Mbarikiwe Sana nyoote mnao zidi kubarikiwa na huduma nilio PEWA ombi langu ili kuwa OKOA wengi jitahidi kuchukuwa link hii unapo maliza kutazama mtumie na mwingine ili atunguliwe hizi sio nyimbo za masherehesho Bali tunatamani watu wafunguliwe na kufaham majira tulio nayo huwezi kufaham NI yupi ataokolewa kupitia link utakayo mtumia
@mestonianatori72542 жыл бұрын
Alafu mtafute mchungaji Mbarikiwa MWAKIPESILE Yule wa mbeya NI tipe yako kiroho atakusaidia saanaa..
@injilihalisitv20232 жыл бұрын
Amen Kaka Paschal Ubarikiwe , Sauti ya mtu aliaye nyikani, Itengenezeni njia ya Bwana, Yanyosheni mapito yake.,
@Raphael992 жыл бұрын
Amina
@kassebo2 жыл бұрын
MUNGU wambinguni akufunike kwa damu ya Yesu Kristo wanazareti
@kassebo2 жыл бұрын
MUNGU wambinguni amukuchagua uhubiri kwa wimbo huu .na Bwana Yesu Kristo wanazareti. Atakulinda na mabaya yote.
@evamanirubamburachristian99702 жыл бұрын
Mungu akulinde na mabaya yote katika jina la Yesu kristo.
@mugishapeter1153 Жыл бұрын
Barikiwa
@bennyally2445 Жыл бұрын
Hautakufa Bali utaishi ili ili uyasimulie matendo yabwana simama ukishikila Imani yako
@barakamanu15142 жыл бұрын
Hapa Kenya wengi wamedanganywa na maji, vitambaa, kalamu na vikorokoro vingi sana. Asante kwa kuifanya kazi hii, wasijewakasema hawakuambiwa.
@nsimiremparanyifrancine17892 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏
@gabrieljemawo78282 жыл бұрын
Is true brother
@irenemunyiva75432 жыл бұрын
MUMGU akulinde mtumishi kwa ujumbe, hizi ni nyakati za mwisho na tunaitaji watumishi Kama wewe ambao wanatuambia ukweli na kutufungu macho ya kiroho ,GOD BLS U🙏🏻
@reubenlusanya35462 жыл бұрын
Fanya kazi jinzi uwezavyo mtumishi maana muda umeisha ameeni.
@hadijamlokakuzenza21462 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu nakusikiliza na kufungukiwa nikiwa Oman
@princessa30602 жыл бұрын
OMG.....I can't believe this happening in this entire world Lord,,,no weapon formed against our lives shl prosper in Jesus might name 🙏×7...much 💞💞💞 frm ukunda Kenya SHALLOM
@marthakissima33352 жыл бұрын
Mungu aendelee kukuinua mtumishi wa Mungu,nabarikiwa sanaa na huduma yako😍
@happinesshelkon30152 жыл бұрын
God bless you brother 💓💕🥰nyimbo zako zinaukwel kabisa dunia ya sasa watu tumepotea san
@barakangata55082 жыл бұрын
Namuomba Mungu akulinde kwa jina la yesu na nakutia nguvu kwa jina la yesu nakuagizia roho mtakatifu na mbingu zinazokupinga zishindwe kwa jina la yesu na imani zao za kishetani nazishusha kwa damu ya yesu bali imani ya kwa yesu ikue zaidi na zaidi na naifungua milango ya baraka kwako kwanzia sasa ifunguke kwa jina la yesu
@fatinesscharrs9372 жыл бұрын
Balikiwa Sana mtumishi
@nsimiremparanyifrancine17892 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏
@fatinesscharrs9372 жыл бұрын
@@nsimiremparanyifrancine1789 ubalikiwe
@mhomboedward7200 Жыл бұрын
Ona wanavyomuabudu ona wanavyomsifia wewe n mtumishi unamaono makubwa Sana kwenye makanisa yetu meng kumejaa machafu is the name of Jesus kataa roho ya shetani inayotesa kanisa kataa kbsa Asante Yesu kwakuwa kupitia mtumishi wako watu wanaijua kweli yako ooobaba sema nasi Mungu eebaba tusamehe na vizazi vyetu vinavyokuja
@jobemaase44322 жыл бұрын
O God have mercy on me ....Man of God you're ablessing to me and to whoever else is listening and watching your songs...More Grace from the almighty be showered unto you ...uongezeke ,upanuke katika huduma yako siku zote.Amen
@praxidesleahobuya48242 жыл бұрын
Very powerful song Mtumishi wa Mungu. Endless kusema kweli ambao wengi hawapendi
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Watamuua wenzie anawatolea tonge mdomoni
@barakaothumani64212 жыл бұрын
Mtumishi Pascal Kama kweli umetoka kwenye Ufreemason,basi mwisho wako utakuwa mzuri Sana na hawa wanaojiita mitume na manabii watakuchukia sana kwaukweli unaousema kupitia uimbaji
@mariamkija6011 Жыл бұрын
Malaika wa BWANA Wakulinde sikuzote za Maisha yako,Damu ya Yesu ikufiche adui asikuone,Jiikazi nikubwa sana
@SamuelylwalaMaigeКүн бұрын
Na wewe pia
@user-ld6nn7py5f5 ай бұрын
Ubarikiwe Sanaa pasiko bwana akupe maisha marefu aminaa
@sakinampulule4602 жыл бұрын
Amina sana mtumishi hakika kinywa chako kimenena ukweli hizi siku za mwisho damu ya YESU KRISTO ikufunike uhubiri neno la mungu uendelee kuneno kweli na kweli huishi amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@belsoi97992 жыл бұрын
Barikiwa Sana brother Acha kibali cha Mungu kiwe pamoja nawe, may He protect you in whatever you're doing.
@Bonita29622 жыл бұрын
Nani kaimba huu wimbo
@belsoi97992 жыл бұрын
@@Bonita2962 anaitwa paschal cassian
@saricorashidi19132 жыл бұрын
Ahsante kwa kuliweka bayana hili,acha Mungu aitwe Mungu,hakika mambo yote yatapita lakini neno litasimama.
@nsimiremparanyifrancine17892 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏
@nellysimiyu72572 жыл бұрын
Kweli ni wangapi tutaingia mbinguni, waah! Mungu tusaidie
@sakshiwinnie38592 жыл бұрын
Eeh Mungu tuhurumie 😭🙌 this is true, Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana na Mungu azidi kukulinda na kukuinua ki uduma🙏
@miriamumasswwmassawe91652 жыл бұрын
Wewe mwenyewe unachafua wenzako we tutakuamini vipi??sisi tuache na watumishi na manabii wetu,we pambana kivyako upate waumini
@patrabrandon23652 жыл бұрын
Asantee mtumishi. Tuko pamoja yani sjawah kuwaamin nawachukia....sanaaa... Mungu azidi kukutumia. ... siku zinakuja watajua hawajui.
@magdelenaburtner92062 жыл бұрын
Ni ukweli mtupuu.
@abednegokabwe50642 жыл бұрын
O
@christopherkanyalakc8941 Жыл бұрын
Amen.man of God
@wesleyMacaris2 жыл бұрын
may God bless you richly for this song to have us renew things!!
@user-fm2rm4nr4f Жыл бұрын
Asante mtumishi kwa ujumbe mzuri mungu akulinde na akuzingile na wigo wa moto wa roho mtakatifu adui shetani asikupate
@MESHMULLAMASTERMIND2 жыл бұрын
YOU JUST BLESSED MY DAY PASTOR
@mamuumamuu18713 ай бұрын
Mungu awazidishie mzidi kumuabudu huyo shetani mana mwajifanya hamjui kua kuna mungu ila hio siku ya hukumu ndo mtajua
@reemamwangi91922 жыл бұрын
Nakupenda bure mtumishi utaishi maisha marefu hadi washangae
@pasteurmugishoclaudetv7247 Жыл бұрын
Kengele iliapo mwenyi masikio naasikie ,wewe umelipa déni kwakujulisha dunia
@resaltnekesa97022 жыл бұрын
May God's Devine Protection be sufficient in your life Man of God. Hatuwaogopi mashetani tena, maana tuna ujasiri katika YESU. Hatuwaogopi............ Washindwee ktk Jina la Yesu
@nsimiremparanyifrancine17892 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏
@kelvinmbise68232 жыл бұрын
Amen BWANA azidi kukutumia, Barikiwa
@magemwaipaja86502 жыл бұрын
Barkiwa sana kakaangu Mungu akupe maono zaid
@magemwaipaja86502 жыл бұрын
Barkiwa sana kakaangu Mungu akupe maono zaid
@kelvinmbise68232 жыл бұрын
@@magemwaipaja8650 Amen🙏🏿🙏🏿
@janebeky2 жыл бұрын
Me namwabudu mungu ktka roho Na kweli sitaki mwingine
@florencemueni11832 жыл бұрын
God bless u Pascal ad be protected by the blood of Jesus Christ
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏
@happyemanuel20702 жыл бұрын
Eee Mungu naomba jicho la tatu niweze kja sehem sahihi
@mercyfulesther40042 жыл бұрын
You are a hero, your songs are spiritual. I love listening to your songs.keep up brother
@joelbahemuka42382 жыл бұрын
Mungu akujalia
@brizyannechild1lepaa2 жыл бұрын
this song is on the next level...mungu awazidishe neema...
@tanunewstz2 жыл бұрын
Great congrats kaka great cheers Mungu akubariki sana
@DominiqueKabila-ej9sq29 күн бұрын
Que Dieu te bénisse pour l'Évangile 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@betrammyula75667 ай бұрын
Mungu akubaliki sana mtumshi asante kwakutufungua macho
@user-jw7if9qm2l11 ай бұрын
Hongera Sana mtumishi wa MUNGU ubarikiwe San
@lilianndibalema970810 ай бұрын
Asante Sana niko pamoja na wewe ujumbe wa kweli kaka mungu akupe nguvu
@user-fq4lp5ow3p7 ай бұрын
❤❤❤Amena kubwa
@deboradeo4712 жыл бұрын
Munguu aendelee kukutumia kwa viwangoo vya juuu sanaa napendaa sana nyimbo zakoo zinanifunguaa sana
@nsimiremparanyifrancine17892 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏
@laitmwinuka38362 жыл бұрын
Barikiwa sana Mungu yup pamoja nawe songa mbele kaka🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@johnnzomo74062 жыл бұрын
This song is so timely...we are in the end days help us God.....barikiwa sana mtumishi....john from kenya
@millicentayangokunting37282 жыл бұрын
Mwenye maskio asikie
@azizaaziza9113 Жыл бұрын
Pascal God bless you umepigilia msumari kwenye kidonda
@user-ou7bz6vd6b6 ай бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji nyimbo zako hunijenga sana ki imani kwanza ile ya sote tutakufa hufanya nimrudie Muumba wangu kabisa
@naomikabalika21112 жыл бұрын
Oooooh yes,Mungu aturehemu maana tupo nyakat mbaya hata kuzisimulia ni shida ifike mahali tujue Mungu wa kweli ni yupi ili tusimame ktk kweli yake
@CecyWaziri8 күн бұрын
Mungu atusaidie san mamb yanayotekea dunian at mung anashangaa nyie ha 😭😭😭😭😭😥😓
@PierreOfficialgiant3 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda siku zote za maisha yako
@blessgama43442 жыл бұрын
Mungu atuonyesheée njia itupasayo uyuu MUNGU ni waajabu mtumishi mungu azidi kukutumia utufundishe kweliiii aminaaaa...
@jacquelinemsule70552 жыл бұрын
Eeee mungu nitangulie mm Jacqueline baba unaimba sana mungu akutangulie popote uendako
@deborahrehema58192 жыл бұрын
Oh hallelujah God bless you Mtumishi kweli wewe ni sauti ya Eliya na Musa Mungu tupe Mwisho mwema 😭😭🙏
@nsimiremparanyifrancine17892 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏
@user-ld6nn7py5f5 ай бұрын
Amina Amina ubarikiwe ubarikiwe bwana akurinde
@simonmdune90662 жыл бұрын
Mungu tuhurumie mi hufikia time moyo wakuenda kanisa sina afadhali kujiombea mwenyewe kwanyumba naomba msaada ushauri wenu ndugu🙏
@tusubilegemtafya55322 жыл бұрын
Kujiombea ni vizur lakin ni vizur zaid ukaenda kanisan kwani Neno la Mungu linatuasa tusiache kukusanyika lengo ni kufundishana na kuonyana...kiukweli makanisa mengi saiv hayaelek lakin tambua kuna mengine yanaeleweka tafta kanisa linalosema kweli ya Mungu kwa kuainisha na Neno la Mungu....kikubwa lijue sana Neno la Mungu
@marysafari Жыл бұрын
Wewe ni mboni ya Mungu lazima Mungu atazidi kukulinda
@velmamarkluke13302 жыл бұрын
Nimekufatilia kwa muda mungu akulinde mtumishi wa mungu
@lilacjoseph95092 жыл бұрын
May God protect you live long mtumishi
@khadijamgambo68742 жыл бұрын
Uislam ndo Dini ambayo itakuonesha Mungu wa kweli na Mtume wake ambae ni mjumbe wake na kukunyoosha kwny njia ilionyooka.
@lydiahkemunto5996 Жыл бұрын
Mungu unirehemu Leo unipiganie pia unitenge na matabau ya dunia
@pavlovbienfait6940 Жыл бұрын
Asante sana pasteur CASSIAN🇨🇩🇨🇩🙌
@timotheosanga61192 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana
@neemashango1875 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi Yesu akuinue na akulinde na kukutunza milele uzidi kumtumikia kristo ktka kweli
@perrywanjiru27542 жыл бұрын
Mungu atufungue macho ya kiroho 🙏barikiwa sana wimbo wawakati abao tuko
@nsimiremparanyifrancine17892 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏
@Kizito_998 Жыл бұрын
Amina mtumishi mungu aendelee kukupigania
@ANUSIATHACLEMENCE-mb4oy Жыл бұрын
Libarikiwe tumbo lilokuzaa unamwakilisha Yesu asiyeshindwa Mungu akutumie Sana
@shamirephraim64122 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi kwa kazi hii ya Mungu sio kazi rahisi asee✍️✍️✍️🔥🔥🔥
@dottokyangwe2205 Жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu Kwa huduma nzuri ya uimbaji ktk kumtukuza Mungu
@emmanuelbrownofficialke.-n79422 жыл бұрын
Damu takatifu ya Bwana wetu Yesu Kristo owe ngao Yako pamoja nasi sote. Amina Mtumishi wa Mungu. #emmanuelbrownke
@ntibashimamathiasidicksony64982 жыл бұрын
Mwenye masikio na Asikie
@mercyelahuya95222 жыл бұрын
Woi wazazi wangu wako Kwa nabii WA eliya huku Kenya. Naomba maombi
@magrethedson74452 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi,
@kelvinmonarimatara56662 жыл бұрын
Thank u mtumishi umefungua wengi macho Mungu akubariki sana
@samweldaud35362 жыл бұрын
YESU KRISTO azidi kukulinda na kukutumia.. Asante sana kwa ujumbe wako
@nsimiremparanyifrancine17892 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏
@flozzykerubo77442 жыл бұрын
So so emotional the one we think to preach to us about Jesus are the one praising Satan😭😭😭😭😭 Almighty help us
@mashuwadossah67993 ай бұрын
Ubalikiwe sana na ww pia kazi nzuli sana mungu azid kukupa nguvu na afyaa njema piya
@lodricknassaryofficial37042 жыл бұрын
Barikiwe mtumishi MUNGU akutumie katika viwango vya juuu🙌🙌
@nsimiremparanyifrancine17892 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏
@nethosiame142 жыл бұрын
This is how I said the real protection of God should be with you. Be blessed much
@christinasebastian9546 Жыл бұрын
Hakika nabarikiwa sana na nyimbo zako nakuombea Kwa Mungu wa mbingu na nchi akutunze sn Ili kusudi la Mungu litimie
@Mecamedia2 жыл бұрын
Baraka nyingi zimiminyike kwako
@jaredwabwile22182 жыл бұрын
Asante kaka. Mungu atusaidie kufunguka macho
@ZabronJames-fk8bg3 ай бұрын
Kaka Cassian kiufupi napendezwa nahuduma Yako mimi zabron James wewe unaongea ukweli mungu akubaliki kaka mimi nakufatilia sana
@swala2170 Жыл бұрын
May Jah bless this Man 4 teaching us !! Thanks Bro!
@dicsonmlonga7659 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa mungu nabarikiwa Sana na nyimbo zako
@majirioisaya15462 жыл бұрын
Nakubali sana Mungu akutie nguvu mwenye masikio na asikie
@nsimiremparanyifrancine17892 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏
@judithahata3618 Жыл бұрын
Ee mungu wangu tusaidie tuweze kupambanua Nuru Na Giza, maana biblical inasema Wana macho kakitu hawaoni, Wana masikio lkn hawaskii
@pierremussa78942 жыл бұрын
Ni ukwel kabsa usiopingika kuwa Wa namuimbia shetan Ubarikiwe mtumishi wa mungu ame!!!
@stephenkomolo1085 Жыл бұрын
Mtu wa Mungu huu wimbo ni mzuri sana ungeimba part two yake ya kumsifu Mungu tu bila kumtaja shetani kwa vocal na rhithme hiyohiyo, kama Mungu atakavyokuongoza
@ALECKMGUNDA-ml9qw Жыл бұрын
Mungu akulinde Kwa unavyo jitoa
@gisellekavira89662 жыл бұрын
Thank you brother for the deepest revelation. God bless you....
@Ricky_melody2 жыл бұрын
Mtumish Mungu akubariki, Sema ukwel ,Fikisha kile k2 Mungu anakuagiza, usiogpe watishao, wala hawazdi nguvu za Mungu.
@carolnyiva3552 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu endelea hivo, hivo, juu wanadamu wamepotea kabisa
@carolnyiva3552 жыл бұрын
Alafu Dunia sheitani ameimiliki kwa kiwango Cha juu sana, wanajalibu kufunika ukweli na uongo, ukweli wanaweka uongo na uongo kaweka ukweli. Tangu lini? Mungu akawa ni muongo!!!!!!!
@carolnyiva3552 жыл бұрын
Hakuna Pepo anatoa Pepo mwenzake, watu waache kudanganya watu.
@SolomoniNgulaiАй бұрын
Daa mungu aturehemu
@telaamtauta22272 жыл бұрын
Kumbe umegundua kitu kikubwa hapo mtumishi wallah kesho siku yahukum itakuwa mtihani sana kwa maana dunia tumeivaa kama nguo tutangaamia sana kwa kupenda maisha mazuri ya haramu Mungu alitangulia mbele mtumishi
@salomecaroly55342 жыл бұрын
Nakupenda Sana mtumishi wangu Pascal Mungu azidi kukuinua
@exslaisonmtega71752 жыл бұрын
Huu ndio hasa wakati ambao kanisa la Mungu linapaswa kusimama kwa udhabiti kwa kuhubiri neno liletalo uzima na si michanganyo tunayoiona nyakati hizi.mtumishi songa mbele Mungu akutie nguvu katika huduma yako ya uimbaji
@irenemakuto9109 Жыл бұрын
Always nabarikwa Na songs zako great bro God bless you 🙏🏻
@ntibashimamathiasidicksony64982 жыл бұрын
Mungu akuongoze Mtumish
@philipojm56842 жыл бұрын
mwenyez mungu awe pamoja na ww nadhan huu ujumbe lazima wausikie mungu akurinde ..
@lazarodaudi16892 жыл бұрын
Amen Mtumishi Mungu wa Mbinguni adhidi kukupa Neema ya pumzi uendelee kutuhubiria Mataifa