Vaileth Mwaisumo - Nisaidie (Official Music Video) SMS SKIZA 8089708 to 811

  Рет қаралды 865,551

Vaileth Mwaisumo

Vaileth Mwaisumo

2 жыл бұрын

Nisaidie ni wimbo unaoelezea namna ambavyo MUNGU ni msaada Nyakati zote Lengo la wimbo huu ni kutia moyo mtu kwamba wakati ambao huoni pa kukimbilia, huoni njia YEYE MUNGU ukimwendea atakusaidia na hawezi kukuacha uangamie. #VailethMwaisumo#Nisaidie#OfficialMusic.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital

Пікірлер: 1 200
@omaryomary4356
@omaryomary4356 Жыл бұрын
Baba yangu alitutelekeza from 1996 till now I'm 27 ndo ananitafuta 😭😭😭😭,, apa kati tumepitia mapito mengi mazito ,nimekua katika maisha yangu nikiwa Sina baba kwa maana sijawah ita neno BABA😭😭😭😭,, DAAAAH,,wazeee wetu kuna namna mnakosea mnatukosea watoto wenu...nyimbo hiii inanikumbusha maisha niliish mm na mama angu kwa kipind hicho chote ad leo n mtu mzima ,,nimesoma kwa shida ad leo Nina degree Ni kwa uwezo wa Mungu tu. Alhamdulillah 😭😭😭🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
MUNGU ni mwema sana
@EstherNgome-xq6oy
@EstherNgome-xq6oy 2 ай бұрын
So encouraging,,,,my situation right now but God will open doors for me
@francismachoka2380
@francismachoka2380 2 ай бұрын
Anaitaji msamaha nawe unaitaji nataka zake. Do the necessary, he do his part then God do the rest
@user-ze5be5ex4g
@user-ze5be5ex4g 2 ай бұрын
Ni kweli inaumiza Bora mtu awe ametangulia mbele za Hak u najua Moja alishatangulia lakin mtu yuko hai na hajali unaish maisha ya haso mpk lakin hukumu n ya Mungu hatuwezi rudisha siku nyuma na huwezi kufuta ubaya Kwa kulipiza kisasi au kutosamehe kikubwa samehe tu Mungu anakusudi na wewe ndo maana umesoma hukukata tamaa ukaingia kunako bisness zingne
@lovenessmarwa
@lovenessmarwa Ай бұрын
Pole kwa Mapito ila watoto waliokataliw wengi ndio wenye hatima kubwa kuliko waliozaliw kwenye ndoa MUNGU azidi Kukuinua kwa viwango vya juu sana
@user-yx7zq8yh5p
@user-yx7zq8yh5p Ай бұрын
Sjui nisime nini mama lakini nyimbo zako nyingi zinagusa moyo wangu kama huu wimbo nikiuskiliza nabubujikwa tu. Ubarikiwe mno sababu Mungu anaemwabudu ni mkuu kuliko chochote🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Ай бұрын
Amina
@EdithaDedan-Emall
@EdithaDedan-Emall Ай бұрын
Mimi ninasema Mungu akuinue Zaid mama Mungu ni WA kwetu sote NAMI sku moja nitainuliwa
@restyammo-df2um
@restyammo-df2um Жыл бұрын
Nabaki kusema nsaidie Mungu wangu Sina msaada mwingine Zaid Yako nayopitia we ndo unayajua❣️
@johnmavusyu6193
@johnmavusyu6193 2 жыл бұрын
My situation now can't be explained..but I just need only GOD😭😭😭😭😭😭😭mam thank for reminding me once more I just need only GOD
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@habibumaige9420
@habibumaige9420 2 жыл бұрын
Mimi Ni muislam Ila wewe dada napenda nyimbo zako sana... Endelea kupambana na kufikisha ujumbe wa mungu kwetu sisi 🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen shukrani
@jaredbarasa8339
@jaredbarasa8339 10 ай бұрын
Nabarikiwa Sana na hii sauti nikiwa Kenya.Naomba siku moja niimbe na wewe mtumishi
@VictorAngwenyi-qz4wy
@VictorAngwenyi-qz4wy Ай бұрын
Help me Lord ,take care of my family,parents,brothers and sisters,friends,neighbours,relatives and all of us
@josphinegwehona185
@josphinegwehona185 2 жыл бұрын
Kweli Mungu nisaidie na uniokoe Huu wimbo umenibariki asubuhi asante mama kwa kuwa wa baraka Kila wakati Mungu akubariki zaidi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@ragiselijahjean3622
@ragiselijahjean3622 2 жыл бұрын
Baba 😪nisaidie mwanaoo kwasababu isipo wewe sta weza naomba 😪uwe musaidizi wangu kwa lolote🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@aleskaminyoghe8935
@aleskaminyoghe8935 Жыл бұрын
Mungu wangu nisaidie, barikiwa dada yangu kwa wimbo umenitia moyo
@samwelmtasiwa95
@samwelmtasiwa95 Жыл бұрын
Kwelii Mtumishi be blessed my mom,,,,,,,,, wamesema mengi katka kipindi kigum ninachopitia YESU NISAIDIE nivuke salama🏃🏃🏃😭
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@Michaelngao
@Michaelngao 2 жыл бұрын
From Kenya 🇰🇪 I feel the presence of God in me tears are flowing once I hear your voice -- my God my pillar
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@philipmusonye6578
@philipmusonye6578 Жыл бұрын
I'm leaving this comment here just to encourage someone that God is working on their situation, don't give up
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@EstherNgome-xq6oy
@EstherNgome-xq6oy 2 ай бұрын
May God open doors for me to go to college
@michaelmichaelpaul362
@michaelmichaelpaul362 Жыл бұрын
She do confront her whole heart to his father GOD HER SONGS BLESS MY LIFE AMEN.
@BrendaJepngetich-sp3ed
@BrendaJepngetich-sp3ed Күн бұрын
Nikiwa kwa mangumu hii wimbo inanidia nguvu 👏👏
@marymwalyema9820
@marymwalyema9820 2 жыл бұрын
Wimbo umegusa ni maombi mazito kwa Mungu hakika Mungu anatusaidia women of God
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@azibossladykenny2455
@azibossladykenny2455 2 жыл бұрын
Nisaidie Mungu kweny uyu wakati mgumu peke yangu siezi NISAIDIE😢😢😭😭🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@Godfrey_lusekelo
@Godfrey_lusekelo 3 ай бұрын
Ila Mama nyimbo zako zinanigusa sana Hadi machozi yananitoka jaman 😢😢😢😢
@LucyRobi-iu5rr
@LucyRobi-iu5rr 10 ай бұрын
Wimbo huu Niki usikia na sikia kulia naomba mungu nisaidie.
@marcelosonhi664
@marcelosonhi664 2 жыл бұрын
Dada Mungu wa mbingu awaone sana, sababu munatufundisha maneno tu lioipitia, laminitis pamoja na Mungu wetu Alisha tusaidia na atazidisha kutusaidia na kupita.
@nawiresarah1458
@nawiresarah1458 Жыл бұрын
The song is so touching 😢 I found myself crying 😭 may God bless you mom
@sofiambaabu6692
@sofiambaabu6692 2 жыл бұрын
May God bless you sister,hii wimbo nimeiyangalia mara Tano sasa ,huu wimbo umefanya nilie sababu umenikumbusha mengi nimeyapitia,lakini mungu amenisaidia ,am from Kenya ,but now am watching from KSA riyadh, 🇸🇦
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@wairimukimiri1603
@wairimukimiri1603 Ай бұрын
Amina
@tinahdianah1876
@tinahdianah1876 2 жыл бұрын
Wimbo huu unaushuhuda wangu,nkikumbuka umbali mngu amentoa,,wimbo huu unanijengasana kiimani,barkiwa xana dada mngu azidi kukuinua
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@wairimukimiri1603
@wairimukimiri1603 Ай бұрын
Nisaidie Mungu wangu, saizi nalia, nami nirudi na testmony
@rosewamalwa8835
@rosewamalwa8835 2 жыл бұрын
Am going through a lot right now,am pregnant and i was left alone,I have no one to help me except God,I didn't want to abort,am now 7 weeks pregnant and this song is a blessing to me.be blessed mum🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
YESU atakuvusha
@linetcharo1818
@linetcharo1818 2 жыл бұрын
Don't worry dea.. mungu ana mpango juu ya maisha yko.
@johnmavusyu6193
@johnmavusyu6193 2 жыл бұрын
Yake heart GOD is with u sister through this shall come your testimony
@rosewamalwa8835
@rosewamalwa8835 2 жыл бұрын
@@johnmavusyu6193 Amen, thank you
@elizabethnyawira7007
@elizabethnyawira7007 2 жыл бұрын
Tuko pamoja dea.. Though am not left but I got pregnant unexpectedly and my Fred's told me to abort but can't denie my baby a life.. 3weeks pregnant and thank God for it.. God will see you through girl
@ngangamwangi9909
@ngangamwangi9909 2 жыл бұрын
I see my mum in this song. The year was 2000. My dad had just gone to be with his maker. My mum lost hope in life, became reserved, and we felt like it was the end of us. But one thing she never stopped doing was praying fervently and earnestly. 22 years down the line, the lord has seen us through. Thank you for reminding us that above everything else, He is our source of refuge. Shukran!
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@teklamatingu254
@teklamatingu254 2 жыл бұрын
Glory to God
@juddexoloro5881
@juddexoloro5881 2 жыл бұрын
That's our God
@camyk9587
@camyk9587 2 жыл бұрын
Me too my dad passed away on 2006 and everything was messy ,, thank you Lord for everything 🙏🙏🙏🙏
@carolinemunishi1286
@carolinemunishi1286 2 жыл бұрын
Amen Barikiwa sana Mtumishi vaileth Yesu asidi kukuinua hakika nabarikwa na Huduma yako
@lucymuhonjamuhonja1726
@lucymuhonjamuhonja1726 Жыл бұрын
Oooh lord ineed you to into my life kudharauliwa,kukataliws na kudhulumiwa ni kwingi nakuitaji bwana njooh nirehemu barikiwa sister the song is very immotional God bless you.
@faithsyombua6682
@faithsyombua6682 2 жыл бұрын
Huuu mwimbo mungu alikupea juu yangu mm faith nikiusikiza tu hivi niwangu tu nisadie mm mungub..mungu azidi kukufunulia nyimbo tukila siku .....
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@naturebclassic447
@naturebclassic447 2 жыл бұрын
Chombo cha mungu ya kuwaokoa walio wake#God bless you mum
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@judithnzuku1860
@judithnzuku1860 2 жыл бұрын
You never disappoint mum😭😭 nyimbo nzuri sana rafiki imenigusa sana asubuhi ya leo 😭😭msaada wa mwanadamu ni wa mda tu na nimchungu😭😭ila msaada wa Mungu ni wakudumu na wa Amani na furaha 🙏 be blessed
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@Eric-si5wj
@Eric-si5wj Жыл бұрын
Huu wimbo umenitoa machozi
@rehemalucas844
@rehemalucas844 Жыл бұрын
eemwenyezimungu nisaidie ubalikiwe sana mama kwawimbo huu natumai umegusa wengi unahuzunisha sana kikubwa mwenyezi mungu atusaidie 🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@sadocktanditse2145
@sadocktanditse2145 2 жыл бұрын
Eeeeh MUNGU wangu nisaidie mim mja wako baba 🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@wonderstylish
@wonderstylish 2 жыл бұрын
NGOMA TAMUU NA YA KUINUA MUNOOO😭😭SO EMOTIONAL KWA KWELI🙌🙌😭 MOREE LOVE FROM WAJIR
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@milkahadida
@milkahadida 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa Ingawaje nina mzigo mzito nilio ubeba mgongoni mwangu🙏🙏Mungu wangu Nisaidie huu mzigo🙏🙏Amen
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@thadocklihulu2048
@thadocklihulu2048 Жыл бұрын
Good wark
@getrudeatieno8753
@getrudeatieno8753 Жыл бұрын
Painful song, but only God knows the best. Mungu ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu. Ooh mum ubarikiwe sana.
@maggygati7656
@maggygati7656 Жыл бұрын
Mungu ni msaada katika maisha yetu pia neno lake linasema ktk kitabu Cha zaburi 46:1_2ya kwamba mungu kwetu sisi ni kimbilio nguvu msaada utakaoonekana wakati wa mateso
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@cynthiajebet1769
@cynthiajebet1769 2 жыл бұрын
I know the Lord is there with us ...my trust is always in you ...utatusaidia kwa kutupumzisha mizigo yetu kwa sababu wewe una suluhu ya kila tunachokipitia
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@mamablessed9224
@mamablessed9224 2 жыл бұрын
Hii nyimbo imenigusa sanaa inatoa machozii.. barikiwaa sanaa mtumishiii wa mungu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ powerful song
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@claraleshamta1779
@claraleshamta1779 2 жыл бұрын
Nitoe mashakani baba yangu🥺🙏nisaidie mungu wangu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@elishalidya4044
@elishalidya4044 2 жыл бұрын
Eh MUNGU WANGU NISAIDIE, 🤲🏿😭 HUBARIKIWE SANA MAMA
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@user-pg3ro8fe6w
@user-pg3ro8fe6w 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie sisi wana gulf 🥰🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@branicemunyanya1036
@branicemunyanya1036 2 жыл бұрын
Not easy sister mungu yupo na sisi tutamaliza salama
@esthernjeri8840
@esthernjeri8840 Жыл бұрын
Tusaidie Mungu Sisi niwanao utuuondolee tabuu Na haibu Kati kama kamaisha yetu Mungu utuokowe🙏🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@pamphilasalaka5376
@pamphilasalaka5376 10 ай бұрын
Powerful 🙏🙏Nisaidie Baba nimechoka na magonjwa 😭😭😭 huu wimbo umeniguza.
@noelatsole5552
@noelatsole5552 Жыл бұрын
Am blessed with this song,l was onces there,sleeping hungry tatal poverty, crying to my Lord to help me,but he has done it he has made me so proud and my kids,tunaheshimika Sasa,
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@deborahkipruto2016
@deborahkipruto2016 8 ай бұрын
Amen glory to God
@tophineoronje
@tophineoronje 2 жыл бұрын
Lord help me come out of the garbage of sin, restore my salvation that my heart may not continue collecting sins from the Satan's yard... Only You Jesus Christ is my hope...Guide my steps in this life to always trust in You and follow your will in my life...
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@mofaithnyanchera9656
@mofaithnyanchera9656 Жыл бұрын
Amen
@saimonjohn2333
@saimonjohn2333 2 жыл бұрын
Haujawahi kukosea dada angu unakijua unachokifanya upo rohoni sana kiukweli nimeshindwa kujizuia MUNGU akutunze sanaaaaaa mwanamke shujaaa unajitambua safiii sana mwimbaji wa siku za mwisho uliye bakia kama mbegu kwa nyakati na majira kama haya be bllesed man of God 🤝🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@tullahtweve8852
@tullahtweve8852 2 жыл бұрын
Wifi wimbo umenibariki Sana, umeimba hali halisi katika Kipindi hiki katika maisha yangu bila Mungu kuwa msaada isingekuwa rahisi hata kidogo. Mungu azidi kukupa neema ya kutumika Kama chombo chake katika kuganga mioyo ya watu. BARIKIWA SANA
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina my wii
@lilianbaraza2831
@lilianbaraza2831 2 жыл бұрын
Nisaidie mungu wangu,Nina Imani kwamba mungu atanisaidia mwaka huu🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@centynafula7080
@centynafula7080 2 жыл бұрын
Mungu nitie nguvu ,nisaidie Mungu wangu 👏 more blessings mum
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@loicedzidza4386
@loicedzidza4386 Жыл бұрын
Nisaidie mungu wangu nikuwadharau kwa madui zangu nilingoja faraja wanipauchungu kuwa chakula changu wapangao mabaya juu yangu baba nisaidie
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@santanabii5374
@santanabii5374 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭mungu nisaidie kwa magumu ninayopitia,,,,kumbuka familia yangu😭😭😭😭 inspiring song,,,dada mwaisumo🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakupenda sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Shukrani sana mpendwa wangu
@victorakwata3497
@victorakwata3497 2 жыл бұрын
This song touch my hart be blessed mum I feel it 😭😭😭😭😭😭😭
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@rothr9533
@rothr9533 2 жыл бұрын
Acha mungu akutie nguvu,,,, i love u and ur song,,, znanitia nguvu sana,🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Shukrani sana
@zoeyameria6082
@zoeyameria6082 Жыл бұрын
Vaileth god bless you lreal love your songs ❤️kwanza lle ya baba yangu atafanya njia ❤️
@Giruk7050
@Giruk7050 Жыл бұрын
Amen amen🙏 🙏 wimbo hu unanitoawa macozi😭😭😭😭
@derickwanyama7470
@derickwanyama7470 Жыл бұрын
Asante🌟,,nyimbo zako mama Zina usemi mkubwa kwangu mama😔,,,wimbo huu unanihusu sana,maana kikombe hiki🍷 kilichoko mbele yangu ni kizito😭. Natiwa moyo na nguvu ya kuamini ipo siku ndafarijika🙏🙏🙏.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@juddexoloro5881
@juddexoloro5881 2 жыл бұрын
Halleluyah 🔥🔥🔥am so in touch with this song and I found my self praying and crying to my God, be blessed my sister more love from 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@christinekendi4460
@christinekendi4460 2 жыл бұрын
Thank the lady of God umenisandia sana niko hali ngumu sana nimeamini mungu atanisaindia asante sana
@Ailestv
@Ailestv 2 жыл бұрын
Mbona unaniliza mweee
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Pole mpenzi
@KyaloKatoo
@KyaloKatoo 29 күн бұрын
Aky kusema ukweli nyimbo zako zinanibariki sana zinanifanya nikaribiane na mungu wangu kila dakika,,be blessed mum na mungu azidi kuwa nawe,,milele
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 28 күн бұрын
Amen
@joylinecansha2771
@joylinecansha2771 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭baba nisaidie nimalize huu mwendo nakuitaji baba usiniache kwa watesi wangu nisaidie mungu🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@princesssilas5941
@princesssilas5941 2 жыл бұрын
😭😭nisaidie Mungu wangu🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@MaggyGesare
@MaggyGesare 3 ай бұрын
Eeh mungu wangu nizaidie kwa mateso ya hulimwengu .dada yangu mungu hakuinue kwa kiwango kingine❤️❤️🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Amen
@margaretmaratu4385
@margaretmaratu4385 Жыл бұрын
Ooh this song 🥺🥺😭😭😭😭😭 so touching Perfectly connected with God Vaileth be my fred I need a connection to God plz
@saimonjohn2333
@saimonjohn2333 2 жыл бұрын
Nimejikuta nalia mwanzo wa wimbo mpaka mwisho wa wimbo asante sana dada angu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina pole kwa kulia
@berylakoth7224
@berylakoth7224 2 жыл бұрын
Nyimbo zako my sister zinani fariji sana 😢 😞 good job mummy, keep going in Jesus name 🙏 💙 ❤ 💖
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@diffencewakio1840
@diffencewakio1840 2 жыл бұрын
Nisadie mungu wangu majira haya ni majira ya haibu kwangu nisaidie mungu wangu 🙏🏻🙏🏻nisadie bwana ombi langu la kila siku🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@user-fy6ft6nk6u
@user-fy6ft6nk6u 8 ай бұрын
Huu wimbo unanitia nguvu sana, nko pekee yangu ata marafiki wangu wote awemenitoroka nimebaki pekee yangu,,nisaidia mungu wangu
@BeatriceGathitu
@BeatriceGathitu 5 ай бұрын
Hugs mama 🤗
@llynecollyne7474
@llynecollyne7474 2 жыл бұрын
Ooh my goodness....the song came to me at the right time.......nipo katika hali ngumu hivi sasa.......Mungu wangu nisaidie...Violet Mungu akubariki sanaaa
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
YESU akuvushe mpendwa
@llynecollyne7474
@llynecollyne7474 2 жыл бұрын
Jameni barikiwa sana dadangu......
@eppiemodest
@eppiemodest 2 жыл бұрын
Nyimbo zako zinagusa sana jamani. Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu. Aibariki familia yako vilevile. Nakupenda sana unanifariji sana.🎵🔥🔥🔥🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Shukrani sana mpendwa
@user-hn1yl9rl8f
@user-hn1yl9rl8f 2 жыл бұрын
Mtumish Wa mungu nyimbo zako zinanigusa Moyo Wangu wakati nik n shida n Raha waj Mungu akutie nguvu n Faraj Kwa kaz unapoendelea kufany 🙏🙏🙏 Kwa ii Dunia Kuna mjarib mengi Sana😭😭😭
@miriamausebio4905
@miriamausebio4905 Жыл бұрын
Nyimbo zako nzuri zinafariji sana mama angu mungu azidi kukubariki♥️♥️ we love u
@MelvinAbuhelwa-li4hv
@MelvinAbuhelwa-li4hv Жыл бұрын
This song though 😭😭😭😭 naamini Mungu atanisaidia🙏🙏🙏😭😭
@queendeeofficial9810
@queendeeofficial9810 2 жыл бұрын
So touching,, powerful massage more grace to you 🙏 NISAIDIE MUNGU WANGU
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@naomichristopher3941
@naomichristopher3941 11 ай бұрын
Unanibariki sana mtumishi , ipoo siku natamani nikutane ww kwaajili ya huduma kalibu mza .
@safari2976
@safari2976 2 жыл бұрын
🥲🥲🥲to God be the Glory!! Mungu tusaidie.. kazi nzuri sana mama. Mungu azidi kukuinua.❤️❤️❤️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@mildredatitwa8835
@mildredatitwa8835 Жыл бұрын
Amen 🙏.Mungu nisaidie kwa Yale ninayopitia baba nimalize mwendo salama na unipe kipawa natamani Sanaa nikuimbie kama huyu mama . Be blessed mummy
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@rombomoja1250
@rombomoja1250 2 жыл бұрын
Msaada wangu utatoka wapi!!msaada utatoka kwa Mungu.barikiwa Dada Vailethi kwa nyimbo nzuri
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Shukrani
@naomisipeta8142
@naomisipeta8142 2 жыл бұрын
My prayer right now, am also praying that may God come through my situation so that one day I will come back with a testimony
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@doreencheptoo1254
@doreencheptoo1254 2 жыл бұрын
Umekua wa baraka kwangu ...nyimbo zako zinanitia nguvu sana 💜❤️barikiwa sana .... nakupenda sana 🌹...mungu abariki huduma yako siku zote 🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@evlynbbori1810
@evlynbbori1810 2 жыл бұрын
,😭😭😭nisaidie mungu wangu hata kwa hali hii ambayo naona kufika mwisho🙇‍♀️🙇‍♀️😭🤲🤲🤲
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@diffencewakio1840
@diffencewakio1840 2 жыл бұрын
Nisaidie mungu wangu kutana na mataji yangu bwana 🙏🏻🙏🏻
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@annayuda6158
@annayuda6158 2 жыл бұрын
Amina,barikiwa sawa Mungu akpeleke viwango vya juu,mungu nisaidie nipite jarib lililo mbele yangu😭
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@lonaaviosi6027
@lonaaviosi6027 2 жыл бұрын
Lord have mercy upon human being, they change with a second this is a sad reality, you stand with them but when your turn comes all they turn their back on you as if they have never seen you anywhere Lord help any person who has a gold heart to be on their feet always i can't get tired of this song 😭😭😭😭😭queen i tap the anointing i declare more and more blessings.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@wilycksterwere1921
@wilycksterwere1921 2 жыл бұрын
Saidia nchi yetu ya 🇰🇪 Kenya tunapoelekea kwenye ujaguzi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@ruthkwamboka2824
@ruthkwamboka2824 Жыл бұрын
Laiti ningekuwa na sauti kama yako mamaa,,pia ningeimba tu kama wewe kwa maana nyimbo zako zinanibamba sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@rogerslihanda6644
@rogerslihanda6644 2 жыл бұрын
Kwa kweli nimebarikiwa sana mungu akubariki sana.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@nteejemimah6137
@nteejemimah6137 2 жыл бұрын
Whenever she sings the holy spirit comes over me
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@cintersunshine7403
@cintersunshine7403 2 жыл бұрын
naomba namba yako dada vaileth nina kazi natak fany na ww
@fellyomwoha6758
@fellyomwoha6758 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏 nisaidiye mm pia baba...hii nayo pia imepita nafsi yangu..mkama si usaidizi wa mungu ni nani mwingine.🙏🙏🙏😭😭😭😭😭barikiwa sana mummy
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@fellyomwoha6758
@fellyomwoha6758 2 жыл бұрын
Nataka nikuombe na usaidizi
@fellyomwoha6758
@fellyomwoha6758 2 жыл бұрын
Pliz nina case si niombee haki nina shidai niko saudia na ningumu nirudi..natamani nirudi kenya😭😭😭😭🙏🙏🙏
@suleshmacs1286
@suleshmacs1286 2 жыл бұрын
Mungu saidia wote wanaopitia hali ngumu ynye majonzi🙏🙏.mungu akuinue zaidi dada ktk nyimbo zko
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Shukrani sana
@superwhitetz3258
@superwhitetz3258 2 жыл бұрын
Nyimbo zako zinanibariki sana 🙏 Mungu akuzidishie uwezo uendelee kutubariki.mimi shabikiako mkubwa sana napenda unacho fanya much appreciate you
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Thanks much
@vanebichanga9466
@vanebichanga9466 2 жыл бұрын
Glory to God who is able to our lives 🙏🙏🙏I knows us before JEREMIAH 1:5
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@markmiah3108
@markmiah3108 Жыл бұрын
I see the live we lived as a family back 2000 while living as squatters in personal land, there was no food, there was no peace, the owner of the land was every time at our doorstep telling us to leave but we hesitated as there was nowhere else to go as no relative would accept to live with us. We slept a number of days without food till we one day ate treated maize seeds. Lord you are great. This far is actually God, we live for Him 😭😭. God bless the artist. You are touching lives out here
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@jenniferkimtai5938
@jenniferkimtai5938 2 күн бұрын
Nisandie katika magumu ninayo pitia
@mamakewalton7436
@mamakewalton7436 2 жыл бұрын
Tuko pamoja my sister...nimebarikiwa
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Shukrani sana
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@berryleochola1240
@berryleochola1240 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 kama sio huyu mungu maadui wangetuangamiza. Listening from Kenya
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Be blessed
@sarahmwakajinga2150
@sarahmwakajinga2150 Жыл бұрын
Dada vaileth Mungu aendelee kuinua kipawa chako nyimbo zako ziendelee kuwa na utukufu Mungu akubariki
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@wafulawasieba8777
@wafulawasieba8777 2 жыл бұрын
Hakika sina mwingine wa kunisaidia ila ni wewe Mungu wangu.Nakuomba unisaidie niepuke majaribu yaliyo mbele yangu.Barikiwa sana dada Mwaisumo.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@sharonatieno1792
@sharonatieno1792 2 жыл бұрын
I luv ur songs so much ...... Whenever I listen to them I pray earnestly to my living God
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@yohanapaul3760
@yohanapaul3760 2 жыл бұрын
Balikiwa dada kaz nzuri🖖
@AaAa-dd1qu
@AaAa-dd1qu 2 жыл бұрын
Amin amin mama unanitiya nguvu nimekosa utumaini rakini unanitiya nguvu asanteni baba nisaidiyeee😭😭😭😭😭🇧🇮🇧🇮😘😘😘😘😘😘🙏🙏🙏
@alicemalwa6026
@alicemalwa6026 2 жыл бұрын
May God strengthen every woman going through hard times ,I know something inspired you to sing such a song, May God see through everyone at this hard times Mungu tusaidie
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@ashleychep5267
@ashleychep5267 2 жыл бұрын
Amen
@essiejackson8588
@essiejackson8588 2 жыл бұрын
This is one of the most powerful song. Mom I can tell you all your songs are a blessing.. I have a testimony... May God bless you for me.. We are going to reach our destiny in Jesus name
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@benardnyakoe9583
@benardnyakoe9583 Жыл бұрын
😢😭may God plz help our mothers what they go through in the society
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 2 жыл бұрын
Mtu wa MUNGU hakika unanibariki sana kwa huduma hii ya uimbaji MUNGU akubariki sana huu wimbo umekuja kusema nami katikati ya ninayopitia MUNGU akubariki sana 😢
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Shukrani sana
Vaileth Mwaisumo - Atafanya Njia ( Official Video) SMS SKIZA 8089705 to 811
7:40
Vaileth Mwaisumo - Anza Wewe Baba (Official Music Video)
5:18
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 149 М.
My little bro is funny😁  @artur-boy
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 3,8 МЛН
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 106 М.
Goodluck Gozbert - Ipo Siku | Official Music Video
5:53
Goodluck Gozbert
Рет қаралды 14 МЛН
Vaileth Mwaisumo - Vita si Yangu (Official Music Video)Skiza *860*287#
4:42
Bahati Bukuku - Picha ya Mama (Official Music Video)
8:21
Bahati Bukuku
Рет қаралды 1,6 МЛН
VAILETH MWAISUMO_ UMEBAKI MWENYEWE
5:57
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 642 М.
Vaileth Mwaisumo - Mkono wa MUNGU (Official Music Video) Skiza *811*255#
4:36
Bony Mwaitege - Moyo Wa Shukurani (Official Music Video)
8:31
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 189 М.
Turar | Zhaman unayd | 2024
3:29
TURAR YDYRYS
Рет қаралды 61 М.
Қанат Ерлан - Сағынамын | Lyric Video
2:13
Қанат Ерлан
Рет қаралды 3,1 МЛН
Janona
4:09
Release - Topic
Рет қаралды 1,2 МЛН
Bakr x Бегиш - TYTYN (Mood Video)
3:08
Bakr
Рет қаралды 798 М.
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
GOLDEN SOUND
Рет қаралды 2,7 МЛН
Zattybek & ESKARA ЖАҢА ХИТ 2024
2:03
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 143 М.