No video

MBUNGE KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE KAMA KAWAIDA YAKE - "WATOTO WAFUNDISHWE KUTENGENEZA MINYOO"

  Рет қаралды 67,352

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

MBUNGE KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE KAMA KAWAIDA YAKE - "WATOTO WAFUNDISHWE KUTENGENEZA MINYOO"
Tazama dakika 10 za mbunge Jumanne Kishimba, akichangia bajeti ya wizara ya elimu, sayansi na teknolojia..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 146
@anesiusreuben6071
@anesiusreuben6071 2 жыл бұрын
Yaan hoja za mbunge huyu zingekuwa zinafuatiliwa tangu amekuwa mbunge tungekuwa mbali Sana. Mungu akubariki Sana mzee wetu
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa.
@michaelshija3601
@michaelshija3601 2 жыл бұрын
Great thinker....huyu ndiye Mbunge anayewakilisha taarifa sahihi za wananchi na ni mtu sahihi ..!
@emmanuelbirage4931
@emmanuelbirage4931 2 жыл бұрын
Utasikia wanakuambia Badget haipo, na haipo kwenye mipango ya mwaka huo
@azizabdallah585
@azizabdallah585 2 жыл бұрын
Bravo Mh. Kishimba.....yote uliozungumza ndiyo ilikuwa falsafa ya hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere....Elimu ya Kujitegemea!
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 2 жыл бұрын
Level.➕
@Goats_channel
@Goats_channel 2 жыл бұрын
Sahihi kabisa
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 2 жыл бұрын
UKIMYA WA WABUNGE UNAKUWA WA KIWANGO CHA A+ WAKATI MH. JUMANNE KISHIMBA ANAONGEA. "Kule kijijini mtu aliesomesha watoto wake ndio anaechekwa."
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Kabisaa
@brunonsungwe8389
@brunonsungwe8389 2 жыл бұрын
Anaongea point sana huyu Mbunge. Anagusa sana maisha harisi ya Tz
@daudabdallah7843
@daudabdallah7843 2 жыл бұрын
Asanteni wananchi wa kahama mjini Kwa kutuchagulia mbunge kishimba , woote saluti Kwa Kishimba
@johnchongolo9287
@johnchongolo9287 2 жыл бұрын
Mwandishi tumia vizuri taaluma yako na ujue umuhimu wako katika jamii jarib kuweka heading inayoendana na content alichokiongea mzee wangu kinahitaji sapoti kumbwa Sana kutoka kwenu waandishi wa habari
@rivinuskelvin5630
@rivinuskelvin5630 2 жыл бұрын
Daah Mzee uko makini sana hata watoto wako wakikusikiliza wanajiamini na kuona wana baba bora sana. Hongera sana natamani siku moja nikusalimie kwa mkomo. Mungu akupe maisha marefu maana unafanya kile wananchi wanategemea.
@uzungupoint
@uzungupoint 2 жыл бұрын
Kichwa sana huyu mzee, now nazalisha funza na mende kwa ajili ya kuku wangu.
@abuuking
@abuuking 2 жыл бұрын
Naomba unielekeze maana nami ni mfugaji wa kuku
@uzungupoint
@uzungupoint 2 жыл бұрын
@@abuuking Tafuta video KZbin zipo nyingi zinafundisha, fata maelekezo utaweza kiongozi wangu maana ni rahisi. Pia kama una uelewa hata kidogo wa lugha ya Kiingereza tafuta na video za lugha hiyo itakusaidia kupata maarifa mengi zaidi. Ahsante
@Pharadge
@Pharadge 2 жыл бұрын
@@uzungupoint swali ni elimu na shule zina kazi gani? kwanini elimu isiendane na mazingira yetu au lazima tuende youtube
@uzungupoint
@uzungupoint 2 жыл бұрын
@@Pharadge KZbin ni platform ya kukuongezea ujuzi, kwa maana kilichopo KZbin ni experience ya mtaani(mazingira).
@uzungupoint
@uzungupoint 2 жыл бұрын
@@Pharadge Hata hivyo kwa 70% tunachojifunza shuleni hakiendani na mazingira ya sasa, hivyo ni muhimu kwa mtu mwenyewe kushituka na kuanza kutafuta Maarifa mengine na sio kutegemea hadi serikali ibadili mtaala, Mambo ya Siasa huchukua muda, kwahiyo mtu binafsi achukue hatua ili kuiandaa kesho yake na familia yake.
@bjshio3249
@bjshio3249 2 жыл бұрын
Serikali inapaswa kumsikiliza kwa makini Sana huyu Mbunge na mawazo ya muhimu Sana kwa jamii yeti. Sijui Kuna Shida gani kwa nini haya Mambo hayafanyiwi kazi.?
@infocontentchannel
@infocontentchannel 2 жыл бұрын
Umesema kweli Mheshimiwa. Ni vile wameshamfanya maoni yake ni vituko. Ila anaongea points tupu.
@lamlanyava6153
@lamlanyava6153 2 жыл бұрын
Sijui ni kwanini mtu akisoma sana anakosa uzalendo pia anazidi kuwa mjingaaaa kunahaja ya kuwachunguza hao wazungu watupao elimu
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Namashaka na chanjo za nyuma kwanzia kipindi cha nyerere, wazungu sio watu wazuri
@isayayohana6341
@isayayohana6341 2 жыл бұрын
Serikali inapaswa sana imsikilize uyu mbunge na kayaganyia mawazo yake kazi uyu mzee ana utahamu wa hali ya juu sana
@alfaniluhoha9653
@alfaniluhoha9653 2 жыл бұрын
God bless Mbunge wa kahama
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 2 жыл бұрын
100%/100%
@NiraSaire
@NiraSaire 2 жыл бұрын
Strong points presented in a funny way
@bahatindoweka5375
@bahatindoweka5375 2 жыл бұрын
Huyu mzee ana mengi mno! Angepewa nafasi ayaseme yote, ingekua msaada sana hata kwa baadae! Maana kila akisimama kwa dk chache lazima kuna jipya la kurahisisha maisha!
@Goats_channel
@Goats_channel 2 жыл бұрын
Binafsi huwa napenda watu kama hawa ambao mawazo yao ni kwa ajili ya kuondoa kile ambacho tunakiona ni kigumu kwenye maisha
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 2 жыл бұрын
uyu Mzee yuko smart sana na haongeag ujingaa anachokiongea anakifanyia utafiti wakutosha kabla yakuongeaa
@mariaemanuel5243
@mariaemanuel5243 2 жыл бұрын
Nakubaliana sana na mawazo ya mbunge huyu
@abhambomihambo6754
@abhambomihambo6754 2 жыл бұрын
Unaongea point Kiongozi na una reasons&fact lkn sijuwi km hao wenye degree na Phd za kunakili pasina uwezo wa kufikiri na kuvumbua zaid ya nadharia"theory"aliofundishwa kwenye makaratasi....nani katuroga Waafrika?
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Chanjo za wazungu, mark my words
@thomasgeuza8781
@thomasgeuza8781 2 жыл бұрын
Itapendeza akateuliwa yeye mwenyewe kuwa waziri wa elimu🙏
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 2 жыл бұрын
mama amteue
@mikemetter
@mikemetter 2 жыл бұрын
Daaaah! Mzee wangu huwa nakukubali sana kwa speach zako cjui serikali kwanini hikusikilizi jamani mimi em sikieni hayo mawazo huyo kasoma sana mzee wangu hamjui kama anawa-enjoy tu!
@abelsabibi8836
@abelsabibi8836 2 жыл бұрын
Huyu Mh.huwezi ukachoka kumsikiliza,kwanza huwa hana ushabiki wa chama chochote,anazunguza mazingira halisi ya elimu yetu,hasa nimevunjika mbavu aliposema,"wenye degree wengi wapo huko wanaandikisha tu TASAF",!!
@RioIpo
@RioIpo 2 жыл бұрын
Mh Kishimba wewe ndio mbunge wangu japo mimi naishi Zenji.. lakini nimekuchagua wewe uwe mbunge wangu
@charleskijuu4002
@charleskijuu4002 2 жыл бұрын
Hawa ndo wabunge tunaowataka,maana wanamawazo mazuri na yenye tija kwa Taifa letu.Hongera sana Mzee Babaaa!Serikali izifanyie kazi hoja hizi za wabunge wenye maono mazuri kama haya.
@gladysmwendwa3660
@gladysmwendwa3660 2 жыл бұрын
Njia anazo zitumia muheshimiwa...Nahisi ndio wenzetu china walizitumia na wameendelea Sanaa......Angefuatiliwa tungefika mbali sanaa
@titus_maridhia
@titus_maridhia 2 жыл бұрын
Fact kwa lugha ya kishkaji
@mercypeter162
@mercypeter162 2 жыл бұрын
Tena chakula cha KUKU wadudu inafaa Sanaa
@lupyanamtuluwa2374
@lupyanamtuluwa2374 2 жыл бұрын
Big up Sana Prof shida utekelezaji
@yohanampangule8817
@yohanampangule8817 2 жыл бұрын
Very Strong CONTRIBUTION
@princenurinsahin1539
@princenurinsahin1539 2 жыл бұрын
elimu yetu ya bongo...... hata waandishi wa habari nawakosa maarifa ya kuandika kichwa cha habari.... mtu kuongea viu vya msingi inaitwa "kuwavunja mbavu wabunge"... seriously?? 🤦
@charlesmwamlima3923
@charlesmwamlima3923 2 жыл бұрын
Kwel tena hoja kama hizi nzito na zenye tija kwa taifa halafu mwandishi wa habar anapuuza kwa heading ya kijinga eti "mbunge awavunja mbavu wabunge" kwel jaman!!! Alishindwaje kuandika "mbunge katoa elimu ya level ya masters ndani ya dk 10"angepungukiwa nn?
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 2 жыл бұрын
Huyu mzee ana hoja za maana sana...anajaribu kutumia mifano rahisi ya mazigira yetu kuelewa hoja zake
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 2 жыл бұрын
Uyu mbunge muchukue mawazo yake mazuri
@onesmojohnmasawe289
@onesmojohnmasawe289 2 жыл бұрын
mawazo ya kishimba ni mazur jaman nashaur waziri wa elimu na serikal wayafanyie kaz
@titus_maridhia
@titus_maridhia 2 жыл бұрын
Mbeba maono
@gabbybenda4327
@gabbybenda4327 2 жыл бұрын
Kishimba is 🤛🤛🤛🤛
@eliassospeter
@eliassospeter 2 жыл бұрын
2025 CHUKUA FORM YA URAIS KURA YANGU UMEPATA
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
kabisa
@gladysmwendwa3660
@gladysmwendwa3660 2 жыл бұрын
Naunga mkono hoja
@salsashmomy
@salsashmomy 2 жыл бұрын
First comment nimemuelewa MH anayo ongea ni kweli kabisa
@arbogastemiykimario2721
@arbogastemiykimario2721 2 жыл бұрын
Mm namshukuru huyu mzee kanikumbusha nikivyofundishwa na Bibi kutengeneza mafuta kutoka kwenye maziwa
@victorjames3730
@victorjames3730 2 жыл бұрын
Mawazo ya mzee ni mazuri Sana, tatizo hao wanaoambiwa hawako tayali kufanyia kazi hiyo kitu
@jacksondc1359
@jacksondc1359 2 жыл бұрын
Asante sana professor waukweli
@um_185
@um_185 2 жыл бұрын
Ipo haja ya kubadili mtaala wetu wa elimu. Dunia imebalika sana, ifike wakati tusiwe na fikra tegemezi, tuanze upya ili kuokoa vizazi vyetu vijavyo.
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 2 жыл бұрын
love
@zikirination6769
@zikirination6769 2 жыл бұрын
Darasa la Saba la mkoloni ni sawa na degree ya saiv😁
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Aisee😁😁😂
@abuuking
@abuuking 2 жыл бұрын
Mimi naona ni zaidi ya maprofessor wetu wa sasa
@dassustephen5391
@dassustephen5391 2 жыл бұрын
Huyu mzee ana akili kubwa sana ya kuzaliwa nayo.Mungu akubaliki sana.Unastahili kuwa kiongozi wa jamii
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 2 жыл бұрын
Mbunge Kishimba anaongea kwa kujiamini kwa sababu ye ye mwenyewe ameyafanyia practice maisha yake anajua alikokuwa, alivyotokapo alipo sasa na anakotaka kwenda. Nadhani ni wakati sasa kila wizara kuwa na baraza la ushauri la watu maarufu toka uraiani wenye sifa zenye manufaa.
@japhetchimile5489
@japhetchimile5489 2 жыл бұрын
Very fact
@yordanyona1234
@yordanyona1234 2 жыл бұрын
very bright proffessor
@amanimusenyi8217
@amanimusenyi8217 2 жыл бұрын
Huyu mbunge hajawahi kupingwa
@fathimamct232
@fathimamct232 2 жыл бұрын
Ni kweli zamani tulikuwa na mafuta ya samli pride super gee pamoja na mafutaa ya pamba mafuta ya karanga Sasa hivi hakuna hivyo.
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Kumbe
@fathimamct232
@fathimamct232 2 жыл бұрын
@@miriamwinston9908 ndio ukizingatia mifugo ya kutengeneza Samli na sigi tunayo na gee lakini vyote hivyo vinatoka nchi jirani viwanda vya Tz wameviuwa karanga Mashallah tunalima pamba imejaa kiabao mbegu sijui wanatupa au wanapeleka wapi sijui muhimu viwanda vimekufa korosho zamani zilikuwa haziuzwi nje tulikuwa tukikamuwa mafuta wenyewe pale kibaha tanitabkiwanda Cha korosho na tulikuwa tukiambiwa Yale mafuta ya ndege Sasa pesa kidogo hiyo tuliokuwa tukiingiza kwa kuuza mafuta kwa ajili ya ndege zipaazo angani.
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 2 жыл бұрын
JPM alianzisha hii kitu maana aliona elimu tuyoachiwa ni upumbavu, ila Mungu nae kamchukua hapo ndo wanafunzi wataendela tu kutafuta kipenyo cha duara.
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Alianzisha lini na wapi? Usipotoshe watu hajwai kuanzisha ata siku moja
@afrimetv7157
@afrimetv7157 2 жыл бұрын
Mimi nyumban tuko na bachelor Mimi na second born wote hatuna Ajira mzee amekata tamaa Mimi nimemaliza2015 dogo 2020 third born nae anaenda advance mama Hana raha kabisa
@brightontibenda2346
@brightontibenda2346 2 жыл бұрын
MH. Kishimba mawazo YAKO kwa watu waelewa Ni up to date!
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 2 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa yani elimu yetu bado sana nikupotezeana muda tu
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 2 жыл бұрын
TATIZO NI KWAMBA HUYU MHESHIMIWA PAMOJA NA ELIMU YAKE YA JUU KABISA KATIKA KUDADAVUA MAMBO YA KWELI LAKIN SIJAWAH ONA KAMA SELIKALI INAMSIKILIZA SIONAGI KITU WAMEFUAATA WANAISHIAGA TU KICHEKA NA KUENDELEA NA YALEYALE YANAYOTUNYONYA😭😭😭😭
@zephaniazacharia519
@zephaniazacharia519 2 жыл бұрын
Powerful sana
@isayasungura8269
@isayasungura8269 2 жыл бұрын
Ujengewe sanam
@topesafi9742
@topesafi9742 2 жыл бұрын
Elimu ya hapa kwetu ni uxhubwada,haiendani na mazngra yetu nawackitikia wanaoxoma na walioxoma pole yenu.
@allykondo8406
@allykondo8406 2 жыл бұрын
Fact
@jjaedinho1292
@jjaedinho1292 2 жыл бұрын
Uko sahihi mzee respect tunahitaj watu wenye uweled kama ww
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 2 жыл бұрын
Kweli kwenye mashule ngungekuwa na chuo cha ufundi ili watotobwangekuwa wanatoka shuleni wamejifunzabufundi mbalmbal
@josephsanga9
@josephsanga9 2 жыл бұрын
Ila kishimba duuh una IQ kuwa sana Mawazo ya huyu jamaa ni noma saaaana
@barakaelkaaya40
@barakaelkaaya40 2 жыл бұрын
Elimu yetu imewekwa kwa mfumo wa kuajiriwa na so kujiari. Serikali inashindwaje kuleta mfumo mpya wa elimu ya kujiajiri
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 2 жыл бұрын
tunatumia mfumo wa elimu ya kikoloni , ndio maana mfumo wa elimu unahitajika kubadilika tukianza na katiba ya nchi. yote haya yanawezekana ukisoma katiba mpya
@jrmichaelmichael2918
@jrmichaelmichael2918 2 жыл бұрын
Huyu mbunge ana mawazo mazuri sana
@silvermuganyizi6137
@silvermuganyizi6137 2 жыл бұрын
Watu wazima hasa wasomi wa tz wana vichwa mgando, wanataka mmoja alete shule maalum kama shule ya kilimo toka fm1 na wao wacopy tu, shule haikutuandaa kufikiri bali kukariri
@soundcorner994
@soundcorner994 2 жыл бұрын
huyu mzeee anatakiwa kuwa Professor
@winfredjosephdanda2641
@winfredjosephdanda2641 2 жыл бұрын
Tumekupata mozam! Kichwa hicho twende kwa wakati! Wangekuwa Wapiga muziki serikali ingewasaidia Sana?
@mikemetter
@mikemetter 2 жыл бұрын
Yani huyu mzee aisee sichoki kumsikilizaga eti!
@omaryntagala3740
@omaryntagala3740 2 жыл бұрын
Kishimbaaaaaa
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 жыл бұрын
Waliotuachia Elimu na Sheria nchini kwetu,hawakufanya Kwa bahati mbaya walitaka tuwe tegemezi kwao na Sheria ngumu zisizo tekelezeka ili tushindwe kusonga mbele ,huu NI msiba Kwa taifa letu ,ili tuchomoke hapa tulipo NI lazima tuweke mitaala yetu bila kuwahusisha mabeberu na tubadilishe Sheria zinazomlinda mtanzania badala ya kumkandamiza ktk mambo mbalix2.
@mekumeku2484
@mekumeku2484 2 жыл бұрын
Atanyang'anywa begi alilonalo hahahaha
@pendael02
@pendael02 2 жыл бұрын
China walishinda kwa kutekeleza mawazo kama haya ya kishimba kwa kufundisha kwa nadharia
@joshuamwihambi5856
@joshuamwihambi5856 2 жыл бұрын
Yani huyu mbunge sijui km watu wanamuelewa yani wanadhani ni mbudurishaji lkn anaongea fact
@Laajo1994
@Laajo1994 2 жыл бұрын
Elimu ya Tanzania ni michongo hamna kitu
@georgefesto715
@georgefesto715 2 жыл бұрын
Kweli Elimu iliyopo ni yakukalilisha vitu visivyo na msingi ktk maisha ingekuwa kama somo ya hesabu maana hesabu humsaidia kila aliye soma
@afrimetv7157
@afrimetv7157 2 жыл бұрын
Kweli mtu akiwa na hela ana akiri jamaa anaongeaga point tu Enjoy yote afrime tv
@tzmagaladiah5680
@tzmagaladiah5680 2 жыл бұрын
mweshimiwa kaongea kani gusa sana
@msigwazakayo6878
@msigwazakayo6878 2 жыл бұрын
Sisi wenyewe wakati tunasoma tulikuwa tunasoma na kulima shamba na shule
@saidimkurago6893
@saidimkurago6893 2 жыл бұрын
Tanzania Tanzania laiti tungekua na viongozi wenye kujielewa tungechukua sera za huyu mbunge tungekua mbali Tatizo wasomi wetu ni vilaza
@emmanuelkayange4360
@emmanuelkayange4360 2 жыл бұрын
In real you talk fact
@African511
@African511 2 жыл бұрын
Kishimba huwa napenda kukuita Prof
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 2 жыл бұрын
Huyuu mzee namuelewa sana watu wanacheka wanaona anachekeaha ila yupo sahihi mnoo kuliko mnavyo dhania, na ndio maana Hata rais samia alimuona uyoo mzee
@ashuraaboud6306
@ashuraaboud6306 2 жыл бұрын
Shida kufuatiliw
@fathimamct232
@fathimamct232 2 жыл бұрын
Watoto wananunuwa vyeti wanaleta kabatini kazi hakuna zamani kulikuwa na SoMo la taaluma Sasa hivi hakuna wanalezimishwa kusoma masomo ya nje badala ya nchini kwetu.
@deusrobart8181
@deusrobart8181 2 жыл бұрын
Kuku wa kizungu Ooye🤣🤣🤣
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Ukiona nchi Wananchi wake kila jambo wanasubiria Serikali ujue ni majanga, matokeo yake Taifa badala liwe na watu wenye mitazamo chanya kila siku tunazalisha walalamishi, Taifa haliwezi kuwa na maendeleo hadi Waziri wa Elimu ajitambue, Waziri wa Elimu anafikiria na kukariri yale yale, Hakuna Taifa litakalo endelea kwa kutemea Serikali ifanye kila kitu, kwanini Waziri hajawahi himiza Wananchi Wapende kujisomea vitabu hasa vya biashara na fursa zilizopo Duniani, au hata kwenye kilimo, kuna siku nilikuwa naelezewa fursa za kilimo cha Ulezi, ufuta n.k na Muastralia, nikamuuliza umejuaje? Akanitolea kitabu kilichotungwa na wao zikilielezea fursa mbalimbali, nilijiona Mjinga, kwahiyo Waziri himiza wananchi wajisomee vitabu mbalimbali kama kweli tuna nia ya kuzalisha Taifa la Watu makini
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 жыл бұрын
Kwa kweli
@everikosanga2089
@everikosanga2089 2 жыл бұрын
Yaan ungekuwepo ningekupa Pepsi barid umeongea point kubwa
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
sisi ni umbea tu aka ubuyu na mabifu yasiyo na maana
@benamifaustine5392
@benamifaustine5392 2 жыл бұрын
It's good to poke but what I tell you Tanzania there's more innovators who could be empowered they could reduce the problems you see today. Most of them they run from Tanzania to other countries to make their fortune.
@errydeo8865
@errydeo8865 2 жыл бұрын
Kishimba anatoaga hoja zake zenye madini in disguise,watu wanacheka,ila anaongea reality,TZ tuna magraduates who know nothing in life!!wao ni kutembea na vyeti tu..hata ukimpa kazi ya aliyosomea,ni zero.Zamani tulipo kua tunasoma huko kwetu,kuanzia daraa la tano mpaka saba,kila mwana funzi alikua na mstari wake[matuta] ya mihogo kwa mfano.kikifika kipindi cha kilimo,mnaenda kukaguliwa mihogo yenu. nawambieni,tulikua tunavuma magunia ya mihogo kila mwaka..wale wadogo,ni kufungishwa jinsi ya kupalilia. nilipoenda sekondari Ugand,shule nilosomea[Namilyango],tulikua tunajirisha,mihogo,viazi,mahindi ,ugali tulikua tunakula uliokobolewa,coz we had our own maize..kwa hiyo ukishindwa shule,kilimo kinakua si kigeni kwako.hiyo ndo hoja ya kishimba
@gloriydeo2392
@gloriydeo2392 2 жыл бұрын
Lizee linaongeaga point japo linachekesha
@winnesakara6957
@winnesakara6957 2 жыл бұрын
Kabisa kabisa mtoto anarudi eti msomi sharobaro
@anatolikalisti3813
@anatolikalisti3813 2 жыл бұрын
Umeongea pointi za misingi sana.
@safarimginya2270
@safarimginya2270 2 жыл бұрын
Mzee anaweza ishauri ccm isife maana ccm inakufa kila siku
@michaelsambu5391
@michaelsambu5391 2 жыл бұрын
Akili kubwa sana huyu mkuu
@mekumeku2484
@mekumeku2484 2 жыл бұрын
Hivi wanamuelewa huyu jamaa kweli au ndo kusikiliza kisasa?
@stanleykadege1821
@stanleykadege1821 2 жыл бұрын
Kishimba jembe.tumtumievizuri
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 2 жыл бұрын
UMEONGEA VIZURI SANA MHESHIMIWA
@issazalala4907
@issazalala4907 2 жыл бұрын
Hilo ndio tatizo Letu kuanzia wazazi na serikali yetu wao uamini ili ufanikiwe usome adichuo kumbe sivyo kabisaaaa
@sampatrick308
@sampatrick308 2 жыл бұрын
Kabla sijaangalia naanza kucheka
@ezronkibirizi3615
@ezronkibirizi3615 2 жыл бұрын
Unaongea point sana
@sylviaraphael514
@sylviaraphael514 2 жыл бұрын
Baba mwenye miakili yake,sema serikali hainaga Ile hali yakufanyiakazi maoni
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 2 жыл бұрын
Na hii sio waziri na walimuu tu wameshindwa hapana hata wazazi nao wamechangia watoto kutojuwa kz za mikono wtt wa familia moja wote boding kz za shamba nyumbani anapewa mfnykz wtt wakirudi wao na tv no kufanya kz
@rwezanickson4249
@rwezanickson4249 2 жыл бұрын
Huyu mzee ni kichwa
@afyayaakili22
@afyayaakili22 2 жыл бұрын
KAMA WADAU WA ELIMU WAPEWE PRIVATE KIPAUMBELE NAAMINI WAPO WATAKAO JITOKEZA KUWEKA HIZO SHULE INGAWA HAZITAKIDHI HAJA KM WA IDADI
@africayetutv329
@africayetutv329 2 жыл бұрын
Nakumbuka nikiwa shule ya msingi tulikuwa tunalima mashamba ya shule sana, na muda wa mapumziko saa nne asubuhi tulikuwa tunamwagilia bustani ya miti, saa kumi jioni tulikuwa na shamba kubwa la machenza tulikuwa tunavuna kwa ajili ya kuuza, then saa kumi na nusu tulitawanyika shule ni na kwenda nyumbani
@petercharles7959
@petercharles7959 2 жыл бұрын
Ndioo
@yohanemwitumba3711
@yohanemwitumba3711 2 жыл бұрын
Huyu mzee ni kichwa san
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 32 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 17 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 212 МЛН
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 207 М.
Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 28 М.
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 32 МЛН