UNABII WA VIFO VYA VIONGOZI WAZIDI KUTIMIA.MUULIZENI MWAMPOSA, NA HILI TUSEME NINI.

  Рет қаралды 6,437

huduma ya kristo

huduma ya kristo

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@josephkadeghe4720
@josephkadeghe4720 3 ай бұрын
Unadhani Mungu anapendezwa na kifo cha mwenye dhambi? Magufuli ameuawa kwa mpango maalum kabisa , ambao manabii wa shetani walitangulia kusema , Manabii wa uongo wanafurahishwa sana inapokuja kutimia juu ya mtu ambae walitabiri atakufa, huu ni ushetani. kanisa lazima lisimame kuzuia hizi nabii nyuma yake zina roho kweli ya kuua kama kanisa lisipo simama
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 3 ай бұрын
Kweli kabisa na wanachukia hayo maneneno Yao yasipotimia
@simeontwiyogohe2727
@simeontwiyogohe2727 3 ай бұрын
Hakika. Mungu hutoa tahadhari na kuelekeza cha kufanya ili kuepuka. Wanadamu wasipoisikia sauti yake na kuelekea kufanya anachoelekeza ndipo mbaya huwakuta. Alimwelekeza Nuhu kujenga safina naye akatii na wote walioambatana naye kumtii Mungu.
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Ай бұрын
InatakiwA ujichekeche kuota ndoto kijana yusufu aliota akiwa kijana ila uombe sana loho ya Mungu tafsiri na namna ya kuongelea au kulipeleka mbele za watu loho akupe loho namna ya kulipeleka jambo kwa watanzania na kukuchambulia.kuhusu watakalolipokea pata utulivu mwingi halafu jitahidi kuwasikiliza sana waliokutangulia mfano.gwajima mwakasege na Abiud misholi pata akili kwa hao pata muda wasikilize.mtandaoni uitafute hekima kwao usivowaelewa usivichukue waachie nina maana hii toa pokea
@lilianrwegasira2769
@lilianrwegasira2769 3 ай бұрын
Una jipya wewe acha wivu
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 3 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Jakobo Fanya kazi ya Mungu acha kuwasema wengine,Mwamposa hajawahi kukutaja wewe sijawahi kumsikia akimsema vibaya wengine acha kumsingizia hubiri injili Mtumishi
@lilianrwegasira2769
@lilianrwegasira2769 3 ай бұрын
Wewe acha wivu
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 3 ай бұрын
Sasa unasema Ili iweje. Huwezi kuzuia kama Mungu anepanga
@simeontwiyogohe2727
@simeontwiyogohe2727 3 ай бұрын
Hakika. Mungu hutoa tahadhari na kuelekeza cha kufanya ili kuepuka. Wanadamu wasipoisikia sauti yake na kuelekea kufanya anachoelekeza ndipo mbaya huwakuta. Alimwelekeza Nuhu kujenga safina naye akatii na wote walioambatana naye kumtii Mungu.
@VictorJohn-fu7ch
@VictorJohn-fu7ch 3 ай бұрын
Ubarkiwe Nabii❤❤❤❤❤ huduma yako iko wap
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 3 ай бұрын
Sasa unafurahia viongozi kufa acha upumbavu
@feliciarfrancis2388
@feliciarfrancis2388 3 ай бұрын
Kweli kabisa unaweza kuangamia kwa sababu ya Lukas kwenye Baraza na waovu ingawa wewe sio mwovu ,wavaa irizi ,wapiga manyanga, waabudu SHETANI ,Wanafanya mapepo yakufuate hasa kama ndiyo wakuu wako wa kazi na hujakaa na Mungu vizuri( ubarikiwe )
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 3 ай бұрын
MUNGU hasababishi vifo kifo ni uchaguzi wa mwanadamu mwenyewe kila mtu atakufa.
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 3 ай бұрын
Huyu anahubiri pumba, Kila nafsi itaonja mauti sio Tu VIongozi Acha uninga basi jitabirie ww kama unaeza
@LucyLyimo-sc1lz
@LucyLyimo-sc1lz 3 ай бұрын
Ubarikiwe Mwl. Ukiota unaongeza na mtu aliyekufa hili iko na maana gani? Mdogo wangu ameota yuko na kaka yake ambaye n marehemu kwa sasa wako wanatembea na walikuwa wametofautiana walikuwa wakibishana sana mara wakavuka mto, walipo vuka tu akashtuka katika ndoto. Hiii imekaaje Mtumishi.
@GBhahat
@GBhahat 3 ай бұрын
SHAURIKO ,SASA,WEWE NDIO MKUFURU,HUJIJUI😂 YA MUNGU MUACHIE MUNGU,WATUMISHI HUWA WANA NEEMA YAO YA KIPEKEE, ! OKMIE NIMEKUPATIA USHAURI TUU,
@GBhahat
@GBhahat 3 ай бұрын
WEWE WACHA KUMSAKAMA MTUMUSHIBWA MUNGU ,UTAUMIA TAFUTA KIBARUA KINGINE UPIGE DEBE KWA VINGINE SIO HUYU! 😂
@AverinaShirati
@AverinaShirati 3 ай бұрын
Kila nabii amemtabilia huyo atakufa
@charlesmganga-gv2cs
@charlesmganga-gv2cs 3 ай бұрын
UNAITAJI KUSAIDIWA
@moseshaule586
@moseshaule586 3 ай бұрын
Sisi wote tutaondoka
@joyjackson258
@joyjackson258 3 ай бұрын
Kijana safari ya huduma yako ni ndefu . Hiivyo acha kumsakama Mch Mwamposa . Tena ukionyeshwa mtu kafa wasiliana nae ili useme nae kwa habari ya toba .
@AverinaShirati
@AverinaShirati 3 ай бұрын
Sasa Kama atajukufa kweli
@NeenaGaspa
@NeenaGaspa 3 ай бұрын
Mtumishi mungu amekuamini waombee hao viongozi mungu awahulumie wewe ni mlinzi wa Kuta za yerusalem mungu atusaidie
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 3 ай бұрын
asante mtumishi
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 3 ай бұрын
Kweli kabisa Mwamposa anafanya kazi aliyopewa na Mungu hana ujinga wa kuwasema wengine
KUIJUA SAUTI YA MUNGU NA SHETANI.1
56:00
huduma ya kristo
Рет қаралды 1,2 М.
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,7 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 17 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 77 МЛН
MIPANGO YA KUMUUA MAMA SAMIA NA GWAJIMA.
34:11
huduma ya kristo
Рет қаралды 49 М.
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 2
32:24
LUSEKELO MWALYAJE
Рет қаралды 39 М.
Abiudi Misholi asema AMANI YA TANZANIA INAENDA KUTOWEKA. Lissu atangaza maamuzi magumu
14:21
KANDA YA ZIWA WATAWALA WANATOKA KWENU(MWANZA ..MWANZA)
24:40
huduma ya kristo
Рет қаралды 4,1 М.
SUGUYE AMTABIRIA MAMA SAMIA USHINDI.  DAMU NA DHULUMA ZATOKEA
28:51
huduma ya kristo
Рет қаралды 19 М.
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,7 МЛН