Рет қаралды 360,311
Mbunge wa Viti Maalum CUF, Riziki Shahari, ametema cheche bungeni kuhusu kuwasilishwa kwa muswada wa mabadiliko ya sheria za maliasili, akilalamika kwamba uamuzi wa mheshimiwa rais wa kuwasilisha muswada huo bungeni kwa hati ya dharura, haupo sahihi kwa sababu muda uliotolewa kujadili ni mfupi.
Mbunge huyo aliendelea kuhoji, iweje nchi ambayo ina wasomi, wanasheria na wataalamu, ikubali kupumbazwa na wajanja wachache kwa kutumia mikataba ambayo imepitishwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#Global TV Online, kwa kushirikiana na TBC 1, wanakuletea taarifa ya habari iliyosheheni matukio mbalimbali nchi nzima.
Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers