VIDEO YA MAGUFULI itakayokutoa MACHOZI!!

  Рет қаралды 2,311,978

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

Күн бұрын

Пікірлер: 822
@RoseMbwawa
@RoseMbwawa 4 ай бұрын
Utakumbukwa daima baba i mc u Mungu akulaze mahali pema peponi Amina
@salomemtwale5370
@salomemtwale5370 2 жыл бұрын
Sawa na zaburi 109 Mungu tunaomba usinyamaze juu ya hao waliohusika na huu baba
@kambalekalemo9903
@kambalekalemo9903 2 жыл бұрын
Nime lia kwasababu alikufa wakati yupo kwa mikakati yakutaka kusaidia Congo🇨🇩 , aka acha akisema tu kwamba sisi wa Congomani tupo wa ndugu nawa tanzania🇹🇿❤️
@felisterjonathan7638
@felisterjonathan7638 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭🙏
@YusuphAbdilahikimolo
@YusuphAbdilahikimolo Жыл бұрын
Huyu baba c alikuwa malika gabriel kabisa jaman😭😭I mc u ddy.ila mbn kwa mama uchumi umeshuka 😢 mambo yameenda hobelahobela ndan ya muda mfupi sn jm.MUNGU TUPIGANIE WATANGANYIKA JMN HALI YETU INAZID KIELEKEA KULE MAHAL NYE HERE ALITUTOA
@rambostalon2888
@rambostalon2888 2 жыл бұрын
Hatukuoni ila tunashindw kukusahau Ewe yesu kristo wa Nazaleth ulie mfufua lazaro mkumbuke kipenzi chetu rais wa wa nyonge bado tunakulilia
@RahmRahmmy
@RahmRahmmy 6 ай бұрын
Enyewe mungu umemchukuwa raisi mwaminifu, uzidi kumweka mahala pema peponi. Hakuna raisi Kama huyu duniani hapa😭😭😭😭
@kalamapendo2701
@kalamapendo2701 2 жыл бұрын
Rip baba wewe ulikuwa msada Kwa wengi nikiona venye ulikua unasaidia bila ubaguzi kwakweli umeacha pengo Tanzania ambalo hakuna atakaye liziba 😭😭😭 am from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@samwelilaizer8609
@samwelilaizer8609 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 hakika utakumbukwa milele
@BarakaMasabo-kb6hk
@BarakaMasabo-kb6hk Жыл бұрын
Hakika ni Nani atakae tufuta machozi sisi pia tunakuenzi vip mzee wetu mbona umetuacha papaya mamma hii
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 жыл бұрын
TUTAKUKUMBUKA DAIMA MUNGU AKUPUMZISHE KWA AMANI AMINA.
@AmaniMkaine-t2r
@AmaniMkaine-t2r 9 ай бұрын
Banana mungu wa mbinguni akulaze mahali pema.mungu awakumbuke uzao walk daima
@AgnesKibuga-d3j
@AgnesKibuga-d3j 10 ай бұрын
Jp ungekuwepo mpaka leo hii nchi yetu ingekua Mbal sana duh binadam Wabaya mh nitazid kukuombea magu
@NolascoMasaule
@NolascoMasaule Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe pumziko la milele
@dogstz4473
@dogstz4473 2 жыл бұрын
ASANTE SANAAAAAAAAAAA 💪 mzee umetuachia urithi wa maneno na tunayafata kama 2pac vile🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@FredsonHytham-dx4xk
@FredsonHytham-dx4xk Жыл бұрын
Baba sina neno mm ,😭😭😭😭
@Ndegesela
@Ndegesela 6 ай бұрын
Bba yetu hakika wew ulikuwa jembe la watanzania htutapta kiongozi kma wew mungu akupumzishe kwa aman
@Ndegesela
@Ndegesela 6 ай бұрын
Mungu hawez kkuacha hko ulipo akupe maisha ya milele...cku ikipendezwa tutakaa pamoja na kufrahi pamoja mungu muangazie mwanga wa milele
@willistonemnengo
@willistonemnengo 2 жыл бұрын
Huyu ndie Raisi Africa ambae nilimutambua ,aendelee kupumuzika Kwa Amani.🇰🇪🇰🇪
@MANIWAMICHANO
@MANIWAMICHANO Жыл бұрын
Ktk Maisha ya mwanadam yoyote anae ishi chini ya jua hakuna kitu kizur Kama kuishi vzr hata mng mwenyewe anapenda Hadi raahaa ,,yeemweee,,,
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 Жыл бұрын
mabeberu na majizi ya mali za afrika hayataki kabisa kuona kiongozi kama huyu yanapanga njama za kumuua haraka sana,yalimuua mzee wetu Gadaff,Mzee Thomas Sankara na Magufuli, walidhani wanamzuia Gadaff sasa BRICS inataka toa sarafu ya kuishinda dola,walizani wamemshinda Sankara sasa yuko kijana Ibrahim hatari sana na tz patakuwa sawa tu kwa ukuu wa Mungu wa waafrika aliye uweka utajiri wote afrika
@dehain1848
@dehain1848 2 жыл бұрын
Mtetezi wa nyonge hatuwezi kukusahau mzee continue resting in power😭😭😭😭 watching from kenya
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 2 жыл бұрын
Acha hbr za maneno ya Kuambiwa mzee Muache mzee wetu wetu apumzke
@charlesmaina360
@charlesmaina360 9 ай бұрын
Asanite kwa mheshimiwa Marehem Kwa kusimama na MUNGU siku sake zote akiwa Raise wa inichi. MUNGU yuko nae huko alitangulia Amen 🙏❤️🙏❤️ you
@NeemamungawenawedaimRaba-co3uf
@NeemamungawenawedaimRaba-co3uf 6 ай бұрын
Mtetez wawanyonge pumnzik saram
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
KWA HILO NAGUFULI ULIISHINDA DUNIAA, NA INAKUHESHIMU SANAA. MAANA BAADA YA MUDA MFUPI MPAKA WAZUNGU WOTE NAO WAKAACHANA NA CARANTIINI ZAO. LAKINI HAYO YALIKUWA NI MAONO YAKO MAGUFULI.
@EnjoyMaiko-eu1ps
@EnjoyMaiko-eu1ps 4 ай бұрын
Kwanini mungu anaacha watu wenyelohombaya waishi alafu watuwemakama wewe magufuli wanakufahalakaa duuuuu cjui nichaguwelipi kati yakuwa kama magufuli au niwe nalohoo mbaya makatili wanaishisana duuuuu🙏🙆
@GaudensiJames
@GaudensiJames 6 ай бұрын
Inatia huruma kwajembe kama hiring mmungu amrehemu mtu huyu kwani hakua naatia kabisa nimeamini siku zone msema kweri huchukiwa
@lesikaredward2754
@lesikaredward2754 Жыл бұрын
Mungu akutangulie miss you presedent magu
@EnthusiasticDrumKit-on1qr
@EnthusiasticDrumKit-on1qr 5 ай бұрын
Ooooooh❤❤❤
@annadotto2429
@annadotto2429 2 жыл бұрын
Endelea kupumzika kwa Amani baba, hakika sitakusahau milele
@florangido202
@florangido202 2 жыл бұрын
R.I.P. BABA, TUNAKUOMBEA UPUMZIKE SALAMA UKO ULIKO, NASI TUTAKUJA, ILI KWA PAMPJA TUMLAKI BWANA YESU MAWINGINI!! AMEEN
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
🙏🙏
@patrickkwibe4431
@patrickkwibe4431 2 жыл бұрын
Wazungu,walitumia ndugu zetu ili wakuue maana walijua wazi kwamba Africa utaibadilisha na kuwa Kama paradizo ndogo ya duniani,sitasahu pale ulisemaga kwamba utaweka Barbara ndani ya ziwa la Tanganyika mpaka DRC,ili mradi uchumi uongezeke,Baba we ni kichwa,we ni Simba,we ni mzalendo na uliipenda Sana Africa,RIP
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
Umeandika kwa uchungu Sana' Mungu akufariji ' haya ya kaisali yasikukatishe tamaa.
@martinstephano4161
@martinstephano4161 2 жыл бұрын
Duu! Urikua jembe kweri mzeewetu tunakukumbuka
@josephinelyimo2467
@josephinelyimo2467 2 жыл бұрын
Alijua atauwawa siyo atakufa !
@LindaNgongi-pn9tf
@LindaNgongi-pn9tf 7 ай бұрын
Tutakukumbuka mirere jemedar magu turkupenda rakni mungu kakupenda zaid ustarehe kwaamani ameni
@dhehhehe8525
@dhehhehe8525 8 ай бұрын
Rip from 254 Kenya
@muhammadbamus5767
@muhammadbamus5767 9 ай бұрын
May your soul continue rest internal peace baba pombe magufuri, mahari tumefika tuna kumbuka neno lako kwa uzuli si kwa ubaya
@AthumaniAbdalah-vg5ti
@AthumaniAbdalah-vg5ti 11 ай бұрын
Mungu akupumzishe baba, umetutoa gizani ingawa kinachoendelea sasa hapa tz, sijui ndolaana!!.
@EnthusiasticDrumKit-on1qr
@EnthusiasticDrumKit-on1qr 5 ай бұрын
Huyu ndie raiAfrica ambae❤❤❤❤ Amazing and🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RehemapaulMsumanji
@RehemapaulMsumanji Жыл бұрын
Namkumbuka magufuli Munguakupe Kaulisabti magufuliwetu
@sarafinasakalla1156
@sarafinasakalla1156 2 жыл бұрын
Duu Mungu akupumzishe kwamani 😭😭
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Alivyomalizia '...na sisi tupo njiani,tunakuja..'
@EnthusiasticDrumKit-on1qr
@EnthusiasticDrumKit-on1qr 5 ай бұрын
How are you today🎉❤❤❤❤❤❤
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Huyu mwamba alikuwa jiwe hasa. Kipindi balozi Kijazi alikufa corona ndo iko peak times..lakini hakuna mteule wake aliyevaa barakoa.. JPM aliishi maneno yake.. R.I.P kiongozi wetu
@jastinesamboto4674
@jastinesamboto4674 2 жыл бұрын
Mbona kafa Sasa kama alikuwa jiwe?
@torokokorobert5841
@torokokorobert5841 2 жыл бұрын
mh we huyu mzee bas😭❤️
@vincentagwata9459
@vincentagwata9459 8 ай бұрын
May you continue resting in peace Rais magufuli, you listened your electorate and help ed them solve problems without favouring the rich. Be blessed abundantly
@ThomasiNgomo-sq2oi
@ThomasiNgomo-sq2oi 9 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@salastinhail5165
@salastinhail5165 2 жыл бұрын
Baba magufuli pumuzika kwa amani tulikupenda sana na mungu akakupenda zaidi
@happyboy478
@happyboy478 6 ай бұрын
Utakukumbuka daima baba
@chazyvictar5977
@chazyvictar5977 Жыл бұрын
Pita uku
@magotibiseko1739
@magotibiseko1739 Жыл бұрын
Miziki yadamodi
@albartpaulo1183
@albartpaulo1183 2 жыл бұрын
Hakika kifo wewe ni katili sana ila ujinga mwingi uliyo nao wewe kifo unasahau kwamba unamuondoa mtu tu duniani lakini matendo yake yanaishi duniani na tutaendelea kuyaishi mazuri yake.
@emilynyaki5590
@emilynyaki5590 9 ай бұрын
Rest in eternal peace the second father of our Nation,,, we will miss you dady🙏🙏🙏🙏🙏
@JamesNaftary
@JamesNaftary 8 ай бұрын
Amina kubwa
@EUSTABIUSKATONDO
@EUSTABIUSKATONDO 6 ай бұрын
Tutakukumbuka sana
@WinifridaMtesigwa
@WinifridaMtesigwa 6 ай бұрын
Kikongwe movie
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Hapa alikuwa ameanza kuumwa jmn,na msiba wa kijazi ulimuumiza sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭RIP baba
@abedisofia2764
@abedisofia2764 2 жыл бұрын
Kweli yako hakuna linalo kufika mbaka mungu atake nice one, mungu atakusamehe
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 2 жыл бұрын
Jamani Mzee amepumzika muache kurusha mambo ya ajabu
@martafrancisco4319
@martafrancisco4319 2 жыл бұрын
Dkt John P Magufuli. May his soul Rest In Peace. He lives in our minds, I loved and I still loving his comments!!! From Moz, 🇲🇿❤️🇲🇿❤️🇲🇿❤️
@AdamMikoka
@AdamMikoka Жыл бұрын
Xxxx videoss
@tresortresor4974
@tresortresor4974 Жыл бұрын
sawa
@noorlheyaljabri602
@noorlheyaljabri602 Жыл бұрын
ulipokuwepo uwadilifu ulikuwepo wafanyakaziwootewalikuwa relisasahvi nimtihani emkombozi wetu tunakukumbukanarudiyatena kinyonge
@susanmuhindi-oh3vy
@susanmuhindi-oh3vy 6 ай бұрын
paul
@PeteloLameck
@PeteloLameck 6 ай бұрын
Nimeipenda
@magdalenamaganga4791
@magdalenamaganga4791 Жыл бұрын
Unajua,huunijinga, aliyemchora nampumbavu borayeye alizikwa,wewe,uliyemchora,hivyo,utakufa,Kama,jibwatu,lisilonamwenyewe afadhalikama,jibwa,linamwenyewe,atalichimbia,lakiniwewe, ambae,ulitumbuluwa,kwakutumia,akili,zawenzako,mwenzio,asome,kwaakiliyakeyote,wewe,uje ule kwamrijatu,bilakuumiza,kichwa ndiyonaana,mnamdhihaki,,lakini,mnajisumbua,tu,jpm,hatatoka,rohoninaakili ni,pia kwanza nyinyi,mnatakiwa,muwarudishie, stahikizao,mliwaibia
@jamesmwangi8598
@jamesmwangi8598 2 жыл бұрын
Huyu ni kiongozi mtetezi wa wanyonge
@SamiaAa-f3k
@SamiaAa-f3k 6 ай бұрын
Ñitakukmbuka
@cuthbertsasagu8320
@cuthbertsasagu8320 Жыл бұрын
Magufuli tutaku miss baba yetu kipenzi. Nilikupenda sana upeo. Pumzika kwa amani baba yangu. Ameen. Wote tuko njiani.
@LowassaKipara
@LowassaKipara 6 ай бұрын
🎉😢 2:00
@DavidHubert-pw5lg
@DavidHubert-pw5lg 4 ай бұрын
rest in peace
@Alephideli
@Alephideli 4 ай бұрын
W
@JeffMuna-pv5ez
@JeffMuna-pv5ez Жыл бұрын
I LIKE THE WAY YOU GO
@JeffMuna-pv5ez
@JeffMuna-pv5ez Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 I love you so so much
@mesiyayannko7544
@mesiyayannko7544 2 жыл бұрын
Naona kama ndoto nahisi hupo hai2
@muhalakibwana4026
@muhalakibwana4026 2 жыл бұрын
Huyu Mzee Tanzania na Africa nzima hatasahaulika alikuwa mwamba na nguzo muhimu Kwa wengi
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 2 жыл бұрын
Tunakukumbka BABA Endlea kupumzika,MUNGU....Aendleee kukpmzisha akupnguzie adhabu ya kabuli
@restitutamassawe5828
@restitutamassawe5828 2 жыл бұрын
Yani baba kma bado upo vile hatuna baba
@YugaJiwala
@YugaJiwala 6 ай бұрын
Mhhh
@HaibuniOmary-wx5bs
@HaibuniOmary-wx5bs Жыл бұрын
Kizuli haki dum lala salama baba bado twakukumbuka
@patricksadock6198
@patricksadock6198 2 жыл бұрын
really right ,, hakuna kama magufuli
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 жыл бұрын
Tulipotezaa jembee hapaaa daaaa
@monikamasasi7582
@monikamasasi7582 2 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima 😭😭😭😭😭Hadi kesho tutaendelea kuumia Sana
@msafirimkude2688
@msafirimkude2688 Жыл бұрын
Tutakukmbuka Daima Manatulikua Bd Tunakupenda👋👋👋
@KZ2L2lzQyvl
@KZ2L2lzQyvl Жыл бұрын
Subscribe
@RehemapaulMsumanji
@RehemapaulMsumanji Жыл бұрын
🤗😂😍
@ManJohn-b9w
@ManJohn-b9w 8 ай бұрын
naitwa nolobety lwambano mung ilaze loo ya maleem alie kuea lis wet magufuli 6:07
@hojaerenest7543
@hojaerenest7543 2 жыл бұрын
Mungu akuweke mahalipema zaidi amin
@paschaziamathias5090
@paschaziamathias5090 Жыл бұрын
Hakika umeacha pengo kubwa sana ktk Nchi yetu ya Tz, Baba,tunakukumbuka kwa mengi sana kipenzi chetu. Mungu akupokee ktk nuru ya USO wake, na utuombee nasi tuufikie Uzima huo wa milele. Aminaa.
@meysampaul
@meysampaul 5 ай бұрын
mteteziwawa nyonge ulalesalam
@thomasosano3323
@thomasosano3323 Жыл бұрын
Pole
@soudsaidi9708
@soudsaidi9708 2 жыл бұрын
Yaaan daaaaah kwel chuma kimeanguka nchi hii inayumba yumba tu Kila sehem tozo watu bidhaa wanajipangia pangia Bei tu mitandao ndio usiseme
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
Usisahsu makato ya kutoa pesa kwenye benk na cm Ni balaa tupu
@faustinerobertmombo99
@faustinerobertmombo99 2 жыл бұрын
Unajua mtu mwenye wito wa uongozi huwa anaonekana tu hyo ndo alikuwa Kiongozi sasa but for now tunaendesha tu R.I.P JPM 😭😭😭😭
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 2 жыл бұрын
Namuona yuda esikaliote na barakoa
@JacksonChongela
@JacksonChongela 6 ай бұрын
Namkumbuka sana huyu mwamba JPM! Mwenyezi mungu ailaze mahala pema pe
@NamakoyeMadina
@NamakoyeMadina 3 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@EvalineMashaka
@EvalineMashaka 2 күн бұрын
Amin
@Artist-my9zx
@Artist-my9zx 5 ай бұрын
Hotuba ya kiume. Iliyojaa hekima ,utashi na ujasiri, huyo ni miongoni mwa nguzo imara zilizowahi kuushikilia bara la Africa R.I. P Daddy
@maryaugustor6983
@maryaugustor6983 5 ай бұрын
Angalia huyo ,ngo”mbe aliyekutoa uhai mnafki mkubwa akamuuza mtoto wetu auwwawe hivi hivi Rest In Peace my dear brother
@jacksonbalili6041
@jacksonbalili6041 2 жыл бұрын
MUNGU Alinde sana Tanzania
@GraceHamis-p1b
@GraceHamis-p1b 6 ай бұрын
Mungu ailaze loho yako mahal pema pepon hakika ww ulilitetemesha jiji pamoja tanzania nzima🇹🇿😂😂😂😂😂😂😂oohoooo!
@dktneynyanda4209
@dktneynyanda4209 Жыл бұрын
Binafsi nakukumbuka sana mtetezi wa wanyonge nilitamani cku moja urudi uwendelee kuongoza taifa duuuu uh! Ni ngumu sana kusahau
@wilfredkiruilimo
@wilfredkiruilimo 9 ай бұрын
Rip african legend.How u loved ua electorates; visited them, heard their tribulations and sorted them head-on; delights my heart tremendously.May the rest of African leaders emulate this.❤ from 🇰🇪
@Jonas-qc9bz
@Jonas-qc9bz Жыл бұрын
Halikua ajui Ila arisema munngu kahamua kwenda kumtumia nayeye apo Ari mzungumzia halie kufaa Wala sio yeye
@DawsonMateru-z2g
@DawsonMateru-z2g 6 ай бұрын
Utaendelea kuwa kiongozi Bora , shupavu katika Tanzania Wala hatutakusahau kamwe baba yetu
@WambuaDaniel-xm3wp
@WambuaDaniel-xm3wp 4 ай бұрын
wapo madaktari,kwa kuwepo magojwa duniani,cku ikifika magojwa yaishe!jiulize na ujijibu
@MANIWAMICHANO
@MANIWAMICHANO Жыл бұрын
Kifo ni pigo kbwa saana kwetu,,hata dunia nzima tkiandamana hatuwezi weza,,mng baba wa mbingini ,,ingilia Kati mwenyewe wanao tnaangamia,,inauma saana Tena saana,,,daaaaaaass🎉🎉🎉🎉🎉
@CresenciaCastor-rk2ty
@CresenciaCastor-rk2ty 7 ай бұрын
God akunjalie pumzik la milel heaven.Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭
@CresenciaCastor-rk2ty
@CresenciaCastor-rk2ty 7 ай бұрын
God akunjalie pumzik la milel heaven.Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Kweli baba RIP huu ugonjwa hata huku umewashinda unaibuka kila siku hadi wazungu wameshindwa
@JumanneMajura
@JumanneMajura 6 ай бұрын
Asante mzee wa Kaz umetangulia xix wanao umetusaidia xan kweny elimu😂❤😢🎉😮😢😅😊
@edsonluciankasuva1379
@edsonluciankasuva1379 9 ай бұрын
RIP Mr John Joseph Pombe Magufuri( )
@MaryanicethMathias
@MaryanicethMathias Жыл бұрын
Ulikua na upendo Kwa kila mtu haukubagua mtu dini Wala chana pumzika kipenzi maneno yako na sauti yako masikioni mwangu sitakusahau
@jacobmwalimucharo-jp5bx
@jacobmwalimucharo-jp5bx Жыл бұрын
Duniani kote rais huyu ndio alienda mbiguni hata kama kunawengine lkn huyu mtu niwamungu
@emanuelxavery1185
@emanuelxavery1185 2 жыл бұрын
Mtetezi wa wanyonge R.I.P😭😭
@KZ2L2lzQyvl
@KZ2L2lzQyvl Жыл бұрын
Subscrube
Red Valentine Part 1 - Steven Kanumba, Wema Sepetu (Official Bongo Movie)
1:18:07
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 18 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 13 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
DOGO SELE NA BOSI KIMARO UTACHEKA DALALI WA MCHONGO
13:26
Fecha Sharon
Рет қаралды 3,3 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 18 МЛН