UCHAMBUZI: DR SLAA ANAIVAA HOTUBA YA TUNDU LISSU MWEMBEYANGA. "KWA HILI SIKUBALIANI NA TUNDU LISSU"

  Рет қаралды 5,475

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

2 ай бұрын

Пікірлер: 12
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 2 ай бұрын
Shujaa Lisu mzalendo wa kweli unaendelea kupambana Mungu akubariki sana
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 2 ай бұрын
Hii bank inaonyesha inauhusiano wa aina na ccm hta juzi wametoa pikipiki huko arusha
@mgungulem3187
@mgungulem3187 2 ай бұрын
Mzee Kinana?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Acheni wale hayo ni mambo ya kawaida hata mngeshika dola nyie mngeiba tu Lisu kapewa milioni 400 unalijua hilo Siasa nchezo mchezo Dr Slaa hujui kitu Baba
@pancrasluoga4584
@pancrasluoga4584 2 ай бұрын
Bora ukpose pesa kuliko kuwa mnafiki, Kama Dr slaa anaongea ujinga Basi wewe unae mbeza unamatatizo humo kichwani
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 2 ай бұрын
Mimi saa nyingine huwa najiuliza pia nashindwa kuelewa, Hivi Tanzania hakuna Serikali au Mahakama ? Maana kama huyo mzee Silah mara nyingi huwa analalamika kwa humu mitandaoni kwani si aende akarIpoti Polisi baada ya kulalamika tu mitandaoni tunaibiwa weee tunaibiwa weee kwani kwenye DinI yake ya unafiki nini ?
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 ай бұрын
We nenda kamshitaki police kama anakukela doctor slaa senge ww
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
Mahakama zenyewe zinazosimamiwa na Majaji wanao haguliwa na Ccm?
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 2 ай бұрын
@@TegemeaFutemakatifu kwani Tundu Lissu Mahakama yake iko wapi ili watu tuanze fujo ya mambo juu ya mambo
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 ай бұрын
Huyu mzeee ameishiwa anatafuta huruma ya kupata maokoto
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
Ameishiwa kwakuwa anawasema ktk Ukweli mchungu kwenu, Vumilieni tu
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 168 МЛН
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18
Tundu Lissu Vs Mwana Sheria Mkuu Bungeni
7:05
SIMU. Tv
Рет қаралды 1 МЛН
LISSU AMJIBU FATMA KARUME SAKATA LA SIASA ZA UBAGUZI....
16:10
MCHAMBUZI THABIT AIBUKA UPYA/HAPA NDIPO TUNAPOFELI AFRIKA/AMTAJA KIKWETE
34:39
Gangana Info Channel
Рет қаралды 22 М.
wasabato sio wakristo
19:22
THE POWER OF CHRIST MINISTRY
Рет қаралды 4,7 М.