UST.SHAFI AWEKWA MTU KATI HAKUNA KUFURUKUTA WAKRISTO HOJA ZAO ZA MOTO SANA/MASWALI NA MAJIBU

  Рет қаралды 24,916

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 115
@aminashabangonzi4020
@aminashabangonzi4020 2 ай бұрын
Shafiii sema baba. Kuongoka kutoongoka hilo ni chaguo lao kazi yako ni kusema na unasema vyema Allah akulinde🤲🤲
@MwajumaHassan-p1w
@MwajumaHassan-p1w Ай бұрын
Mwalim shafii mungu akupe guvu
@Mohammedyasia
@Mohammedyasia Ай бұрын
Amiin Amiin
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 2 ай бұрын
Leo ndio nimeamin kutoka kwenye Ukristo na kuwa Muislam ckufanya makosa, Ahsant sn Mungu wng
@Elecovid
@Elecovid 2 ай бұрын
Ww bendera fata upepo hujui chochote
@costantineevarist5110
@costantineevarist5110 2 ай бұрын
Pole Sana Ndugu. Uislam ni msiba mkubwa mapadere. Na muhamad wanepoteza wengi
@didasmajor9288
@didasmajor9288 2 ай бұрын
Mungu azidi kukufungua zaidi ili kuujua UPENDO wa Mungu ktk Kristo Yesu
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 2 ай бұрын
​@@Elecovid😂😂😂😂ww ni kipofu na huwez kuelewa kamwe
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 2 ай бұрын
​@@costantineevarist5110mwenzio nilisoma nikakubal ukwel ndio maana nikaslim,sasa ww endelea kuwa Nyumbu hvyo hvyo
@rukidady13
@rukidady13 2 ай бұрын
Haki n yenye ushindi cku zote,waislam Allah atudumishe ktk Iman yetu.
@LukmaniMmoka
@LukmaniMmoka 2 ай бұрын
Allah kariim sana maana binadam hua kabla ajafanya jambo akili ake hua inajua ukwel wake, ila binadam hua mwingi wakufata matamanio yake. Allah awazidishie kheri waadhir wetu wakiislam wafaamishen hao wasiokua waislam maana wapo tabun.
@Janejj-k3c
@Janejj-k3c 2 ай бұрын
Mjadalah huu unefanywa mara nyingi lkn mpaka sasa sijapata sababu nzuri ya kumfuata Muhammad ivi nyie after ukweli wote huu bdo mko kwa waislamu asante sana Mungu kwa kunitoa uko
@SaiddyHusein
@SaiddyHusein 2 ай бұрын
Assalamu alaykum umat muhammad allah awatie nguvu sana wahadhili wetu
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 2 ай бұрын
Aamiin Aamiin Aamiin
@ADIMUSALUMU-ko6zp
@ADIMUSALUMU-ko6zp 2 ай бұрын
Waadhili mungu awajalie
@SaladAbdiboru
@SaladAbdiboru 2 ай бұрын
Allahu awadushieni inshaallah,,
@AllyAbdallah-w8b
@AllyAbdallah-w8b 2 ай бұрын
Yani midahalo yote ninayo angalia nimegunduwa kuwa wakristo huws wababaishaji sana wanatunga sana maneno
@OmaryRamadan-m8v
@OmaryRamadan-m8v 2 ай бұрын
Mashaallah kinachoniflaisha ostaz Shafi hana kupayuka huo ndo uislamu bwanaa busaraa😅
@rukidady13
@rukidady13 2 ай бұрын
Swadaqta swadaqtana ust shafy hana kiherehere
@selinathomas3506
@selinathomas3506 Ай бұрын
Kwa kweli waislamu nawahurumia sana coz neno wanalisoma ila wanaenda kimwili halafu wanasema na masifa mengi ili kufurahisha waislamu Mungu awarehemu sana awafungue macho maana ndacha anatimiza ya Mungu siku ya mwisho wataonyeshwa ndacha mbele yao
@MatikoJames-c8m
@MatikoJames-c8m 2 ай бұрын
Ndacha mungu akubariki waislamu hata wamwamshe Mohamed hatakuweza
@SeifSalim-qm5bo
@SeifSalim-qm5bo 2 ай бұрын
Dah ila dokta sule mungu anakuona
@Sal.0
@Sal.0 2 ай бұрын
@@SeifSalim-qm5bo Hutu Sule ni Mjinga numba Moja. Hakuna kitu ana jua!
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 2 ай бұрын
​@@Sal.0wewe ndio mjinga leta hoja nugu ww
@Sal.0
@Sal.0 2 ай бұрын
@@yahyamajidyahyahilalal-har8762 Huyu nugu Sulle ali kuwa ana hubiri kwa IsalahTV ya kwamba, eti STORYBOOK ya WaZUNGU cha biblia, eti ili funuliwa na mungu! Na wewe kurutu, wam tetea huyu MUONGO aliye nunuliwa na WAZUNGU???
@MussaSuleiman-g4t
@MussaSuleiman-g4t 2 ай бұрын
Mm nawaombea dua sana mashehe wetu
@moddynzaro1099
@moddynzaro1099 Ай бұрын
Wakristo hamna ufundi wa kujibu maswal hamna hoja ya kubabaisha muislam kamili
@BabaOchu-u2t
@BabaOchu-u2t 2 ай бұрын
Kumbe ndacha anakubari kuwa yesu ni nabii
@Sal.0
@Sal.0 2 ай бұрын
@@BabaOchu-u2t Ndacha ni kama NYOKA mweusi! Ana we a gu geuka mara MOJA, na kusema yesu ni Mungu!
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 2 ай бұрын
​@@Sal.0Ndivyo walivyo wafuasi wa ibilisi huwa hawasimami katika haki daima kwao ni halali kugeukageuka
@RASHIDISMAILKADHAMULA
@RASHIDISMAILKADHAMULA Ай бұрын
Qshiekh lukyamuzi of uganda mbarara.
@YohanaMolle-z4m
@YohanaMolle-z4m Ай бұрын
Wasilamu hawana majibu kamili Mohamed mwenyew amelongwa na wachawi akekua ametumwa na mungu akelongwa
@MochammdHadija-pn7nn
@MochammdHadija-pn7nn 3 ай бұрын
Mashaallah
@Bombwejr18
@Bombwejr18 2 ай бұрын
Dk sule chuki zitakuua yaani shafii toka akwambie jambo lako la majini halifai chuki imejaa sana kwa shafii 😢🙌
@tztanzania2262
@tztanzania2262 2 ай бұрын
Kwakweli
@salatielkandole
@salatielkandole 2 ай бұрын
Lazima mwisho ataokoka.
@Sal.0
@Sal.0 2 ай бұрын
@@Bombwejr18 Huyu Sule ame nunuliwa na WaZungu. Na lazima ana shiriki na MaJini!
@BintalliMbakuha
@BintalliMbakuha 2 ай бұрын
Wemze nendakasome kiswahili vizuri ndooupandekwenye jukwa
@healingsschool4630
@healingsschool4630 2 ай бұрын
Bila ROHO MTAKATIFU andiko huua
@costantineevarist5110
@costantineevarist5110 2 ай бұрын
Waislam msikilizeni ndacha. Muokolewe . Msifanye miyoyo yenu Migumu.. Ukweli ni mmoja tu. Yesu ndio njia kweli na uzima..
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 2 ай бұрын
Utapozingatia mafundisho ya Yesu, Unakubali kwamba Yesu ni Binadamu, Yesu ni Mtume (Nabii) Aliyetumwa kwa Wana wa Israeli kabila 12 tu *(Soma Biblia **13:23** MATENDO YA MITUME)* na Ukamuamini Mungu ni mmoja tu, ukamuabu yeye peke yake, na ukamsujudia, nk. Kama Yesu alivyo fanya (Soma Biblia 4:10 Mathayo) na (8:40 YOHANA)hiyo ndiyo njia ya YESU Asemayo. (Elimu haina mwisho)
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 3 ай бұрын
Hii tu,,,haipati jibu hadi kiyama! 😂
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 2 ай бұрын
Walimpiga misumari na viboko na wakamuua , sasa mamlaka yake yalikua wapi , Yani Mungu anateswa na viumbe wake mpka kufa😂😂😂😂
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 3 ай бұрын
Shafi kiboko cha Ndacha.
@WisleyDresser
@WisleyDresser 2 ай бұрын
😊
@HamisMilala-lr8we
@HamisMilala-lr8we 2 ай бұрын
Hakika kabisa uislam ni dini ya haki
@hamadmnyeto7185
@hamadmnyeto7185 2 ай бұрын
Daaah ndacha hana hoja yoyote illa kugeuza maand8koutafsiri anavyotaka yeye na pia kukatakata maandiko
@sulimankarusi8345
@sulimankarusi8345 2 ай бұрын
Shafi alisema, hataki debate na Ndacha. Nikweli sababu anapenda kujaza uchafu.
@AllyNshimirimana-u2i
@AllyNshimirimana-u2i Ай бұрын
Ndacha'yeye'nimatusi'Hajuwikitu'ujingatu
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 2 ай бұрын
Kama alo weka maudhui haya hapo juu ni Dr sule au mfanyi biashara wake hajafanya jambo zuri halipendezi hususwan kwa muislam mwenziwe japo mwatafuta
@HappyAlbatross-yx2dc
@HappyAlbatross-yx2dc 2 ай бұрын
Nionyo tu mwalimu ndacha anawaonya mapema sio kwamba anawahukumu, mtahukumiwa na dhamiri zenu kwa mujibu wa maandiko anayo wafundinsha.Bwana yesu apewe sifa milele hata milele amina.
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 2 ай бұрын
Yesu ameletwa kwa ajili ya Wana waisrael ww hakuhusu
@HalimaKinyashi-w7h
@HalimaKinyashi-w7h 2 ай бұрын
Dah sasa hizi biblia mbona nyingi tena jamani tunapata mashaka , quran ni moja tu dunia nzima
@WisleyDresser
@WisleyDresser 2 ай бұрын
Kabisa
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 2 ай бұрын
Ndacha Muongo Muongo Anajibu kijanja kijanja
@Sal.0
@Sal.0 2 ай бұрын
@@husseinsaid8021 Ndacha ni kama NYOKA Mweusi,!
@salisali3738
@salisali3738 2 ай бұрын
Ndacha hujielewi Yesu unae sema ana mamlaka mbona kasulumbiwa na kuchoma misumari na ana mamlaka ya dunia na akhera wajidai kusema Mtume MOHAMMED kanyeshwa sumu na kurogwa akili mgando
@davidawet3214
@davidawet3214 2 ай бұрын
Ndacha kiboko yao..waislamu hawana hoja kabisa.
@lucasjames2102
@lucasjames2102 2 ай бұрын
Wapi muhammad kapewa mamlak dunian nambingun
@HilliamGodeliva
@HilliamGodeliva 2 ай бұрын
Kwanin hamjamuita ndacha kukiri uongo wanke katika maandiko? Hii ni dhahiri kuwa wasimamizi hawana uadilifu wanashirikiana katika upotofu
@yusuphmohamed8560
@yusuphmohamed8560 2 ай бұрын
Huyu Ndacha hana kitu usimpe sifa ambazo hana hasta kidogo ukweli tuuzuu
@jakuabdull34
@jakuabdull34 2 ай бұрын
Kweli naanza kupata mashaka na uislam wa mmiliki wa tv
@SALUMKINONGA
@SALUMKINONGA 3 ай бұрын
Aalah.ibari ki
@KaremaKitsao
@KaremaKitsao Ай бұрын
Hakuna mamlaka kwa muhamadi
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy 2 ай бұрын
Me ndach si mpnd wallah Mung anisame bur kis anavyo badilisha badilisha maneno ndo kit kinaniker hakun kit kina niudh kama yuk ana som Qur,an me sijui anavy bisom anabitoa wap 😢😢😢😢 na anajosahau km pak maustadh walio som Qur,an kulik yey😂😂😂
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule 2 ай бұрын
Swali la Ndacha limekutoa kinyogoli nje kabisa ya ufahamu.
@Sal.0
@Sal.0 2 ай бұрын
Huyu NDACHA hana ELIMU ya sawa, ndipo huwa ana anza ku sema UWONGO na ku piga Khelele nyingi! Na Ana oenda sana ku BADILISHA maadiko za QURAN na Pia za Biblia, ilio TUNGWA na KingJames in 1814AD.
@ClintonBurton-y7n
@ClintonBurton-y7n Ай бұрын
you know nothing about Christianity. Kjv was in1611
@Sal.0
@Sal.0 Ай бұрын
@@ClintonBurton-y7n Ati, Cliton Burton? Wewe Nuguu, hizo ni SURNAMES za WaZungu ilioji bandika kama Thumbiri! Sasa. KJV stands for: King James VERSION bible. And this, is a VERSION of the ORIGINAL Bible known as: The KingJames Bible of 1611. And this ORIGINAL Bible by King James, and his 46 PAGAN WRITERS was fabricated in 1611AD. And therefore, a 'VERSION' of this ORIGINAL 1611AD KJ Bible, was FABRICATED in 1814AD, in OXFORD! And the Swahili Bible, is a VERSION of this 1814 English VERSION, of the ORIGINAL Olde English 'KingJames Bible', of 1611AD! And the British CULT called 'christianity' CANNOT be found written in ANY BIBLE! Therefore the ORAL Cult called 'christianity', does NOT EXIST!
@ClintonBurton-y7n
@ClintonBurton-y7n Ай бұрын
@@Sal.0 nevertheless we believe in a person Jesus Christ not a book like yours
@Sal.0
@Sal.0 Ай бұрын
@@ClintonBurton-y7n There is NO MZUNGU Person called jesus Christ! BOTH are Fictitious WORDS fabricated by KingJames. EVEN you, are using a FICTIOUS Mzungu name, that is NOT a 'christian' name,. Clinton and Burton, are TWO MZUNGU SURNAMES. And SURNAMES cannor be used as a 'chritian' Name.
@tztanzania2262
@tztanzania2262 2 ай бұрын
Mayunga ni dheheb la Shia ambao ni adui wakubwa wa uislam lakin hujifanya waislam lakn wao ni mayahud
@BintalliMbakuha
@BintalliMbakuha 2 ай бұрын
Huyo ndacha,njaatu hanalolote
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy 2 ай бұрын
Hay moj han uy 😂😂😂😂
@sulimankarusi8345
@sulimankarusi8345 2 ай бұрын
Kushunjudu wanabi wote walifanya hata kwabible. Tunawona wachristo wangeugeu. Sijuwi munasoma Bible gani?
@clewis520
@clewis520 2 ай бұрын
… Mwalimu…..Mohammeddi alikula nyama iliyopikwa na sumu kule khaiba…..akidai Allah hawezi kuwacha mtu ampe sumu.
@Kutaila99
@Kutaila99 2 ай бұрын
Je alie muwekea sumu ninani?
@maulidimanzi9964
@maulidimanzi9964 3 ай бұрын
Kwan mbona uandishi wenu unanichanganya kana kwamba mnafurahia shafii akabwe koo na ndacha
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 ай бұрын
Wapo sahihi, wameandika hivyo ili wasilete ushabiki, mkristo aangalie pasina shaka❤❤❤
@MrishoRamadhani-k1s
@MrishoRamadhani-k1s Ай бұрын
myahud ajitambui huyo
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂naona mnajifarij au hujasikiliza umekurupuka ukaandika tu,sisi tulio kuwa wakristo tukahama ndio tunajua namna Ndacha na wenzie walivyo buruzwa
@Elecovid
@Elecovid 2 ай бұрын
Ww umechemka sana kufuata iyo din
@lucasjames2102
@lucasjames2102 2 ай бұрын
Ndacha nikibogo honger
@FrankAloyce-ic6rq
@FrankAloyce-ic6rq 2 ай бұрын
Hamna kitu shafii
@imranbanda3963
@imranbanda3963 2 ай бұрын
Ndacha is muslim he just doesn't want to come public
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule 2 ай бұрын
Swali la bakozi limejibiwa kwa ufasaha kabisa au vipi !
@binseif2216
@binseif2216 2 ай бұрын
Hii chanel sio ya kiislam
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 ай бұрын
@@binseif2216 hii sio ya Dr, Sule?
@binseif2216
@binseif2216 2 ай бұрын
@@jamilaomari2444 Naona kama ya sule lkn sina uhakika Allah anajua zaid
@edowmaalimyarow6017
@edowmaalimyarow6017 2 ай бұрын
Ndachi mwongo and haelewi bibilia gorgit of quran . He is blame dark
@edowmaalimyarow6017
@edowmaalimyarow6017 2 ай бұрын
Lame dark
@nizigamajeanine6282
@nizigamajeanine6282 2 ай бұрын
Ndacha ni kiboko yao hakuna mhadhili wa kiislamu anae muweza maana waisilamu Wanakuja na comedy hakuna mafundisho
@husseinally9925
@husseinally9925 2 ай бұрын
Ndacha atawaburuza wakristo wasiojua kitu kama wewe mnapelekwa pelekwa tu,dini yenu inaruhusu ndoa ya jinsia moja lakini bado mpo tu aisee mtihani mkubwa huu
@MakameMshenga
@MakameMshenga 2 ай бұрын
Ujinga kweli
@MakameMshenga
@MakameMshenga 2 ай бұрын
Ukristo biashara tu, mnakuwa wajinga kuburuzwa buruzwa ovyo
@FadhiliKagawa
@FadhiliKagawa 2 ай бұрын
Acha ukafiri usha kutawala
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂km na mdaharo huo hukujifunza kitu bas tena ww ni WA jikon, yaan kipigo mlicho kula bado unajifarij et Ndacha kiboko😂😂😂wenzio tunazid kutoka kwenye ukafir huo
@sirajiatibu3232
@sirajiatibu3232 2 ай бұрын
Ndacha huna lolote wewe
@claverirambona6068
@claverirambona6068 2 ай бұрын
Sijaskia wapi Muhammad amepewa ma mlaka mbinguni na Duniani 😂
@jakuabdull34
@jakuabdull34 2 ай бұрын
Huwezi sikia kwakua hutaki kusikia ukitaka usitake Muhammad ni mtume wa Allah
@binseif2216
@binseif2216 2 ай бұрын
@@claverirambona6068 Naomba namba yko nkutumie watsap
@costantineevarist5110
@costantineevarist5110 2 ай бұрын
Mohamad Ajatumwa na Mungu.. Alitumwa na mapadere na Hadija.. Ndio maana walikataa vitabu vyao. Visisomwe wakati wanaviuza wenyewe k. Koo msikiti wa mtoro
@HilliamGodeliva
@HilliamGodeliva 2 ай бұрын
Kwanin hamjamuita ndacha kukiri uongo wanke katika maandiko? Hii ni dhahiri kuwa wasimamizi hawana uadilifu wanashirikiana katika upotofu
UST:SHAFI AMGEUZIA KIBANO MCHUNGAJI NDACHA//ELIMU YAKO BADO SANA
20:10
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 49 М.
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 98 МЛН
Каха и лужа  #непосредственнокаха
00:15
Real Man relocate to Remote Controlled Car 👨🏻➡️🚙🕹️ #builderc
00:24
This Game Is Wild...
00:19
MrBeast
Рет қаралды 157 МЛН
Hatimae mazinge abatizwa tanga #Debate #tangamjini #shalbaonlinetv
21:37
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 400 М.
DEBATE. Prof. Mazinge azima mbwembwe za Mch. Ndacha kutoka Kenya.
28:25
ALICHO SEMA MKUU WA MKOA MBELE YA MUFTI WA TANZANIA
8:21
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 604
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 98 МЛН