UCHAWI WA PEMBA HAO WA BARA SUMBAWANGA HAWAONI NDANI ,GININGI INATISHA WACHAWI MASAA 24
Пікірлер: 12
@cideboy10026 күн бұрын
DR Omar mbona haujatuachia contact detail zako kama namba za simu na mtu akiwa mbali unaeza kumsaidia sisi wengine ofisi zako zatuzijui zikowapi
@HABARIJAMIIDIGITAL26 күн бұрын
Namba zipo mwanzo wa interview
@user-ew9cp4jh9e13 күн бұрын
Ni mambo ya kusadikika hayo
@fatumatandika622025 күн бұрын
Tunaomba namba yake ya simu
@abdulgeuka398526 күн бұрын
Michezo
@Maryam-vj1rb23 күн бұрын
Tunaomba number ya sim please
@TaarabChannel25 күн бұрын
Wababai tu
@omarikingi983924 күн бұрын
Gininngi nilienda nawatu wawili pia pikipiki niliwacha baada ya kukaribia iyosehem
@nurumasha25 күн бұрын
Mh! Mi nna mashaka kidogo ameendaje giningi na pikipiki akawachukua watt wa huyo mama na aliwapakizaje wakarudi kwa iyo pikipiki... mana giningi si sehemu ya kawaida guys kwa asiepajua giningi.... giningi ni kama gamboshi kule bariadi...aya anasema mtt alichukuliwa na jini lkn kumfuata alifuatwa na mtu aliepandisha yy akabaki mh!! 😂
@Grataaaaa24 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 htr mimi naangalia n kucheka maana kifo kikija ndo na anza maisha ya kudumu bora ni kumueleea RAHMAN