WATUMISHI WAWILI wa AFYA WACHUKULIWA HATUA ARUSHA kwa UZEMBE VIFO vya WATOTO 3 WALIOUNGUA MOTO...

  Рет қаралды 16,420

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

WATUMISHI WAWILI wa AFYA WACHUKULIWA HATUA ARUSHA kwa UZEMBE VIFO vya WATOTO 3 WALIOUNGUA MOTO...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 44
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@AgripinaCoelestin
@AgripinaCoelestin 3 ай бұрын
Sio iyo tu hospitali nyingi uduma zao ni mbaya sana Mwenyezi Mungu azilaze maala pema rohoo za watoto hao
@glorydaniel6549
@glorydaniel6549 3 ай бұрын
Mungu anawaona😭
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 3 ай бұрын
SIO, HOSPITALI HII TU...IFANYIWE PIA NA HOSPITALI NYINGINEZO...MAANA WANA LUGHA ZA KUKEJELI SANA HAO WAPOKEAJI WA WAGONJWA
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 3 ай бұрын
Hospital karibu zote huduma ya kwanza ni changamoto wanaipuuza sana
@vero57
@vero57 3 ай бұрын
Rip watoto na baba yao 💐💐💐
@JullyEdward
@JullyEdward 3 ай бұрын
Yaani hao ndio wawe fundisho kwa wengne maana utasikia wamesimamishwa kazi baada ya siku mbili wapo kazn Tena .Pole kwa familia Mungu awape faraja .
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 3 ай бұрын
Safi sana
@sheilalolila2233
@sheilalolila2233 3 ай бұрын
Tunayaona sana hayo kwenye hospital za serikali ni shida
@Lily-rn6xc
@Lily-rn6xc 3 ай бұрын
Kaz nzr san👏🎉
@jumampeluye8258
@jumampeluye8258 3 ай бұрын
5:25 levels wanaio tabia uzembe,kufokea wagonjwa,rushwa, mm nilipeleka mtoto achekiwe kidonda asafishwe tulpata ajal bado nkalipa ela wanasema awana vifaa ,ata kupewa uduma sikuridhka nayo ni bora daraja mbil walmtibu vizur
@Ushauri235
@Ushauri235 3 ай бұрын
Changamoto sana mimi mke wangu ameenda hospital moja iko nyakanazi ni mjamzito yuko vibaya mimba inatishia kutoka lakini majibu anayopewa daaa inakatisha tamaa sana
@johnmulki7822
@johnmulki7822 3 ай бұрын
Jamani kama Mungu alipanga hata wanadamu wangefanya nn haitosaidia cha muhimu tumwombe Mungu atusaidie
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 3 ай бұрын
Jamani poleni sana waliokutwa na Janga hili la moto, poleni pia watanzania wenzangu.
@Mapishinatibatv
@Mapishinatibatv 3 ай бұрын
Oooooohooooo !! Ili ni janga la huduma za Madaktari na Nurse wetu wala sio siri . Levolos , Mount Meru , West Meru wote wachunguzwe ni shida tupu .Mungu tusaidie .
@ashuramahali3410
@ashuramahali3410 3 ай бұрын
Safi
@mwanakhamisimwinyimatano1185
@mwanakhamisimwinyimatano1185 3 ай бұрын
Inna lilah waina ilah rajiuun
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 3 ай бұрын
Taasisi za serikali huduma ni duni sana hasa Afya ni aibu tupu shule za serikali mpaka leo kuna wanafunzi wanakaa chini hata miji mikubwa dar shule za msingi wanakaa chini shule ya msingi zingiziwa chanika
@danielelikana2615
@danielelikana2615 3 ай бұрын
Hao ndo wahudumu wa afya wasiojua maana ya dharura ...ovyoo kabisa!!
@NeemaNjera-ho6ln
@NeemaNjera-ho6ln 3 ай бұрын
Makonda.angalia.hili.baba.yetu
@richardmassawe9719
@richardmassawe9719 3 ай бұрын
Me nazani kuwafukuza kazi tuu haitoshi wanatakiwa wafungwe miaka mitano hao
@JACKLINEPETER-t9p
@JACKLINEPETER-t9p 3 ай бұрын
Jaman serikali inabidi ichunguze hiz hospital kwan ni nyingi ambazo hawana maadili kabisa ya huduma hazitolewi ipasavyo .wanawadharau wagonjwa sana na ukifika hawan habr ndo kwanza wako busy na sim zao .wengine wako maofisin wanapiga story na serikali inaona na iko kimya
@JosephNgasa-j7l
@JosephNgasa-j7l 3 ай бұрын
Kwa nn huyu dada aliingianhadi theater?maana yake madaktar walkuwa bize wakiwa na dharula nyingine theater,hapa Kuna namna ya kuchunguza vzuri Wala siyo swala la kuwatuhumu Moja kwa Moja hao watumishi na je! Hao watoto walifkishwa wakiwa wako stage Gani,anawezekana walkuwa wapo gaspin stage hali ambayo ni ngumu vbaya mno!
@vero57
@vero57 3 ай бұрын
Hawa watu wamahospitalini, wanaroho mbaya sana !!! Kazi zao ni kupokea rushwaa tuu ndiyo wanachojua !! Hao watoto wangeekewa oxygen kwa haraka wange pona!! Hao watu wa onyesheni sura zao tuwaone !! Kwanza wana lugha chafu sanaa¡! MAKONDA UKO WAPI!??
@salomefaith2410
@salomefaith2410 3 ай бұрын
Hawajui huduma ya dharura
@jamlihbashir2660
@jamlihbashir2660 3 ай бұрын
Wachukuliwe hatua Kali za kisheria.ili iwe fundisho kwa wengine
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 3 ай бұрын
Wafukuzwe tu .yani hao wamekaa kwa matumizi yao binafsi sio wanahuluma na binadamu wezao😊
@salomekense525
@salomekense525 3 ай бұрын
Mweee watoto wazuri jamani? Mpokelewe Mbinguni watoto wazuri
@johnmulki7822
@johnmulki7822 3 ай бұрын
Najua lawama nyingi itaenda kwa madkatar lakini ukiangalia mda uliotumika kuwaokoa hao watt pia ulikuwa mdog sana nusu saa jamani kwangu mm naona kama si nyingi vile maana hawakuwa na taarifa yyt kabla
@hanifamziray277
@hanifamziray277 3 ай бұрын
Wafukuzwe kz iwe fundisho kauli chafu sn wamekosea hawana hruma
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 3 ай бұрын
Hakika hospt zetu emergency preparedness ni zero...aibu sana kwa serikali...unakuta ambulance inamkimbiza mgonjwa akifika emergency section anaishia kuwekwa paleee anakaaa hadi mmhhhh
@GloriaChrisostoms
@GloriaChrisostoms 3 ай бұрын
Jamani twende mbele na kurudi nyuma huyo mama wapili anasema mtoto alikuwa anakoroma so kama mtu umesoma udaktari unahisi nini kilikuwa kinaendelea
@beinafuu6219
@beinafuu6219 3 ай бұрын
Mwenda zake halisema mtanikumbuka.hulikua ukiumwa unapewa uduma utazan wewe ninan.lakin baada ya kutwaliwa viongozi wale wale wanasema maneno ya yasio faha.duh
@lissahkaduma1124
@lissahkaduma1124 3 ай бұрын
Bora ata wavuta bangi wanahuruma sio Madaktali wa kipind hik wanapenda pesa kuliko uhai wa mtu mjirekebishe mnakela jmn
@johnmulki7822
@johnmulki7822 3 ай бұрын
Mda mwingine hata tunapowalaumu madaktari si sahihi naona hata maelezo ya wasamaria wema inaonyesha kuwa hakukua na lugha mabaya na madaktari walikuwa na hangaika
@dignakanje4508
@dignakanje4508 3 ай бұрын
Wangewawekea hta mashine yakuwasaidia kupumua jmn.Kwann manesi wanarohoo zaubinafsi jmn.Wanapenda kuona watu wanakufa tu jmn
@fatumasaad7513
@fatumasaad7513 3 ай бұрын
madocta wengine wanazarau sana sielewi walitaka kusoma kwasababu gani
@fainesKigahe
@fainesKigahe 3 ай бұрын
Hizo ni dharau sana aisee .
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 3 ай бұрын
Vifo vingine ninasababishwa na umasikini wetu na uduni wa vifaa na huduma na uzembe pia sio kila kitu kukimbilia MUNGU kapanga
@FatmasaidhamesaHamesa
@FatmasaidhamesaHamesa 3 ай бұрын
Dhuluma y watoto aki
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h 3 ай бұрын
Wajinga san hao madakitar, ukute ndohao waliokuwa wanalia usku na mchan kuomba ajira,, af mwisho wa sku vibur, mungu ibarik nchi yetyu tz
@pillyally2605
@pillyally2605 3 ай бұрын
Ikibidi wafukuzwe kazi hao hata uku kwetu wapo hapo
@shabanikitula645
@shabanikitula645 3 ай бұрын
Wewe kolumba unatakiwa ukafanye kazi mambele huko BBC ,Fox News,CNN,CBN, Aljazeer NK.
@jeremiamsuya1820
@jeremiamsuya1820 3 ай бұрын
Safi
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
41:29
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН