Mtoto wa 11, alizaliwa baada ya miaka 3, alizaliwa tarehe 11, mwezi wa 11, 2018 (11, 11, 11) possibly kuna 11 nyingine ambazo hazikuwekwa records. Maajabu!
@sifahamuli49583 жыл бұрын
Bikira Maria hawezi ponya Naamini ni roho mtakatifu, na kuomba kwa jina la yesus Naamini roho wa Mungu ndiyo alimuinhiya, na ule mama mtoto anaesema ni Malaika wa Mungu, alakini apana bikira Maria
@sifahamuli49583 жыл бұрын
Apana imani ya catholiqeu
@sifahamuli49583 жыл бұрын
Wow
@sifahamuli49583 жыл бұрын
Mungu aendeleye kumuongezeya upako mupya
@mnegrowbs43493 жыл бұрын
Ukitaka kupata 11 ingine utaipata kwenye mwaka wake wa kuzaliwa (2018) yaani 2+0+1+8=11. Nadhani umeshaipata. Kuna kitu hapa juu ya Huyo mtoto ambacho kinaendelea na hakitajulikana kwa kupitia mifumo ya kiimani (dini) ambayo inaonekana kama ndiyo iko juu yake. Ndiyo maana hata kanisa halijui ila linataka kuchunguza.
@lillianochieng27512 жыл бұрын
This Angel is Awesome,God:s servant,anointed,blessed.GLORY TO GOD.
@priscillakarande83242 жыл бұрын
Praise be to God for this gift,she is indeed a blessing from God,she is protected by the blood of our lord Jesus Christ, thank you mama Mary.
@christinemukete19422 жыл бұрын
God you chose this little girl to do what you want her to do, to heal pls Hod you will cover her with your precious blood and the parents and who help to work with her bless them and give her more wisdom to work has God has plan for her. I pray the blood of Jesus to cover her 24/7 in her ministry in Jesus name. Amen & Amen
@WITNESSSIMBA-c2v10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@shemcola75189 ай бұрын
😅
@shemcola75189 ай бұрын
❤prayform
@miriamwaithera36803 жыл бұрын
What God can do no man can do what a wonderful miracle may God continue to protect you baby Angel ❤️❤️❤️❤️
@NoraMasika11 күн бұрын
Mungu aki ni wa maajabu sana utukuzwe mungu wetu 🙏🙏
@benjaminjoseph17473 жыл бұрын
Ahsante mama wa Yesu mama Maria kwa miujiza katika nchi yetu Tanzania na bara la Africa. Tunahitaji miujuza iki watu waweze kukuamini na kumfuata Mungu. Mungu mlinde mtoto na familia yake.
@selestinenafula33883 жыл бұрын
atukuzwe mungu mbinguni,maana ufalme wa mbinguni ni wao watoto
@theodoramasako59713 жыл бұрын
Glory to God,ahsante Mama wa Yesu Mama Maria kupitia mtoto huyu,umlinde na familia yake,kupitia kwake tupone.
@theresaelizabethelijah1172 жыл бұрын
Amen
@JaneOkotsi9 ай бұрын
Amen
@FaustinMwamba8 ай бұрын
Aaaaanaye Linda mutu ni mungu sio maman Maria imama Maria ni kiumbe kya mungu
@jaelblessings33612 жыл бұрын
Mungu wetu ni mwaminifu na anatumia vyombo vidhaifu kufanya kazi yake. Siku moja Mungu akinipa uwezo nitaenda kumuona huyu mtoto. Mungu akubariki na akulinde akupe Manisha marefu kwa jina la Yesu Kristo.
@zakarianguro8222 жыл бұрын
Tuungane cku ya kwenda mpendwa
@auntdorah91413 жыл бұрын
Mungu awezamtumia mtu yeyote na miujiza yake ni mikubwa..hatuna la kusema tumuachie Mungu, mtoto anasema tuombe na kutubu..TUOMBE NA KUTUBU NDIYO UJUMBE..TUOMBE NA TUTUBU.
@fatemaligalawa19183 жыл бұрын
Afadhari ww umeongea vyamaana kuliko wanaowatukana eti njaa mbaya 🤲🤲
@davisnitu8903 жыл бұрын
Umesahau Tufunge
@fredmaria56392 жыл бұрын
She's a blessing. God bless her and use her mightly for conversion of souls
@lydiahnjoroge45872 жыл бұрын
LET US THANK OUR MOTHER MARY FOR A GREAT GIFT
@mayunee05292 жыл бұрын
The all three names she has are exactly like mine... Eunice Atieno Otieno 😍 😍 such a blessed baby
@janekanini5331 Жыл бұрын
Hapa ni Kenya? Coz naskia io ascent ni kijaluo
@sylvianyandie75863 жыл бұрын
Blessed be God, Blessed be His Holy name, Blessed be Jesus Christ true God and true man, Blessed be the Holy Spirit, the Paracalet, Blessed be Our Mother, Virgin Mary.
@lewissinkalatz.39142 жыл бұрын
Baba mzazi pole sana kuna mambo matatu mhim uyafahamu mzazi na watazamaji pia.1.tendo la kukaa tumboni miaka3 siyo bwana. 2.Hugo MTU anaye mtokea siyo malaika Bali ni mzim wa uganga unao jionyesha kupitia mtoto, Huyo mtoto hana tatizo ila kuna mapepo humo,. 3.kuhusu uponyaji siyo kigezo Bali kigezo ni kuupima huo muujiza kama umetokana na Bwana au la,. 4.Mungu hana mipaka ya amtumie nani.,anatumia MTU yeyote,hivyo wazazi kwa wakati huu mnaweza kuwa mmenogewa na aina ya maisha mapya na ufumbuzi au utatuzi wa changamoto mlizokuwa nazo.,,msidanganyike Huyo nguvu siyo ya MUNGU.samahani lakini kwa kuvuruga ugali .
@DativaJustus10 ай бұрын
😢😢😢
@MonicahKerubo-i6u9 ай бұрын
Kwa nini unahukumu? Tangu lini mwanga na giza vikashirikiana? Mungu tu ndiye anajua umuhimu wa mtoto.
@JustinMkumbwa7 ай бұрын
Nataka nikwambie tu achamungu atukuzwe
@wilsonmatunda49373 жыл бұрын
This beautiful Angelic girl has to be protected. She's highly gifted.
@l.comics63483 жыл бұрын
She's protected by the blood of Jesus already
@henryxavery17133 жыл бұрын
Amina, Nakuja,Nishuhudie Maajabu ya Mungu Mkuu.Nimemuona ndiye...
@saidihalifa84793 жыл бұрын
Nataman kuja huko nitumie hayo maji jamani ahimidiwe mungu
@st99ngeni353 жыл бұрын
Mr Issack Mungu akubariki kwa tendo hili ulilolifanya kumsaidia mtoto huyu. Mungu akuzidishie. Pia nawapongeza kituo hiki cha TV kufuatilia habari za kijana huyu na kutufahamisha. Wengi hutoa taarifa za tukio mwanzoni na baada ya hapo watu tunakuwa hatujui tena nini kinaendelea
@chebsemmie86918 ай бұрын
She is a blessing from God period,How can I find to heal my mother tafadhali
@khadijakdj86403 жыл бұрын
Yaani kadili kunavyokucha mabadiliko yanakuwa mengi na muda ni mchache kwa kweli kila mtu na imani yake nikuomba mwisho mwema 🤲🏾
@annastacianjoki50213 жыл бұрын
Amina
@jumaaljabri76463 жыл бұрын
Atupe mwisho mwema
@zalhathasaid20603 жыл бұрын
Uongo mtupu huu dalili za kiama izo
@markmainaonundu64423 жыл бұрын
@@zalhathasaid2060 chunguza vyema
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda NA unapotea dini yako ya uslaam
@cesskemush86353 жыл бұрын
I really need prayers from this little angel please
@renildevenerand94733 жыл бұрын
Hayo ndiomaombi kweli maana uyumtoto hajajua kutafuta umaarufu au kutafuta hela anatumiwa na Mungu kabisa. Mungu aliwatumia watu wazima sasa badae wanajichanganya nakutaka hela.
@shukhuranpetro57963 жыл бұрын
Amakweli wengi tutaangamia kwa mauzauza haya
@joyceogola80263 жыл бұрын
Pp
@waytvtz25493 жыл бұрын
Kwa hiyo shida yako ni hela tu au nn
@renildevenerand94733 жыл бұрын
@@waytvtz2549 amna sio shida yangu milimanisha wengi wanatudanganya kuwa walitumwa na Mungu nakuomba hela eti ndio waombee watu
@dayanapastor23223 жыл бұрын
Hakika
@patricialewis56132 жыл бұрын
Please pray for me my daughter Quincy send him home protect us set him free me Ashley
@JenipherKuyanda5 ай бұрын
Huyu mtoto aniombee niko na mtoto mlevi sana asumbua imani yangu.Abarikiwe sana huyo mtoto Amen
@restitutanjau25853 жыл бұрын
Asante Mungu kwa muujiza wako kupitia kwa mtoto huyu mdogo,kweli Mungu unamwinue yeyote umpendae
@christinekukesi12462 жыл бұрын
how wonderful power is yourk
@christinekukesi12462 жыл бұрын
I would like to know your area ,even paster can't do that
@ezekiel20343 жыл бұрын
Glory be to God , he's using this kid for the world have changed and the elders have denying the world of God , using it as the house of business may the lord forgive them
@roselambert67003 жыл бұрын
Mother Mary pray for us
@jollyali49373 жыл бұрын
Maajabu ya Mungu haya,,, Asante kwa Mungu kwa kutumia kizazi chetu.
@FenithaHalisoni6 ай бұрын
Kwa kweli malaika wa mungu kaka kutukomboa wadhaifu wa mioyo Thanks Jesus continue to protect this child wherever she go
@agnesndetei44043 жыл бұрын
This is divine healing. Keep up the good work.
@faze_narq68903 жыл бұрын
That’s witchcraft sorry!! The devil masquerading as an angel of light!!! There’s nothing called Holy water in the Bible!! We have the precious blood 🩸 of Jesus Christ of Nazareth!!! By Jesus stripes we are healed!! Not by no plain old satanically inspired and cultic water !!! The Bible says that they overcame the devil by the blood of the lamb and by the word of their testimony!!! And you can’t worship Mary either that’s idolatry! There were many virgins in her day but God chose her just as a vessel to carry the holy babe! She had favor with God not because she didn’t have sins cause the word says all have sinned and have fallen short of God’s Glory! She need Jesus Christ to save her just like you and me do!! There is only one holy God, God the father son and Holy Ghost, God three in one holy trinity right? So where does Mary show up there? Where does Holy Pope show up there? Don’t gamble with your souls!!!
@lincyluseno59643 жыл бұрын
Maajabu hayo lideni mtoto huyo vizuri na mungu awabariki sana🙏🙏🙏
@peterleonard14412 жыл бұрын
Ni jambo la kumshukuru Mungu Kwa neema yake ya kujidhihilisha Kwa kutenda kazi kwa njia ya mtoto kama huyu.
@leaderboy-hw3bc9 ай бұрын
That's a pure chosen legio Maria child.our song in Latin are only for the chosen one, Deo gracias 🙏🙏🙏na maji ya Baraka ndiyo dawa yetu
@neemarenaida66673 жыл бұрын
I am proud to be a Cathoric Christian ,oh my God thank you
@charlesmusomba48733 жыл бұрын
Glory to God
@juliusnyamari86573 жыл бұрын
Mimi julius naomba mungu amupe maisa Marefu aendelee kutuombea sisi wenye dambi
@emmymsukwa55763 жыл бұрын
Mlete Muhimbili asaidie watoto wa Salatani. Mwanangu arifariki past 3 weeks but I feel the pain watoto wana pitia.
@demycratia25673 жыл бұрын
Wapelekee pale
@gladnesnghwasa26703 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu..fanyika balozi uwe sehemu ya utumishi..tafuta namba zao za cm ufanye mawasiliano na familia aweze kuja kufikia watoto wanaopitia watoto.Yesu anaweza
@wasilaahmad54593 жыл бұрын
Umeongea point
@ukiasili3523 жыл бұрын
Pole sana dear Mungu akutie nguvu
@emmymsukwa55763 жыл бұрын
@@ukiasili352 asante dear
@furahia25103 жыл бұрын
Mungu akulinde mtoto uwasaidie watanzania wapate uponyaji na ulimwengu mzima ❤️❤️
@salomeogutu84903 жыл бұрын
Amina
@justinamkulu20113 жыл бұрын
Asante Mama wa Yesu, Asante Mungu wetu kwa kutupenda hivi hata ukayaruhusu haya! Amina!
@masimbiiyikirenga28942 жыл бұрын
Asante mama mariya kwa tuonesha miujiza mama
@mogirenyaboke34012 жыл бұрын
May God continue to shine in the young child,let mother Mary continue to appear to that young child.naomba aniombee Niko na uvimbe nda in yangu,ndugu yangu Ako na shida ya kufa kifafa,mamangu Ako na shida ya mguu , sister angu Ako na shida ya mguu wa kuria na ndugu yangu Ako na shida mingi ya magonjwa na mguu wangu wa kushoto Kwa magoti umeajana naomba kupitia mama maria ni pone
@mogirenyaboke34012 жыл бұрын
Katoliki watu wengi tunaamini kuwa bikira maria anaonekana Kwa watu ,na mama anapenda watu ambao wanapenda kusali sana rosari na kutupu dhambi zetu,
@nancyojowi53802 жыл бұрын
May Almighty lord continue protect this little girl she is a gift from our mother Mary , keep it up to help our people who is sick be bless little girl 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@mawananasoro44053 жыл бұрын
Amina Amina jina la bwana lihimidiwe mungu akutunze daima mtoto wetu
@dorothmtwale81843 жыл бұрын
Acheni watoto waje kwangu ufalme Wa mbingu ni wao
@berrrylochieng23243 жыл бұрын
Please naomba mwenyeji anipe muelekeo nataka kuja na ni ngapi tikiki kutoka Nairobi
@efrasiamkalawa97432 жыл бұрын
Mungu akulinde mtoto daima tunakupenda sanaaa baby girl
@jonhstoneowegi91373 жыл бұрын
God works in different ways!
@vickystellah31943 жыл бұрын
Asante Yesu Kristo
@lindiwemnisi9222 жыл бұрын
She is a blessing 🙌 I'm from South Africa 🇿🇦, will love to get prayers for my mother and my son 🙏
@fredrickakwera2073 жыл бұрын
Glory be to GOD,he has the reason why he sent little angel to bless people ningependa kukuja huko nami nibarikiwe tafadhali nikaunty gani
@deliahmayeku99753 жыл бұрын
Mother Mary I Trust in you.
@veroaroma26893 жыл бұрын
Mary, Mother of perpetual Help pray for us, now and always. Amen.
@florencekusiima52003 жыл бұрын
She's a gift from God to us May Almighty father continue using her
@lucykombe57533 жыл бұрын
but how does she do the sign of the cross, it looks different
@silasomondi76413 жыл бұрын
Dunia ina maajabu
@jemimamajala34543 жыл бұрын
Wow wow amazing,naitaji kufika na mimi nijionee maajabu ya mungu,naomba number ya simu jameni
@ndungekaloki16273 жыл бұрын
She is vessel,God can use whatever pleases him,I pray the parents protect this child
@josephmaryodey1052 жыл бұрын
May Almighty God who chooses this child continues to keep her and the family from all evil in Jesus name
@israelwilson12372 жыл бұрын
Jesus is lord 🙏
@francafattori89982 жыл бұрын
Amen and Amen 🤲✝️🤲✝️💖🕊🌟❤️❤️❤️🌟🌟🌟🌟🌟😘😘😘🕊🕊
@ndindachristine37713 жыл бұрын
Mungu ni mkuu. May the little girl pray for the whole world, for an end of corona virus
@wilderbonareri21133 жыл бұрын
May this child be blessed to do the good work. Amen.
@IddiWalii4 ай бұрын
,.mambo
@aaronrakas29512 жыл бұрын
Yaaa this the prophetess of our days .I believe that God is using her.want this to happen in my children amen
@markmainaonundu64423 жыл бұрын
Blessed angel...this is another marian apparition coming after kibeho's . East Africa of late is being favoured by BVM..God has a mission..let's receive the message given to Child Eunice with faith & urgency: PRAYER,FASTING & REPENTANCE!
@francopalermo36743 жыл бұрын
Mungu Ashukuriwe. Huu ni WEMA wa Mungu. Wazazi Mungu Awabariki. Amen.
@lucymugo45893 жыл бұрын
Jesus continue filling her with the Holy Spirit 🙏🙏🙏
@joanjeronno89723 жыл бұрын
Amen
@gladystinah59283 жыл бұрын
Ave Maria
@bakarhamis39773 жыл бұрын
Acheni biashara yesu mwenyewe hakuingia kanisani
@annkala75333 жыл бұрын
Blessings upon the young child may she live to help many people who are sick. We thank God for empowering her. One day hopes to visit.
@euniceauma12662 жыл бұрын
Our mighty God is doing great wonders. Can be seen from the unknown tobecome known global wide.His name be glorified. Let the little girl live long to save lives of hopeless servants Amen.Amen.Amen.
@MelisaAidan10 ай бұрын
Ee Mwenyezi Mungu kupitia maombezi ya mtoto yunisi kwa uweza wa mama bikira Maria naomba Mungu atende miujiza yake juu ya familia yangu apate kujiziilisha kwa shida na changamoto ninazoendelea kuzipitia
@happynessjohn39042 жыл бұрын
Nimekumiss Sana yuniss na family yenu kiujumla mwenyezi mungu azidi kuwalinda
@virginianjerimuiruri39893 жыл бұрын
Wooow... I love this..to God be the glory 🙏🙏🙏
@mtzhalisi22323 жыл бұрын
Mwenyezi mungu endelea kumlinda mtoto huyu...mwongezee nguvu zaidi
@ignatiuszippyatuma45523 жыл бұрын
Our mother Mary is real,is our interceder . Tunakupenda mama Maria
@awinojuju85223 жыл бұрын
She is
@magdalinengina46833 жыл бұрын
Eunice pray for me because of the challenges on my life.thank God bless you my daughter.
@lydiaakinyi26422 жыл бұрын
Miracle baby this is agift from God, God willing next yr i have to came and see her
@generosakinemo54903 жыл бұрын
Asante Yesu sifa kwako Yesu
@martharmoranga25413 жыл бұрын
Glory to God God Almighty
@gekonejames79443 жыл бұрын
Ameeen mtoto wangu Mungu mwingi wa mazuri na yakupendeza sana
@thepowerofsilentsoul21353 жыл бұрын
From Kenya,,,Huyu Mtoto afanyanyia Mungu kazi God bless
@clementinaajaa30222 жыл бұрын
This is a wonderfully God^s blessing. May God continue to bless this family and protect them from this evil world
@saudambinga38323 жыл бұрын
Mungu anaweza,🇴🇲
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Ni shirki thambi isio samehewa milele
@liesharehema51933 жыл бұрын
Wanadamu tujiweke tayari unyakuo umekaribia mwenye sikio naasikie kristo yu karibu kurudi 🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
@hopeeli96413 жыл бұрын
Hakika
@danomolo4753 жыл бұрын
Definitely
@salomeogutu84903 жыл бұрын
Mungu ameikumbuka familia hii aleluya 🙏🙏🙏🙏
@zachariahmakeja80923 жыл бұрын
Amina
@samwelmollel42152 жыл бұрын
Mungu ni mwema wakati woteee. Hallelujah
@margaretwambui171310 ай бұрын
Wow this child is amazing ❤❤
@neemayatosha16183 жыл бұрын
Uvivu wa kusoma neno na kutaka kumjua Mungu ndo utafanya watu wamsujudie shetani. Amkeni...!
@strongmummy5803 жыл бұрын
Exactly akii watu kupotea kukoza Marifa
@chamwenyewecjembe73593 жыл бұрын
Ulijuaje ha ha haaa Alkaa tumbuni miaka mitatu . Mmmmmm
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Ahsant dada yangu ni shirki NA kukufuru NA kutoka katika dini yako ya uslaam
@naomymose18663 жыл бұрын
We thanks our Almighty for the miracle baby girl, may the grace of God be upon her always
@henryvascos66893 жыл бұрын
Tunaomba namba zahuko
@henryvascos66893 жыл бұрын
Tunaomba namba basi
@naomymose18663 жыл бұрын
@@henryvascos6689 namba ipi
@leutedychaula39713 жыл бұрын
@@henryvascos6689 fggx
@swairockymashrocky4733 жыл бұрын
Naomba nisaidie number tafadhali nami nina mgonjwa
@ghatimakonge93833 жыл бұрын
MUNGU MWEMA KWAKO AKULINDE MTOTO ILI AKAMILISHE ALILOANZISHA NDANI MWAKE...🙏🙏🙏🙏🙏
@Lucy.nelson3 жыл бұрын
Glory to God thankyou for this beautiful annoited angel asante Mungu🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@irenewairimu50133 жыл бұрын
Maajabu ya mungu😍😍😍may The Name of the lord be glorified forever
@salamaumulisa61122 жыл бұрын
Mungu ana sili lake kwenye watu yake 🙏. Stay blessed baby girl and your family 🙏❤️
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele NA unapotea dini yako ya uslaam
@kendimutunga3 жыл бұрын
Amazing miracle little angel
@stephenmusyoka39383 жыл бұрын
All Glory to God, Almighty God bless this Little Angel 😇
@voietmercy32212 жыл бұрын
May God continue using her
@elizabethakinyi82862 жыл бұрын
God thank you so much I believe
@ancyfridaprosper86333 жыл бұрын
Sadaka ya babu yake imejidhirisha.Mungu azidi kumuimarisha ili mtoto atumike kuyagusa maisha ya binadamu wanaotaabika na magonjwa.Mama Bikira Maria aendelee kumtunza vyema mtumishi wa Mungu Eunice.amina
@evaristchuwa76523 жыл бұрын
Hapo ndo tunaona umuhimu wa kimtolea Mungu
@magrethmwita8923 жыл бұрын
On piont sadaka za babu yake bila kudai hata mia !!!! Ndiyo mafuno hayo ,sadaka ni jibu tosha kwa Mungu
@roseatieno66913 жыл бұрын
This is a miracle from heaven. May she be protected properly.
@carolynewamakobe7593 жыл бұрын
God has revealed his greatest power in his little angel be blessed daughter
@sad-k4o5i2 жыл бұрын
I wish her all success and I also wish I could have been where she is I would have been healed please lord Jesus be with her at all time she is a gift from god
@giftkahangu55803 жыл бұрын
Aksante sana Mungu atukuzwe kabisa,tena azidi kubarikiya Mtoto hu pamoja nawa zazi wake. Nawomba Mtoto hu aniombeye japo nipo mbali lakini akiniombeya baraka za Mungu nitaziona magumu yangu itamalizika.
@kasuku54123 жыл бұрын
Hapo kwenye kukaa miaka mitatu tumboni inabidi utueze vizur cos hospital kuna monitoring ya wamama wajawazito nadhani wangeshakufanyia c/s
@sarahigobeko30203 жыл бұрын
Sure
@gathonigatika25523 жыл бұрын
This is awesome I love this
@judithmosha7393 жыл бұрын
May God bless you mtoto
@richardthompson36722 жыл бұрын
please translate to English for others to understand the level of growth and development, I know this child has been sent by God Almighty.
@africankid54882 жыл бұрын
tunamshukuru munguu anatupendaa sana asantee kwa mtot wa miujizaa uliotupatia baba asantee kwa huruma yako baba wa mbingu
@spokenwordseedbride7533 жыл бұрын
It is so shocking that people cannot differentiate between idolatry n true worship of God.
@amedeusaminiel1923 жыл бұрын
Mungu ampe maisha marefu na ya utakatifu huyu mtoto
@vidiliesonala18983 жыл бұрын
How can I get in touch with her I really need her prayer
@josephkalonga5503 жыл бұрын
TUNAOMBA NUMBER ZA SIMU YAKO .
@JeriahObonyo-g1f10 ай бұрын
❤God protect yunis
@joycebongo92752 жыл бұрын
Mashallah Mola amzidishie huyu mtoto na wazazi wake waendelee kumlea kwa maadili mema na naomba Mola nasi atuletee miujiza Kama hiyo huku kenya Ameen
@theresaelizabethelijah1172 жыл бұрын
Amen
@everlineisaboke79753 жыл бұрын
Wow thanks to God, that's a good gift may God continue blessings that girl.Please may we get the number of the parents from Kenya
@josphineibaya24323 жыл бұрын
Tunaomba number ya wazazi wake tafadhali
@dominickmakoko563 жыл бұрын
That is a gift from God amen🙏🙏🙏🙏
@martinsadru2203 жыл бұрын
Mtoto huyu katumwa na mungu. Acheni imani za kipumbavu! Nimeona watu husema mtoto wa shetani? Unawezaje kuamini shetani anaweza na usiamini mungu aweze? Yesu alisema mkiwazuia watu wasishangilie mawe yatashangilia hakika huyo mtoto ni jiwe lililo pata nguvu ya yesu.
@theohermana52203 жыл бұрын
Kwani watoto wa Fatima ilikuwaje? Watu walikuwa hawaamini...... Watoto walitishiwa na kuwekwa gerezani .lakini walisimama imara na yale waliyokuwa wakiyasema maana neema za Mungu zilikuwa ndani yao.. Tusali na kuacha dhambi
@kamulikamuli5303 жыл бұрын
Mama Maria anazidi kung'ara. Mtoto mwenyewe anasema mama yangu mzuri sana. Haleluya
@judithkatabaro32943 жыл бұрын
Tumesikia mengi mama maria akiwa tokea lusia fransisi na yasinta mala yesu aliongea kwa sauti na mitume leo hiikizazi ni kibishi sana
@witneskilinda50343 жыл бұрын
@@judithkatabaro3294 maria atawatokeaje watu!? make Biblia iko kimya kuhuxu maixha ya bikira maria! na wengi wanadai bikira maria alipalizwa mbingini lkn ukisoma maandiko matakatifu hayathibitishi madai hayo
@salomeogutu84903 жыл бұрын
Very true
@ghatimakonge93833 жыл бұрын
Watamsema Sana na wao watoto wao c watokewe unafiki tu Kama huamini achana nae LAKINI sisi tunaompenda Bikira Maria tupo nae beneti Tena nakuombea kwa Mwenyezi Mungu wetu amtunze Yunis akuongezee NGUVU ❣️ ya kuponya binadamu MAANA watu Ni wengi LAKINI binadamu Ni wachache