Wimbo nxuri sana Mungu akubariki Mtumishi wa mungu...inabidi tujitakasa tukitubu dhambi zetu..nasi tutasamehe naye Mwenyezi Mungu..🙏🙏🔥🔥
@Miekenya2 ай бұрын
Tuko na macho lkn hatuoni na tuko na laniki hatuskii mungu utusaidie kukufamu vyema ktk ulimwengu wa dhambi na dhiki❤❤
@user-ii1qk9xn9z2 ай бұрын
Injili kwa wote kupitia njia ya wimbo. Ubarikiwe sana mtumishi. Hakika yote yaliyotabiriwa yanatimia mafuriko na mengine mengi. Wakati wa kutubu ni sasa mtu asikiapo injili hii na ajinyenyekeshe mbele za Mungu. Cha kushangaza kwa Bwana hakuna Cheo. Umenena kweli mtumishi. Mungu akutunze
@veroniquegershomu91972 ай бұрын
Mungu wangu azidi kukutunza Kwa utukufu wake🙌🙌🙌🙌🥰🥰🥰🥰
@barakadieudonne2 ай бұрын
Ubarikiwe sana na BWANA 😢 Mtumishi kwa kutukumbusha kutubu
@PaschalMwabila2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumish wa mungu aliye hai ,,, kwa ujumbe mzur wa nykat za mwsho ni wkat wa kuweka maandalizi sawaa ,,
@eng.moseso.ongudipe28442 ай бұрын
Ev. Cassian be blessed. The message is direct to the point. Mungu akubariki mtumishi wa mungu
@Pendopasilika2 ай бұрын
Hutodaiwa mtumishi wa BWANA YESU umepiga kelele kwa ulimwengu wote kila mmoja atasimama kutoa hesabu ya matendo yake umefika wakati mim toka nimeanza kukusikia naona kila siku una jipya kutoka kwa BWANA barikiwa mtumishi
@AbbyYoudah2 ай бұрын
Mungu akubaliki mtumishi wa mungu natamani ningekujua mapema unisaidie Mambo mengi kuishi katika utakatifu wa mungu
@user-cr6fc7nt8k2 ай бұрын
Nyimbo zuri ya kufundisha mungu akubariki sana mtumishi
@annetzawadi5217Ай бұрын
Nyimbo zako zinani bariki saaaaaaana😭😭😭😭naliya sana rohoni
@Rashid-vm1fk2 ай бұрын
Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana kwa kutukumbusha kutubu
@Franckmulaj-Officiel2 ай бұрын
Wow ❤❤❤God bless you my brother cassian 🇨🇩🇨🇩
@user-fx4gf5yw9w2 ай бұрын
Amen Amen MUNGU atusaidie
@MakaliusNgua-vb5sb2 ай бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU paschal cassian
@JulietShamala2 ай бұрын
God bless you mungu zaidia watu wako
@DevisNyamiАй бұрын
Wimbo mzuri Sana..... Unasali kabisa gani????
@nancynjeri-yp4rd2 ай бұрын
Nyimbo nzuri wakusikia asikie mana Kristo yesu anarudi tutubuni🙏🙏🙏
@user-np2bs8bl9w2 ай бұрын
Amina WIMBO mzuri. Tutubuni jmn
@matildahaduyu1832 ай бұрын
Amina. Mtumishi wa Bwana
@Franckmulaj-Officiel2 ай бұрын
Wow ❤❤❤ que Dieu vous bénisse abondamment mon frère cassian🇨🇩🇨🇩🇨🇩♥️🙏
@gilbertndayishimiye78082 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana, ubarikiwe na Mungu.
@alfalusambo71072 ай бұрын
Hukumu imekalibia akikisha uko Safi mbele za MUNGU kabla haijafika Ile siku Mungu akubariki Kwa wimbo wa kutukumbusha
@petromhadisa-ew7tv2 ай бұрын
Amina baba
@DanielNasibu2 ай бұрын
❤❤❤❤
@ConsolataEmmanuel-jk3jm2 ай бұрын
Ubalikiwe sana tunatamani video
@bahatimaselo85282 ай бұрын
Mtumishi tunatamani kuona video yake original barikiwa
@user-wg2gd2nl6c2 ай бұрын
Asiye skia mahubiri yako. Mtumishi. Basi huyo. Nikiziwi. MUNGU. Atuokoe. Atutie nguvu tuyashinde majaribu yake