''UCHAGUZI 2025 UTAKUWA MGUMU, RAIS SAMIA AFANYA KAZI NGUMU" MSTAAFU KIKWETE.

  Рет қаралды 73,184

SAVP TV

SAVP TV

Күн бұрын

Пікірлер: 144
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 4 күн бұрын
Mheshimiwa rais hongera kwa kazi nzuri Kuna jambo tusaidie sisi tuliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya Arusha tunakuomba sana sana malipo yetu ya mapunjo hatujalipwa mheshimiwa rais tangu mwaka 2000 mpaka Leo bado hatujui hatima yetu tusaidie tunaomba
@philiplenardsylvester6063
@philiplenardsylvester6063 Жыл бұрын
Wanashangilia nn sasa hapo uchwaratu nchi imewashinda RIP JPM 😢😢
@linuspapiasmanywele3414
@linuspapiasmanywele3414 Жыл бұрын
Safi kabisa Kaka Jpm Ndio Alikuwa Jembe Letu wanyonge.Sasa hivi Nchi Hii Imebakia Ni yafamilia na Sio Ya Wananchi.Sasahivu Unaona Mwenyewe. Mala Mzee Mkamba Anaibuka Na Wazo Lake. Kikwete Nae Ratuba zake yaani Ni Kukuru Kakara.ccm iko Matatani Kufa.2025 Kwasababu Mimi Binafsi Nichama Changu Lakini ,Viongozi Waliomo Humo Kwakweli Sikubaliani Nao.yaani Ningekuwa Na Uwezo Ningewaondoa Wote, Tukaanza Upya. Ninasubiri Chama Kipya Kikianza,Yaani UMoJa Part Nguvu Moja. Kama Kitapwewa Ruhusa Nahamia huko.
@linuspapiasmanywele3414
@linuspapiasmanywele3414 Жыл бұрын
Mmeferi Sanaa Hapo Tusha Choka.
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Жыл бұрын
Baba wa Taifa alisema kwenye hotuba yake kuwa Watanzania wanataka wanayotaka ndani ya CCM wakiyakosa watayapata nje ya CCM Very simple and Clear RIP baba wa Taifa Julius Nyerere🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
Kabsa dear
@MrSeanflavournh2vr
@MrSeanflavournh2vr 12 күн бұрын
Point.we want to change
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Жыл бұрын
Duh! WEZI NA MAFISADI WANAJITETEA. Bila polisi nyinyi ni wepesi kama karatasi Fanyeni kweli uchaguzi uwe huru na Hali MUONE! Pengine wanakijiji tu mnaowapa rushwa. Hata huko watu wameelimika MTAIPATA
@sudialihemed8656
@sudialihemed8656 Жыл бұрын
hamna wcwc ushindi ccm ni lazma musisahau kuagizia silaha mpya tu maana ushindi wenu lazma km kufa kuuwa ni lazima tu sasa hizo silaha miaka 5 zimeexpaya
@romualdmukandara9544
@romualdmukandara9544 8 күн бұрын
MUNGU WATOE ROHO wabaya WETU HATUTAKI kulea WASIO NA SHUKRANI KTK kustaafu KWAO. Turejeshee Nyerere.. WENGINE basii
@user-rm8fd3wh3w
@user-rm8fd3wh3w 13 күн бұрын
Kikwete tumekuchoka huna lolote kapumzike.
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 11 ай бұрын
Mh , Rais JK Ameongea Vizuri Sana point tupu Safi Sana , Ushindi ni Lazima Tuanze Kujipanga Sasa , . CCM Oyeeeeee.
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 17 күн бұрын
hiii nchi aliweza mmoja tu JPM basi hata wananchi walifulai
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
RIP JPM
@davidsemvua5336
@davidsemvua5336 Жыл бұрын
Ww mzee kikwete unasifia kila kitu magufuru aliharibu lkn ulimsifia sana pamoja na kuharibu nchi leo umemgeukia mama hivi una maana gani mzee hukosoi kila anayekuja unamsifia kukosoa ni kuonyesha njia kama ww unasifia kila kitu nani atafanya hiyo kazi muachie mzee mkamba kazi ya upambe ww kiongozi mkuu mstaafu wa nchi
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Жыл бұрын
Magufuli alikualibu nn?nawp?utuonyeshe alipokualibu uctufiche
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 Жыл бұрын
viongozi wa hovyo nyie
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 4 күн бұрын
Mikopo ya mitandaoni ifutwe inadhalilisha wananchibwa Tanzania serikali halilioni Hilo?
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 Жыл бұрын
Tunaomba MUNGU ugumu usiwepo, Tanzania yangu naipenda,,
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 12 күн бұрын
Chadema 2025 We want change
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 Жыл бұрын
Ww mzee nikatili sana
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
Ezekiel,ndio maana akapeleka jeshi Zanzibar kupindua matokeo ya uchaguzi wa2015.
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 11 күн бұрын
Anauaga huku anacheka
@allenabiud3273
@allenabiud3273 Жыл бұрын
Mwisho wenu 2025
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 26 күн бұрын
CCM ya 2020 imeshachoka, imechoka, imeundwa na Rais wa Mkopo toka Zanzibar na wa mkopo ameuza rasilimali zetu ili apate fedha za kujenga Zanxibar na amefanikiwa.
@romastasenterprises4447
@romastasenterprises4447 Жыл бұрын
Hapo sawa Mzee wetu Mh. Kikwete. Ila maisha ni magumu sana. Walipe madeni ya ndani hata yale yaliotokana na Maraisi wa nyuma ukiwepo wewe maisha yawe myepesi kidogo watu wapate nguvu ya kuvumilia foleni za uchaguzi na mwishowe kuchagua CCM.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Huyo kikwete ndiyo anaemponza mama wamchukie usifikiri wanampenda ile safu yote ya wizi ya kwake ameirudisha wauza unga wauza tembo madawa ya kulevya wakomba pesa za nssf za wastaafu uchafu uliofajywa na kila aina wa wstoto wa wakubwa na wa marafiki zao umerudi serikalini nchi imejaa wizi ntupu kila sekta nidhamu hamna serikalini mahospitalini police rushwa kama kazi uchafu wote wa awamu ya nne umerudi mama subiri 2025 umechokwa vibaya sanaaaa
@zakabonifas2144
@zakabonifas2144 Жыл бұрын
Watu wasiseme ukweli kisa masilai binafisi!! Kwanza katiba kwanza na sheria zibadilishwe na zikazwe hasa kwa wanaohujumu uchumi wa inchi hapo tutafika
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 14 күн бұрын
EEMUNGU NAOMBA IANGUSHE HAWA CCM WALA RUSHWA NA MAFISADI WAKUBWA EE MUNGU ONA SHIDA TUNAYOPATA WANANCHI UWAONDOE KABISA KWENYE MADARAKA WANAJILIMBIKIZIA MALI KUPITIA KODI NA RASLIMALI ZETU EE MUNGU IONDOE HII CCM MADARAKANI
@estarmara173
@estarmara173 Жыл бұрын
Naombeni umtoe hiyooo chawa ndoo anaharibu chama japo kuwa akuna kazi aliyee fanya mama Cha zaidi tu ajitaidi awamu ijayo
@rizikimlela8162
@rizikimlela8162 Жыл бұрын
Ufisadi umezidi
@user-ot1ff7yq2l
@user-ot1ff7yq2l Жыл бұрын
Kwni ww kikwetee ndo rais au maana hata hii nchi haielewk
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 15 күн бұрын
Kwa wewe taahira huwezi kuelewa
@elishampoki8751
@elishampoki8751 17 күн бұрын
Hekima za kikwete, Watanzania hatutaki vurugu , Tunataka utulivu, maisha yaendelee
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 18 күн бұрын
Mzee wangu nakupenda sana,Wewe ni kiongozi shupavu,Nawewe Umebakia mwenyewe nchi ikiyumba,utalaumiwa wewe,
@habibumtengwa9452
@habibumtengwa9452 8 күн бұрын
Matapeli Wa Nchi Wamekutana 😂😂😂
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 Жыл бұрын
Kikwete Bwana napenda hekima zako, Mungu akulinde ,
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Жыл бұрын
Mjinga
@DevinusMabiba
@DevinusMabiba 17 күн бұрын
Magufuru uko aliko anakusikia unachokisema ujinga huo upuuzi unao nyuma
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n 15 күн бұрын
Kikwete acha kumpaka mafuta samia kwa mgongo wa chupa watanzania si wajinga pia watanzania wa leo si wa Nyerere na mwinyi hivyo mkae chini mjitafakari sana
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 18 күн бұрын
Kabisa kabisa uchawa mwingine unakimaliza chama. Msema ukweli mpenzi wa Mungu.
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Bashiru amekaa kimtego hayuko pamoja nanyiiii saikolojia inaongea nae
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
Kwa kweli 😂😂😂😂
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 Жыл бұрын
Hukuvumilia upuuzi huu ila anafanya kazi nzuri
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 8 күн бұрын
CCM KAZI MNAYO NGOJA INYESHE TUONE
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 Жыл бұрын
Tujiandae kudanganya wananchi
@annamnanka-qk1bx
@annamnanka-qk1bx Жыл бұрын
Vitu vimepanda bei maisha magumu Kwa wananchi ccm hata wabunge kumi hamtawapata chadema mjiandae kubeba vitu vyote vya ubunge ccm imetufikisha hapo tulipo maisha ni magumu sana
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Жыл бұрын
Watachukua kwa nguvu hao. Kwanza kungekuwepo mtu wa kueleweka chama pinzani hata Urais wangeuopoa kirahisi. Wamemtosa Magufuli kwa ajili ya kufilisiwa fedha walizokuwa wakizipata kishetani.
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 12 күн бұрын
Mbona mh Mpina kasema ukweli matokeo yake akaambiwa asihudhurie vikao vya Bunge nk Hakuna jipya Mungu ibariki Tanzania
@noffalsalim
@noffalsalim Жыл бұрын
Tumechoka kuongozwa na ccm. Tunataka mabadiliko
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
Tena sana
@DevinusMabiba
@DevinusMabiba 17 күн бұрын
Pumbavu sana
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 күн бұрын
Ndo baba wa Taifa kwa sasa mzee jakaya mrisho kijwete. Mtoto wa mjini😂
@StevenMgaya-h9l
@StevenMgaya-h9l 4 күн бұрын
Mjizi yamekutana😂😂😂😂😂
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 11 күн бұрын
Hapa Makonda inamuhusu
@SamuelKivuyo-t4r
@SamuelKivuyo-t4r 14 күн бұрын
Ww kikwete we ndio unaharibu chama chamapindizi. Ukalale mzee acha kuwaharibia wengine.Na wewe ni mpuuzi sana mali zetu mnatorosha zanzibar ng'ombe nyinyi
@browskymuba6923
@browskymuba6923 24 күн бұрын
Kwa mtazamo wangu hakuna mpinzani wala Chama cha kumtowa mama kwahivo uchaguzi utakuwa wa rahisi haijapata kutokea 😂
@KhadijaChembela
@KhadijaChembela 2 күн бұрын
Chadema
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
Uchaguzi sio vita,haina haja kutumia neno vita,ila ikiwa ni kutisha wananchi.
@AdveraSanga-yy3bf
@AdveraSanga-yy3bf 10 күн бұрын
Upinzani pamoja na kujipanga vizuri kwa ajili ya uchaguzi mkuu, nawaambia wasibweteke kuona uchaguzi utakua sio rahisi. CCM lazima tutashinda ushindi wa kishindo. Kelele na mkwara mnaopiga ni kutughilibu kisaikolojia tuzame kwenye mawazo ya mikelele yenu ili tupumbae mpate upenyo, hilo limekula kwenu mtaanguka vibaya sana. Msifikirie uchaguzi wa 2025 bahatisheni 2045
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 күн бұрын
Kwa tume hii hata miaka 100000 ccm haiwezi kutoka madarakani
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Wewe ndiyo unaemponza kila mtanzania mama hawamtaki kwa ajili yako tozo kibao mishahara haiongwezwi chakula bei juu na wanasema wewe unamrimoti
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Mwaka huu ataliweka sawa suala la vyakula kuuza Nje ya nchi. Tumuombee duwa
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Жыл бұрын
Ahaaa! Anarimotiwa😅 ni kweli kweli kabisaaaaaaa.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Жыл бұрын
Pigeni kazi. Timizeni ilani vizuri. Mama anajitaidi. Waliokata tamaa wakipishe chama. Ilani ndio mkataba halali. Mbinu ulizozitoa zifuatiliwe. Chama hakikufia na hata Mama hakitamfia. Chapeni kazi.
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 2 ай бұрын
Huyu ndio mzee aliebakia na busara kubwa kabisa mungu amlinde
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 17 күн бұрын
busala hipi sasa
@jofreymsigwa85
@jofreymsigwa85 Жыл бұрын
Kampeeeen🇹🇿
@evarimdecoration4256
@evarimdecoration4256 Жыл бұрын
Sababu ni kwamba Rais hatumtakii mnatulazimisha tu!
@soudia9084
@soudia9084 Жыл бұрын
Anataka kumuweka mwanawe tusubiri tu
@machaggechacha243
@machaggechacha243 Жыл бұрын
Mafisadi na majizi wa serikali wameanza kuweweseka juu ya uchaguzi ujao. Kikwete na SamiaSuluhu waweweseka. Majizi.!!!
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 4 күн бұрын
C c m ni chama kizuri sana ila baadhi ya viongozi hawawajibiki mikopo ya mitandaoni ni hatari riba kubwa na udhalillishaji mwingi
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 күн бұрын
Uzuri wa chama ni viongozi na ubaya wa chama ni viongozi pia, chama pasipo viongozi siyo chama tena
@joachimmahoo9786
@joachimmahoo9786 16 күн бұрын
Kikwete ni mahali. Aibu tupu. Bandari Bagamoyo, Richmond,IPTL, Tegeta Escrow, Bilioni 350 za katiba mpya hakuna katiba. Wewe Teapeli la kimataifa.
@rithaurassa
@rithaurassa 26 күн бұрын
Mnajidanganya hii nchi cyo watu wachache safari kitaeleweka mbivu mbichi.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 18 күн бұрын
Mwenyekiti komaa umbea lazima upembuliwe na usipothibitika chukua rungu lako tandika. 4R wasioziweza kwa vitendo shughulika nao mpaka kieleweke.
@MichaelKenneth-c1u
@MichaelKenneth-c1u 15 күн бұрын
Lazima kazi indelee na tunaiona
@GeorgeBenard-ue2gh
@GeorgeBenard-ue2gh Жыл бұрын
Ni kweli?
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 18 күн бұрын
Maneno ya busara " usimdharau adui yaani mpinzani" hakika CCM msikilizeni mkongwe msidharau ati kwa sababu lazima mshinde. Nyakati za vya kunyonga umekwisha sasa ni mapambani ya hoja.
@boniphacetabu2903
@boniphacetabu2903 Жыл бұрын
2025 Mama Samia atashinda tena kwa kishindo Ngoma ngumu ipo kwa Wabunge na Madiwani
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Great thinker
@angelomalimi2444
@angelomalimi2444 Жыл бұрын
Utampa wewe
@linuspapiasmanywele3414
@linuspapiasmanywele3414 Жыл бұрын
Acha ujinga Mama gani Wewe Tuna mtaka Mwanaume Hatumtaki Mwanamke.Ujue Anaongozwa Na Baadhi Ya Watu.25 Tutajua Tufanye Nini. Sis wananchi.Kiti Kinarudi Kwa Wanaume.
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 16 күн бұрын
Hatumtaki uyo mzanzbar
@charlesmelami8028
@charlesmelami8028 11 күн бұрын
Kweli.basiitu.hatusemineno..yani.dunia.walipewa.shetani.hamiliki.wasuri.hawanamda.murefuduniani
@YUSSUFPanduYussufYussufp-ej1nn
@YUSSUFPanduYussufYussufp-ej1nn Жыл бұрын
Kwani CCM inategemea nguvu za kura kushinda?
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 26 күн бұрын
Kikwete kwake lolote lije hana anachopoteza, yeye ni fisadi pindukia. Kwani Kikwete hajui Samia ni Rais ni wa mkopo toka Zanzibar? Kikwete hajui Samia anauza Bandari,Misitu, madini, anafukuza wamasai amewapa waarabu uwanja wa ndege KIA , na kuchukua pesa za waarsbu na kuzipeleka Znbr?
@ThomasShilinde
@ThomasShilinde 16 күн бұрын
Uko sahihi
@asungushepatrick5414
@asungushepatrick5414 Жыл бұрын
Huyu mzee anaroho mbaya sana aisee.
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 Жыл бұрын
Tutampigia Huyo mamangu kula zote tutampatia Ila nikumuombea,
@FahmatFarmat
@FahmatFarmat 3 ай бұрын
Huseni kwa zanzibar sahau urais
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 Жыл бұрын
Mzee Makamba chawa
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 16 күн бұрын
Samia must go ccm oyeee
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
Mheshimiwa Kikwete maana ya demokrasia ninini ?
@ototek8037
@ototek8037 Жыл бұрын
Kikwete ndo raisi, anaamua nani atoke na nani akae wapi kwenye uongozi,, tumeumia sana kutuletea awamu ya NNE kwenye awamu ya sita. Wazee wa kuihujumu Tanzania ndo wameshika mpini, inauma sana.
@GeorgeBenard-ue2gh
@GeorgeBenard-ue2gh Жыл бұрын
Kwan sababu hamzinui ebu saidien wananch
@user-vv4wo5fu9t
@user-vv4wo5fu9t Ай бұрын
HAAAAH MZEE UNA HATA AIBU HEBU SASA MUOGOPE MUNGU BADO TUUU NENDA UKALEE WAJUKUU WAKO KILLER MAN...JITOE KTK SIASA BADO TUU ULIZIKI MUNGU ALICHOKUPA. ACHA KUKUFULU RUDI KWA MUNGU WAKO AGHA USHETANI USHAZEEKA ....
@rithaurassa
@rithaurassa 26 күн бұрын
Mzee kalee wajukuu siasa haikufai tena.kwanza ni aibu wew kwani nraisi tena!mambo ya mboso mwachie mwenyewe.
@YUSSUFPanduYussufYussufp-ej1nn
@YUSSUFPanduYussufYussufp-ej1nn Жыл бұрын
CCM haitegemei kura za wananchi kuchukuwa madaraka
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
Ccm tumewachoka
@annajairos9756
@annajairos9756 Жыл бұрын
Japana sisi tunataka rais kutoka kwa Mungu hamsemi tuombe mama akaepembeni Sasa aombe kwa mola Kwa sababu yeye aliteuliwa na hatukumchagua sisi tunataka rais aliyejaa hofu ya mungu anaetazama watu wake nyie mnalipia watu kiongilio kwenye mpila wakati vitu vinapanda
@romastasenterprises4447
@romastasenterprises4447 Жыл бұрын
Na wawe makini madeni hayo yasilipwe kwa upendeleo. Wao wanayajua hakuna haja ya kungoja mpaka mzabuni au yoyote anaedai afuatilie. Atakaefuatilia akilipwa hatakua na haja ya kuona umuhimu wa hiki chama chetu kikongwe. Tafakarini
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 16 күн бұрын
Hapa wote sijawaelewa mm
@user-ew4be3us9c
@user-ew4be3us9c 11 ай бұрын
Kujianda kwetu lahisi tu ondoeni kikokotoo
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Жыл бұрын
Yaan km kwmb huo uchaguz ndo unaamua kweli maamuz ya wnanchi...
@emanuelmushi9917
@emanuelmushi9917 22 күн бұрын
Kaul ya kuwahadaa watz
@tinolutonja8932
@tinolutonja8932 Жыл бұрын
hii
@user-kq5si5pv9n
@user-kq5si5pv9n 14 күн бұрын
Njiiîi
@MrSeanflavournh2vr
@MrSeanflavournh2vr 12 күн бұрын
CCM forever governance no we want to change we are tired with CCM
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 күн бұрын
This is tanzanian county it's not your property, without your party it will exist
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 күн бұрын
This is tanzanian county it's not your property, without your party it will exist
@ShauriNaaly-yy5fh
@ShauriNaaly-yy5fh Жыл бұрын
Ccm mwisho wenu umefika
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Hapo kabomu kakilipua kawaue mafisadi sijui atapona nani
@MdoeShabani-d3v
@MdoeShabani-d3v 13 күн бұрын
Adio
@YonaBangili
@YonaBangili 16 күн бұрын
Fisadi sugu kalale hunalolote
@moshintagata100
@moshintagata100 Жыл бұрын
Sihatufat uomea tusubl mda mama anupiga meingi
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Жыл бұрын
Wewe Mzee una wasiwasi na uwaziri wa mtoto wako. Umeiua CCM, binafsi siitaki tena na sina nafasi nayo. Ilikuwa ikufie mikononi mwako 2015, kama sio Magufuli.
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Hapo Hi mezungunza kitu sensitive
@shebatimathayo8471
@shebatimathayo8471 Жыл бұрын
Kweli mheshimiwa kikwete endelea kukichonga chama baba.
@allenabiud3273
@allenabiud3273 Жыл бұрын
Acha unafik
@AbrahamSekuza
@AbrahamSekuza Жыл бұрын
Maneno ya mstaafu ni mazuri lakini hayalengi kuongoza nchi yanalenga kujijengea ulaji kumsifu makamba ni kuchoka kisiasa
@ramadhanimohamed4190
@ramadhanimohamed4190 Жыл бұрын
Mdomo koma
@jimmymsangi2208
@jimmymsangi2208 Жыл бұрын
Hata sielewi!!!!!!!
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 13 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Peterchipemba
@Peterchipemba 18 күн бұрын
Ushindi wa ccm hautegemei kura za kwenye box,,nape alisema kura kuna halali,,nusu halali,,halamu,,wakisha fanya hayo wanasema mungu tusemehe na uharam
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 43 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 16 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 14 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН
Top U.S. & World Headlines - September 6, 2024
13:19
Democracy Now!
Рет қаралды 274 М.
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,2 МЛН
Mateso ya kimyakimya: Sheikh Ponda azungumzia kifo cha Ali Mohammed Kibao
44:53
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,7 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 43 МЛН