No video

UCHAGUZI 2025 UMEANZA KUJADILIWA JESHI LA WANANCHI TZ.

  Рет қаралды 15,737

huduma ya kristo

huduma ya kristo

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@hezekiamhapa7395
@hezekiamhapa7395 4 ай бұрын
Nimekuwa nikikufuatilia sana na unanibariki mno. Mimi nikuombe tuungane kwenye naombi Ili Mungu awanusuru hao ambao wanataka nchi ikae sawa na wanatetea maslahi ya taifa. Mimi nimekuwa nikiombea sana yale maono ya bahasha yule anaechukua kwa nguvu Mungu akatengue nakuomba uendelee kuomba haupo peke yako tupo tunaofuatilia na tunaomba. Mungu wa mbinguni atukuzwe kwa kuwa anatupenda na anafunua mambo ya sirini kuanzia leo sitaacha kuwaombea hao Askari wachache watakaokuja kufanya mageuzi tuombe Mungu awatete wasidhulike hata kama kuna mipango mibaya inapangwa juu yao. Amen
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 4 ай бұрын
Kweli kabisa BHANA MUNGU ALIEUMBA MBINGU NA NCHI atatusaidia tuombe sana hata Mimi naomba sana t
@evelina9621
@evelina9621 3 ай бұрын
Kweli.kabisa.endelea.kutoa.elimu.mungu.akutie.nguvu.tanzania.ubarikiwe
@suleimankanjara7810
@suleimankanjara7810 Күн бұрын
Wanajeshi watajificha je kwenye fence au michongoma
@AdamFundikira-jb9vq
@AdamFundikira-jb9vq 3 ай бұрын
Hii ni kweli kabisa hii nchi inaelekea kubaya sana
@matiredms917
@matiredms917 4 ай бұрын
Mtumishi Mungu atakulinda. Endelea kuwa na ujasiri wa kutufunulia mambo yaliyo katika Ulimwengu wa Roho ambayo yatatokea kwenye Ulimwengu wa Mwili. Usiogope kunena. Wewe ndiye Daniel wetu kwani Tanzania inaangamia kutokana na uharamia wa Watawala wetu wa sasa.
@DickisoniMshobozi
@DickisoniMshobozi 21 күн бұрын
7:49
@edwindavid7037
@edwindavid7037 22 күн бұрын
Duh ! Hii umeiga tena, ilishatabiriwa kuwa itatokea mapinduzi ila atarudi tena au nimekosea?
@Master-ww7ur
@Master-ww7ur 20 күн бұрын
Ukiona utabiri unajirudiarudia ujue upo mgongoni very soon utatimia, stay awake bro Edwin
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 4 ай бұрын
Mpasuko upo tangu kifo cha jpm
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 4 ай бұрын
Acha wafeee wanatutesaaa baadhi ya viongoz ccm ni wabaya sana mungu atawavuna kama mahindi
@evelina9621
@evelina9621 3 ай бұрын
Mtumshi.hekima.yako.imetoka.mungu.ongoza.selikali.wattu.wapone.wanaumia.sana.karama.hiyo.uliyonaya.itume
@hajiameir8688
@hajiameir8688 3 ай бұрын
Unazunguka sana sema ulilokusudia unatumalizia mb
@abdulrahmanrajab4369
@abdulrahmanrajab4369 3 ай бұрын
w😂😂😂😂😂😂😂😅😢😂 ww mwenye huna kiongozi wa kukuongoza😂😂😂😂😂😅😢
@musajoseph7896
@musajoseph7896 4 ай бұрын
Ok
@loisruhembe1687
@loisruhembe1687 4 ай бұрын
Naomba no yako
@luciadominik1626
@luciadominik1626 3 ай бұрын
Jamni baba sasa watajuaje jmn
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 4 ай бұрын
Wewe usizingue ndoto gani mjomba mbona unajihami mafumbo mengi tamka tujuwe we si mchungaji mwanaharkati,wewe mwenyewe hapo mchumia tumbo tu acha miyeyusho eti ndoto duh kweli we wamichongo kweli
@user-hu3bz3lv7s
@user-hu3bz3lv7s 3 ай бұрын
Umenikumbusha=JPM Nchi hii sio masikini=
@abdulrahmanrajab4369
@abdulrahmanrajab4369 3 ай бұрын
lana za muungu zikushukie kam muung haja kuonesha na bila shaka haja kuonesha iloooooooo😮😮😂😂 halimpend samia ilooo😮😮😮😂😂
@daiqmull7474
@daiqmull7474 3 ай бұрын
Wewe choko mungu sio wako peke yako usilete uislamu wako kwenye Masilai yataifa we muislamu msikiti uujui mipira Tu ya Simba na yanga
@AdamFundikira-jb9vq
@AdamFundikira-jb9vq 3 ай бұрын
Umemjibu vizuri sana ni choko huyo ​@@daiqmull7474
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 3 ай бұрын
Sasa mbona uoneshwi tufanye nini ili vua zisibomoe majumba
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 4 ай бұрын
Bwana anakuamrisha ukue fundi gereji nahic kwa ndoto hizi alphard kesho utatwambia umeota semi treler
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂wewe
@abdulrahmanrajab4369
@abdulrahmanrajab4369 3 ай бұрын
muung gan uyo muung snasimamia nchi moja tu pumbavu weeeh
@emmanueljohn4018
@emmanueljohn4018 25 күн бұрын
umetumwa au kaa kimya usije kuwa mjinga
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up 11 күн бұрын
wana wa shetani utawajua tu! Kwa maneno yao na matendo yao
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 4 ай бұрын
Mwambie atuombee kama yuko karibu na Muumba atunyoshee njia amkumbushe machozi ya kilio chake Bwana anaweza peke take wametugandamiza na majabali sisi tu hatuwezi kutoka.
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 4 ай бұрын
Acha wafe
@ramadhaniathumani1025
@ramadhaniathumani1025 4 ай бұрын
Hayo yanatokea kwasababu wenye mamlaka ya nchi hii waliamua siasa ndio iwe kazi yenye mapesa meengi kuliko KAZI nyingine!! Taifa haliwezi kuendelea kama ubunge,uwaziri,urais utaendelea kumwagiwa mapesa mengi Sana ya mishahara na posho nyingi nyingi!! Fedha ziwekezwe kwenye ueledi na uzalishaji plus utafiti wa teknolojia za kiuzalishaji!!!
@emmanuelmisalaba3169
@emmanuelmisalaba3169 4 ай бұрын
Ogopa sana hawa Watumishi wa Mungu wanaojiita Mitume na manabii hapa Tanzania, sasa hivi wana magroup ya WhatsApp ya kujipendekeza kwa Rais wa nchi, Kinachopostiwa kwenye magroup yao ni Samia na serikali yake kwa kwenda mbele, Huwaoni kutumia nguvu nyingi kuombea nchi katika mawanda yake, picha kwenye profile ya magroup yao ni Samia tu hukuti kuweka bendera ya nchi Tuna watumishi kweli hapo?
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q 4 ай бұрын
NACHANGIA KIDOGO WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANO NDIO CHEO KIKUBWA NAFASI YA TATU MAREKANI UACHO ZUNGUMZA HAKITOFAUTANI NA YANAYOENDELEA
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 4 ай бұрын
Yaani kaka MUNGU akupe maono yooote lakini sio ya Gwajima kuwa rais tuna watu wazuri sana wenye hofu ya MUNGU tuombe tu MUNGU atupe uwezo wa kuchagua kiongozi mzuri
@elibarikilukasimakala5534
@elibarikilukasimakala5534 4 ай бұрын
Unampangia Tena Mungu ?
@rukiamale6644
@rukiamale6644 4 ай бұрын
usiyempenda ndy atakaekuw😊 Mungu tuletee gwajma🎉
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 3 ай бұрын
Mungu hatazami kama wanadamu tunavyotazama.
@masamakijames7837
@masamakijames7837 4 ай бұрын
Hebu jaribu kutueleza nani anafaa kuwa rsis tz.
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k 4 ай бұрын
Ni ndoto
@abdulrahmanrajab4369
@abdulrahmanrajab4369 3 ай бұрын
muung gani uongo tu kafiri m1 weeeh
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 4 ай бұрын
Sasa hapo wataacha kazi au itakuwaje? Waambie waombe sana
@user-sv6cd2kp7k
@user-sv6cd2kp7k 4 ай бұрын
Naomba namba yako Nabii
@MejjatScott-mf2vi
@MejjatScott-mf2vi 4 ай бұрын
Watakukamata weweeeh!,muulize Mbarikiwa
@loisruhembe1687
@loisruhembe1687 4 ай бұрын
Naomba no yako
@praygodmkumbwa7398
@praygodmkumbwa7398 4 ай бұрын
L
@praygodmkumbwa7398
@praygodmkumbwa7398 4 ай бұрын
L
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 65 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 43 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 17 МЛН
TUKIOMBEE CHAMA TAWALA  |  NABII SANGA
17:50
POG FAMILY TV
Рет қаралды 13 М.
SUGUYE AMTABIRIA MAMA SAMIA USHINDI.  DAMU NA DHULUMA ZATOKEA
28:51
huduma ya kristo
Рет қаралды 18 М.
NABII ATOA UNABII PART TWO KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || Prophetedmoundmystic
4:38
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 39 М.
UNABII ULIOTOLEWA KUHUSU ARUSHA WATIMIA. wapeni mototo wao.
22:06
huduma ya kristo
Рет қаралды 29 М.
MADHARA  YA MVUA
15:51
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 16 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 65 МЛН