missionary_work
@Missionary_work 6 күн бұрын
Mmh
@user-pj8cj7ps5b
@user-pj8cj7ps5b 5 күн бұрын
Uko vizuri mchina safi sana tuko pamoja
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 32 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 68 МЛН
Не трогайте эту ВОЛОСАТУЮ ШТУКУ! 😱
0:24
Взрывная История
Рет қаралды 5 МЛН
小天使生病,去学校被嘲笑,最后太有爱了#short #angel #clown
0:56