UKIUZIWA NYUMBA AU KIWANJA NA HUYU JAMAA UMEKWISHA, SASA ANASAKWA NA SERIKALI

  Рет қаралды 13,645

PMTV TANZANIA

PMTV TANZANIA

5 ай бұрын

JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 pmbet.co.tz/en/auth/signup?ut...
NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA TOYOTA HARRIER NA NISSAN X-TRAIL
TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE KZbin CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU
INSTAGRAM @pmtvtz
TWITTER @Pmtvtz
TIKTOK @officialpmtv

Пікірлер: 17
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 5 ай бұрын
Jerry slaa kiongozi bora wa ardhi, mabula hii wizara ilimshinda!
@RahimLipala-tl9gw
@RahimLipala-tl9gw 5 ай бұрын
Hongera sana muh waziri Kwa kazi unayoifanya
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 ай бұрын
❤❤❤mheshimiwa Slaa
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 5 ай бұрын
Njoo na Kibamba Hondogo waziri...ni shidaaa!
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 5 ай бұрын
Jerry moja kati ya vijana wazalendo katika Taifa letu MUNGU akulinde kijana wetu
@bongo39
@bongo39 5 ай бұрын
Hongera waziri unapambana ki ukweli mungu akulinde na matapeli wanaotudhumu wanyonge na wenye nguvu wa kifedha ki serikali na ki nguvu
@thomastemu3332
@thomastemu3332 5 ай бұрын
Ubarikiwe mweshimiwa Jerry waziri wa ardhi
@mlugekarol2688
@mlugekarol2688 5 ай бұрын
Huyu jamaa aliwahi mnyang'anya mwalimu na kajenga ghorofa. Ana uwezo hadi wa kumteka mmiliki na kumtishia maisha ili achieve eneo analolitaka. Aliwahi kuwa afisa ardhi na alipoacha kamuacha dada yake pale anayemtengenezea makabrasha kwa ajili ya kudhulumu. Polisi ni rafikize.
@bushirially2077
@bushirially2077 5 ай бұрын
Safi
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 5 ай бұрын
Mama kapata waziri
@maswamills3161
@maswamills3161 5 ай бұрын
Hili jambo limeshamiri baba tusaidiwe,mtu anajenga kimakusudi kabisa kwenye eneo la mtu.
@charlesmgula9592
@charlesmgula9592 5 ай бұрын
Uje na kigambon
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 4 ай бұрын
FIDDA HUZSEIN NI JAMBAZI MKUBWA WA MAJUMBA YA WATU
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 5 ай бұрын
Na hayo.makampuni. yanayouzwa.bq makmpuninhukomcganikq.na.mqjumbq hilo.linasemewaje
@medsonulendo4221
@medsonulendo4221 5 ай бұрын
Dhuruma n laana
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 5 ай бұрын
Waziri hayo.madole jaribu kuyadhibiti
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 4 ай бұрын
Kivipi
ALIYEVAMIA KIWANJA CHA MTU AVUNJIWA GHOROFA.
6:08
MAKAZI MPANDA
Рет қаралды 1,6 М.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 21 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,7 МЛН
HUYU MBABE WA ARIDHI KAWE ANAYETAFUTWA NA  WAZIRI
7:24
NTV Tanzania
Рет қаралды 26 М.
WAZIRI AKUTANA USO KWA USO NA MBABE WA ARDHI, HAKI YATENDEKA
10:36
NTV Tanzania
Рет қаралды 77 М.