No video

Tuna viongozi wenye nguvu zaidi kuliko taasisi zetu

  Рет қаралды 131,197

Habari za UN

Habari za UN

Күн бұрын

Akizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Prof Mussa Juma Assad amesema, kuwa utekelezaji wa malengo ya maendeleo andelevu SDG's nchini Tanzania utategemea uimarishwaji wa taasisi katika taifa kuliko kuwa viongozi wenye nguvu.

Пікірлер: 129
@antonykashube2065
@antonykashube2065 5 жыл бұрын
One of the best leaders in the world, Prof. Mussa Juma Assad.
@ttec9431
@ttec9431 5 жыл бұрын
Nimesoma kitu hapa tayari .... Best proffesor
@nyangigewerema9123
@nyangigewerema9123 5 жыл бұрын
Twahir Khalid Ali
@hakika_tz1564
@hakika_tz1564 5 жыл бұрын
Umemaliza baba Mungu akulinde Prof. Assad
@pastorytitus5189
@pastorytitus5189 4 жыл бұрын
Prof. Assad nikupongeze sana kwa maneno yako yanayoakisi usomi na hekima ambayo Mungu kakupa, ni kweli Taifa letu halina strong Institution tukubali tusikubali, bali tuna strong Individuals ambao wanapita tu katika nyadhifa na baada ya hapo anakuja kiongozi mwingine naye anakuwa na falsafa yake.
@kalebujacob8323
@kalebujacob8323 5 жыл бұрын
Hongera CAG uko vzr sana
@cosmassquintine1320
@cosmassquintine1320 5 жыл бұрын
Best and strong speech!! Respect to you Asad!
@salimdoctor691
@salimdoctor691 5 жыл бұрын
Up salute Mzee masha Allah uko vizuri picha linaanza hufagili mbofumbofu you are konk master!!!
@lucasmanyama2892
@lucasmanyama2892 4 жыл бұрын
Pro Assad elimu yako uliyo ipata darasani hakika unai practice katika mawaidha yenye busara Sana. much respect to you
@abdalahngilisho7433
@abdalahngilisho7433 5 жыл бұрын
Kaburu P.W Botha aliwahi kusema kwamba Karunguyeye si sawa na Nungungu hata kama wote wanamishale mwilini. Kwa statement safi kama hiyo yenye mashiko, anaweza asieleweke na baadhi yatu hadi aitwe kwenye mahojiano.!
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 5 жыл бұрын
Mtu kama huyu ndio anafaa hata nafasi ya Uraisi
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 5 жыл бұрын
Watoto wa huyu baba wanaraha sio kifedha lahasha busara na akili nying
@frolencyphilipo8366
@frolencyphilipo8366 5 жыл бұрын
Johnson Marick mimi nakaa nao mtaammoja huwezi amini alimuozesha mwanae kwamtu hohehahe yaani achaniishie hapa
@hassankuchunga5016
@hassankuchunga5016 4 жыл бұрын
Johnson Marick mkuu tatzo uyu anabusara Sana nais hata din anajua
@andrewkimambo1581
@andrewkimambo1581 4 жыл бұрын
Ni kweli Prof. anachosema na ninamuunga mkono. Lakini nimejaribu kufikiria kwa kina impacts ya strong institutions kipindi cha mzee jakaya sijaona faida zake zaidi ya uwizi ufisadi na nk, Me naona mfumo wa strong personalities ni mzuri zaidi. Tunaheshimiana zaidi. Mawazo yangu tu.
@davidchambulila3028
@davidchambulila3028 4 жыл бұрын
Ubarikiwe , watu smart tunashindwa kuwapata sababu ya siasa za hovyo
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 5 жыл бұрын
Huyu ndie professa pekee kwa tz anapoongea unajua ni profesa, sio wale maprofesa wa uwongo kilna Lipumbumba
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
Prof kapuya prof kabudi prof lipumba
@michaelsylvestre8475
@michaelsylvestre8475 5 жыл бұрын
Ama kweli we msomi huna muda wa kubishana na mjinga, hongera sana na wanampango wakukuweka kando achana nao maana hawataki kukutumia kea manufaa ya taifa.
@iddibale5665
@iddibale5665 5 жыл бұрын
kama kunamtu hamuelewi pro asadi anahitaji maombi
@saidiabdallah5208
@saidiabdallah5208 5 жыл бұрын
Nadhani makofi pia
@rammyrichtv6913
@rammyrichtv6913 4 жыл бұрын
Huyu mzee anafaa sana kuwa raisi wa nchi
@mwanamutemi
@mwanamutemi 4 жыл бұрын
Mazungumzo haya yamemgusa Magufuli pabaya na ndio akajua siku itafika November 4 2019 ATAMTENGUA PRO ASSAD KAMA CAG NA KUWEKA KIBARAKA ATAKAE MSIKIZA ATAKAVYO MUELEKEZA !!!
@victormneney8236
@victormneney8236 4 жыл бұрын
Anafaa kuwa Raisi wa Tanzania
@siskasulu2913
@siskasulu2913 4 жыл бұрын
Unadhani mafisi wanaweza kukubali agombee??
@skillz802003
@skillz802003 5 жыл бұрын
Huyu Jamaa ana Akili na ufahamu Mingi sanaa....
@m-barukhamad2734
@m-barukhamad2734 5 жыл бұрын
Allah(sw)akusimamie ktk kutekeleza majukumu yako
@alijuma7204
@alijuma7204 3 жыл бұрын
Great
@hajiathumani1532
@hajiathumani1532 5 жыл бұрын
jamani Nchi hii kuna watu wanashule hadi aibu Hongera cag
@omarjumanne4471
@omarjumanne4471 5 жыл бұрын
Nakuunga mkono sana mkaguzi clg hongera sana tena sana nimekufaham
@flowinmkechi4500
@flowinmkechi4500 5 жыл бұрын
Daaah unaniispire sana
@innocentkimata7274
@innocentkimata7274 5 жыл бұрын
Tanzania tuna Strong personalities kuliko strong institutions ndo kina ndugai hao wanajifanya wana nguvu kuliko taasisi yenyewe mfano bunge
@omaryregga5315
@omaryregga5315 5 жыл бұрын
ukwer unauma hongera mkaguz
@isayandabila7812
@isayandabila7812 5 жыл бұрын
Akili kama zote Yan hata yy Mwenye yupo vzuri sana
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 5 жыл бұрын
Duu mzee unaona mbali sanaa
@sss3s867
@sss3s867 5 жыл бұрын
Huyo ni prf - Assad-. Kwetu tafsiri ya Assad ni (SIMBA)
@hashimumtamike3607
@hashimumtamike3607 5 жыл бұрын
Uyu mzee alikua wapi siku zote jamani. Hongela sana mueshimiwa magu kwa kumchagua kiongozi mwenye upeo kama uyu pro, Asady Mungu akusimamie baba
@Munyama675
@Munyama675 5 жыл бұрын
Aliteuliwa na KIKWETE NOV 2014 na wala sio MAGUFULI na wala hawezi KUMTUMBUA hadi 2021 pale atakapofikisha miaka 60
@robertmaginga6132
@robertmaginga6132 5 жыл бұрын
Hiyo ndiyo maana ya usomi, facts.
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 3 жыл бұрын
heshma ako haitakufa daima
@kaizarkichenge3275
@kaizarkichenge3275 5 жыл бұрын
Ukweli siraha tosha
@sibiromallya5894
@sibiromallya5894 5 жыл бұрын
mzeeee akili mingi sanaaaaaaa wew
@lightnesssomi6961
@lightnesssomi6961 5 жыл бұрын
Auwezi mlinganisha huyu mtu na jobu ndungai ata sikumoja
@hamisisilimu1245
@hamisisilimu1245 5 жыл бұрын
Usieleze kila kitu bb hii nchi ya Wapumbavu
@simonmanyelezi628
@simonmanyelezi628 5 жыл бұрын
Kasoro mm sio mpumbavu.
@ansethburukardi9354
@ansethburukardi9354 5 жыл бұрын
Kweli kabsa
@issakhalfan6164
@issakhalfan6164 5 жыл бұрын
@@simonmanyelezi628 ha ha ha haaaa
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 5 жыл бұрын
THE CAG PRO ASSAD 🙌🏾
@mgazakidugalo8051
@mgazakidugalo8051 5 жыл бұрын
Mashaallah.
@devotakapwepwe363
@devotakapwepwe363 5 жыл бұрын
Mshukuru Mungu kwa kila jambo
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 3 жыл бұрын
👍
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
Ni nchi pekee duniani isyopenda watu welevu. Wanaojua mambo. Dunia nzima!
@imanimfuruki9040
@imanimfuruki9040 4 жыл бұрын
Well said prof
@almatrashid1812
@almatrashid1812 5 жыл бұрын
Nikiwa mkubwa nataka kuwa CAG
@kokombwana5865
@kokombwana5865 5 жыл бұрын
He is very strong person
@brunomeshaki3401
@brunomeshaki3401 4 жыл бұрын
Mfanyakazi mzuli niyule anaye kumbukwa apoacha kazi nakukumbuka sana mzee wangu
@danielurassa2762
@danielurassa2762 5 жыл бұрын
Wakiambiwa wawaachie nchi werevu kama hawa hawataki
@sebastianjoseph8579
@sebastianjoseph8579 4 жыл бұрын
Comments zenu ndugu zangu zimenifanya nijue watz tunakua kifkra sasa na ni kwe prof Assad ni msomi wa kuigwa
@mrmathias5823
@mrmathias5823 4 жыл бұрын
few explaination heavy weight message.
@madulustudio6794
@madulustudio6794 5 жыл бұрын
Namukubali sana huyu mzee
@boyseleman658
@boyseleman658 5 жыл бұрын
We mzee unakili sana kama baba yangu
@giftyjohn3852
@giftyjohn3852 4 жыл бұрын
Mzee yuko na maalifa sana
@abaskisongo5439
@abaskisongo5439 4 жыл бұрын
Assad ni kiongozi wa viongozi! Prof
@bakarikikwaruto6248
@bakarikikwaruto6248 5 жыл бұрын
kweli kabisa ndiyo maana kila kiongozi anajifanya anamaamuzi makubwa kuliko taasisi anayoiaimamaia
@monicamwanjisi693
@monicamwanjisi693 5 жыл бұрын
Uko sahihi sana
@sk-wj9or
@sk-wj9or 6 жыл бұрын
Massage send!
@ramahhouzzer2342
@ramahhouzzer2342 4 жыл бұрын
Nataman niuwe kama wewe
@hanifasalim1821
@hanifasalim1821 4 жыл бұрын
Professor anajulikana jamani Watanzania cw na aliyesoma piya anajulikana hajifichi mwenye elimu na tapeli anajulikana Lipumbavu tukisema si professor mlikuwa mnatuona waongo jeeee mmeona au mmemuona professor na mtu mwenye elimu na upeo
@zakaboy1305
@zakaboy1305 5 жыл бұрын
msomi ni msomi tuu
@tezuratezura8452
@tezuratezura8452 5 жыл бұрын
Kiukweli waislam tuko juu kiuongozi kubalinituu kwan hata jakaya na alowateua siomchezo
@magzeeee
@magzeeee 5 жыл бұрын
Ni aibu sanaaaa ulichosema..dini inaingiaje kwenye swala la utaifa?!..you should be ashamed of yourself
@picdotstudio4785
@picdotstudio4785 5 жыл бұрын
We jamaa bwana karne ya leo bado tu unaleta mambo ya udini...acha kuleta matabaka
@evarestjoseph8755
@evarestjoseph8755 4 жыл бұрын
Acha udini sema maneno yenye busara uislamu unakagua hesabu vip wewe
@brunomeshaki3401
@brunomeshaki3401 4 жыл бұрын
Mfanyakazi mzuli niyule anaekumbukwa asa akitoka nakukumbuka sana mzee wangu
@alextzmmary5121
@alextzmmary5121 4 жыл бұрын
Assad nakukubali
@drimazonechoice9822
@drimazonechoice9822 5 жыл бұрын
Ulipo teuliwa maneno meengi yalisemwa kukudhihak na kusem kiatu ulicho pewa ni kikubwa si size yako wengine wakaenda mbali kua umegeuza ofisi yako ni msikiti udin haukuwaaacha leo hao hao wanakuona ww ni almas basi sawa sie ndo wa Tanzania sijui kam Gwajima anakumbuka alichosem kuhusu huyu CAG wa Tz
@ndarogamba191
@ndarogamba191 5 жыл бұрын
Hivi nimewahi kusikia watu wanasema Lipumbafu aliyepewa kikundi cha Cuf ni nani?????
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 3 жыл бұрын
Ebwana watanzania tunao ma prof akiwa na huyu mzee muim tumtumie kwenye kuifanya inji yetu kuwa matajiri nauchumi mzuri yafaa awe Raid after mama Samoa,
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 5 жыл бұрын
Ur proof for sure
@emmanuelayall5029
@emmanuelayall5029 5 жыл бұрын
Hawa ndio watu wa kupewa uongizi wa nchi sio wale wapiga pushap busara zake tu zinajipambanua
@waynealex2491
@waynealex2491 5 жыл бұрын
Emmanuel Ayall ò
@alikirobo141
@alikirobo141 5 жыл бұрын
haswaaa umenena kweli
@georgemlonda4174
@georgemlonda4174 5 жыл бұрын
uyu BAbA anafaa kuwa rais Yani ni smart tolking czani atawatoto wake wakifanya makosa anaweza kuwaambia atawapga ad Mama zao watapantwa na uchungu wa matumbo ya uzazi kikubwa din imemfanya kuish ktk utimlifu na kuwa mwaminfu namuomba tu rais wetu na baba yetu rais wa wanyonge mtetez wa wanyonge awasuruhishe AWA Kama alivyo tatua tatzo la kikokotoa na korosho
@aliseifkarim1705
@aliseifkarim1705 5 жыл бұрын
Hata wewe broo uslimu maana hp duniani kila kitu kipo ktk Qur'an
@iddyally3342
@iddyally3342 4 жыл бұрын
Kweli kabisa prof mana kila raisi anakuja na Sera zake ikisha miaka yke anaondoka lkn taasis znaendelea na majukumu yke kla sku
@revocatusmanyama8621
@revocatusmanyama8621 5 жыл бұрын
Fact
@akwiliniswai5203
@akwiliniswai5203 4 жыл бұрын
Nyie mnaosema awe rais mnamvunjia sana heshima siasa mchezo mchafu sana si mnamwona yule profesa mwenzake yule mchumi namna alivyo kigeugeu kama vile hakusoma nawaomba sana mstake asad na yeye aingie kwenye siasa aanze kudhalilisha taluuma yake heshima aliyonayo inamtosha
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 4 жыл бұрын
Doo cyo cjui prf lipuuuu Huyu ni professor kichwa na cyo mkia.
@khamisfeysal1122
@khamisfeysal1122 4 жыл бұрын
Bwana mussa j Asaad anajuwa vzri kuitumia elimu yake maana unaweza kuwa na helimu ukawa mpumbavu tulio saudia Arabia tujuwane hapa +966537824849imo only
@khaityzahoro6094
@khaityzahoro6094 4 жыл бұрын
Tupetupe mavitu mzee baba
@joelmakeci
@joelmakeci 5 жыл бұрын
Nimeelewa
@jumangwele4248
@jumangwele4248 5 жыл бұрын
Hakika hii ni azina y taifa
@williamkitengai3608
@williamkitengai3608 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@emmanuelmwanshuli142
@emmanuelmwanshuli142 5 жыл бұрын
Huyu jamaa nikichwa hatali
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 5 жыл бұрын
Tunu ya taifa
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 5 жыл бұрын
Strong institutions are composed with strong human resources. You have to know that mr Prof. Taasisi sio nyumba , kompyuta au meza ni watu ...hivyo kuwa na taasisi imara inategemea kuwa na watu imara. Ndugu professor ujue hilo pia
@hamisikabwe3980
@hamisikabwe3980 5 жыл бұрын
Sasa hapo umekumbusha nini na yeye kaongea nini,sikiliza tena vzr kama hukumuelewa CAG.
@habibumdetele6530
@habibumdetele6530 5 жыл бұрын
Hahaha hata nyie Pugu Secondary mnamkosoa!!!!!! Makubwa..
@fedelischengula7891
@fedelischengula7891 5 жыл бұрын
nikweli kabisa na mm nakuunga mkono
@albertremmy3479
@albertremmy3479 4 жыл бұрын
huyu mzee anaitendea haki elimu yake.
@lawrencebundala5769
@lawrencebundala5769 4 жыл бұрын
Anafaa kuwa prezda
@Linkmycommunity
@Linkmycommunity 5 жыл бұрын
After magufuli ,,,,, hapa ni juma asad na majaliwa
@leonardbugomba8548
@leonardbugomba8548 5 жыл бұрын
bright genius magufuli hapo hamna hewa kabisa
@stanleymavurastanleymavura9295
@stanleymavurastanleymavura9295 5 жыл бұрын
Ndio maana wanaukubeza maana wewe unajua kuliko wao
@gilbrtmaganga5471
@gilbrtmaganga5471 5 жыл бұрын
Kweli huyu msomi anaejitambuwa asiye kuwa Na tamaa
@louisnyoni4139
@louisnyoni4139 5 жыл бұрын
Jembe
@immamlowe7151
@immamlowe7151 4 жыл бұрын
Wanaomsifia asad ndio watatakso msifia magu aliondoka madarakani akaja mwingine.nikawaida marehem kusifiwa
@helenamapunda5848
@helenamapunda5848 5 жыл бұрын
Umeutendea haki uprofesa wako
@manfredymahinya9511
@manfredymahinya9511 5 жыл бұрын
Unamuoji mtu mwenye akili
@erickkinisa592
@erickkinisa592 4 жыл бұрын
Yani ukimsikiliza uyu msomi Kama na wewe syo msomi kidogo uelewi kitu
@101_Didas
@101_Didas 5 жыл бұрын
kwa nn huyu asiwe raisi? kwan shingap
@samirsalum5186
@samirsalum5186 4 жыл бұрын
kumrudisha mpenzi siku 3:peteyabahati:0658535229
@mwampikamelkzedek7817
@mwampikamelkzedek7817 5 жыл бұрын
Anafanana na mkapa
@onesmometili3594
@onesmometili3594 5 жыл бұрын
Taasisi zilikuwa wezi, kuongozi asipokuwa strong hawezi kuzidhibiti. Mfano awamu iliyopita.
@ramadhanimussa882
@ramadhanimussa882 5 жыл бұрын
Kaka upo Sawa ila nadhani Prof Hasadi Amesimamia ktk Kuzijengea Uimara Taasisi Zetu Kwanza Kabla Hatujapata Wasimamizi Imara na Hajakataa Kuwa Na Wasimamizi Wenye Uimara na Uweledi maana Hao nao ni Muhimu Mno
@ramadhanimussa882
@ramadhanimussa882 5 жыл бұрын
@Twiga Mbunda Maoni Mazuri Mno ila wakati ulipokuwa Unaandika Ulijawa Na Hasira Mno Mpaka Ukapoteza Nukta zako Muhimu jitahidi Kudhibiti Hasira Unapokuwa Unataka Kutuelimisha Maana Kila Maoni Yenye Hekima ni Elimu Kwa Wengine na Kumbuka Siku Zote Akili yenye Hasira hua Haina Kitu
@sss3s867
@sss3s867 5 жыл бұрын
Awamu iliopita ilikuwa personal strong onstution. Na sasa tunataka strong onst..... Badala ya?
@ezekielmbise7585
@ezekielmbise7585 5 жыл бұрын
CAG hata mbunge likimpinga hakika wananchi tusikubaliane na hayo... wakitaka wabunge wa ccm tuwatose kwenye uchaguzi mkuu... wampambane na msema kweli tuone
@obedmwandolela7119
@obedmwandolela7119 4 жыл бұрын
Hakika wewe ninmsomi Hakuna hapa tanzania
@harakatihuru0277
@harakatihuru0277 4 жыл бұрын
Strong institutions gani isio na strong leadership's foolishness Prof tatizo mirija imekatwa na sio strong institutions acha kudanganya mazwazwa ofisi yako Ni chafu
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 4 жыл бұрын
Hebu zingatia maelezo tuna viongozi wazuri wenye ushawishi bt tatizo ni kiwa wakiondoka matokeo yake watakaofuata wanakuwa wakawaida mno na matokeo yake wanasababisha mambo yanalala lkn strong institution ndio bora maana ni system so inaweza kumshep alie strong na aliye week. Tumia akili kama mtu aliyekaa darasani
@saidmatola8015
@saidmatola8015 4 жыл бұрын
Viongozi wanabadilika lakini system aibadiliki wewe ndezi, shida umezoea vya ubweto. Ndio maana wayumbishwa kama mnazi kwenye upepo. Asaaad hoyeeeee.......
@emanuelmashenene8980
@emanuelmashenene8980 4 жыл бұрын
Alichomaanisha kila mamlaka husika ifanye kazi yake na ndio maana katolea mfano kwa trump amekua akifanya maamuz ya ajabu katika nchi yake lkn kutokana na taasis na mifumo likiwemo bunge vina mkatalia hvyo mambo yanaendelea kuwa sawa
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 5 жыл бұрын
Mtu kama huyu ndio anafaa hata nafasi ya Uraisi
@jamalyhamady1641
@jamalyhamady1641 5 жыл бұрын
Facy
@majosamalundi4016
@majosamalundi4016 5 жыл бұрын
Huwa wanabadilika
@iddyally3342
@iddyally3342 4 жыл бұрын
Kweli kabisa prof mana kila raisi anakuja na Sera zake ikisha miaka yke anaondoka lkn taasis znaendelea na majukumu yke kla sku
@khamisfeysal1122
@khamisfeysal1122 4 жыл бұрын
Bwana mussa j Asaad anajuwa vzri kuitumia elimu yake maana unaweza kuwa na elimu ukawa mpumbavu tulio saudia Arabia tujuwane hapa +966537824849imo only
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 25 МЛН
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 30 М.
BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa
11:41
Millard Ayo
Рет қаралды 664 М.
BROTHER K ALIVOMKIMBIZA SHARO BARO WA KIHAYA KATIKA MASHINDANO HAYA
6:47
SYLI CLASSIC TV
Рет қаралды 4,9 МЛН
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН