VITASA | Ibrahim Class vs Xiao Tau Su |

  Рет қаралды 187,750

UTV Tanzania

UTV Tanzania

9 ай бұрын

VITASA NIGHT: Bondia Mtanzania, Ibra Class ‘Mawe’… amemshinda Xiao Tao Su kutoka China kwa pointi na kuchukua mkanda wa TPBRC, Lighter Welterweight kilo 59 katika pambano la raundi kumi lililofanyika leo PTA Sabasaba, Jijini Dar es Slaam.
Hili hapa pambano kamili kuanzia raundi ya kwanza hadi ya kumi….ngumi kutoka China zilipokutana na vitasa vya kibongo, likiwa ndilo pambano kuu la Usiku wa ‘Vitasa Ulingo wa Moto’, #RingItaongea

Пікірлер: 236
@johnsonmalle1197
@johnsonmalle1197 8 ай бұрын
Mchina yuko vizuri sana, sema anasubiri sana. Huto mtangazaji anasifia tu Ibra
@masikaisaiah9183
@masikaisaiah9183 7 ай бұрын
From +254 🇰🇪, Ibrahim class kashinda kihalali
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 8 ай бұрын
Ibra ana viwango vya hali ya juu
@geneus7vingunguti172
@geneus7vingunguti172 8 ай бұрын
kweli Wasenge ni wengi sana wamecomment, sasa mbona mchina wenu kapigwa wazi kabisa tena kwenye raundi nyingi kasoro ya 6 , ila huyu ni mpinzani mgumu...Tuache ujinga ujinga kama hamja angalia pamano embu rudieni tena.....ACHENI UTIMU MWAKINYO....IBRA KASHINDA VIZURI TUU.
@PreygodMariki-pm1ym
@PreygodMariki-pm1ym 8 ай бұрын
😮ibra kabebwa msenge tuuu
@StephenMundi-hv1lv
@StephenMundi-hv1lv 8 ай бұрын
Ibra pambano lake alichoshi kuangalia👏👏👏
@CynthiaWillium-cy5eh
@CynthiaWillium-cy5eh 8 ай бұрын
Chuma Cha kazi Ibrah Classic ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥👊
@andrew0502
@andrew0502 6 ай бұрын
Xiao Tau ni bondia kweli kweli,
@Rajabuselemani-zz2og
@Rajabuselemani-zz2og 8 ай бұрын
Nakubali sana bratha umetishaaa
@muddylikwena128
@muddylikwena128 8 ай бұрын
Dah huyu mtangazaji mpaka anaboa aisee.anasifia sana
@AbdusidMohammed-hi5ib
@AbdusidMohammed-hi5ib 8 ай бұрын
Ibrah amepigwa mcheza kwao utunzwa
@PaulMchopa
@PaulMchopa 8 ай бұрын
😢Ibra umepiga, nyingi sana yaani watu wanadhani ushindi ni knock out,,, we peleka moto ,, kusanya point maisha yaendelee ,Boxing siyo ugomvi ni mchezo bana we vp,,ibu kashinda🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@user-ly1sx9vg1q
@user-ly1sx9vg1q 8 ай бұрын
Me sikubali😮😮
@rockygappi1018
@rockygappi1018 8 ай бұрын
Safi kabisa Paul...👌👌💪..wengi hawaangalii points za jabs wanadhani ushindi huwa ni KO Na kama Ibra asingekuwa anakimbia mtego wa kupunguzwa ulingo na mchina basi angepoteza pambano mapema tena kwa KO
@user-uc7eo3wp9o
@user-uc7eo3wp9o 8 ай бұрын
Ibrah ni bondia mwenye akili ya ngumi,anatumia akili sana....safi sana mnyalukolo,endelea kuwa gonga tu....
@AGREYMWANKENJA-ye5sb
@AGREYMWANKENJA-ye5sb 8 ай бұрын
Umepambana sana Ibra classic hongera sana
@munyagile
@munyagile 8 ай бұрын
Mim naona hili pambano ilitakiwe iwe sare, sijaona aliyepigwa😁, mchina kipigwa kwa points ila naye amescore pia, ila sema mcheza kwao hutunzwa
@olikipolavuna7977
@olikipolavuna7977 7 ай бұрын
Ibrahim class is a promising boxer with very good boxing skills
@victorcephas3618
@victorcephas3618 8 ай бұрын
Clear wining Ibrah kapiga mtu shida ya watu ni sababu kaenda kunolewa na Hamis Mwakinyo
@abdymmanga6338
@abdymmanga6338 8 ай бұрын
Safi sana Ibra Class umepambana mpka dakika ya mwisho 🔥
@MlongaMawe
@MlongaMawe 8 ай бұрын
Anaesema ibra kapigwa ni msenge we mbn unapigwa na maisha na atusem pamban na maisha yak kam kufuatilia ngumi zimekushinda
@kiya0910
@kiya0910 8 ай бұрын
Ibrahim ameshinda kihalali juu mchina alikua anarushia gumi moja moja tena siraundi zote Ibrahim randizote alikua ana chapa mtu 🎉🎉❤
@user-em9iu3yo3p
@user-em9iu3yo3p 8 ай бұрын
Kazi nzuri sana Ibra
@jamessanga2176
@jamessanga2176 8 ай бұрын
Umetisha home boy
@user-tf1rz8bs1c
@user-tf1rz8bs1c 8 ай бұрын
Ibra kabebwa yeye mwenyewe pia anajua
@alphoncemakigo7343
@alphoncemakigo7343 8 ай бұрын
Mimi sikuangalia ngumi. LAKINI mbona nimeona hapa ibra kapiga ngumi nyingi tu?
@user-ly1sx9vg1q
@user-ly1sx9vg1q 8 ай бұрын
Upo Kam Mimi bx tujuane
@user-yv1gj2zn4z
@user-yv1gj2zn4z 8 ай бұрын
Huyo mtangazaji yeye nikumsifu Ibrahim.
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 8 ай бұрын
Nilianza kwa kusoma comments kwanza nione mnaosema Ibraa kapigwa ikoje. Mnaosema hvo sitaki kuwatukana leo jumapili ila hamjui ngumi. Usifikiri kila punch ina point zingine mazoezi tu ya ku punch of which hua zinawezaga zaa madhara mfano kupiga tumbo na mbavu mtu akikaa chini ni knock down. Pia muangalieni Mayweather match zake km hii Ibraa kabebwa basi Mayweather hajawahi shinda pambano lolote ukitoa Knock out.
@allybakari28
@allybakari28 8 ай бұрын
Nadhani wewe ndio huelewi zaidi. Watu wanazungumzia KO 2 na refakushindwa kumuhesabia 1. Kama aliteleza mwenyewe pasipokuwa na maji wala kitu kilichomtelezesha refa anastop vipi pambano? Mbaya zaidi marudio yanaonyesha dhahiri Ibra amekula ngumi na kudondoka 2. KO ya 2, marudio yanaonyesha Ibra amepigwa ngumi live, hakuna kugongwa kichwa wala nii. Au wewe uliona kama alipigwa kichwa. Bila aibu refa wenu anapeta. To be Honest upendeleo wenu wa kijinga jinga ndio mana mabondia wetu hawafiki mbali> Na huyu Upendo Njau ni TAKA TAKA KABISA
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 8 ай бұрын
@@allybakari28 Tufanye hv ili uridhike, mie sielewi ngumi, asante🙏
@aishasilaji2266
@aishasilaji2266 8 ай бұрын
Daaaah classic classic kwel🎉 pongez Kwa ibra ana pgana Kwa hesabu akurupuk unaachaje kuitwa mjeda
@dahlainismail6837
@dahlainismail6837 8 ай бұрын
Tanzania kuingia mbinguni sijui
@abdukhan4718
@abdukhan4718 8 ай бұрын
Huyu mchina kakatwa point bure maana ngumu anazorusha Ibra akiinama ndio zianampata na sio anakusudia kupiga kisogoni....
@isayajonh7363
@isayajonh7363 8 ай бұрын
Mwanangu nyumbani ilinga.
@yussufmohammed9299
@yussufmohammed9299 8 ай бұрын
Refa mnamuonea kwn yey cye mweny kupnga Pwenti
@godfreynoel7802
@godfreynoel7802 8 ай бұрын
Ibrahimu kapigwa kwa wa amuzi hawa game la ngumi ngumu kufika tunapo hitaji kufika.
@adamabdallah6471
@adamabdallah6471 8 ай бұрын
Pendo anapotea saiz nilimpenda mwanzoni hila saiz amekuwa akiwabeba mabondia wetu sana chezesha game kwa haki
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 8 ай бұрын
Umeona eee
@bahatjuma7458
@bahatjuma7458 8 ай бұрын
Huyo refa matako Sana, ndiyo maana Dula mbabe hamtaki kabisa kwenye mapambano yake,
@IzihakaFihirini
@IzihakaFihirini 8 ай бұрын
Leo amepigwa ibra
@user-ly1sx9vg1q
@user-ly1sx9vg1q 8 ай бұрын
Kwan haend kule china
@wokovumwazembe3505
@wokovumwazembe3505 8 ай бұрын
🎉ngumi hiyo
@swaifsouq
@swaifsouq 8 ай бұрын
ibrah hongera jama nangumi mbaya sanaaaaaa
@user-kh2wr1lq6t
@user-kh2wr1lq6t 8 ай бұрын
Babu kubwa classic saluti
@OmarMohamed-bp9ix
@OmarMohamed-bp9ix 8 ай бұрын
refa hamna kitu,kuna kubebwa
@abdallhabinmkasibayyat6657
@abdallhabinmkasibayyat6657 8 ай бұрын
Huyu ndio bondia anaye sifiwa kuwa ndio classic
@user-zd2tv1po2j
@user-zd2tv1po2j 8 ай бұрын
good game
@user-zj7ml3ep3c
@user-zj7ml3ep3c 8 ай бұрын
Ibrahim anauwezo na akili kubwa sana japo pambano lilikuwa kali sana ,,one❤❤❤❤
@katambihamisi4130
@katambihamisi4130 8 ай бұрын
Ibra yuko vizuri lakini leo kapotea pia alitakiwa kuhesabiwa Ile punch ilifika akiwa out of stance Sema miundo mbinu
@GeraldAgustino-fz5mn
@GeraldAgustino-fz5mn 8 ай бұрын
Nakubali
@user-tf1rz8bs1c
@user-tf1rz8bs1c 8 ай бұрын
Upigaji wake kama tinampay
@daudysanga8492
@daudysanga8492 8 ай бұрын
Mwakinyo ndio baba yao
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 8 ай бұрын
Champion
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju 8 ай бұрын
Mmmmh hii game kwa kweli ilikua ngumu iringa oyeeeee! Tunawakilisha nchi
@SaidiBwax-em9gz
@SaidiBwax-em9gz 8 ай бұрын
Tumepigwa
@user-ly1sx9vg1q
@user-ly1sx9vg1q 8 ай бұрын
Kwel tumepigwa lkn bx tu
@Africa822
@Africa822 8 ай бұрын
Hapa naweza kusema ili pambano ibrahim him kapoteza nje ya pazia kwa utawa wa elimu yangu ndani ya box
@rockygappi1018
@rockygappi1018 8 ай бұрын
Kwa elimu yako tupe vigezo na usitulishe matango pori😂😂😂
@RichardAmosnkonje-pq9oh
@RichardAmosnkonje-pq9oh 8 ай бұрын
Jamani mchhina kaonewa iritakiwa iwe droo wote wamefanya vizuri
@hancysadaty4799
@hancysadaty4799 8 ай бұрын
Ngumi kari mnasema kichwa daahhh Bongo kila kitu bado
@nyasijoseph-bt7xw
@nyasijoseph-bt7xw 8 ай бұрын
Isitoshe mchina wa watu aelewi don't do that... Ndo maana analudia kupiga ngumi za kisogo😂😂
@mline77
@mline77 8 ай бұрын
Hahahaa
@geoffreynghumba1029
@geoffreynghumba1029 8 ай бұрын
Mara hii Pendo kazidisha mapendo na uzalendo kwa Classic. Ametumia muda mwingi kumtoa mchezoni Xiao kwa maonyo yasiyo na ulazima.
@MsafiriErnest-gy6zv
@MsafiriErnest-gy6zv 8 ай бұрын
Uhakika bro
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 8 ай бұрын
IBRA wewe master
@yusuphmtuga4951
@yusuphmtuga4951 8 ай бұрын
mcheza kwao hutunzwa fight ilikua nzur ila refa ulileta upendeleo
@DrvSungura
@DrvSungura 8 ай бұрын
Clasc Team
@peterngallya4022
@peterngallya4022 8 ай бұрын
Wamepiga vijana maana hakuna kukumbatiana 10 rounds zote
@user-cq2xg7fr2j
@user-cq2xg7fr2j 8 ай бұрын
VAR inaitajika kabondwa uyo
@PreygodMariki-pm1ym
@PreygodMariki-pm1ym 8 ай бұрын
Kwanza huyo refa wa kichaga akatishe mbege na dadii rombo kilimanjaro,anawabeba mabondia wa kibongo mnooo,ibra kafuliwa vizuri tuuuuu
@allybakari28
@allybakari28 8 ай бұрын
Ndio sababu hatuendi kupigana nje, tumekuwa watu wa ndani tu
@PreygodMariki-pm1ym
@PreygodMariki-pm1ym 8 ай бұрын
Mchina anajiweza ndio maana hakubabaika,ibra kazoea kubebwa kama nguo za kichina zinazotundikwa madukani kariakoo vunja bei
@Smartofficial96
@Smartofficial96 7 ай бұрын
Ibra hamna kazi hapo 😂😂😂😂😂😂
@messaabbas739
@messaabbas739 8 ай бұрын
Imagine kuna comment ety ibrah kabebwa,, guys,,unachekesha sana watanzania wallah,,,,, congratulations ibrah,, your always amazing boy
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 8 ай бұрын
Maboya debasement
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 8 ай бұрын
Hajabebwa
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 8 ай бұрын
Mchinakapigwa halali
@barakayesaya5000
@barakayesaya5000 8 ай бұрын
Ibra hajabebwa. Ila wabongo pia hatujuagi kukubali uwezo wa mpinzani. Kama watangazaji jambo akilifanya mgeni wanasema haijamsumbua sana ibra, ila akifanya ibra hata kama sio ngumi ya point utasikia huyu jamaa atatoa tu gadi mwenyewe. This is boxing, wanaume wanatumia nguvu na uwezo wao. Ndomana kwenye football wanatukanyagakanyaga maana wanajua maneno yetu tukiwashinda.
@karlmarxkisofero1209
@karlmarxkisofero1209 8 ай бұрын
Ili kujenga inatakiwa tuwe wakweli,Ibrah alipigwa huo ndo ukweli
@inno4953
@inno4953 8 ай бұрын
Mchina won that match period.
@zakariamachinga151
@zakariamachinga151 8 ай бұрын
Kabebwa
@abdulhalimali9229
@abdulhalimali9229 8 ай бұрын
😢
@abdulhalimali9229
@abdulhalimali9229 8 ай бұрын
zime zidii😊
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 8 ай бұрын
Pendo Njau ni refa mzr sn lkn angalia uzalendo usikuharibie
@zahiruhamisi4162
@zahiruhamisi4162 8 ай бұрын
Kapendelea sn🤮
@fatinamsuya1305
@fatinamsuya1305 8 ай бұрын
Ndio Mana dulla mbabe kamkataa
@user-dm7hm6mm3y
@user-dm7hm6mm3y 8 ай бұрын
Ibrahim bondia tena hana maalifa xana
@user-bb8ih5bp8o
@user-bb8ih5bp8o 8 ай бұрын
Ety viongozi kwann ibra awekewi mkanda
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 8 ай бұрын
Pendo njau anapenderea sana
@alphoncemakigo7343
@alphoncemakigo7343 8 ай бұрын
Round ya 8 mmeiona?
@mkanganails5839
@mkanganails5839 8 ай бұрын
Safari ii tumebebwa🙄🤣🤣🤣
@WilliamGidion-cv4wm
@WilliamGidion-cv4wm 8 ай бұрын
kama kunapambano gum kwa ibra nililo waikuagaria ni hii umepambana sana crasi
@kabichishida8137
@kabichishida8137 8 ай бұрын
Mcheza kwao hutuzwa wabongo wamebebwa sana hata yule mhindi alishinda sema tu mbeleko
@joelnoel2016
@joelnoel2016 8 ай бұрын
Pambano lilipaswa kuwa sare hili
@rockygappi1018
@rockygappi1018 8 ай бұрын
😂😂..si kweli hata kidogo..sare kwa mizania ipi??..simama na hoja Namba ya jabs kwa Ibra ni nyingi mno..zilizopenya na zilizopiga moja kwa moja.. tofauti na ngumi nzito na zenye nguvu za mchina zilikuwa chache..hata straight head punch za mchina zilikuwa chache japokuwa zote alipiga kwa uhakika na zilimpata Ibra
@ip_header
@ip_header 8 ай бұрын
Kumbe mpaka kwenye Ngumi Majaji wanapiga Chabo, yaan wote watoe Alama zinazofanana, mmmh kweli mcheza kwao hutuzwa😂
@abdulhalimali9229
@abdulhalimali9229 8 ай бұрын
ibra mzuri ila utanzania umewazidi ndugu zanguu
@allyabdallah4641
@allyabdallah4641 5 ай бұрын
Mue unachezesha game kwahalali mtu anapigwa kateleza mtu apingwa vichwa vimefongana chezesheni kwahalali mabondia wetu wapate kujidunza kutoka kwawageni
@ramadhankhatwib8561
@ramadhankhatwib8561 8 ай бұрын
Hii mbona ni ngumi kabisa iliomdondosha😂😂😂
@twintangastone9489
@twintangastone9489 8 ай бұрын
Uhakikaa..
@mropeamadeus54
@mropeamadeus54 8 ай бұрын
Mcheza Kwao utuzwa, sio mbaya hata wao ukiwa Kwao Wana figisu nyingi. Kwahiyo amebebwa pia kajitahidi sana, sio kinyonge
@abasmwika3432
@abasmwika3432 8 ай бұрын
Ngumi ilimpata lakini alidondoka kwa kuteleza angalia mguu wake. Sikila ngumi ukipigwa unaondoka pale aliteleza
@meddyplutonium374
@meddyplutonium374 8 ай бұрын
Bila kufumba macho ibra amekalishwa hili pambano
@hancysadaty4799
@hancysadaty4799 8 ай бұрын
Refa amna kitu
@chochastar7781
@chochastar7781 8 ай бұрын
Shida wengi mnaongalia ngumi Amjui wengine wanadhani anavyokimbia ndio anaepigwa Ukweli ni kwamba ibra amekusanya point nying sana japo mchina nae alivyoambia score zako umepitwa akawa anatafuta jins ya kuzisawazisha
@allybakari28
@allybakari28 8 ай бұрын
Kuna kitu ambocho hujakielewa, watu wanazungumzia kupigwa KO. Refa kazingua, ni KO za wazi kabisaaa Upendo leo huu wa kijinga ndio mana hatufiki mbali, tunakuwa wa humu humu ndani tu
@user-os1kd9gp1v
@user-os1kd9gp1v 8 ай бұрын
Umenfulaisha unavo tembea ibra
@justinjasson7070
@justinjasson7070 8 ай бұрын
Huyu dogo, hachukuagi watu wanao jua, wote maandazi tu. Aende huko Duniani
@khalifatito6145
@khalifatito6145 8 ай бұрын
Ibrahim class uwezo mkubwa saana hii ni zawadi kwa watanzania
@saidibaruwani5602
@saidibaruwani5602 8 ай бұрын
Nyumbani ni nyumbani
@user-ly1sx9vg1q
@user-ly1sx9vg1q 8 ай бұрын
Kwanza hata refaaa haifiiii atoke tuu
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 7 ай бұрын
Nimeiangalia hii game leo nimra ya tatu na nacoment kwamba ibra alishinda kahalali ,, na anaesema ibra hajui ngumi yeye ndi hajui kwasababu ibra nikati yamabondia wanaokutana namabondia wagumu kama huyu jamaa
@mlokaferdinand
@mlokaferdinand 8 ай бұрын
Wote mnaosema ibra kapigwa ni either mna wivu au hamjui ngumu..kwa maoni yangu,ibra ameshinda kihalali kabisa,ila ikipimwa kiwango Cha maumivu yawezekana ibra kaumia zaid
@user-ly1sx9vg1q
@user-ly1sx9vg1q 8 ай бұрын
Saw kaumia ila droo
@rockygappi1018
@rockygappi1018 8 ай бұрын
Sio droo.. Ibra kashinda na kama unavyosema maumivu ya mwili kwa Ibra yatakuwa makubwa kwa sababu mchina ngumi zake alikuwa anatumia nguvu.. yaaani upiganaji wa mchina unafuata mtindo wa Mike Tyson kukinga uso wote na mwili kisha ana tafuta muda mwafaka wa kupiga na akipiga ni heavy punches
@abdulhalimali9229
@abdulhalimali9229 8 ай бұрын
ndio njia muno tumia hiyo kumshusha mchinaa
@chochastar7781
@chochastar7781 8 ай бұрын
Jamaa amepigwa bila ubishi
@user-mb3nj1zc9w
@user-mb3nj1zc9w 8 ай бұрын
Upendeleo mwiiiingi
@kdpretoria780
@kdpretoria780 8 ай бұрын
ni razma utembee tu ni kweli
@user-oj7jo2st8v
@user-oj7jo2st8v 8 ай бұрын
Hii tumepigwa tumebebana😅😂
@AwadhiAlfani-bd5pj
@AwadhiAlfani-bd5pj 8 ай бұрын
ngumianazo pigamchina hawaonyeshi achenizambi mubabebana bebanatu
@damianmcba9525
@damianmcba9525 8 ай бұрын
Ile right kapigwa ibra kaanguka refa anasema katereza. Ile ni knock down
@IQRAMJULU-bg1zx
@IQRAMJULU-bg1zx 8 ай бұрын
Uyu mchina mgumu zaid ya mpingu kwakwel ibra amejitahid atakama tumebebwa
@YemgaBoytz-ig9vq
@YemgaBoytz-ig9vq 8 ай бұрын
Mkal wa tz
@user-zl4xv9ln6v
@user-zl4xv9ln6v 8 ай бұрын
Ibrahim ni bondia mzuri sana . Than anatumia akili nyingi sana kwenye anapikua ulingon. Big up sana class💪💪
@PaulinaAntoniPeter-jz6yf
@PaulinaAntoniPeter-jz6yf 8 ай бұрын
Bad najalb kuludia kuangalia Ili pambn man wanaosem ibl kabebw bad sjajua kabebw sem gan mchn kapokea kichapo chakutosh
@EDSAUTOSPAREPARTS
@EDSAUTOSPAREPARTS 8 ай бұрын
Wewe kama mimi
@hansmswagara2789
@hansmswagara2789 8 ай бұрын
Kuna mtu kabebwa apa
@maalimseifk-gumuadui123
@maalimseifk-gumuadui123 8 ай бұрын
Yan kuna mijitu haijui ngumi kabisa yan😂😂😂 sasa pambano km hili halihitaji majaji kabisa,yan Round zote Mchina amepigwa km punching bag,bado et unasema kuna mtu kabebwa 🤔
@DominicBwanali-xl4wj
@DominicBwanali-xl4wj 8 ай бұрын
Kabisa mtu kabebwa
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Hali tete maandamano Uganda, Kenya
6:11
UTV Tanzania
Рет қаралды 454
Jerwin ancajas vs fadhili majiha pacquiao-Algieri undercard
18:42
ruth balaoing
Рет қаралды 3 МЛН
Месси - батя Ламина Ямаля?
0:42
1win Sports
Рет қаралды 291 М.
Bellingham vs Carvajal 👀
0:26
hello.football1
Рет қаралды 10 МЛН