Sera za Mgombea Nafasi ya Urais TLS 2024 Wakili Boniface Mwabukusi

  Рет қаралды 17,729

WAKILI TV

WAKILI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 148
@OmegaGraphix
@OmegaGraphix 2 ай бұрын
Nakuelewa wakili msomi. Ningekuwa wakili kura yangu unayo
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Asante adv. Mwabukusi. Sikujua kama Kuna chombo cha maana chenye nguvu namna hii na hakitumiki ipasavyo. Mpeni huyu bwana MWABUKUSI kura aweke chama kwenye ramani yake nayostahili.
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 2 ай бұрын
Lik❤ MWABUKUSIIIII 🎉🎉🎉
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
TLS jiongezeni nje ya box mpeni adv. MWABUKUSI hiyo kazi. He is a game changer. A true leader
@okaozzy
@okaozzy 2 ай бұрын
Vivaaa Mwabukusi Vivaaa
@JamalTemba
@JamalTemba 2 ай бұрын
nakubali kazi yako mzee
@gallegalleson4427
@gallegalleson4427 2 ай бұрын
Wakili anayejitambua
@MICHEZODAIMATV
@MICHEZODAIMATV 2 ай бұрын
2035 gombea urais wa Tanzania utapita bila kupingwa hata kwa goal la mkono
@Paradisomwagala
@Paradisomwagala 2 ай бұрын
Raisi raisi raisi raisi raisi raisi,,, MUNGU AKUBARIKI
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
TLS hoyeeeeee Mwabukusi hoyeeeee Mpeni kura zote Tunamwelewa sana.
@fr.edgarngowiosa6599
@fr.edgarngowiosa6599 2 ай бұрын
I always admire you. You're the right person at this particular time. In a way, you're the prophet of our time. God bless you.
@romualdlazaromwesiga9638
@romualdlazaromwesiga9638 2 ай бұрын
HONGERA SANA! WEWE UNAFAA SANA KUWA RAIS WA TLS
@pueblo148
@pueblo148 2 ай бұрын
My Vote is YES
@nestor384
@nestor384 2 ай бұрын
I wish ningekuwa wakili kura yngu hukupaswa kuiomba ulikuwa umeshaipata kwanza tu kwa ujasiri wa kupinga mkataba wa kishenzi, kijizi na kihuni wa DPW Kupinga uhuni aliofanyiwa Mpina Luhaga
@2mtei466
@2mtei466 2 ай бұрын
Excellent presentation. TLS IS A CROSS CUTTING INSTITUTION according to section 4. Mimi siyo lawyer, but I wish you all the best.
@victorsamaytu3487
@victorsamaytu3487 2 ай бұрын
Chukua kura yangu kwa njia miujiza na utapita Mwabukusi wangu
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
PRESIDENT IN MAKING.
@tzonespices9734
@tzonespices9734 2 ай бұрын
Wewe ndo Rais mh. Mwambukusi. Mungu atakusimamia. Unamsimamo
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Hapa kazi tu. JEMBE lingine hilo limeinuka. Mungu wetu tusaidie. TLS msifanye ajiz leteni huyu mtu apige kazi. Tunamwelewa sana
@BoscoMyinga
@BoscoMyinga 2 ай бұрын
Nchi ngum hii big brain Kam hawa hawana vacancy gvnt
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd 2 ай бұрын
Mawakili mpeni huyo mwabukusi tuone mambo yanabadilika au
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 2 ай бұрын
Mungu awe mbele yako ushinde unachokipigania
@RoseMwanga-e7l
@RoseMwanga-e7l 2 ай бұрын
Mungu akusimamie na tunakuombea sana utatoboa hakika kwanza wewe ni kichwa na ni mzalendo wakweli. Mungu akusimamie br. Ninashida yakupata number zako maana yapo makubwa yauonevu ninayopitia naamini wewe unaweza nisaidia mkuu. Ila kwa ufupi mungu akulinde maama du wengi hawapendi hiyo akili uliyotunukiwa na mungu
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Rais wetu ajae. Mungu akulinde sana akuepushe na mabaya yote.. Taifa hili linakuhitaji sana adv Mwabukusi. JEMBE letu. Mwamba wetu
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 ай бұрын
kwanini huyu asigombee urais tu moja kwa moja
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@MICHEZODAIMATV
@MICHEZODAIMATV 2 ай бұрын
​@@marieconnect6389ndo njia hii apate kwanza changamoto ya kuongoza watu wanaoijua sheria ,hatua za. Tundu lissu
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 2 ай бұрын
BRAVO BRAVO BRAVO MWABUKUSI ❤
@julius_wankyo
@julius_wankyo 2 ай бұрын
TLS should be The Light System.
@oswaldmwita1520
@oswaldmwita1520 2 ай бұрын
Bon unafaa kabisa
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Huyu MWAMBA ni mpambanaji sahihi mwenye uwezo kiakili na ubavu anao. Siyo TLS tu anaweza hata kuongoza taifa hili kwa umakini na kuleta mafanikio.
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 2 ай бұрын
Mawakili ebu fanyeni kitu kwa uzalendo kwa kumpa kula mwabukusi
@eliaskhamis1546
@eliaskhamis1546 2 ай бұрын
Kajunjumele Mwabukusi tunakuelewa sana...kura kwako
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 2 ай бұрын
Ukimsikiliza unaona kabisa anayoyaongea yanatoka moyoni kabisa, siyo blaa blaa.
@RenatusMatungwa-k5m
@RenatusMatungwa-k5m 2 ай бұрын
Jamaa yuko smart sana huwa napenda kumsikiliza
@jumasaghida5492
@jumasaghida5492 2 ай бұрын
Mungu akupe ulinzi
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Angekuwa hata rais bora sana kwa taifa zima akipata nafasi. He is a true patriotic leader. He has all the skills and knowledge needed in leaderships. He can make a great leader of his time in this country and the continent of Africa. May God protect him, he absolutely needs that protection.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Asante kamanda wetu adv Mwabukusi kwa kumulika nje ya box. Wangu tumeekewa TLS in a faida gani kwa watanzania wote na wanasheria wetu na zaidi kwa taofa letu hasa upande wa kutetea mikataba,na kulinda rasilimalo zetu. Tuko nyuma yako adv Mwabukusi na TLS tunawategemea sana mtuwekee mtu sahihi kwa kazi
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
MWABUKUSI is a real game changer. He is very smart, charismatic, wise, intelligent, open minded, focused, justice minded, brave, skilled, knowledgable and above all atrue patriotic to his country.....a rare combination to find. Most people wouldput themselves first, but Mwabukusi is not....he always thinks outside the box. Watu a true leader he is. He is without a doubt devoted to his work and people. He can absolutely be the best leader we've ever seen. This country need more people like him at the top positions.....yes we do. He is the right man for TLS leadership role... plus many more. He is well understood by norman citizens. We expect TLS to do the right job and put him to the top position he deserves. We need some new ideas and changes. TLS juuuuu. Choose wisely
@MabulaJohn-t4q
@MabulaJohn-t4q 2 ай бұрын
Uko saw nakpenda sana
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
TLS mna bahati sana kupata mgombea au mwanachama wa aina hii. Mpeni kura zote ili tuone mabadiliko.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Nimemsikiliza kwa makini sana nimemwelewa vizuri sana. Nimefuatilia kazi zake. Hili ni jembe. Tusipoteze bahati hii adimu aliyotujalia Mungu kwa kipindi hiki
@JamesMpinga-cz3kt
@JamesMpinga-cz3kt 2 ай бұрын
Mwabukuai anafaa kuwa rais i
@maxmiliangunze8931
@maxmiliangunze8931 2 ай бұрын
Kura yang ni ndio...... Umepita Bila kupingwa
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 2 ай бұрын
Hata ndiyo hatuyataki ya kupitia bila kupingwa tunataka kupingana ili jamii iwe na afya tusilazimiswe kupewa tusicho kijuwa!
@cosmasevarist6221
@cosmasevarist6221 2 ай бұрын
The real patriotic law personnel, You have won until now, Good luck my next Mr president of TLS.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
What a patriotic person. God bless and protect you adv. Boniface MWABUKUSI.
@abdulsalaamkahttan1037
@abdulsalaamkahttan1037 2 ай бұрын
hongera jasiri wa haki
@allfrp2903
@allfrp2903 2 ай бұрын
Nakuelewa sana japo siko na taaluma ya sheria unajitambua sisi wananchi tunakuombea ushindi wa TLS
@LukasKonasei
@LukasKonasei 2 ай бұрын
Nikweli kabisa. Nambaya wetu mungu ubariki we
@Uhuru1234
@Uhuru1234 2 ай бұрын
Mungu akupe kibali kamanda, nimekusikiliza vizuri
@wilsonletiet7852
@wilsonletiet7852 2 ай бұрын
Nakuombea upite kwa kishindo kwa nguvu ya mwenyezi Mungu❤
@apostelgodwin
@apostelgodwin 2 ай бұрын
Umeisha pita mwambukusu Mungu kakuchagua kabla ya hao mawakili Hongera ..upo juu tuu
@julianamichael1848
@julianamichael1848 2 ай бұрын
Mungu akubariki tunakuombea
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Mungu wetu tunakuomba kwa moyo wote umpe ulinzi wako wa kipekee mtoto wako wakili Boniface Mwabukusi. Kazi anayofanya haitawapendeza wengine na wewe unawajua ndani ya mioyo yao. Si kila mtu analipenda taifa hili kwa moyo mweupe. Wengine ni wanafiki hawatutakii mema bali wanaangalia maslahi binafsi. Mungu tusaidie. Mungu tuokoe. Mungu mwekee mkono wako juu ya wakili Mwabukusi atakuwa salama. Mpake mafuta yako matakatifu kutetea haki huyu. Amina .
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Amina na iwe hivyo
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Mwabukusi hoyee! Ushindi ni wako. TLS msiituangushe
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 2 ай бұрын
The learned man 🎉🎉🎉
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
TLS msituangushe tafadhalini sana. mpeni kura bwana Boniface MWABUKUSI. Tunamwelewa sana na tunamkubali.
@mossessimon2493
@mossessimon2493 2 ай бұрын
Big brain 🧠.. wa maaana kabisa
@MartinKipenya
@MartinKipenya 2 ай бұрын
Huyo ndio rais wa tls 😮😮😮
@GervassNjau
@GervassNjau 2 ай бұрын
Umepita kaka nakwamin sana
@kijadogan6711
@kijadogan6711 2 ай бұрын
Huyu jamaa namwaminia. Piga kazi jamaa
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 2 ай бұрын
🙏🙏🙏✅
@eunho9529
@eunho9529 2 ай бұрын
Mungu awatanguliye wapiga kura wote hiyo tarehe mbili wakuchague kwa maslai mapana ya Tanganyika na Tanzania kiujumla.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Mwabukusu is the right man for the job. He can surely make put some important emphasis and put some rules and laws into implementation without fear.
@raymondtenga
@raymondtenga 2 ай бұрын
You deserve to become the President elect.I hereby pray for you.
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 2 ай бұрын
Mwamba ukiongeaga swala la "Masai" na "Bandari", huwa naumia sana, inasikitisha sana wanasheria wetu walioko serikalini ndiyo walioruhusu haya yafanyike!!!!
@tumainikibona5252
@tumainikibona5252 2 ай бұрын
Mwabukusi ni kiongozi bora sana,
@samwela.kasamalo2113
@samwela.kasamalo2113 2 ай бұрын
Utashinda mzee baba, wewe ndo mtu sahihi tena kwa wakati
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw 2 ай бұрын
Mm namkubali sana mwabukusi hana long-forgotten kama wengine
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 2 ай бұрын
MA CCM TUMBO JOTO ,WANAMUOGA WAKILI MWABUKUSI
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
CCM haimwogopi, huyu uwe wazi. Sema wale wenyewe mikono michafu. Watamwogopa.
@romualdlazaromwesiga9638
@romualdlazaromwesiga9638 2 ай бұрын
Kweli wewe ni muwazi na mpenda haki na MTETEZI WA WANYONGE! KUDOS MWABUKUSI! 🎉🎉🎉🎉
@ngalamawecheslous9976
@ngalamawecheslous9976 2 ай бұрын
Raisi
@barughahalejgodfrey4523
@barughahalejgodfrey4523 2 ай бұрын
Kura zote zako my learn brother
@OscarKasalile-u4k
@OscarKasalile-u4k 2 ай бұрын
Nakuamini mwaamba
@RobertBitambaOfficial
@RobertBitambaOfficial 2 ай бұрын
Wewe ni mtumishi wa mungu je watakubari kukutangaza wazarendo
@severimkatomutegeki6930
@severimkatomutegeki6930 2 ай бұрын
Mwabukusi wewe ndiye uko vizuri utaokoa jahazi nchini..,.
@edsonkilatu5211
@edsonkilatu5211 2 ай бұрын
You have my vote
@MosesSimbaya-sl4zp
@MosesSimbaya-sl4zp 2 ай бұрын
Tupo nyumba yako mwamba
@ogossygassayachacha6988
@ogossygassayachacha6988 2 ай бұрын
TLS hongerani sana Kwa huu mchakato wa uchaguzi wa mwaka huu.tunaomba ndugu zetu makili wote mpeni kura zote za ndiyo..
@Uhuru1234
@Uhuru1234 2 ай бұрын
Eb to fight tiwe na mgombea binafsi, huyu mtu anafaa kuwa Kiongozi wa juu wa nchi, au ninyi mnasemaje
@DayanatzDayanatzgambe
@DayanatzDayanatzgambe 2 ай бұрын
Kabisaaaaa😂😂
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Kabisa. Ile itakuwa ngumu sana maana hawatkubali mabadiliko ya katiba leo wala kesho. Hawajiaminj hawathubutu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 ай бұрын
👊👍✌️.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Una mawazo mazuri sana JEMBE letu. Nakuaminia
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Uzalendo mbele kwanza jamani TLS. Mambo mengine weka pembeni kwa ajili ya badaye. Chagua mzalendo wa kweli mwenye maono sahihi na ushupavu wa kupambania haki bila woga. Msipoteze bahati hii kwa sababu yoyote ile. Kuweni wazalendo please. He deserves to be a leader, he can be an outstanding leader in this country. Mchagueni kwa kishindo bila hofu.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Mbuga zetu big deal💪 Wanyama wetu pia big deal💪 Hayo ni mapesa tupu💪 Mungu atupe nini jamani. Ama kweli Umasikini tunajitakia wenyewe mungu hakutuumbia. Mungu wetu katuumbia kila utajiri kwa kweli tunashindwa sisi tu kuutumia utufae. Tunatajirisha tu wengine wajanja na sisi tunabakia kulia. Naamini kabisa hata Mungu mwenyewe anatushangaa na anachukuzwa.
@innocentmleli1196
@innocentmleli1196 2 ай бұрын
Utapata shida nao,wengine wana laana tayari
@kanoa645
@kanoa645 2 ай бұрын
50% kiswahili 25% kiswangilish 25% English Sasaaaa hapoooo
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 ай бұрын
Anaeleweka kwa wote kwa msisitizo
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Hili ndilo JEMBE lenu TLS msilitupe. Ni mzalendo wa ukweli anayejitambua na yuko makini ametuonesha kwa viendo na siyo maneno matupu. Anastahili hata kuwa rais wa taifa hili na siyo TLS pekee. He is absolutely brilliant
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
TLS tunaomba msituangushe. Mtupe huyu kiongozi aje atetee maslahi ya taifa letu.
@AmimIigeni
@AmimIigeni 2 ай бұрын
Mawakili Kwa pamoja mchagueni mwabukusi
@hoseakamchapekaponya3502
@hoseakamchapekaponya3502 2 ай бұрын
Huyu Huyu ndiye mgonbea anayefaa na tunayemtaka wa tz
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Umeshapata USHINDI mkuu. Kura zote ni zako.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Hili la wanyama limeniacha mdomo wazi sikujua kabisa kuwa anaendelea kuwa mali yetu. Hivi wangapi wanajua hiyo siri? Je kuna utaratibu kitaifa wa kuliipwa pesa zetu? Kuna ufiatiliaji kweli huko waliko? Tungepewa ripori na michakato kila mwaka kama taifa.
@mashakalukinda2350
@mashakalukinda2350 2 ай бұрын
kesho kurazote kwa mwambukusi unashinda kwa kishindo mwambukusi oyeeee😅
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd 2 ай бұрын
broo niseme tu ukweri mi uwa nakuelewaga Sana, nibasi tu sijui awa viongozi wa kiafrica Wana mdudu Gani kichwani.
@umbokeenockmwakagenda3966
@umbokeenockmwakagenda3966 2 ай бұрын
TunKuombea,maadam unatetea wanyonge Mungu atakuinua tu
@ShehaHassan-ev7st
@ShehaHassan-ev7st 2 ай бұрын
Naamini utashinda kamanda.
@cliffmaringo
@cliffmaringo 2 ай бұрын
MWAMBA ANATEMA MADINI YA ALMAS TUPU YANI
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
MWABUKUSI JEMBE lingine. Mungu akuwekee mkono wake you yako. Watu kama nyie ni adimu sana.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Amina
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Mungu wetu tunakuomba simamia zoezi hili wewe mwenyewe....tutashinda. Tupe macho sahihi ya kuona na ufahamu wa kutambua hii habati uliyoiweka mbele yetu tusiidondoshe. Tuwezeshe kuwa na moyo wa kizalendo kwa nchi yetu ili tusimike viongozi wazalendo wa ukweli wenye uwezo wa kuona mbali na ushupavu wa kutetea taifa letu bila woga kama huyu mzalendo na mtoto wako MWABUKUSI. Wazalendo tunamwelewa sana na tunamkubali mno. Ee mungu wetu saidia hao TLS wamchague MWABUKUSI bila wasiwasi. Ubinafsi kwa pembeni.... hapa kazi tu.
@josephmwita6012
@josephmwita6012 2 ай бұрын
bila kukusikia hata siku yangu haiendi vizuri watu wanaopenda haki najikuta wanakuwa marafiki zangu
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 ай бұрын
Hivi mtu kama huyu mnamwachaje kwa mfano? Mtamweka nani mwenye maono na nawazo na mitizamo zaidi yake? Anajua anachotaka kukifanyia TLS na taifa lake. Tunamwelewa sana.
@WakwetuWakwet
@WakwetuWakwet 2 ай бұрын
Unafaa san
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 118 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
🔴LIVE: KAULI YA KWANZA YA RAIS MTEULE WA TLS WAKILI MWABUKUSI
10:22
#MEDANIKUULIVE:MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS TLS - 27/07/2024
2:37:51
Star TV Habari
Рет қаралды 20 М.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН