Kila.toni lamwanadam liliyomwagika bila. makosa lazima Mungu atalipa kwa njia yoyote ile
@PeterJustin-ke5mkАй бұрын
Joshua mpuuz kweli unachekelea mauaji mjinga wew
@SumaiyafisooАй бұрын
Ccm wanadhan waishi milele hata wao wataondoka kwani baba huyu kutekwa gari zisizo na plet namba je serikali😮kazini yake nikulinda raia hapo tumlaumu samia na vibaraka😢vyake
@ZulfaIsmail-w1dАй бұрын
Polen sn
@vicenttarimo2203Ай бұрын
Magari mengi yamefungwa CCTV TASHRIFF Haina majibu yanachelewa kwa sababu ya uchunguzi watanzania tumuombe Mwenyezi Mungu, ashuhulike na waovu illi nchi yetu ipate Amani na waovu wasisitawi katika taifa letu
@SaidHamad-d3nАй бұрын
CCM ni majangili wanatawala kwa mkono wa chuma lakini na wananchi bado ni Wagga sana kwani inatakiwa kwa Hali ilivo wao wakiuwa mmoja basi wao wafe wawili kwani na wao si wanakaa uraiani Hao mafala
@NedjadistАй бұрын
Tanzania nchi hatarishi kwa maisha. Sasa nawafahamu wale Watanzania kibao niliokutana nao Ulaya wasemao hawarudi Bongo kuishi!
@mage5371Ай бұрын
Bus lingegeuza hd kituo cha polis kwa maana bus lingempeleka mzee Ally lenyewe hd polis
@JoshuaSalimuАй бұрын
CCM OYEEEEEEEEEE MBELE KWA MBELEEEE
@HajiYussuf-bv5ebАй бұрын
Ccm mutatumaliza
@Angle-q6xАй бұрын
NAni ALIKUWA anamfahamu safari ya kibao jamani kama sio mtu wake wa kalibu ambae anamfahamu vizuri na kuelezea safari yake jamani huyo ni wakalibu wake huyo ili kuchafuana kwenye vyama vengine tu
@Rajabu.dobeye-qw7fqАй бұрын
Mbele yake nyuma yetu.
@sarahkinyashi6213Ай бұрын
Mmmh!!!!jamaniii Mungu ndie ajuae🙏🙏🙏🙏
@SholeBigsaundАй бұрын
Tatizo polis mnatumikishwa kwahyo mnataka kutwambia sasaivi majambaz wanangunvu yakuteka watu peupe azalan kwer nawambie n damu zawatu nimbaya mtatusababishia balaa
@AmiriAbdallah-g5xАй бұрын
Watekaji ni haohao utaenda kushtaki wapi?
@SholeBigsaundАй бұрын
Hana Huu. Ni ujinga tuingie balaban ili tueshimiane polis hatuacha kuwalaumu kwasababu tundulisu alipingwa risas majubu hatukupata nawengine wametekwa pia hamjui waliko haya twambien nyie kazienu NN nibola kua nasungusungu kuliku polis
@jamesmsengi7483Ай бұрын
Hivi zile camera za kwenye mabasi na vituo vya mabasi[ofisi zao] zitumike kwa upelelezi
@mage5371Ай бұрын
Hii nchi ebu kila abiria aweke NIDA namba
@eliasnicolaurobath6864Ай бұрын
Ukweri sana bora taifa ra tanzania tutawaliwe nakupongeza sana wewe ulisema bora tutawaliwe hiri taifa ni vichekesho kisa madaraka
@EliasKasomi-db4ioАй бұрын
Dereva ni mtekaji
@husseinkonz5192Ай бұрын
Mambo ya hovyo kabisa ni aibu wa nch yetu jaman aman hamna tena
@FrancisRM-ex8vfАй бұрын
Mbona kama haya maelezo ya kampuni ya Tashriff yanaubabaishaji ndani yake?? Kiufupi nimerudia mara mbili mbili kusikiliza lakini maelezo bado hayana logic nasikia tu alikataa kutoa namba ya simu, mara tiketi imepelekwa polisi, mara alishuka na watekaji... ilikuaje hadi akawaachia tiketi yake au kampuni inautaratibu wa abiria kuacha tiketi anaposhuka?? Na kama si hivyo, labda tuseme huwa mnabaki na copy ya tiketi ya abiria je, mmewezaje kuitambua copy hiyo kuwa ndio ya mmoja wa watekaji aliekua kwenye basi katikati ya abiria zaidi ya 50 ??? Na nukuu maelezo ya msimamizi wa mabasi ya Tashriff "Mzee kibao namfahamu ni mteja wetu wa muda mrefu....." ifahamike kuwa "maadui wengi upenda kuwatumia watu wetu wakaribu kutufanyia ubaya" Sisemi kama kampuni ya Tashriff imehusika, ila uchunguzi wa kina unatakiwa kufanywa kwenye basi husika ambalo mara ya mwisho marehemu alikuwa kabla ya kutekwa.
@geraldabel8784Ай бұрын
basi halina hata camera tuone, mwendo kasi zina camera.
@AmiriAbdallah-g5xАй бұрын
Kwakweli ni jambo gumu niafadhali tuingie barabarani km tunakufa tufe tu. Hii sio sawa kabisa.
@JohnMagudiАй бұрын
Tunatamani tutawaliwe na wakolon akili zetu haziwezi sasa kama ni hivi