TUTAFAKARI MANENO YASIYOKUFA YA JAJI WARIOBA, KABUDI, MBOWE NA LISSU KUHUSU MUUNGANO

  Рет қаралды 24,372

SK Media Online TV

SK Media Online TV

Күн бұрын

Пікірлер: 151
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 5 ай бұрын
Asante sana muzee wetu kwa uchambuzi na utafiti wa hali ya juu. Muzee tulikuwa tumekukumbuka sana kwa sababu tulikuwa hatupati uchambuzi wako, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸
@kilianjulius9882
@kilianjulius9882 5 ай бұрын
Mzeee warioba ubarikiwe sana kwakutuelemisha,, Mungu akujalie uishi miaka mingi zaidi
@kiweludonald2972
@kiweludonald2972 5 ай бұрын
Oq❤
@justinecom7461
@justinecom7461 5 ай бұрын
Katika wanasias ninaowalewa Mzee Warioba ni Jembe,,anajua anachokiongea,,👏👏👏
@JustineMrosso
@JustineMrosso 5 ай бұрын
Mwandishi na mwariri bora Ansebert.
@kingmzebez7786
@kingmzebez7786 5 ай бұрын
Mzee we2 jembe letu lililo bakia mungu akupe afya njema mzee walioba msema ukwer ni mpenzi wa mungu dunia tunapita tafakali maneno y mzee walioba ya kujenga taifa lenye usawa kama🇹🇿❤📿🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏✌✌💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪✍✍✍✍✍✍✍🤳
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 5 ай бұрын
Ushauri uliotolewa na tume ya Waryoba uzingatiwe
@RamadhanHaruna-di7jk
@RamadhanHaruna-di7jk 2 ай бұрын
Mungu.akulinde.jaji.mstaaf
@Mkorajr
@Mkorajr 5 ай бұрын
Nimemwelewa jaji warioba, Zanzibar ni nchi na hivyo Tanganyika nae ajitokeze!!!
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o 4 ай бұрын
Selikali ya tanganyika kwanini wanakataa katiba ya walioba! Jibu ni kweli mafisadi wa najitahidi kukwepesha waendelee ktuibia. Asante ngurumo kwa uchambuzi. Mungu akubariki.
@StephenLetta
@StephenLetta 5 ай бұрын
Huu ndiyo ukweli ambao ukisemwa na watu wasiopendwa wanaonekana kama wanatangaza ubaguzi. Katika hali hiyo Lissu ana makosa gani?
@yusuphabel5530
@yusuphabel5530 5 ай бұрын
Mungu amlinde Mzee wetu.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 5 ай бұрын
Uchambuzi huu mahiri wa mwandishi nguli Ansbert wa historia katika nyakati tofauti juu ya muungano na katiba mpya unafaa uwafikie hawa watawala wetu pengine watazibuka masikio na kuchukua hatua! Kwa umuhimu Watumiwe clip hii wote moja kwa moja bila kungoja mmoja mmoja wakutane nayo mtandaoni...
@edesaron9070
@edesaron9070 5 ай бұрын
Ukweli siku zote unasimama wenyewe
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 5 ай бұрын
Naunga mkono hoja,serikali tatu ndio suluhisho
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤ kweli mwamba
@rajeshndola
@rajeshndola 5 ай бұрын
Lisu +Mbowe and Kabudi Asante kwa elimu hii ya juu.
@godsson5954
@godsson5954 5 ай бұрын
Hivi Lissu ndo kaibua yote haya
@reginamwendwa6709
@reginamwendwa6709 5 ай бұрын
Viva mzee Warioba viva
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 5 ай бұрын
Ccm toeni pamba masikioni huu mungano uko mbele utaleta shida katika taifa
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 5 ай бұрын
MZEE WARIOBA NI AKILI KUBWA NA TUNU YA TAIFA❤
@rahabufilangali-cp6br
@rahabufilangali-cp6br 5 ай бұрын
Ninaitaka Tanganyika yangu tuamke
@edwardmwingira7096
@edwardmwingira7096 5 ай бұрын
Serikali 3 ni muhim sana. Serikali ya Tanganyika lazima iwepo!
@EmmanuelSabibi
@EmmanuelSabibi 5 ай бұрын
Mzee warioba upo sahihi kusema ukwel ila wanaopenda kula pesa za nchi pasipo haki Yao ,ambao n viongoz hua mtu akiweka Waz au kuzungumza ukwel unakuata wanamchukia, ndio maana nchi hii imejaa umaskin wakat nchi inalasilimal nyingi
@wasengaswillah
@wasengaswillah 5 ай бұрын
Namwona profesa kama profesa, ila ukimwuliza leo atakwambia tofauti na yale alisema wakati ule, kwasababu tu anakula mezani pa wakuu, unafiki wa wasomi wa Tz ndiyo kinacholeta matatizo nchi hii!😢😢🇹🇿
@jesaminzo
@jesaminzo 5 ай бұрын
Unamwongelea nani? Kama una maana ya Warioba, utakuwa umekosea sana, hata siku moja hajawahi pindisha maneno.
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 5 ай бұрын
Asante kwa tafakari hizo ni za msingi. Toleo lijalo hebu jadili na tutafakari kinachoendelea ndani ya chadema kwa wiki kadhaa sasa kama kweli kinaakisi alichosema Sumaye wakati anaondoka chadema baadaye kurudi CCM kwamba alifanyiwa MIZENGWE asigombee nafasi ya M/kiti ili Mbowe abaki madarakani na madai yake kwamba hakuna demokrasia ya kweli ndani ya chadema !!!!! Sababu ambazo pia alisema Katambi aliyekuwa m/kiti wa vijana chadema (BAVICHA) akaicha nafasi hiyo na kuamua kuhamia CCM. Hebu jadili kwa hiki kinachoendelea ndani ya chadema je ni kweli sababu za kufukuzwa ndani ya chadema akina Zito na wenzake zilikuwa na mashiko au fitina za kisiasa tu na madai yake kuwa walifukuzwa bila kupewa nafasi ya kujitetea?
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 5 ай бұрын
kama hata hayo ya kina zito na katambi huyajui basi wewe sio mwanasiasa,fuatilia hata mpira nao ni mzuri 😂😂😂😂
@jesaminzo
@jesaminzo 5 ай бұрын
Kama huyajui ya akina Zitto, nitafute inbox nikwambie ninachokifahamu
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 5 ай бұрын
VIVA MH. MZEE WARIOBA....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 5 ай бұрын
Tanganyika ibebe majukumu yake kikamilifu.Isidhani muungano na Zanzibar,kwa muundo uliopo kuna faida muhimu sana kwake.Tunajua historia ya mtu mweusi duniani na kazi ya ukombozi iliyofanyika tayari.Kwa sasa,huwezi kuamini kuwa jamii zile tulizopingana nazo katika ukombozi ndiyo zimekuwa kimbilio.Tumeyumba kabisa.Tutulie tujenge nchi yetu Tanganyika.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 5 ай бұрын
Kwa hilo nimekuelewa Tundu Lisssu na Mbowe kazeni buti tu watu wataelewa
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up 5 ай бұрын
Huu MUUNGANO Kuna watu wachache WANAULAZIMISHA kwa makusudi mabaya waliyo nayo sirini ya kuangamiza Tanganyika.....
@jesaminzo
@jesaminzo 5 ай бұрын
Na si kuiangamiza Tanganyika tu, bali pia wao wanafaidi na huo muungano wenye mashaka.
@aminieljohn5475
@aminieljohn5475 5 ай бұрын
Kwa miaka mingi tumekuwa tukitenfenezwa kama kizazi cha wadanyika.....vipofu wa utiaifa wetu na utambulisho wetu....na upofu wa fikra umejengwa na personalities kama mzee wasira na ndugu yangu Abdulraman Elahmedi Kinana...
@aminielkombe66
@aminielkombe66 5 ай бұрын
Warioba mtu na nusu
@RaymondKilomeye
@RaymondKilomeye 5 ай бұрын
Mungu tusaidie hakika mungano huu nimchongo hauna uwaz Wala usawa hili swala linahtaj ujasiri mkubwa kwa watanganyika
@aminieljohn5475
@aminieljohn5475 5 ай бұрын
Jaji JS Warioba ni political think tank wa Tanzania, ana maarifa makubwa sana. Mawazo yake ndiyo yatakayookoa muungano...tukiziba masikio ya fikra zetu na welewa kwasababu ya kidumu chama chetu tutajuta muda si mrefu ujao. Wanaong'ang'gania mfumo huu dhalili wa muungano tujue "you can fool some of the people some of the time but not all the people all the time....anayoyasema Lissu ni dhahiri....watanzania gawatakua wadanganyika tena wala wagalatania waliorogwa! Wakati hu ndiyo wakati wa kutengeneza.... Mama Samia Suluhu wewe ndiyo suluhu wakati huu....weka historia...weka legacy kama mama....unaitwa mama kuwa mama kweli katika hili...ukiweza hili utaitwa mama wa taifa...!!??....kwanini ccm hawataki huu ukweli?.......
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 4 ай бұрын
Mzee Kinana,Nape na mambulula wengine kazi kwenu, kosoeni na haya sasa!!
@filbertntibasiga8093
@filbertntibasiga8093 5 ай бұрын
Mbowe kama vile anatusanua tulikuwa wapi mpaka tumefikia hapa tulipo ila kuhusu mali za tanganyika sisi tuna jua zipo hazijapotea ole wao siku muungano ukivujika zanzabar watawajibika kwa kuingia mikataba mibovu kitanuka
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 5 ай бұрын
Tunataka serikali tatu na kama itashindikana hizo serikali tatu ni bora Muungano uvunjike kabisa.Muungano uliopo sasa hautendi haki kabisa.
@Thevineyard9889
@Thevineyard9889 5 ай бұрын
Aisee, sasa Jaji Joseph Warioba anafunua mambo kiasi cha kuacha nyeti za kuku kuonekana wazi kabisa. CCM hata wafanyeje, mabadiliko ya mfumo wa muungano na uendeshaji nchi lazima yafanyike na kama sio kwa hiari basi itakuwa ni kwa lazima!
@khamisdaima1455
@khamisdaima1455 4 ай бұрын
Inaonesha tatizo lenu mmeshalielewa, jee sasa mpo tyr kuitwa watanganyika? Maana mnaskia aibu mkiitwa watanganyika
@UlyanusJohn
@UlyanusJohn 5 ай бұрын
Lisu mungu akulinde zaidi ili utuelimishe mengi juu ya matatizo ya nchi yetu
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 5 ай бұрын
Kabudi kabudi, nakuita mara2 hivi huyu kabudi kabla ya kulamba cheo ndiyo huyu🤣
@richardmwandanji65
@richardmwandanji65 5 ай бұрын
Sijui tumelogwa na nani watumilioni hamsini tumeshindwaje kupata Raisi mpaka tunakopeshwa na wazanzibari ee Mungu tuhurumie
@richardnganya2311
@richardnganya2311 5 ай бұрын
CCM ndiyo inayologa watu.. tumelogeka na kujazwa woga na ujinga..!!
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 5 ай бұрын
Mupo sahihi Tafuteni Tanganyika yenu
@Sheba4651
@Sheba4651 5 ай бұрын
Waongo tu hao, wajanja wajanja tu, kelele hizo za mazimwi, wanaiwinda kuimaliza Zanzibar tu iwe mkoa. Mbona Tanganyika ndio inayofaidika mia percent, wanalohitaji kwa maendeleo yao kwa miaka 60 iliyopita mzanzibari hakusubutu kuwazuiya, hata hayo anayoamua sasa hivi mama na wao wenyewe wamo humo humo. Kero za muungano kila uchwao Zanzibar ndio wanalia, watuposhe uko.
@peterbangari4273
@peterbangari4273 5 ай бұрын
Ngulumo Asante sana unaufahumu mkubwa sana hasa katika uchambuzi wako ni wa makini na uhalisia mkubwa
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 5 ай бұрын
Ukisikia akili ni mali, basi ni hii ya Mzee Warioba
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 5 ай бұрын
Kutokana na ukweli huu wote Samia angetakiwa awe wa serikali ya muumgano serikali Zanzibar iwe na rais wao Mzanzibar na serikali Tanganyika iwe na rais mtanganyika ..... Nyerere alikuwa na mawazo mazuri wakati ule leo kuna watu wenye mawazo mazuri zaidi.....alafu kinacho sikitisha nikwamba mtanganyika naona nikipofu haoni ukweli shida sana
@godsson5954
@godsson5954 5 ай бұрын
Ndo maana baada ya kwamba kutoweka kulikua na sinto faham nyng
@bonnkepatrick
@bonnkepatrick 5 ай бұрын
Kiufupi Mimi sioni faida ya sisi kuungana Zanzibar
@Stonecity01
@Stonecity01 5 ай бұрын
SK MEDIA huwa nafwatilia taarifa nyingi ila ni kisikia kwako naelewa kwa kina
@allyomary2271
@allyomary2271 5 ай бұрын
Mliokuwa mnampinga lisu kama nawaona maana hoja zote alizozitoa kuhusu muungano warioba kaja kujazia nyama
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 5 ай бұрын
Tatizo ambalo haliongelewi sana ni ule woga kwa Watanganika kua Zanzibar na Tanganyika zikiwa nchi mbili tofauti, huu ukanda wa bahari ( tunayo pakana) itakua ni free zone kiasi cha kukosekana kwa usalama wa hizi nchi na ukanda wa bahari ya Hindi kwa kwa ujumla. Je haupo uwezekano wa kukabiliana na hilo? Hofu ta Watanganika ni hiyo.
@EmmanuelJackson-v8f
@EmmanuelJackson-v8f 5 ай бұрын
Ok
@kenedysimon3566
@kenedysimon3566 5 ай бұрын
Achana na mizinga wabunge 77 kutoka Zanzibar Ili Hali jmla Yao ni milion Moja
@paschalkimboka4605
@paschalkimboka4605 5 ай бұрын
Hapo Kabudi alikuwa alikuwa na akili timamu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
Nape kama unawapenda sana wazanzibar hamia huko na utafukuzwa saa hiyo hoyo kama utahamia usiku utafukuzwa usiku huo huo. Ndiyo utaanza kujifahamu na kuanza kuwa akili timamu.
@AmourAmour-f4c
@AmourAmour-f4c 5 ай бұрын
Hapo serikali tatu ndio muafaka
@gwantwamwalyaje8515
@gwantwamwalyaje8515 5 ай бұрын
Warioba Ninakuelewa Hauja Zeeka Vibaya Unafaa Kuishi Miaka Mingi
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 5 ай бұрын
Mwandishi Mzuri Mno
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 ай бұрын
👍👊✌️.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
Watanganyika tuanze kuandamana kudai Tanganyika lazima watanganyika tufikili sana kama tunaaza kuandamana mara moja kudai kudai Tanganyika yetu
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 5 ай бұрын
Kwakweli lissu ana nyota ya ajabu Yani KAULI yake Moja tu Hadi ccm wanatetemeka wanahangaika
@iddibakari3969
@iddibakari3969 5 ай бұрын
Hapa hakuna muungano
@agastokissatu2667
@agastokissatu2667 5 ай бұрын
.... tunaomba tuwe na nchi ya ya Tanganyika....ili tuwe na muungano halisi....!!!
@RhodaKibona
@RhodaKibona 5 ай бұрын
Heeeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🙄🙄
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 5 ай бұрын
Ccm mnajuwa sema mmeweka pamba makusudi
@peterbangari4273
@peterbangari4273 5 ай бұрын
Nimeona kwamba Hawa viongozi 4 wete walisema neno Moja ambalo ni sahihi Ila kwa sasa amelisema mweshimiws lisu wanamsakama sana kana kwamba hakuna mtu alishawai kusema haya mneno
@franklinmalugu3934
@franklinmalugu3934 5 ай бұрын
Watanganyika tuache uzuzu ....tunataka serikali yetu ya Tanganyika. Tunataka usawa katika Muungano
@malkavoice2570
@malkavoice2570 5 ай бұрын
Huu muungano hauna faida kwetu sisi watanganyika hata kidogo huu muungano wakiupigaji. Zanzbar wanatupiga tunaona. Kwani tukiuvunja ninani atakayeumia kati yetu bara na visiwani?
@salummohamed2689
@salummohamed2689 5 ай бұрын
Haya yamesemwa takribani miaka 10 iliyopita, ni haki kuwa tuwe tunarudiarudia kulumbana lumbana Kwa mambo yayolalamikiwa mara Kwa mara?
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 5 ай бұрын
Kulumbana ni muhimu ili kusisitiza hoja. Ukweli usiposemwa, propaganda zitatawala. Hakuna kikomo cha muda wa kuyazungumzia.
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 5 ай бұрын
Natamani Nape amjibu Warioba na Kabudi
@AmourAmour-f4c
@AmourAmour-f4c 5 ай бұрын
Utakavo fanya zanzibar ninchi inavielelezo kabisa ila huku tanganyika hakuna utaifa watanganyika naimeuliwa naviongozi nawanajuwa nasijui walimanisha nini inaumiza
@eunho9529
@eunho9529 5 ай бұрын
Muungano una faida kwa zanzibar na siyo Tanganyika
@UlyanusJohn
@UlyanusJohn 5 ай бұрын
Nashauri uwepo wa serekali tatu ,yaani serekali ya muungano ,serekali ya Tanganyika na serekali ya Zanzibar
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 5 ай бұрын
Kuna viongozi wakuu wa Serikali kutoka Tanganyika wanaisaliti Tanganyika na Watanganyika kwa sababu wao wanakula wanashiba,hawana wasiwasi. Nchi imekuwa masikini kwa sababu ya huu muungano mbovu. Wazanzibari wanatutawala Tanganyika.Tumeshakuwa werevu sasa,tunataka kuwa na Serikali yetu. Mtu from no where anaamua kugawa rasilimali za Tanganyika na viongozi wa Tanzania bara mpo tu!
@daudkondo4069
@daudkondo4069 5 ай бұрын
Kuna haja ya kufuata ya warioba
@AthumanJuma-iw8fh
@AthumanJuma-iw8fh 5 ай бұрын
Tubadiri katiba iwe inahaki sawa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
Wabunge waliojaa bunge la Tanganyika na kula pesa za kodi la watanganyika.
@felixmsengi1084
@felixmsengi1084 5 ай бұрын
Nafurahi kwa hoja hizi, swali Nini kifanyike Sasa kutatua ?
@AliAbdalla-lb8su
@AliAbdalla-lb8su 5 ай бұрын
Ccm ndio ilipotufikisha hapa jamani haya mambo yataleta maafa baadae wasipokua makini ni vyema wakawasikiliza wanaolalamikia muungano
@neliusgosbertbaguma8693
@neliusgosbertbaguma8693 5 ай бұрын
Haipingiki Samia analo jambo la kufanya, mpaka uchaguzi ukija kukaa sawa atanyooka
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 5 ай бұрын
Haki hatupat wa Tanganyika kamavipi muungano ufe au tupate selekali tatu3 lakini kwaivi ilivyo mim naona mazng zong,,,
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
Kwani muungano mbona haupo tena! Muungano wa Tanzania uliisha wakati Zanzibar walipotoa vipengele kuvipeleka Zanzibar. Arudishe kila alicho gawa cha Tanganyika. Mzanzibari arudi kwao kabla hatujaanza kurudisha KATIBA ya Tanganyika na kufanyika Tanganyika huru awe ameenda kwao si anajua yaliyoandikwa kwenye KATIBA ya kwao Zanzibar. Sasa hapa anafaya nini kama kweli CCM si wanafiki?
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 5 ай бұрын
Tafakuri yangu inaniambia: hawa watawala wachache wa ccm wanaokataa hoja hizi za umuhimu wa katiba mpya, wanangoja makusudi kwa tamaa ya madaraka idadi ya tunaodai Tanganyika iwe kubwa tuidai kwa miguu yetu ili iweje?! Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa makubaliano ya mgawanyo sawa na serikali tatu ni muhimu sana.
@VeronicaMwakimbingi
@VeronicaMwakimbingi 5 ай бұрын
Viongozi wetu msijitoe ufahamu, tunataka Tanganyika yetu sisi watanganyika, sisi watanganyika siyo wabaguzi wabaguzi ni wazanzi bar ndo walio tugawa watanganyika, Jamani watanganyika tuamke tuidai katiba na Tanganyika yetu kwa nguvu zetu zote na kwa akili zetu zote,tuamke Jamani watanganyika kudai haki yetu km wat
@christosiadanieli6512
@christosiadanieli6512 Ай бұрын
tangayika ni koloni la nchi ndogo ya zanziba
@abdulrahmankhamis4099
@abdulrahmankhamis4099 5 ай бұрын
mbowe anakosea sana, huwezi kuilinganisha Zanzibar na Tanga kwasababu Tanga haijwahi kuwa dola huru, hata hao wa .... kuoka zanzibar bado ni kidgo kasababu issue ya 2 third majority haifanyi kazi. Wazanzibar walitowa soverenity yao na bado wamekubali kuwa na wabunge wachache kwenye bunge. lakini pia hata hao wapiga kura wa waanzibar ambao wameamuwa kutowa hadhi ya nchi yao na kumpa raisi ya wa jamuhuri ya muungano hawana say katika kumchaguwa huyo mtu waliyempa haki yao. kama wazanzibar wote watamkataa mtu aliyechaguliwa na watanganyika bado atakuwa raisi ya muungano. hli mbowe mbona hulisemi.
@geofreyyotham502
@geofreyyotham502 5 ай бұрын
Serikali tatu ndio suruhisho
@robertnkyalu3241
@robertnkyalu3241 5 ай бұрын
Kiongozi ambaye akifa nitalia machozi ni Joseph sinde warioba tu Kwa nini , sbb yangu pekee nimzee ambaye sio mwongo ndio sifa yake nzuri nayo Iona ambayo wengine hawana
@robertmagubu4586
@robertmagubu4586 5 ай бұрын
Yaani kiukweli una uwezo mkubwa sana wa kuona mambo. Kimsingi yaliyosemwa na wasemaji wa miaka 10 iliyopita na ambayo Serekali miaka yote wamekuwa wakiyakataa ndio yanaenda kutokea. Tanganyika inaenda kudaiwa kwa nguvu kubwa sana. Watawala wasiposoma alama za nyakati muungano utavunjika siku si nyingi na wakati hayo yakitokea huwenda ikawa kwa mzozo mkubwa sana. Watu wanaosimamia vitengo nyeti wanatakiwa kuyaona haya na kuwashauri watawala nini cha kufanya. Kushupaza shingo jambo litaharibika tu na ni suala la muda.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 5 ай бұрын
Fisiyemu hautaweza watu washaanza kujua haki zao kama kudanganya. Danganya misukule wenzio
@MikaLepilal
@MikaLepilal 4 ай бұрын
Duh! mada ngumu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
Sasa Samia anasimamisha mishipa kutaka kuwa Raisi ya Tanganyika hivi kweli tu wapumbavu?
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 5 ай бұрын
Akili nyingi mbele kiza 😂😂😂 si mulisema zanzibar sio nchi
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 5 ай бұрын
Mheshimiwa Kabudi, mara nyingi unatumiwa elimu yako ya ujerumani kusaidia Taifa, Jaji Warioba na mheshimiwa Tundu Lissu saidieni kamati kuu ya chama maji yako shingoni.
@venancebanda291
@venancebanda291 5 ай бұрын
Hakuna muungano hapo kila mtu ashike lake
@jastinmodest8073
@jastinmodest8073 5 ай бұрын
Huyu Mzee licha ya kwamba ni mwanasheria pia ana hekima busara na akili nying aise
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 5 ай бұрын
Tunataka Tanganyika yetu na kitaeleweka
@richardmwandanji65
@richardmwandanji65 5 ай бұрын
Kunawatu nchi hii wanaishi kwa uchawa kama Alina nape na Alina mwigilu na wanao tushambulia tunao dai KATIBA MPYA na tanganyika yetu sijui wanataka tudai Tanganyika yetu kwa nguvu au Nini sisi ni wazalendo tunataka watusikilize tunataka Taifa letu na mungano wa makubaliano sio kwa lazima
@MWIGAADAM-r3e
@MWIGAADAM-r3e 5 ай бұрын
LAZIMA TURUDI KTK MKATABA WA MUUNGANO
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 5 ай бұрын
Mkataba haupo haujulikani ulipo
@malkavoice2570
@malkavoice2570 5 ай бұрын
Mbona Kabudi haeleweki!
@richardnganya2311
@richardnganya2311 5 ай бұрын
Vipande vya pesa vilimtembelea
@ConfusedDaisies-rb5
@ConfusedDaisies-rb5 5 ай бұрын
Tatizo la wasomi na viongozi wetu ni wanafiki wanajali matumbo yao tu
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 15 МЛН
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 67 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,2 МЛН
Mwanzo Mwisho Tundu Lissu Azifanyia Uchambuzi Kanuni za Uchaguzi
1:25:41
LISSU: WEMA WA SAMIA NA "UKWELI WA MUNGU" KUHUSU MAGUFULI
56:07
SK Media Online TV
Рет қаралды 33 М.
SPANA ZA WARIOBA: CCM WAMEMSALITI NYERERE. TANGANYIKA IJIFUNZE KWA ZANZIBAR
27:30
DU!!TUNDU LISU NA LEMA PAMOJA NA MAASKOFU TUKATWE MIKIA? HIVI HAWA WASIOJULIKANA WANATUONAJE?
24:30
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН