Msukuma Mwenyezi Mungu Azidi kukuinua uweze kutusemea mwanangu
@HanifaOman-oo4pl9 ай бұрын
Msukuma. Allah akulinde. Maashaallah. Unajitambua sana
@Lighttemba9 ай бұрын
Safi sana mh. Msukuma
@shabanimataka84189 ай бұрын
Allah akuzidishie
@edsonsalvatory51219 ай бұрын
Msukumu is very genius❤
@bonsondavid57569 ай бұрын
Msukuma we ni proffeser,madini unayoyatoa ni fire,sauti ya Magufuli ipo ndani tunaisikia big up
@abudalaabdumalik93628 ай бұрын
Uhakika babu
@ismaeliZakayo2 ай бұрын
5:08
@jerryrugiga51579 ай бұрын
Safi sana msukuma unatuwakirisha vyema
@FelixMwacha8 ай бұрын
Msukuma kwa hayo Mungu akubariki
@emmilianlukaye31259 ай бұрын
Tusemee tusioweza kupaza sauti ikasikika. Mwenye Sikio na asikie ❤❤
@ramadhanabdul22979 ай бұрын
🎉huyu ndo msomi pekeee bungeni
@saramartine73308 ай бұрын
Mm mwenyewe namuelewa sana kwakweli Mr Janaby
@michaelmlugu56549 ай бұрын
Msukuma Uko vizuri
@emanuelcholela86793 ай бұрын
Warundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nimeona mnaupendo wa dhati kwa vile nilivyoishi buterere jirani na kanisa la waadiventist opposite na msikiti. Nasema Asante sana kwa familia ya mzee omary nduwamungu
@omaryshafii12848 ай бұрын
Kiukweli wazungu wanaajenda mbaya sana kwetu tuaiposhituka tutakwisha hongera msukuma mungu azidi kukuongoza
@ZephaniaMwita-z4lАй бұрын
Safi sana musukuma.
@gladyssembojas53089 ай бұрын
Msukuma hoyeeee
@PascasMathew9 ай бұрын
Asnt sana ubarikiwe
@ShabbirAbdulsattar9 ай бұрын
Mweshimiwa msukuma hongera na pia nakupongeza lakini jee mmepitilia kwenye vioski wamepata wapi vibali vya kuuzia pombe Kali watu Huwa wanatumia kutoka asubuhi
@stanleyfocas82509 ай бұрын
Daktari msukuma tumesha chelewa kaka ningumu Sana kwasasa
@ChimolasiniourMagawa9 ай бұрын
Hongera mh kasheku mtani wangu. Huwa nakukubali sana ndio wabunge ninao wataka waaina yako
@pablomuyu16709 ай бұрын
Unawataka wewe kama nani ??
@ShafiiSaid-v5n3 ай бұрын
Watu kama hawa Tanzania ni wacheche,Sanaa,m/mungu Akulinde mzee,wng,safii Sanaa🙏
@MussaSeseka6 ай бұрын
Vzr saana
@jafarmlawa96279 ай бұрын
Tafti ya msukuma naikubari,, sarutttti
@HappyKettlebell-qx7sp6 ай бұрын
Nakubali Kaká ongea
@alexmatt95049 ай бұрын
Ahsante sana Msukuma kwa kumwaga upupu,TBS hakuna uthibiti kazi ni kugonga mihuri.Cha msingi hapa ni sisi wananchi/wanywaji kususia hizo pombe za kigeni, acheni ulimbukeni kwa kujigamba unakunywa pombe za kutoka nje ya nchi eti utaonekana ni mtu mwenye uwezo wakati haufahamu kilichochanganywa humo. Kunyweni pombe zinazotengenezwa humu nchini,zipo bia zetu nzuri,pombe kali zenye ubora. Na sio uongo anachosema Msukuma hizi imported liquors nyingi sio salama mtaharibu figo,maini na kusababisha impotence kwa wanaume.
Sasa Hapo umepotea njia kaka, Pro yupo vizuri sana. Walioko mjini ndo shida
@AllyButuro-b5t3 ай бұрын
Hongera sanaa msukumaa
@nurulukali42918 ай бұрын
Safii sanaa,, unapoint babaaa😢 ,,viongozii wafanye ytafti ndani ndan huko nd kuna mambo
@benikayange26059 ай бұрын
Daaa! kwaupande waushoga watoto wetu wanangamia kwakweli bora hatamusukuma umesema
@SurprisedDalmatianPuppie-tn7fq3 ай бұрын
Uko vizuri, hila kutairiwa muhimu na lazima
@ngosimabwai3228 ай бұрын
Ni kweli kaka chanjo zimezidi sanaa😢😢
@Mary-fs4mc8 ай бұрын
Mwamba huyu hapaaaa❤❤❤
@johnmichael-zg6sd8 ай бұрын
Huyu mzee n daktar kabsa
@MartinGao-pq3ed7 ай бұрын
Hongera sana musukuma
@MelkioryDigha-ry8nu8 ай бұрын
Huyu jamaa jembe sana safi dah
@HanifaOman-oo4pl9 ай бұрын
Ila kwa Dr. Janabi. Anaeleweka sana anafundisha vizuri ukimsikiliza utaishi vixuri bilaya maladhi maashaallah. Janabi Allah akupe umri wenyeheri nawe❤❤
@judaspantaleo97799 ай бұрын
Ndio lkn kwa kundi frani la wenye nacho hakuna faida kwa maskini kwa maelekezo yake
@bcozhenry26988 ай бұрын
Msukuma ameeleweka kwa wenye akili kubwa tu, mafundisho ya Dr. ni general sana na yanatia hofu hata wasio husika! Awe mahususi!
@najmasalim-rg6ow8 ай бұрын
@@judaspantaleo9779so kweli dada masikin hawez kosa maharage mboga za majani tena Mimi imenisaidia sanaa
@najmasalim-rg6ow8 ай бұрын
Sanaaa
@MahmoudMohamed-gx1fk8 ай бұрын
Dr janabi anafafanuw vzr kwa kila aina za watu na kazi zao vp waishi
@AllyAllyRamadhani9 ай бұрын
Upo vizuri sana kweli
@razaromakas18363 ай бұрын
Kuna wakati bro msukuma nakukubali sana
@MasudIssa-u9i3 ай бұрын
Proffeser msukuma wew silasaba unajua sana
@rukiyamohammed29458 күн бұрын
Dah!
@Bareboy-fx9so7 ай бұрын
Nzuri ndugu
@JomoKilawe2 ай бұрын
Kutahir Sio Lzm.. Ubaki Na Mkono Wa Sweta😂😂😂
@foundationforcommunityhope73273 ай бұрын
Daaa yaani uko vizuri Sana Mheshimiwa Tz Tz jamani
@LukaLazaro-fd1kr8 ай бұрын
sukuma 1
@elishayona58877 ай бұрын
Hapo umeingea kaka
@ShiwaNghabi-b3eАй бұрын
Vip
@ibrahimkasim9229 ай бұрын
Unafaa kuwa waziri ❤❤
@fatmasaid95568 ай бұрын
Sana ty
@JoshuaSteven-z3rАй бұрын
Msukuma ndiye aliye haribu hii nchi kazi kufagilia ujinga bungeni
@joshuakobe66198 ай бұрын
Hajamuelewa Prf. Janabi
@chomasongidion60478 ай бұрын
Wape ukweli chpsi mjini bwana,wakulima wapi na wapi
@DavidBundala-u1r9 ай бұрын
Musukuma uko sawa, ila Janabi naye yuko byeee na elimu ya afya, muache atufun dishe afya
@dechardavid25559 ай бұрын
Aisee hii nimeipendaa..
@Optionxll_Playz19 ай бұрын
Ndio shida yetu watalamu wetu hatwatumii , wazungu hawawezi kutupenda kama munavyokuwa munazani wataraamu amukeni .
@muniraahmed6248 ай бұрын
Bunge limechangamkaaa fact kama hizi ndo tunazozihitajiii mtaani pagumu wakuu watu wako na hali ngumuuu😢🫶🏿
@justinekubilungokolo57032 ай бұрын
Chapa ng'ombe okoa Taifa japo wanakuona kama mshereheshaji tu, but the time bis coming 😢
@Fatima-b4z5y8 ай бұрын
Safi.sana msukuma
@chrismkama48899 ай бұрын
Kama si siansa, Bunge liombe ushahidi wa kisayansi kuhusu alichokisema janabi kiletwe tena bungeni ikibidi aje aeleze mbele ya Bunge kama waliyomkosoa hawatahaibika.Wabunge jifunzeni kunyamaza kama hamna uelewa na kile kinachozungumzwa na wataalamu waliyosoma kwa miaka mingi vyuoni na kuhitimu.
@MichaelKingazi-wm7xj9 ай бұрын
Tanga kuna watu bora sana,waaminifu sana,hawana tamaa, wataendelea kuchaguliwa kuwa viongozi wa nchi hii, ni watu sahihi. Amen
@thinktwice71769 ай бұрын
Hoja yako ya mahali inakujaje hapa
@hakihaki21548 ай бұрын
Yanga na Zanzibar tofauti yao ndoho Sana ubinafsi 😂😂😂
@laurentraphael54709 ай бұрын
CCM ni janga la taifa namba moja.
@rizikiabdalla25019 ай бұрын
Weee kweli au
@YohaneBenedicto2 ай бұрын
Ama vipi bunge wamkabidhi mskuma
@backrissmgayamgaya7498 ай бұрын
Safiii
@florakweyunga44908 ай бұрын
Yaaap,maana hizo machanjo,hazifai kabisaaaa.JPM Alipima papai kama litakuwa na corona.
@flomenamvungi9889 ай бұрын
Mzee uyu yupo vzr
@Meshack-q8s7 ай бұрын
Nan kama uyo mbunge apo bungen hakuna wengne machawa
@deoluma17069 ай бұрын
Ahsante sana maukuma.hizi chanjo zimezid balaa
@charlesboniphace22499 ай бұрын
Ushazingua 😂😂
@KhadijaDaudi8 ай бұрын
Maukuma tena
@KhadijaDaudi8 ай бұрын
😢
@jumapiliissa48359 ай бұрын
😂😂😂 Msukuma oyeeeee
@aarona.midende17899 ай бұрын
Namkubari Sana huyu jamaa Msukuma
@KennedyNgusa3 ай бұрын
Huyu ndani yake kuna uchadema ,ananyosha sana
@julyodette69458 ай бұрын
Papai la njano nje ndani kugumu kama maisha ya mtanzania wa kawaida☹️ Hatuna vyakula vya asili masoko yamejaa matakataka tu matunda holaaa nafaka ndo usiongee mifugo huko ndo full michanjo 😭😭😭 huko mbele ni taabu tupo
@ForeverCaptain9 ай бұрын
Prof Janabi Said it Right! If you think it is a joke, Keep ignoring it as Ignorance is expensive than Education
@DaudMbarikiwaKayandaАй бұрын
Edelea kusema ukweli na mungu ataku
@joachimhancemwakoba82832 ай бұрын
😂😂😂Mskuma
@frankkitosi7328 ай бұрын
Sema msuma
@MalikiaRecho6 ай бұрын
Nikweli kaka angu hili ni tatizo
@hubman67802 ай бұрын
Msukuma Mungu akutunze. Wizara inakubali tu hadi madr wamepewa miongozo ya kuratibisha hizi chanjo na wakienda kinyume sijui kifuatacho isidingo.Cha ajabu mheshimiwa watu wa afya watuambie kwa nini kila sehemu wanalalamika upungufu wa nguvu za kiume?
@agnessangawe38449 ай бұрын
MSUKUMA HONGERA SANA. HIZI CHANJO NA POMBE ZIFANYIWE TAFITI
@bennygwasa45638 ай бұрын
Msukuma ana akili sanaaaa
@godfreysimoni42709 ай бұрын
Huyo ni zaidi ya pr.
@babazizu12558 ай бұрын
Msukuma mtani wangu vazi la kiisilam linakutoa kwer aisee
@jerryrugiga51579 ай бұрын
Umenigusa sana kwenye swala la chanjo na kutahiri watu
@neemamasimba29818 ай бұрын
Hata mimi aisee huyu jamaa ni mtu na nusu
@neemamasimba29818 ай бұрын
Ila watu kama hawa ni kama hawathaminiwi, ila huyu kaka ni lulu kweli. Ameongea mambo kontu
@stanymccary71363 ай бұрын
Hulazimishwi mwanao kupata chanjo au kutahiri siku mwanao akishapata serious illness ndo utajua kazi ya chanjo ni nin
@victorkambona20244 ай бұрын
Tanzania tuna watu sema tu hatuwaungi mkono
@matthewmichaelsylvester56129 ай бұрын
kweli kaka DR MSUKUMA
@HappyKiteboarder-du9th8 ай бұрын
Wewe ni Zaidi ya wabunge wote bungeni hongera sana upo vzr nchi inahitaji iwe na wakina msukuma Kama wewe mfike 100 tutafika mbaki
@emmanuelcharles30794 ай бұрын
Kadi hadi Jana hapa dodoma zinaizwa kwa wajawazito
@kuzenzamasule12819 ай бұрын
Maziwa ndala😂😂😂😂
@simiongasirigwa63163 ай бұрын
Hapo no ukweli msukuma usemacho
@selemanikazingini55669 ай бұрын
Msukuma ni msomi kweli kweli Ni afadhali ya msukuma aliyesoma informal education
@AdamSaffi2119 ай бұрын
Musukuma na DP world oyeeeee
@RaphaelLucas-uh7hx8 ай бұрын
Daaaah uyu msukuma anajua na kwa design hii atakuwa rais kama mafufuli
@NicksoniSajilo7 ай бұрын
Ww nimsema kweri wachanetu
@allysaidallysaid45309 ай бұрын
mimi ningekuwa mbunge nanipo bungeni ningeomba kiti changu kiwe karibu na msukuma😂😂😂