No video

RAIS SAMIA ATAJA SABABU ZA KUMWONDOA BOSS TRA "UHUNI WOTE WA TRA UMEFANYWA NA WEWE, MLIKUWA MNAIBA"

  Рет қаралды 54,257

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 195
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 Ай бұрын
Ungemtumbua waziri wa fedha ingekua vzr sana maana watanzania tunalalamika ila bado yupo tu daa
@augustinekusekwa183
@augustinekusekwa183 Ай бұрын
kabisa sio siri
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Ай бұрын
Si vyepesi Sana Rais yeyote kumtumbua Waziri wa fedha anless Rais awe hashirikiani naye kwa njia isiyofaaa Yaani mwaminifu kwelikweli awe na hakika hana makando kando ya kipato cha kificho
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Serikali hasikilizi wananchi. Power iko kwa watu, na serikali ni ya wananchi. Wabunge wako bungeni kusimamia haki zetu. Kwa sasa serikali ni ya CCM. Na wabunge wanakiwakilisha chama na sio watu. Mishahara yawo inalipwa na wananchi. Katiba mpya inatakiwa haraka kutuokowa kwenye huu utumwa mambo leo. Watu wasitegemee vyama vya siasa kupata haki zawo. Kila mtu awe na uhuru bila vyama. Walioiteka nchi kupitia vyama vya siasa. Tuseme tu haki, Watanzania wengi wako utumwani
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Waziri wa fedha ni kwenye group la wapigaji. Wananchi wamelalamika hawasikikizwi. Rais kajifanya bublu. Kuna Siri gani hapo?
@bundaman8542
@bundaman8542 Ай бұрын
Watu mna roho mbaya hata bila sababu. Hivi bila Mwigulu asingekuwepo pale hiyo miradi mikubwa ingekuwa inatekelezeka. Ni ma trillion ya pesa yanahitajika. Usipokuwa na kichwa kama hicho utafanikiwa wapi. Nenda shule ndo ufahamu watu wanavyofanya kazi
@geey7893
@geey7893 Ай бұрын
sjawahi kusikia speech ya hivi kutoka kwa raisi wa nchi ndugu zangu.kazi tunayo
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 Ай бұрын
Mama Samia ukweli ni kwamba kulipa kodi hatuna shida, tatizo kodi zetu za Tz ni za juu mno, zinatuumiza sana
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
kwahiyo zikipotea kwako huna shida ?
@section8ight174
@section8ight174 Ай бұрын
Lol you have on of the lowest taxes in the world and there you are still complaining without doing your due diligence!! Make Google your friend kind sir!!
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Ebu fikiria kodi asilimia 70 ya matumizi yao asilimia 30 ndio ya maendeleo hahaaa yaani wanamatumizi kama mchwa.Bado wanakopa toka Mwendazake atutoke kukopa kweli kweli na bado hajijulikani zinaenda wapi.Cha kushangaza anajua wanaiba anatamka wanaiba kisha bado anawaweka hao hao watanzania hivi tumelogwa ?
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Tz Tatizo shule w congo w Zambia Malawi msumbiji Burundi Rwanda wamekimbilia Mombasa kisa TRA Uganda hawana bandari lkn watu wanaenda Uganda, et rist mapato mtapata je
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi Ай бұрын
Na matumizi yake pia
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Watu wanaiba kama hakuna serikali. Watu wanateseka, bunge limetekwa. Wananchi wanaotetea Mali za wanatanzania wanaambiwa wabebe Mizigo yawo watóke bungeni, utafikiri bunge ni la watu binafsi. Uwongo juu ya uwongo. Wabunge wote wakianza kutowa hoja zawo wanamushukuru Mwenyezi Mungu kisha wanamushukuru Rais. Rais amekuwa Mungu wa pili. huku hawatetei haki.. Wenye akiri zetu tunajuwa hizi ni sifa za uwongowa. Wanayoyasema pembeni wanajuwa wenyewe.. Wanaosema ukweli na watetezi wa haki wanafukuzwa bungeni. Haki iko wapi?
@rendiman2878
@rendiman2878 Ай бұрын
Kwasababu matanganyika ni maoga kama mbwa koko
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
@@rendiman2878 Na wewe ni raia wa wapi?
@rendiman2878
@rendiman2878 Ай бұрын
@@Mima-cl2im huwa sijibu usenge huo. Mafisi mikishindwa hoja mnaanza kulliza uraia wa mtu kwasababu hamtaki kuambiwa ukweli
@section8ight174
@section8ight174 Ай бұрын
Nyie wasenge sijui Wa Burundi ama Kongo, vipi mmetumwa nini kutuchokonoa?
@section8ight174
@section8ight174 Ай бұрын
@@Mima-cl2immkongo Huyo! Nadhani wanalipwa na wazungu kutuchokonoa, wasenge wanafirwa hawa
@elioimer8423
@elioimer8423 Ай бұрын
Kama mama Anasema mnaiba , kwa nini wasistakiwe. Nchi ya ajabu sana.
@gm003
@gm003 Ай бұрын
Mtu anaeiba anawezaje kupewa kazi ingine??? Unatuambia nini Mama Abdul sisi Watanzania Mafala?
@elisharenatus9351
@elisharenatus9351 Ай бұрын
Sema Rais ni mlalamikaji sana juu wezi badala ya kuchukua hatua ya kuwatumbua very sad
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Ай бұрын
Huyo alipewatumbua mbona hakuwachukulia khatua stahiki kama
@freddymtashi5020
@freddymtashi5020 Ай бұрын
Kama unajua walikuwa wanaiba mbona huwachukulii hatua!!
@MATIKO9640
@MATIKO9640 Ай бұрын
Katiba ya nchi yetu hakika ilitudhurumu haki yetu ya msingi ya kupiga kura, kumchagua kiongozi takwa letu sisi wananchi na sio takwa la katiba ya zamani ambayo haina hata mchango wa mawazo yetu sisi kama raia wa sasa tunaongozwa, huko ni kutuburuza, kutulazimisha kukubali maamuzi ambayo hatukushiriki, Dah!. hayati rais wa Iran alipofariki kwa ajali, uchaguzi ukaitishwa ili kupata rais wa wananchi, na hivyo ndivyo inavyotakiwa hata katiba iwe,makamu wa rais hatumchagui sisi, inakuwaje then anakuwa rais na hatujamchagua? au mimi ndo sielewi, basi mnisaidie mawazo.
@justinemsela3593
@justinemsela3593 Ай бұрын
Mh rais wetu Samia, kwann watu au taasisi zinazotajwa na CAG kufuja pesa za uma hawachukuliwi hatua za kisheria na kiwajibishwa
@gm003
@gm003 Ай бұрын
Mama Abdul, unafurahisha, Kidata jizi, sasa ndo MSHAURI WAKO WA KODI, haaa Watz kweli sisi ni mafala, ilibifi tuingie mitaani jana na sio kesho, ccm wanatuchezea!!
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 Ай бұрын
Mchoma picha ya raisi yupo sero ilihali wezi na mafisadi wanaachwa tu kwa kubembelezwabembelezwa! Tanzania na vichekesho vya viongozi wetu.
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 Ай бұрын
Nchi ikikosa kiongozi ni hatari sana!
@geey7893
@geey7893 Ай бұрын
yani ni aibu
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Ай бұрын
Kwahiyo kiongozi ni yule mwendazake siyo mnapenda watu watiwe ktk viroba siyo ndio uongozi😅😅😅
@geey7893
@geey7893 Ай бұрын
@@hassanmfaume4522 Wewe unapenda Akina Sativa watupwe katavi na huyo Kivwengo wenu sio?
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 Ай бұрын
Hivi vyeo vya kupeana vina tabu sana.Mtu anaharibu hapa anapelekwa pale.
@MwanaidiMswaki
@MwanaidiMswaki Ай бұрын
Wachague viongoz kama makonda tutafika na silaah yuko vizuri Sana pia wawe na hofu alya Allah
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 Ай бұрын
Mwizi anakaa mesa Moja na muheshimiwa! Mwizi.....nani analinda raia na Mali zao? Nani anapambana na kuzuia rushwa?
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Ай бұрын
Professor anasema tunakopa sababu sisi matajiri. Mama hiyo kauli Mh Mwigulu alikuwa atumbuliwe. Ukweli ni kwamba mapato hayaridhishi. Mama matumizi yasiyo ya lazima yapungue. Nashangaa waziri wa fedha halipi kipaumbele. Ripoti ya CAG zinaonyesha pesa nyingi inapotea kwa uzembe wa wafanyakazi. Napendekeza tuwe na sheria kali dhidi ya ubadhirifu wa mali ya umma.
@section8ight174
@section8ight174 Ай бұрын
Kunyongwa tu kama wanavyofanya Uchina au kukata vidole kadiri unavyozidi Kuiba kama Saudi
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Waziri wa fedha hajtali hali ya watanzania. Huyu yumo kwenye kundli la mafisadi ndiyo maana anasema sisi ni matajiri. Ukiingia kwenye siasa unatajirika bila kuwa na kiwanda. Tayali, kisha mmutayalisha Mtoto wake kuingia kwenye siasa. Tanzania tutawaliwa na Hawo Hawo viongozi wetu. Wakitoka wawo wanashika watoto wawo. Vijijini watu wanakula majani. Watoto bado wanakaa chini. Walisema elimu bure, ni Uwongo. Viongozi wetu wanaishi kitajiri na kufumbia macho shida za wananchi. . Mama anakopa anamwaga, watu kama wakina Mwiguru wanachota, Rais hana habari wanamuziba macho na masikio kwa kumpa sifa, mama anaupiga mwingi. Watanzania tuna shida kubwa sana kwa elimu yetu ndogo.
@Piscesblair
@Piscesblair Ай бұрын
Hongera Sana Mama yetu. Tutanyooka tu. Mdogomdogo. Bado Halmashauri zetu.
@JonathanMwandala-hs3ld
@JonathanMwandala-hs3ld Ай бұрын
Yaaani unajua kwamba ni mwizi afu unampa tena cheo,daaah hatare sana iii
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Sikuwahi kuona kushuhudia kusikia Raisi wa nchi anaongea hivi inasikitisha mno
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 Ай бұрын
Mama naomba uwe serious na watz Wengi majizi ,ndo maana nchi haisogei
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Ай бұрын
Samia nchi imekushinda. Una woga mwingi. Huna udhubutu, unawaogopa wala rushwa wenzako. Ripoti ya CAG imekushinda kuifanyia kazi. Tumepiga kelele mpaka tumechoka. Mnakusanya kodi zinaishia kwenye mifuko yenu. Kama hamkujifunza kutoka Kenya basi zibeni masikio.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
Utafungwa na domo lako hilo, hivi ukiulizwa unaweza kutoa uthibitisho kwa hicho unachomshutumia raisi?!
@BraxedaDomina-xn4zc
@BraxedaDomina-xn4zc Ай бұрын
​@@rayisadesigns2646Acha kutisha watu bro
@selemanijumaselemani7191
@selemanijumaselemani7191 Ай бұрын
Shida wanakusanya kisha wanaiba pengo linazibwa na mikopo,mzigo unabaki palepale kwa wananchi kulipa deni, hiyo ndio mifumo ya viongozi wa Africa tunaomba Mungu amuongoze.
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 20 күн бұрын
Mama samia tangaza Daawa barrakaallah
@ignasnyembo1256
@ignasnyembo1256 Ай бұрын
Mungu wangu jamani nchi haina rais
@MariamKhalid-ub9jj
@MariamKhalid-ub9jj Ай бұрын
😂😂😂acha tu
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 Ай бұрын
Nchi ya kulalamika kila mmoja.Aibu sana
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 Ай бұрын
Unafiki viongozi raisi akiongea wanasimama wanainama unafiki ,sisi watu weusi alieturoga alishakufa….
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Haya yote unayokataza yanakujaje kila mara yanajirudia,na ĺundo la kodi tusilolimudu linakujaje?! Uongozi wa juu umeshindwa kubuni vyanzo vya kodi tofauti na kukamua wananchi tu?! Huyu waziri wa fedha hana ubunifu tofauti akaacha kukopa mfululizo huku anatuletea tozo mfululizo!? Loh! Mtatuua lkn na ninyi mtakufa mtaziacha
@PeterNMzee
@PeterNMzee Ай бұрын
Nasikia kichefu2
@htx1873
@htx1873 Ай бұрын
Fisi anapelekwa kwenye mifupa halafu tunaexpect asile mifupa , jamani hivini ni kweli ? 🥴🥴🥴 Time will Tell !!!
@yusufurhobi9678
@yusufurhobi9678 Ай бұрын
Sio kwamba wanakula kulingana na urefu wa kamba yao
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Ай бұрын
Na yeye Samia ndo alisema hivo.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 24 күн бұрын
Bila kodi hakuna Maendeleo duniani.Tazama Nchi zote zilizoendelea kodi iko juu Na huduma NI nzuri . Ila sasa Mafisadi WA Tz Wanaturudisha nyuma.😢
@generosennko8343
@generosennko8343 Ай бұрын
Viongozi mweenye skio na asikie. Mama kwa utulivu amewapa hekima ktk kuongoza kwenu.hakubakisha kitu. Please go and perform. Asante mamakwa maneno yenye mshiko. I hope wameelewa ulivyowaagia. Mungu barikiTanznia
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Huwezi kumteua unayejua kuwa alikuwa anaiba. Hii inaumiza sana tena .Binafsi nimesikitika sana.
@gm003
@gm003 Ай бұрын
Kutokopa mama Abdul kunawezekana, PUNGUZA ZIGO LA MATUMIZI YA SERIKALI...mashangingi na mianya ya kupotea kwa pesa za walipakodi, kupitia watendaji wa serikali...na hii kazi ccm haimuwezi.
@madreks253
@madreks253 Ай бұрын
Viongozi wote ni wezi na mafisadi...Raisi ndio kiongozi wao asijifanye hajui...tena yeye ndie mwizi mkubwa...nchi hii imejaa mafisadi...
@daviddsouza735
@daviddsouza735 21 күн бұрын
Hmmm je inafurahisha au je inasikitisha kwamba watu wanaaimbiwa wanajua na wanaiba na wanacheka.
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi Ай бұрын
Mwigulu yupo njiani nawengine nimeshasoma nyakati
@amohammed3390
@amohammed3390 Ай бұрын
If there’s system of justice there would be no stealing but caring thieves is not acceptable
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 Ай бұрын
Mama SMAIA SULUHU HASSAN. Umenena vizuri umeelewaka. Sasa Fukuza kazi Majizi yote serkalini ili update pesa za kuendesha shughuri za serkali.. usiyaoneee huruma kabisa. Ukifanya hivyo utaona hazina pesa zinajaaa tele..
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
Mawaziri anawagopa,au hakuwatea yeye
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Ай бұрын
Huo uwezo hana.
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 Ай бұрын
Kodi bado IPO juu Sana, especially kuna watu wa nao ishi nje ya nchi ambao wanapotaka kurudi nyumbani huja na Mali zao Sasa Kwa Nini walipe Kodi ya Mali zao???wakati nivitu walipata Kwa Kazi zao.
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m Ай бұрын
Bora tufe sisi watoto wetu waishi kesho,hatuna rais hapa
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Anahistoria ya wizi arafu Tiss inapatika kazi nchi ngumu hii
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 Ай бұрын
Punguzeni VAT ni kubwa mno wekeni walau iwe 12% ili waingizwame walipa kodi wengi zaidi
@iddiabdallah7352
@iddiabdallah7352 Ай бұрын
Tra ,takukuru,ewura,tcra,nida ni institution zinazotakiwa ziangaliwe kwa jicho sanifu mlo kwani ni sekta nyeti ktk maendeleo ya nchi why?we lives like this?
@EsterYohana-ix7ii
@EsterYohana-ix7ii Ай бұрын
Ninaimani hakuna mtanzania wamaisha ya chini anakuhitaji ww mama
@alawi6796
@alawi6796 27 күн бұрын
Mtu amegundulika ameiba lakn achukuliwi sheria za uwiz
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 Ай бұрын
RAIS wangu kipenzi naomba wezi kwenye utumishi wawajibishwe kama wahujumu uchumi shida iko wapi kufanya maamuzi? Badilisha Sheria ya utumishi watu wafungwe maisha na wafilisiwe Hadi paka wao WATAACHA WIZII!
@iddyekanda6456
@iddyekanda6456 Ай бұрын
Kuna majizi yanaiba hayashitakiwi alafu wananchi tunakamuliwa kulipa kodi punguza kodi iwe rafiki na mfanya biashara hakuna mwananchi atahepa kulipa kodi,, Kariakoo ukinunua bidhaa ukiitisha risiti unaulizwa upewe risiti ya kusafirisha bidhaa au ya kununulia,
@richardrugemalira6934
@richardrugemalira6934 Ай бұрын
BIG UP mama! Nimeipenda level ya seriousness ktk hotuba. Lakini wahusika ktk system wawajibishwe wanaohujumu mapato
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Actions speak louder than words! Otherwise these are mere orders of the day!
@user-lw3tg3yg5b
@user-lw3tg3yg5b Ай бұрын
Nanni awajibiswe na liniwawajibishe? Ripoti za cag nani aliwajibiswa? Hayo maneno tu
@hajifakisalum7909
@hajifakisalum7909 Ай бұрын
MAMA KAWAIDA YETU WATANZANIA NIWATU MAJUNGU UKIFANYA VIZURI WATAKUJENGEA CHUKI MUACHEWAZIRI WA FEDHAA
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Ай бұрын
Unamtumaje mwizi akafichue mbinu za wizi alizoziweka mwenyewe??? SSH Watanzania siyo wajinga kiasi hicho... Wewe sema umemtoa kidata kwa chuki binafsi... Wewe mama ni wa hovyo sana
@htx1873
@htx1873 Ай бұрын
Trust me I wonder the same way , !! Like hooooooowww ?😮 yani hai make sense kwa kweli, eti mwizi akawabadilishe wezi wenzie 😂😂😂😂 jamani nimechekaaaaaaa😂😂😂
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Ай бұрын
Kwa kauli hii ya Rais ni kama kusema "Mchawi mpe mwanao akulelee"
@fatmapondeza1984
@fatmapondeza1984 27 күн бұрын
Usiyumbe mama endelea mbele
@nasibuathumani7705
@nasibuathumani7705 Ай бұрын
Nataman siku moja. Nikutane na mama. Nimwambie njia nyingine ya kupata pesa. Nampenda sana
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Ай бұрын
Andika hapa ataona😂😂
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Niambie mimi tukazipige hizo hela
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 Ай бұрын
IV KUNA MTU KAEGEMEA UKUTANI au nimeona vibaya❓
@rahimmaulid2283
@rahimmaulid2283 Ай бұрын
Tatizo tukishauri serikali ndo utasikia ila mimi kama kijana Anaependa nchi yake ukweli mama yangu Rais wangu kumtoa kidata Dar cjui ili sijazungumza vibaya dr es salaam inatakiwa mtu kamq mzee wetu kidata Aliweza sana tena sana
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Hongera mama,kuwa mkali sana na usicheke na kima.
@alawi6796
@alawi6796 27 күн бұрын
Mbna mna bembelezana sasa sheria hazchukuliwi
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 Ай бұрын
Samia wetu mpendwa, tafadhali ondoa matumizi yasio ya lazima serekalini, mfano, magar ya garama, kwa baadhi ya viongoz,
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw Ай бұрын
Mama achavupumbavu selikali siyo mumewako. Acha kunyenyekea kiivo unaangamizanchi. Toa kauli za kishujaaa ao wapumbavu wanakucholatu. Kwamala yakwanza nchi itachafuka kwenye uongoziwako
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt Ай бұрын
Allah ajaalie Kila lakheri
@michaelmoro4801
@michaelmoro4801 Ай бұрын
Safi sana mama kwa maneno mazuri nakupenda sana
@siamollel6051
@siamollel6051 Ай бұрын
Jamani ,jamani,Tuafika kweli?Maisha nimagumu
@IlalioMbunju-hv7kw
@IlalioMbunju-hv7kw Ай бұрын
Kwa kuongezea maneno ya Rais, mkumbuke kwamba mtakufa na kama mmeiba sana hamtaenda navyo kwa Mungu mtaenda na roho tu. Rais kasema cheo ni dhamana tu
@Nedjadist
@Nedjadist Ай бұрын
Watu wamewaibia wananchi maskini yab idi kwanza wzfilisiwe pili makama tatu warudishe mali. Marufuku kufanya kazi ya umma milele. Halafu anamteua mtu anayekiri ni mwizi! Unauchekea ufisadi! Ila mtu akipasua picha....
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 Ай бұрын
Ote hao ni wezi
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
Waziri ndiyo fisadi,tumbua mawaziri wako,huyo umemuonea,
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw Ай бұрын
Ao wanalipwa msahara mkubwa alafu unawachekea kuwa mkali kama umeshindwa kaapembeni ata akuna point uloifanya apo
@gabrielsanya3278
@gabrielsanya3278 Ай бұрын
Mtumbue waziri wako wa fedha yeye ndiye KASWENDE KUBWA matatizo yote ya RUSHWA Bandarini, Kariakoo yeye anjua Siri zote na ndiye mtoa maagizo ya kusamehesha KODI. Utawabadilisha Makamishina na Kuwatumbua kwa maelfu lakini hujajibu KIDONDA.
@theonalyalfred8087
@theonalyalfred8087 Ай бұрын
Tunashida miaka5
@EsterYohana-ix7ii
@EsterYohana-ix7ii Ай бұрын
Tuwape kura wapinzani
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
Huyo ndo ataiba zaidi ya hao
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 24 күн бұрын
Wanaotumbuliwa warudishe Mali yote
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 Ай бұрын
Inchi NGumu hii bila mageuzi ya kimfumo taifa litasota saana
@alexkatama4341
@alexkatama4341 Ай бұрын
Tukodishe management ya TRA kutoka nje kwa mwaka mmoja tu....Wabunge pia wanapaswa kulipa kodi
@BonyGood
@BonyGood Ай бұрын
Mama Suluhu
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Ай бұрын
Wafanyakazi wa TRA wana mihela na mali zinazozidi mishahara yao, nao wadokozi. Pia wafanyabiashara nje ya mji hawatoi risiti kabisa na hawana hofu.
@EmmanuelNdahya-ud5nj
@EmmanuelNdahya-ud5nj Ай бұрын
Leo ndo umejuwa ????
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc Ай бұрын
Uwelewa mdogo eti wewe kubadiliuso umeshindwa hlafu unamtaka uliemteuwa abadiliuso umefeli vbya haijawai tokea toka uhulu
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Ай бұрын
Kumbe walikuwa wanaiba
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Haya sasa
@ImamuKitale
@ImamuKitale Ай бұрын
2:28 magufuli tuu
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Ай бұрын
Mungu tusaidie wewe peke yako hakuna mwingine. Na waziri wa fedha je? Mmmh .
@saidnassormohammed9589
@saidnassormohammed9589 Ай бұрын
Sasa km mwizi ushamtangaza hivyo wa nini huyo hii nchi aibu tupu wanaongea km bongo move yaani wizi unachukuliwa km kigezo cha kazi nzuri kutokana na maneno ya Rais
@alexdukes5547
@alexdukes5547 Ай бұрын
Mwarubain nikutengeneza mfumo mmoja unayokusanha mapato yote ya serikali na taasisi zake,hii kunyesheana vidole hata hujuwi pesa zako zinaibiwa wapi ni uongo,kila unapolala hakikisha umefunga hesabu zako za makusanyo kila siku,kumbuka pesa ni namba unashindwaje kutengeneza mfumo unayoweza kuzibiti rushwa?😊
@bettyrugemalila9185
@bettyrugemalila9185 Ай бұрын
Angemtumbua waziri wa Fedha,ni mwizi halafu kiburi cna
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i Ай бұрын
Sina lakusema zaidi ya😂😂😂😂 maana kama mwizi wa kuku yupo segerea au kauwawa wezi wa fedha ya serikali❤❤❤
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi Ай бұрын
Kweli mama
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e Ай бұрын
Maneno mazuri kbx, tatzo linakuja wap? Rais au wateule wake? Rais mm nakuelewa sana lkn skupi kura maana unaoteua wote ni mizgo,
@geey7893
@geey7893 Ай бұрын
we si ulisema Magufuli alkua anakusanya kodi za manyanyaso? sasa mikopo ya nini? bado hamjasemaaaaaa
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi Ай бұрын
Nikweli mama ila angalieni kiwango mnacho toza
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Shida ni hiyo hawaangalii ngo'mbe anahitaji nini mpaka afikie kukamuliwa maziwa, wao kazi yao kukamua tu mpaka ngo'mbe atoke damu badala ya kutoa maziwa
@thomaskwibonelwa9240
@thomaskwibonelwa9240 Ай бұрын
Ni ajabu kiongozi kulalamika. Watanzania tupo milioni 60, kwanini akumbatiwe mwizi mmoja! Wapo wenye sifa, shida hawajui kuimba mapambio kusifia.
@user-so8uh8bt5t
@user-so8uh8bt5t Ай бұрын
Mama usiogope vimbe mungu zamana uliopewa utakuja kuulizwa komaa maangu nyoosha kama mtangulizi wako kwahili umenikuna
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Ай бұрын
Mmmmhhh mungu tuhurumie.
@PeterNMzee
@PeterNMzee Ай бұрын
Hamna kitu hapa.....hata hiyo hela mliyo kopa mmeiba.....madeni sisi ndo tutalipa.....anyway nadhani mnaona yakiotokea kenya
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Ай бұрын
Mh Rais umemalizia vyema kwa kusema cheo ni dhamana
@edgerphanuel6967
@edgerphanuel6967 Ай бұрын
Kila la kher
@bundalaizina652
@bundalaizina652 Ай бұрын
Bashe jee
@user-cy5jg4cx7i
@user-cy5jg4cx7i Ай бұрын
Ni kweli wafanyabiashara mikoani hawazitumii EFD ukiwauliza list wanasema hawamuelewi waziri wako wa fedha mbadilishe ili nchi iende
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf Ай бұрын
Mama mpole mpole ila kama mkali kiaina
@msamanga2277
@msamanga2277 Ай бұрын
Mama hii ni kweli kabisa, waambie wapunguzue kukopa
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy Ай бұрын
Mama kata mzizi hayo matawi unayaonea tu
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t Ай бұрын
Mama safiiii
PRESIDENT RUTO SALUTES FRANCIS ATWOLI DURING HOMECOMING CEREMONY OF OPARANYA
9:38
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 90 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 45 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 144 МЛН
Каким будет осенний призыв? Чего нам ждать?
33:00
НО.Медиа из России
Рет қаралды 140 М.
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 90 МЛН