Katika vitu vya kuomba ukiachana na maisha yako na ndugu zako mwombee sana huyu kaka aishi maishi marefu sababu sio sisi tunaofanyikiwa bali ni vivazi mpaka vizazi.🙏🙏
@salomekombo2152 жыл бұрын
Kbisaaa Amen kubwaa Mungu ampe maisha marefu
@mrmbunju2 жыл бұрын
Sahh dada aisha nakubaliana naww japo vitu vizuri avidumu lkn kwauwezo wamungu Kunakusudio lakwepo kwake dunia nachakula anachitupa kinatujenga sn. tutanwombea mana kaka Joel Nanauka amenifny nmekuwa mtu Bora sn ktk maisha yngu my god bless Joel Nanauka 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@bensonbarnaba14312 жыл бұрын
Hakika umekuwa msaada mkubwa kwangu naamini Mungu amekuleta kwaajili yet,,,,,,,, Be blessed moreee,,,,,
@winnerbenjamin62652 жыл бұрын
Tunamshukuru sana kwa mafunzo ambayo yanabadilisha maisha yetu. Mungu akubariki
@charlesfaida15152 жыл бұрын
Siku zote nakuombea Kwa Mungu akulinde Sana Bro Joel 🙏 your my life coach Hapo kwenye oversimplifying watu tumepoteza pesa zetu nikiwemo na mm mwenyewe hakika elimu yako inatusaidia Sana Kaka
@seifathumani84362 жыл бұрын
Punguza muziki mrefu
@amoursalum82662 жыл бұрын
Hapa kwenye kuekeza kwa taarifa za nyuma heee..hatari. thnx broo
@teddyalex45922 жыл бұрын
God Bless you
@AdamBilali-d5x Жыл бұрын
Kaka ntapataje vitabu kutoka kwako
@virgosixthemoon96522 жыл бұрын
Asante Kwa elimu
@eneamwaruanda20642 жыл бұрын
hakika maneno yako yanaishi ndan yangu
@salomekombo2152 жыл бұрын
Shukrani broo joel nmejifunz ving kupitia ww Mungu akuweke na vizaz vyetu vije kujifunza kupitia ww 🙏🙏
@emanuelavaleriani86469 ай бұрын
Nakubali sana
@yekoniafanuel40712 жыл бұрын
Hujawah kukosea bro endeleza kutufumbua
@giovanniotto82 жыл бұрын
Asante brother kwa somo zuri mwenyezi mungu azidi kukubariki 🙏🏼
@mloweapple8678 Жыл бұрын
Shukrani sana kaka
@SHAYOEDWARD2 жыл бұрын
To joel is to facilitate knowledge
@lugendondayanse49102 жыл бұрын
What I can is Just God bless you kaka Joel. Nimeguswa point nyingi Hasa KUTUMIA TAARIFA ZA NYUMA NA OVER SIMPLIFICATION,, Thnks alot
@titombizo69412 жыл бұрын
Mambo mazuri sana kaka anayafanya mungu awenae
@joycemsita4434 Жыл бұрын
Kbsa
@omarimtau51622 жыл бұрын
Broo nanauka mara nyingi siachi kukupa shukran zangu.. Kwenye sector ya uwekezaji ni jambo muhimu sana kuyajua haya mambo ili tusiingie kwenye makosa na kupoteza mitaji yetu.. Kwa upande wangu najitahidi sana kuwa (open mind) ili nisije kuziamini fikra zangu na kuacha maelezo ya sahihi kulingana na sector husika.. naamini ntapata matokeo mazuri kama ntazifuata kikamilifu hizi njia...**Thanks** 🙏🙏
@Lighter.Tech.2 жыл бұрын
Kazi Nzuri Sana kaka ubalikiwe Sana Una Elimisha wengi🙏
@bigdreamer88572 жыл бұрын
Hii ya kusikia matikiti maji yanalipa mnalima Kijiji kizima nafikiri hapa umesaidia Sana kupaweka sawa kwa maana hiyo hakuna kuwekeza "habari ya mujini" thanks bro you sharpen our mind at least every single day in various angles of our hustling as youths. Kama Kuna mtafutaji na mjasiliamali kijana ambae halijui jina lako he/she could be lacking some seriousness. Kabisa
@damaridaudi9785 Жыл бұрын
anaelekeza kuliko at mtu yeyote uku kwa yotube yani mi nikija fanikiwa namtafuta nimpe at kagari nikimshukuru
@BS1262 жыл бұрын
ASante sana kiongozi napenda shauri zako na umenisaidia sana
@isackmbise89682 жыл бұрын
Asante mkuu uko sawa
@BS1262 жыл бұрын
@@isackmbise8968 🙏🙏
@eliacmaginya34292 жыл бұрын
Na wengi wa namna hii ukishaona biashara inayumba unakata tamaa na unasusa
@abbystructure22122 жыл бұрын
Am proud of you brother. Najifunza sana na naelewa vyema zaidi. Kwa sasa knowledge ya biashara inazidi kunijenga na one day ntatoa ushuhuda bila shaka 🙏
@rahimaaaaa86992 жыл бұрын
Kweli kaka jh
@regnaldgadi99242 жыл бұрын
Vipi uwekezaji wa mifuko ya pamoja kama utt amis
@aminaaa32272 жыл бұрын
Tunasubili somo kaka joel
@Aviero_072 жыл бұрын
Ngulii 🔥 🔥 🔥 🔥 💪💪💪
@christianmwasakogo55792 жыл бұрын
Ahsantee sana kwa mafundisho
@eliastanda98252 жыл бұрын
Ili somo makini sana
@bensontemu93562 жыл бұрын
Am Wait🙇
@ashaidd29122 жыл бұрын
Shukrani Kwa SoMo zuri
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Amazing my brother Joel
@mshigilakarume44252 жыл бұрын
Mmmh ama kwel elimu haina mwisho nliamini najua kumbe nahitaji kujifunza sana
@andreakoko20502 жыл бұрын
Hii inawahusu pia WATU wanaowekeza kwenye online business
@khadijakisingo79202 жыл бұрын
Nilikuwa naingojea Kwa hamu kipo kitu nimejifunza
@msodokiyasin91842 жыл бұрын
Tushafika darasan teacher
@farijanibakari9018 Жыл бұрын
Nkwei mosie
@costantinejovine60262 жыл бұрын
Shukran sana kwa kunifungua 🙏🏿
@yudageorge11832 жыл бұрын
kuwekeza muda kujifunza bila kuchoka kwa kila unachoitaji toka moyon kukubali na kutoacha kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa na wanaojua kukuzidi naendelea kutambua kuwa ndio milango ya mafanikio ktk UWEKEZAJI
@hassanovajunior69722 жыл бұрын
Somo zuri sana brother people have lost their money just for jumping into a business without knowledge and investigation 👏👏👏👍
@R.Dickon2 жыл бұрын
You'd to use the verb plunging into, instead of jumping...
@hassanovajunior69722 жыл бұрын
@@R.Dickon thanks for the correction I've really appreciate..may God bless you❤🙏🙏
@R.Dickon2 жыл бұрын
@@hassanovajunior6972 you're welcome🤝
@waltertesha33122 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@mwanatz59802 жыл бұрын
Asante
@fefehakunamatata13502 жыл бұрын
13 minutes only👏🏾still waiting broh
@abuyunusmohamed69612 жыл бұрын
Vipi kuwekeza kwenye kampuni za kubet mipira inalipa?
@conkerlosevenofficial86922 жыл бұрын
Nasubili kaka
@abrahammwambije27692 жыл бұрын
Kuna siku lazima nije nikushike mkono sijutii bando zangu.
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Kaka wewe ni geneus mind nmekubali ulicho ongea nkweli watu huwekeza Kwa kufata mkumbo
@ramadhaniathumani26362 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@habarikiswahili2 жыл бұрын
Over simplification hii inatukuta wengi..
@kijamalimi75072 жыл бұрын
✍🏻✍🏻
@denisamos62252 жыл бұрын
✊
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
🔥😘
@ghfhfdtyfgggd62712 жыл бұрын
Mimi nilisha fail mara nyingi just ya number 5.Naletewa general information nawekeza nakuja kujua uhalisia badae najikuta pesa zangu ziko hatarini.