No video

MAMA ASIMULIA ALIVYOTAPELIWA LAKI 3 AMUONE WAZIRI WA ARDHI - WAZIRI SILAA AMREJESHEA LAKI 4...

  Рет қаралды 15,171

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAMA ASIMULIA ALIVYOTAPELIWA LAKI 3 AMUONE WAZIRI WA ARDHI - WAZIRI SILAA AMREJESHEA LAKI 4...
Aneth Nkinda Mkazi wa kimara Baruti amerejeshewa kiasi cha laki 4 na Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mhe. Jerry Silaa baada ya kudai kutapeliwa kiasi cha laki shilingi laki tatu na watu waliotaka kumkutanisha na waziri wa ardhi ili aweze kumsaidia shida yake.
Aidha Waziri Silaa ametia wito kwa wito kwa watanzania kwa kuwafahamisha kumuona waziri hakuna gharama yoyote na popote wamueleze changamoto zao kwani ndio maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 67
@globaltv_online
@globaltv_online 4 ай бұрын
​​ JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 4 ай бұрын
We need more ministers like I support you no matter how from inside my heart.we follow you even we are away from our home
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki na kukuzidishia pale ulipotoa. Tafadhali fuatilia hao watumishi wasio waaminifu katika Wizara unayoiongoza.
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 4 ай бұрын
nimefanya kazi serikalini nawajua vzr hawa na hao inawezekana kabisa ni vishoka wa waziri Silaa ndiyo maana husikii waziri akisema atawachukulia hatua wausika
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 4 ай бұрын
Watumishi wa Serikali mnaopenda kazi zenu , familia zenu, na maisha yenu, kuweni waangalifu sana na tamaa zisizo na msingi. Zama zimebadilika, haswa kwenye Wizara hii 🙏🏽
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 4 ай бұрын
Waziri kwanini usiwaite kama makonda waje wajib hapo?
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 4 ай бұрын
@@emmanuelmlowe-ew7gx Watafuatiliwa. Hakuna haja ya kufanya adharani; sio ustaarabu
@saidgawawa8519
@saidgawawa8519 3 ай бұрын
Na nitasema Tena kila mara na sitochoka,Mungu amlinde huyu waziri mzuri mpenda haki na watu ! Mungu ampe maisha marefu huyu waziri silaah pamoja nama waziri wengine wenye kuchapa kazi katika jamuhuri hii ya muungano wa jamuhuri ya Tanzania,Mama suluhu raisi wa wananchi Mungu akulinde na akuepushie kila la Shari! Akuzidishie kheri.. amiin ya Rabb 🤲🤲
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 4 ай бұрын
Mungu akubariki Waziri Nani kama wewe Mungu Daima akutangulie katika Majukumu yako
@user-wq8kw7wb1n
@user-wq8kw7wb1n 4 ай бұрын
Tungepata mawazili kumi kama jerry silaa hakika ccm ingefutiwa madhaifu yote ya huko nyuma, baba amejaliwa tabasam la haki pongezi kwa mama alie kuona keep it up ww ni hodari mucha mungu haswaaaaaaa.
@silverman6930
@silverman6930 4 ай бұрын
This guy is exceptional. You’re blessed bro … make sure these crooks are punished 🙏🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
@graficitv4412
@graficitv4412 4 ай бұрын
Mimi sijawah comment huku ila hi ya leo imenigusa Mungu akubariki waziri
@user-wq8kw7wb1n
@user-wq8kw7wb1n 4 ай бұрын
Mh silaa kukulipa sisi kama binadam hatutoweza itoshe kusema mungu awe upande wako milele.
@user-ui5xc6sb5m
@user-ui5xc6sb5m 4 ай бұрын
Mungu akulinde Bwana Jerry
@royalahmed7024
@royalahmed7024 4 ай бұрын
Ubarikiwe baba ,Mungu akuzidishie pale ulupopunguza.wewe ni mfano wa kuigwa wanasemaga wema hawa
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 4 ай бұрын
Mungu akulinde mh. Silaa.
@mahamudali1453
@mahamudali1453 4 ай бұрын
Wasajili wa arthi na wanasheriya wa serikali ni corrupt give them pink slip
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 4 ай бұрын
VIVA MH. WAZIRI SILAA....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI.
@kheriramadhan4603
@kheriramadhan4603 4 ай бұрын
Waziri Mungu Aendelee Kukulinda Watu Wachache Kama Wewe
@obbybenitho5803
@obbybenitho5803 4 ай бұрын
Namshukuru sana kaka Jerry uje na mafinga hapa
@willydugilo3258
@willydugilo3258 4 ай бұрын
Mungu akubariki bro Jerry!!
@ayubumgeyekwa2554
@ayubumgeyekwa2554 4 ай бұрын
Waziri Mungu akubariki sana
@JohnMalengua-jh6ps
@JohnMalengua-jh6ps 4 ай бұрын
What I can say God bless you
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 3 ай бұрын
Mungu akulibde wee KIJANA Waziri
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q 4 ай бұрын
Jamani kaka Mungu akubariki sana yani unatenda miujiza sana kweli atujawai kumuona waziri kama wewe.
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 4 ай бұрын
Allah awe nae I’m a speechless to you brother Slaa
@user-te8qh6ne7u
@user-te8qh6ne7u 4 ай бұрын
Unatoa funzo kubwa sana kwa viongozi wabinafsi wanaodhani wakifa wazikwa na mali
@pattiemambosasa5420
@pattiemambosasa5420 4 ай бұрын
Mungu akubariki brother Jerry
@humudalhashmiy1761
@humudalhashmiy1761 4 ай бұрын
Jerry anatosha hapo Mbeleni Mungu Amuweke na asibadilike
@saifalrajhi5001
@saifalrajhi5001 4 ай бұрын
Hapo napo hata hujui H.E anatapeliwa !
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Mh waziri Jerry silaa sisi tuliombali unatusaidiaje kwe viwanja vyetu
@aishatest4451
@aishatest4451 4 ай бұрын
Asante baba
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 4 ай бұрын
My president Jerry ❤
@kassimahmed1831
@kassimahmed1831 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana❤❤
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 ай бұрын
Hao jamaa warudishe kwanza hiyo hela, ngoma ipo mezani kwa waziri lazima kiwake.
@estheroscar6520
@estheroscar6520 4 ай бұрын
Waziri lini nikuone nikuweke mngogoni kama Mtoto yaani unanifurahisha
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 ай бұрын
Waziri Mungu akubariki.
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 4 ай бұрын
Mungu akubarik
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Angekuwa Mh Makonda anawaita hapo hapo wajibu
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 4 ай бұрын
Kwa hii KAZI aibu Kwa lukuvi
@user-pw4bc7sr5y
@user-pw4bc7sr5y 4 ай бұрын
Dr Slaa una BUSARA NA HEKIMA YA HARI YA JUU UBARIKIWE
@Yasmincurrusa
@Yasmincurrusa 4 ай бұрын
Ccm oyee mungu akusadiee
@user-wh9zj7kf7h
@user-wh9zj7kf7h 4 ай бұрын
Njoo songwe
@mohddelo
@mohddelo 4 ай бұрын
Waziri safi sana ww
@user-fx2fn2qs3t
@user-fx2fn2qs3t 4 ай бұрын
Hiri jembee baadaye raisi wetu huyuu
@user-wu2du6jy5c
@user-wu2du6jy5c 3 ай бұрын
Dada shikamoo pole dadaangu
@deniskaguo4698
@deniskaguo4698 4 ай бұрын
Paka sasa namawiri wng 2 huyu na Uweso balaaa
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 4 ай бұрын
Tatizo lake mtatulie sio kumpa pesa
@TomasMwakitalu
@TomasMwakitalu 3 ай бұрын
Akubal mungu
@swahilifoodtz6446
@swahilifoodtz6446 4 ай бұрын
SILAA si mbaya jamani hana faya kazi ya haki kabisaa
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 4 ай бұрын
Nani kasema ni mbaya? Watenda haki huchukiwa na wabadhirifu na wabinafsi
@user-lr5wc6kk7m
@user-lr5wc6kk7m 4 ай бұрын
Kam sio ww bas,makonda ndio rais wang
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 4 ай бұрын
MAMA SAMIA ENDELEA NA MOYO EAKO WOTE KUWASAIDIA WATANZANIA MUNGU NDIE MLIPAJI HAKIKA ATAKULIPA.
@peacemwesiga
@peacemwesiga 4 ай бұрын
❤❤❤ waziri
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 4 ай бұрын
IV KAKA SLAA IV NAIBU WAKO AONI AIBU HEEEEEEE AWE NA UBINADAM AWE KUSAIDIA SIJUI KMA NALIONA IL
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 4 ай бұрын
watu wanapenda kutembelea upepo hata huyu bibi wa watu wamemtapeli
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 4 ай бұрын
Hii ndio Tz bana weee!!!
@user-sr9js6rj5v
@user-sr9js6rj5v 4 ай бұрын
Hao watumishi wafungwe jela na wafukuzwe kazi bila ya kupeleka mahakamani
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 4 ай бұрын
Serikali ya kifisadi
@lordsm.k-db3wy
@lordsm.k-db3wy 4 ай бұрын
Basi tuone hao watu Wanachukuliwa hatua sio munaongea tu.
@ChristopherKiwanga
@ChristopherKiwanga 4 ай бұрын
Where hv u been before????Kuna mchwa hapo wizarani hatari. Hata shetani anaogopa Kuja kuhudumiwa hapo
@muzneali4747
@muzneali4747 4 ай бұрын
Kinachoniuma KWANINI hawafukuzwi KAZI
@mahadshekh398
@mahadshekh398 4 ай бұрын
Hatua zitachukuliwa.
@YusuphMchomvu
@YusuphMchomvu 4 ай бұрын
Waziri nanusu
@kayombotv9758
@kayombotv9758 4 ай бұрын
Waziri Slaa sisi akina mama tunaonewa sana hasa wajane hatusikilizwi wanatuona kama hatuna maana kabisa.
@demicratia4071
@demicratia4071 4 ай бұрын
Watakomajerer😅
@adnanaljabry800
@adnanaljabry800 4 ай бұрын
Waziri ako busy na simu🤣🤣🤣 manina 🤣🤣🤣
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 42 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 28 МЛН
WAZIRI AKUTANA USO KWA USO NA MBABE WA ARDHI, HAKI YATENDEKA
10:36
NTV Tanzania
Рет қаралды 78 М.
WAZIRI SILAA NA MIGOGORO YA ARDHI BUNJU
3:55
Story Tellers TZ
Рет қаралды 1,7 М.
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН